Тёмный

Tuongezee Imani Bwana - Dkt. D. Kacholi 

Charles Saasita
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 2,6 млн
50% 1

Kwaya ya Mt. Fransisko Ksaveri, Chang'ombe DSM

Опубликовано:

 

26 мар 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 639   
@bitundaeulali3741
@bitundaeulali3741 2 года назад
Kama unapenda dini catholic gonga like 😘
@Kinondoni-sg9ot
@Kinondoni-sg9ot 8 месяцев назад
Naipenda kutoka moyon❤❤❤❤
@SABASMSOFE
@SABASMSOFE 18 дней назад
Huu wimbo unanifanya niwena amani sana ❤🎉kama umegundua mapadre weng wana penda huu wimbo like hapo😊
@gabjoni4306
@gabjoni4306 2 года назад
Mtunzi kutoka chang'ombe primary school to st Anthony mbagala up to sokoine agricultural alafu akaingia mlimani ud mbali na kupea pipa to Germany ndani ya PHD Mwenyezi Mungu akubariki sana my best brother DS Kacholi🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@janethmayanja
@janethmayanja 5 месяцев назад
My prayer in 2024, Lord increase my Faith
@MariaMaria-gj9or
@MariaMaria-gj9or 2 месяца назад
❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🤝
@janemwirikia6817
@janemwirikia6817 2 года назад
There was a time i was crying for faith in 2018,i was reciting holy rosary for Jesus to see me through 3times per day,i was very low in faith,february 2nd 2019 the day i will never forget in my life mother mary came on my dream and stayed with me and she was crying holding my hands,from that day i started believing and praying so hard.
@onesmuskivuva7112
@onesmuskivuva7112 2 года назад
This is encouraging. Ain't a catholic but love the singing and messages therein
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Год назад
Oooh wow praise the Lord 🙏🙏🙏🙏 And pray daily you will a lot of miracles from heaven through the hand Mary mother of Jesus Christ our Lord
@salomelaitete5010
@salomelaitete5010 Год назад
Mama Maria tuombee...nakupenda Mama
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Год назад
Ave Maria Ave Maria
@elviskum6741
@elviskum6741 19 дней назад
I enjoy this song so much. Even though I don’t understand what they’re singing..Greetings from Cameroon
@jamali0017
@jamali0017 4 года назад
Tuongezee Imani bwana tuwe Askari hodari kweli wa yesu Kristi 2019_2020 tuwe na Imani na dini yetu🎹🎤🎸🎵⚓🙏🙏🙏🙏🙏
@marypwanye8943
@marypwanye8943 3 года назад
Ninaupenda sana wimbo huu. Sifa na utukufu una yeye
@yohanadeus1292
@yohanadeus1292 6 дней назад
Eeeh mungu niongezee Imani juu ya uumbaji wako
@manasseskamau5327
@manasseskamau5327 2 года назад
There’s something sacred about Catholic music, nobody can adapt it to common music.
@jamesndirangu1197
@jamesndirangu1197 2 года назад
This particular one is melodious and reverent. Even the deportment of the singers tells you that they are truly addressing, in song, a prayer to God. However, there are other catchy, rythymic trendy songs which, although they utter religious words, they only serve to gratify the senses as they seem designed to please and entertain....
@davidkipsang3808
@davidkipsang3808 2 года назад
@@jamesndirangu1197 true sir
@omoshspeakmouth4371
@omoshspeakmouth4371 6 лет назад
Kuwa mkatholiki ni baraka...ningependa watu wote ulimwenguni tuwe kanisa moja ambalo ni katholiki...am very proud to be a Roman Catholic
@berthanathan7074
@berthanathan7074 6 лет назад
Hope academy training south africa
@jacklinesamwel8731
@jacklinesamwel8731 5 лет назад
Really and me am proud to be
@dsshirima77
@dsshirima77 5 лет назад
Wimbo huu unanibariki sana. Mungu awaongezee moyo wa kujitolea kueneza Injili kwa njia ya kuimba.
