Daaa wadauu unafiki tuweke pembeni jamani huuu wimbo umeua sanaa wadau hasa kweny real life yaaan, kuhusu jela,,,,,, kama ume watch may 2024 like hapaa
Daaaah tundaman spark madee😮😮😮,,,,, hiii nyimbo sijawahi choka kuiangalia jamn,,,,,,,, mlitumia sana ubunifu wa hali ya juuu japo ni ya zamani sana daaah,,,,,, mpewe maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Daah hii ngoma inankumbusha mbal san daah man maisha ndo hayhay aise jaman usije mwamin san m2 atakulza man lafk yako ndo adui yako ila nngoma nmeikubal had sopow
The first time I heard this song was in 2021 March I cried because these are the real things that do happen in this Beautiful country called Kenya. So painful
Nakumbuka tukifukuzwa shule tulikuwa tunaenda kwa kina rafiki yngu and listen some bongo hii ikiwa moja wapo.ilikuwa ikiimba lazima tulie 😭😭😭😭😭😭 its just bringing some memories.