@user-sx4yy6tm3g
@user-sx4yy6tm3g 3 месяца назад
Kwakweli Mungu niongee lmani Bwana
@belindananjala8844
@belindananjala8844 5 лет назад
Hakika wanafunzi walimwambia yesu kristo"Tuongezee imani bwana"God bless you people, i really love this song
@peterogutu8267
@peterogutu8267 3 года назад
G.Hyde get tvred
@jacintanyongesa7920
@jacintanyongesa7920 11 месяцев назад
Mungu awajalie nguvu ya wimbaji
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 5 лет назад
Kazi nzuri mtunzi, ara za kirumi na nidhamu ya nyimbo za katoliki imejidhihirisha katika wimbo huu, marvelous!.
@athanassongalimi5685
@athanassongalimi5685 6 лет назад
Hakika najivunia ukatoliki wangu daaaah!!! Nyimbo nzuri
@AffectionateBalkhHound-cg1fo
@AffectionateBalkhHound-cg1fo 4 месяца назад
Ee tunamuomba mungu atuongezee Imani ili tuweze kumkimbilia
@FelixAlbert-hs7ls
@FelixAlbert-hs7ls 3 месяца назад
Congrats. Appreciate . Pernament in FAITH. PAOLO attempts in evangelicalism. amen.
@francisochieng3949
@francisochieng3949 3 года назад
Niongezee imani bwana .maisha yahitaji imani na in kwako naeza pokea imani.nashukuru kwa nyimbo hii nzuri ya kufariji roho
@baudouinamisiidriss2509
@baudouinamisiidriss2509 9 месяцев назад
Ninapo sikiliza wimbo huu,nimejazwa kweli Na imani
@kamwanagakeni5694
@kamwanagakeni5694 3 года назад
Indeed the real meaning of life to worship and grorify him who created us for this purpose even angles in heaven join us whenever such beautiful songs are sung by the faithful here on earth. Praise be to God!!!! 🙏🇰🇪
@henrymapalala242
@henrymapalala242 6 лет назад
hakika Mungu ni mwema tunaongeza imani kupitia nyimbo kama huu amen
@izidorijohn234
@izidorijohn234 2 года назад
tuongezee iman bwana kazi nzuri sana
@bazireteclaudine4291
@bazireteclaudine4291 2 года назад
Mubarike Niko Rwanda
@amedeuslyimo2315
@amedeuslyimo2315 5 лет назад
Uuhh wimbo unanipa matumaini Sana na sitoikana Wala kuipinga imani yangu proud to be Catholic
@teopistacypirian7611
@teopistacypirian7611 5 лет назад
Amedeus Lyimo
@chicharitojembe7434
@chicharitojembe7434 4 года назад
Amina Amina
@lucymushi328
@lucymushi328 4 года назад
Sana wimbo mtamu sana. Mungu aendelee kuwatunza wanakwaya hawa.
@stellamaombi4116
@stellamaombi4116 4 года назад
Amaina
@ponsianjosephat2358
@ponsianjosephat2358 4 года назад
Mkojuu mnapendeza!
@user-ym2cv5ko8w
@user-ym2cv5ko8w 4 месяца назад
Mungu,uzid,outup,iman😊😊
@williamdavid703
@williamdavid703 7 лет назад
Mungu mwenyewe atuongezeee iman....tuwe imara na imani yetu...Mungu ni mmoja jana, leo , kesho daima na hata milele....Mungu abariki nia zenu njema.
@felistanjelu4832
@felistanjelu4832 2 года назад
Am proud to be a catholic ❤🙏
@renatusladslaus3486
@renatusladslaus3486 4 года назад
Ee Mungu zidi kuniongezea Imani ktk tabu na raha 🙏🏼🙏🏼
@annamremal2675
@annamremal2675 5 лет назад
Asate sana yesu kwa kutowa mwiri wako kuwa mkate na damu yako kuwa divai emungu nipe moyo wa kushiriki mpaka kufa kwangu
@mgenileonora9717
@mgenileonora9717 2 года назад
Tuongezee imani Bwana,nabarikiwa sana
@GhostMonkey772
@GhostMonkey772 4 года назад
Nilianza kunywa nilipokuwa na umri wa miaka 16. Nilikunywa kwenye karamu, lakini pia nilianza kunywa peke yangu kwa sababu sikuwa na raha, na nilikuwa kwenye maumivu mengi ya kihemko wakati wote. Mama yangu alikuwa mkali sana nilipokuwa mchanga, na kaka yangu alimuumiza na hivyo mimi. Alianza kunyongwa na watu wenye kivuli, alianza kutofaulu masomo yake yote, hakuwahi nyumbani, na wazazi wangu walipambana wakati wote. Nilikimbia pia mara kadhaa. Siku zote nilikuwa nikijaribu kujua sababu ya kwanini nilikuwa hapa au kusudi la maisha lilikuwa nini. Kwa hivyo, nilianza kutazama falsafa tofauti, dini, na imani. Wakati nilikuwa na miaka 18 baada ya kunung'unika, niliinama na nikazungumza kwa mara ya kwanza. Niliuliza ikiwa Mungu ni kweli atanionyeshea ni kweli kwa sababu ni lazima nichukue tena. Nilikuwa nikilia wakati niliongea hii. Wakati huo nilihisi uwepo ukinipanda kama upepo. Haikuonekana kabisa, lakini haikuwa tofauti na kitu chochote maishani mwangu ambacho nilikuwa nimeona hadi wakati huo. Nilishangaa niliposikia na nakumbuka nikisema "ilikuwa nini hiyo?" Baada ya uzoefu huo mimi sana nilisahau kilichotokea na kuendelea kuaga, hadi mwaka wangu wa juu nilipokamatwa. Baada ya kukamatwa, wazazi wangu walipoteza imani yao yote kwangu na nilifukuzwa shule ya upili. Sikuwahi kuambiwa nirudi. Wakati huo, nilihisi hofu na kutokuwa na tumaini. Nilipoanza kumtafuta Mungu, na nilidhani atajifunua katika maisha yangu na kwamba atanipa ishara. Maombi yangu yakaanza kujibiwa kila wakati hadi sikuweza kukataa kuwa Mungu alikuwa akifanya kitu. Ilikuwa ya kushangaza na ya kulazimisha. Niliishia Kanisani na kuanza kusoma masaa ya bibilia kwa siku. Niliacha kunyongwa na marafiki wangu wengine kwa sababu walikuwa wakikamatwa kila wakati. Niliweza kusamehe familia yangu na mimi mwenyewe na kuomba kusamehewa. Niligundua jinsi watu wa Kanisa walivyohukumu na jinsi wanaunda vikundi lakini waliogopa kuwa karibu na mtu mwingine yeyote tofauti nao. Iliongezeka imani yangu kwa sababu niligundua Yesu hakuwa kama hiyo na tangu nilipokuwa mchanga, niliona watu kama watu bila kujali wao ni nani. Baada ya muda mfupi, ni kama ningeona uwepo wa Mungu ulikuwa katika maisha yangu na ndipo ikahisi kama hakuwa, na hapo ndipo alipokuwa, na sivyo sivyo. Siku moja niliamka na nilihisi mnyonge zaidi kuliko vile nilivyowahi kufanya katika maisha yangu yote. Nilihisi kama nilikuwa nikifaa ndani. Usiku huo niliomba, nikasema, Mungu, sioni maisha yangu miaka mitano kuanzia sasa nitakufa Yesu niokoe Bwana, tafadhali niokoe. Nilikuwa nikilia wakati niliposema na nilipomwomba kuniokoa, nilihisi uwepo ndani mwangu kama moyo, na nilihisi mara moja kama dimbwi, na nikasema Bwana tafadhali niokoe na nilihisi tena nguvu zaidi . Ilikuwa kama mionzi. Nilipoamka asubuhi iliyofuata, nilikuwa nimebadilisha kila kitu kiliona kipya kama nilikuwa mtoto tena. Hofu yangu yote na mawazo yangu yote ya mbio mbio kila kitu kilikuwa kimeenda. Niliangalia mikono yangu, na nikasema hii haiwezi kuwa kweli haiwezekani. Nilijiangalia kwenye kioo, nikaona mtu mwingine. Nilianza kuomba, na roho takatifu ikawa kweli kwangu ilikuwa ikiniosha na ndani yangu. Ilikuwa upendo kamili na amani, na nikasikia sauti lakini sio inayosikika, ilikuwa sauti ya ndani. Ilisema niko nawe; Nakupenda, sitakuacha kamwe, imekamilika. Hiyo ilikuwa Mei 3, 2009, na tangu wakati huo nimemfuata Mungu, nimeona mambo mengi yakibadilika na mambo mengi najua hayangebadilika bila imani na imani. Ninajua ni nini kupotea ili kuhisi hauna tumaini. Usiwahi kufikiria kuwa umekwama, au maisha hayawezi kubadilika kwa sababu inaweza. Mama yangu ni Mkristo sasa, Usiku wake na mchana. Baadhi ya mambo ambayo yalikwenda katika kipindi hicho yalikuwa wasiwasi mkubwa na ulevi wangu wa pombe. Nimeona na kuona mambo mengi ambayo ni ya miujiza na nimeona jinsi Mungu amefanya kazi maishani mwangu. Tunapomwomba Mungu atusamehe kwa kile tumefanya na kuachana na dhambi zetu na makosa yetu na tunaamini katika dhabihu ya Kristo kila kitu kinabadilika. Neno lake linasema ikiwa tunakiri kwa vinywa vyetu kuwa Yesu ni Bwana na tunaamini mioyoni mwetu kwamba alikufa na kufufuka tutapata uzima wa milele lakini sio maisha tu baada ya kifo bali maisha tele kwa sasa. Dhambi zetu zinafutwa sio tu za zamani, za sasa, na za siku zijazo lakini mizigo yetu na woga pia huondolewa. Mawazo yetu, akili zetu, mioyo yetu, roho zetu hubadilishwa na kuunganishwa na Mungu na tunajua roho yake inakaa ndani yetu. Ukitafuta, omba, na kubisha utajua YESU NI MFALME !!! ANAISHI!
@cathyfredy-xe7rq
@cathyfredy-xe7rq 8 месяцев назад
Mtunzi wa hi nyimbo sasita.. tutakukumbuka daima.. najua upo patakatifu kwa Mungu
@abalindam.gorret275
@abalindam.gorret275 5 лет назад
This song is power to all cells of my body and "soul"..... Increase faith in us Lord!
@deocresdominick3273
@deocresdominick3273 4 года назад
This song is very powerful, it is very deep, thanks Catholic singers, and today it was a part of leading during the mass. Kwakweli Mungu naomba uniongezee Imani
@philipmugagolo2878
@philipmugagolo2878 4 года назад
It's True my sister
@FelixAlbert-hs7ls
@FelixAlbert-hs7ls 3 месяца назад
TYK. This Fantastic music like songs from HEAVEN bleesed me and treat my Heat. amen.
@lucykazohera8621
@lucykazohera8621 2 года назад
Nimebarikiwa sana kwani tunahitaji kuongezewa imani ya kumuamini Mungu na kumtegemea eye tu hasa kwa kipindi hiki mbarikiwe
@maganyarobert7008
@maganyarobert7008 Год назад
Ee Yesu utuongezee Imani tunakuomba
@markfransi22
@markfransi22 4 года назад
Bwana,Tunakuomba utuongezee Imani Bwana. Amina.
@julianabenard3967
@julianabenard3967 6 лет назад
Wimbo mzur xana Bwana uzd kutuongezea iman
@marothijohn7423
@marothijohn7423 4 года назад
Nice and wonderful songs don't have to know the longuege, is fantastic, I listen FROm South Africa in Johannesburg
@venancen.manori5293
@venancen.manori5293 6 лет назад
Pumzika kwa amani Charles Saasita. Ulitumia kipaji chako kumwabudu Mungu kwa nyimbo.
@nasinyamaatassi9540
@nasinyamaatassi9540 5 лет назад
Tuongezee imani Bwana Amen. Asanteni sana waimbaji kwa wimbo huu
@hokabalindile5400
@hokabalindile5400 6 лет назад
Mungu amlaze mahala pema peponi Mr. Charles Saasita , ananibariki mno na nyimbo zake hasa huu wa tuongezee imani Bwana
@delphinrashidnziko1449
@delphinrashidnziko1449 2 года назад
Amen Ukubali kunijalia Imani iweze kunisaidia katika wokovu wangu
@neemacharles9648
@neemacharles9648 3 года назад
Nabarikiwa Sana na huu wimbo,," kwa kipind hiki kigumu Nachopitia,,Amina🙏
@pedromburu7691
@pedromburu7691 6 лет назад
Mwenyezi Mungu akupokee katika ufalme wake...RIP Mwalimu Saasita
@generozphibility4705
@generozphibility4705 6 лет назад
tuongezee iman bwana wimbo mzur sana unanifanya nitafakar ukuu was Mungu mbarikiwe waimbaji
@user-ci6xt6ru3x
@user-ci6xt6ru3x 3 месяца назад
Bwana tuongezee Imani katika maisha yetu ili tuweze kulitangaza neno lako vyema
@naomisila707
@naomisila707 6 лет назад
Kwa kweli Mungu niongezee Imani, bila imani mimi ni bure kabisa...naomba uniongezee imani.
@josephjastineyyugfgggf4900
@josephjastineyyugfgggf4900 4 года назад
Mungu atuogezee imani 2020
@michaelmutuku9142
@michaelmutuku9142 6 лет назад
Wimbo mzuri naipenda.Imani ya bwana ikae nasi daima.Salamu nyingi kutoka Nairobi
@florencemutuku6799
@florencemutuku6799 6 лет назад
Michael Mutuku kwa hakika imani ndio mwanga wa kikristo...keep it up choir master with your choir members for performing tha melody of sympathy..
@altogosbertluhikula9083
@altogosbertluhikula9083 4 года назад
Tuna kila sababu ya kuendelea kumwomba Mungu atuonzee IMANI hasa katika kipindi hiki cha Corona. Kazi nzuri sana kwa mtunzi Dkt David Kacholi na wanakwaya kwa ujumla. Apumzike kwa Amani Mwl.na mpiga kinanda Charles Saasita.
@juliuslyimo6648
@juliuslyimo6648 3 года назад
Hakika wimb huu upon kweny ubora ,waimbaj hongeren sana!
@user-gw8fe2no7e
@user-gw8fe2no7e 9 месяцев назад
Am really proud of Catholic songs they really Touch my heart...
@kamboarheritage461
@kamboarheritage461 5 лет назад
Utulivu ktk uimbaji, ujumbe, melody.. Full gospel yena yenye upako.
@thobiasmongo6104
@thobiasmongo6104 5 лет назад
tuongee imani bwana!!mwl saa sita Mungu akupe mpuziko la milele
@johnmbata7972
@johnmbata7972 6 лет назад
Hakika mbarikiwe nakamwe sitosubutu kuliacha kanisa katoliki Mwenyezi Mungu nipiganie mtumishi wako mkosefu
@neykawishe2265
@neykawishe2265 Год назад
Mbarikiwe xn nice song❤️❤️
@mistiolapaul6923
@mistiolapaul6923 3 года назад
Tuongezee imani ee Bwana kusudi tukuamini uliye pekee MUNGU wa kweli amina
@patrickotim9244
@patrickotim9244 2 года назад
Asanteni sana ndugu zangu wapendwa hasa hasa waimbaji wa wimbo Tuongezee Imani Bwana, ni nzuri sana kwangu kusikiliza na kuangalia. Hasa hasa kama niko kwenye ofisini, napenda kusikiliza na kuangalia wimbo hiyo. Asanteni kabisa mara ngine.
@jacklinafesto1847
@jacklinafesto1847 5 лет назад
Mbarikiwe sana unaniongezea imani zaidi.
@rhodamwita3
@rhodamwita3 6 лет назад
Truely you are the best singers
@agnesmaumenee8592
@agnesmaumenee8592 2 года назад
L'Éternel seul est Dieu ! À lui seul toute la gloire que tous le craignent et connaissent que L'Éternel seul est Dieu au Nom de JÉSUS CHRIST AMEN
@isaacobetel7592
@isaacobetel7592 Год назад
Kazi nzuri sana kwa watunzi wema kwa wito wakuenza injili kupitia nyimbo zetu za katoliki
@kjd4220
@kjd4220 5 лет назад
Niongezee imani mungu muumba mbingu na dunia wakati huu mungu wewe tu ndie unanjua kenye na pitia niongezee imani yesu mungu ni ongezee imani🙏🙏🙏
@marysemufali7011
@marysemufali7011 6 лет назад
Jamani sikujusa huu wimbo ni Wa Ndg Charles Saasita jamani asante maana tuliuimba san shuleni kwetu..Ohh Rest In Peace
@ivanfaustin9717
@ivanfaustin9717 2 года назад
huu wimbo kila nikisikiliza cwez kuzuia machozi !!! eeh Bwana tuonhezee Imani
@renatusthomas4792
@renatusthomas4792 6 лет назад
ni wimbo unanifariji sana mbarikiwe Sana mungu daima nanyi ktk uinjilishaji wenu.
@josephinevitalis954
@josephinevitalis954 4 года назад
Nmebarikiwa sana na wimbo huu
@AgnesMwita-uq9nq
@AgnesMwita-uq9nq 26 дней назад
Naipenda sana dini yangu ya roman catho
@aglipinanaombaunirushueya2976
@aglipinanaombaunirushueya2976 6 лет назад
Nimebalikiwa na wimbo wa tuongeze iman nawaomba nawale wenye vipaji nyakuimba muimbe
@jessyngey1306
@jessyngey1306 6 лет назад
Hukika nafarijika sana kupitia wimbo nimewalisha kwa unoo pia tuongezee iman bwana, mungu awatie nguvu mzidi kumtumikia zaidi na zaid kwa sifa na utukufu wake yeye....amina.
@raphaelmahabusi8649
@raphaelmahabusi8649 4 года назад
Niogezee imani bwana Mimi na familia yangu
@imeldambuya9138
@imeldambuya9138 5 лет назад
Niongezee Imani MUNGU wangu
@belinaathanas6251
@belinaathanas6251 6 лет назад
hongereni kwa uinjilisha mkovizuri ujumbe umepangliwa na sauti zote zinasikika
@janetgenes2075
@janetgenes2075 6 лет назад
Nabarikiwa sana na wimbo hug wakuongezewa Imani mpaka nahis nywele zinasisimka. Mbarikiwe Sana.
@theresiakaruhanga9502
@theresiakaruhanga9502 5 лет назад
Janet Genes ni wimbo mzuri na pia wenye hisia kali
@clemencemganyiz3216
@clemencemganyiz3216 7 лет назад
Kiukwer huu wimbo unanikuna virivyo,Hongera organist kwa upigaji kinanda vzr
@brigitaswai5505
@brigitaswai5505 7 лет назад
barikiwa sana parokia ya changome.mmenifindisha kitu kizuri kwenye wimbo huu tuongezee imani bwana.nawapenda
@sixbertmushi5099
@sixbertmushi5099 6 лет назад
safi
@felisterraphael8470
@felisterraphael8470 5 лет назад
Tuongezee imani bwana!
@cesilianemes5203
@cesilianemes5203 5 лет назад
Nimependa mungu awabari waimbaji hawa wako vizuri.
@patrickotim9244
@patrickotim9244 2 года назад
Mungu Baba Mwokozi wetu mpendwa sana hakubariki ninyi wote mwaka mpya 2022.
@pricillamassawe7608
@pricillamassawe7608 3 года назад
I LOVE MY CATHOLIC FAITH 🙏🙏🙏
@shukuranisarah1755
@shukuranisarah1755 2 года назад
Me to
@stefanonaman9546
@stefanonaman9546 7 лет назад
Bwana utuongezee imani ck zote za maisha yetu hapa duniani
@siamachange3880
@siamachange3880 6 лет назад
Stefano Naman .
@eliekanoel9714
@eliekanoel9714 5 лет назад
NIONGEZEE IMANI BWANA NINAKUOMBA BABA
@esthermbegani7708
@esthermbegani7708 3 года назад
Tuongezee Imani bwana napenda niwe nausikiliza tu Mungu zidi kuwabariki hawa waimbaji 🙏
@saintlady9517
@saintlady9517 7 лет назад
Nimebarikiwa sana na huu wimbo wa tuongezee imani Bwana
@simonmpaki4319
@simonmpaki4319 4 года назад
Hakika tumebarikiwa sana... R.I.P mwalimu Charles Saasita Mtunzi wa wimbo huu uliotukuka
@jamesgachau2566
@jamesgachau2566 3 дня назад
Increase my faith Lord
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 5 лет назад
Am proud to be a Catholic, thank you for your proper encouragement on faith we are Born again
@mayumbaaugustino7803
@mayumbaaugustino7803 5 лет назад
tena iliyo thabiti! TUONGEZEE IMANI EE MUNGU. mbarikiwe sana
@adolfvalentinoshija9939
@adolfvalentinoshija9939 6 лет назад
Naikumbuka siku alipopewa daraja takatifu la Upadre kaka yangu . Tumuombe Sana Baba atuimarishe. ADOLF SHIJA
@marthajaphet3195
@marthajaphet3195 6 лет назад
Ni kwel bwana na atuongezee imán maovu yamezd
@mathewnayingo7712
@mathewnayingo7712 6 лет назад
mie nakumbuka siku ya uzinduzi wa vyama vya kitume yan up wimbo achaa
@maryemmanuel3356
@maryemmanuel3356 5 лет назад
Pumzika kwa amani baba yangu tutakukumbuka kwa mazuli yako kwan kwake tulitoka kwake tutaludi Mt maria Bunda tulibaki na pengo kubwa lisilo zibika
@vincentsila7188
@vincentsila7188 4 года назад
I love this song tena xana yaniogezea matumaini yangu katika kila jambo ninalolifanya
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 года назад
Nyimbo za tz za Catholic so nice
@delphinrashidnziko1449
@delphinrashidnziko1449 2 года назад
Niongezee Imani Bwana Yesu
@danielgarubindi3203
@danielgarubindi3203 6 лет назад
Ee Mungu, usituache hvhv tuongezee imani Bwana Amen.
@florentinamapambaon48
@florentinamapambaon48 6 лет назад
Nice and inspiration song. Nice job; mbarikiwe sana
@edmondkalinde4251
@edmondkalinde4251 4 года назад
Nimesikia utamu sans nikisikia nyimbo iyi tamu. Mungu azidikuongeza vipaji
@delphinamponela5223
@delphinamponela5223 2 года назад
Naomba niongeze Imani Bwana
@paulinem700
@paulinem700 3 года назад
My late dad loved this song. May his soul rest in eternal peace ✌🙏🏽💔
@harrietkmoindi1572
@harrietkmoindi1572 Год назад
😭😭😭😭
@harrietkmoindi1572
@harrietkmoindi1572 Год назад
Several years later I camp here In hoope
@mcdee200
@mcdee200 Год назад
@@harrietkmoindi1572 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@maliinathan4831
@maliinathan4831 5 месяцев назад
May he rest in peace
@elizabethjoseph7292
@elizabethjoseph7292 5 лет назад
Tuongezee Imani BWANA, wimbo unahisia kali na ni mzuri
@pelayobobeche6696
@pelayobobeche6696 5 лет назад
La musica celestial debe unir a todos los pueblos de la tierra gracias a Dios.
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 4 года назад
Tuongezee imana BWANA Imani ujumbee mzuri sana MUNGU awabariki sana 🙏🙏👏👏👏
@petermeliyo4404
@petermeliyo4404 4 года назад
Eye. Yesu. Tuongezee. Imanl ktk maisha yetu ya kiroho na imani katika maisha yetu hasa pale tunapokumbana na mazingira yenye changamoto
Далее
skibidi toilet multiverse 039 (part 1)
05:29
Просмотров 5 млн
NYIMBO NZURI BIKIRA MARIA
1:11:28
Просмотров 64 тыс.
CATHOLIC MUSIC MIX
3:28:08
Просмотров 3,5 млн
NYIMBO ZA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU - 2024
22:56
Просмотров 36 тыс.