Asanteni wakristu wa katolika kule nchini Tanzania. Hongera mwaka mpya Elfu mbili isirini na mbili. Tafadhali nafurahia nyimbo zenu nzuri sana wa kanisa ya katolika. Mungu Baba hawabariki. Amina.
Mtunzi Mwalimu Bruno Seif Mpepeo aliwahi kufundisha hesabu Mzumbe High School, na pia alikuwa mwalimu wa Kwaya ya Mtakatifu Augustino Parokia ya Mzumbe. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Namshukuru Mungu kumtumikisha Mwl Mpepo BS.Nilimsikia akiongoza kwaya pale Mzumbe parokiani akitoka Mzumbe SS,tulisikitika alipohamishiwa mkoani Kigoma(Mwandiga SS)baadae akahamia Katumba SS.Utumishi wake ukaishia pale.RIP Mwl Mpepo,sauti yako iliinua nyoyo za Wanamzumbe the late 80s and early 90s.
Nikiangaliaga napadre Nashukuru Mungu sana kwa ajili yao. Wamefanya maamuzi magumu ya kuishi maisha tofauti kabisa na kumfuata Yesu ili kuifanya yake. Tuwaombee na kamwe tusiwahukumu wanapoanguka . Eeh Yesu nisamehe pale nilipotoa kauli dhaifu juu ya watumushi wako hawa na uniongoze nisirudie tena.
I’m publishing a weekly RU-vid video on episodes from the life of Don Bosco, entitled ST JOHN BOSCO by JOE ZAMMIT. In this series I’m narrating events and miracles from the splendid life of Don Bosco. St John Bosco used to perform a miracle almost every day, through the intercession of Mary Help of Christians. From the lives of saints we can learn how to love God more and draw closer to him. Thank you
Kweli nimemuona Bwana Yesu kupitia Wimbo huu.... big up kwa Mtunzi.... naipenda imani yangu ya UKATOLIKI najivunia Viongozi waadilifu na waelewa Mungu aendelee kuwalinda
Paulo alikua akitombwa kanisan na lusifaa kisha vipi unakubali dini kma hio yakishetan. .yesu huku jnga kanisa wala Hakuenda kanisan vp ninyi muko na kiherehere cha makanisa
Bwana amenituma kuwahubiri mataifa Bwana amenituma mimi Bwana amenitia mafuta kuhubiri abari njema asante sana kwa maneno ayo yenye umuhimu katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Kila Asie msujudia mungu Amelaaniwa namungu. ...ukirsto nidini yamashetan. ..bibilia ishasema kanisani kuna kiti cha enzi cha shetan. Ikasema tena waliolala kwenye ukiristo wamepotea. Ikasema tena yesu Alikua Akienda misikiti Akiabudu mungu wake. ...Munaenda kufanya ninini kanisani kwa shetan? ? ? ? ? Shetan Ataendelea kuwamiminia maji yake machafu kwamikundu yenu musio msujudia mungu nikazi yashetan kuanzia zamani kuwabaka wanaadamu wasio msujudia mungu. .. Jee ww uko tayari kumiminiwa maji machafu yashetan kwamkundu wako Kila siku uciku??????? Shetan Hana huruma nawatu wasio msujudia mungu. .. Ukirsto nidini yamashetan walio kuja nawo wazungu Afrika. Shetan mshenzi sana Anataka wanaadam wote wasimsujudie mungu. Mungu nae Anataka watu wote wamsujudie yeye.ndio waislam wanamsujudia mungu... Makundi mawili moja lashetan wasio msujudia mungu.namoja lamungu linalo msujudia.....
I’m publishing a weekly RU-vid video on episodes from the life of Don Bosco, entitled ST JOHN BOSCO by JOE ZAMMIT. In this series I’m narrating events and miracles from the splendid life of Don Bosco. St John Bosco used to perform a miracle almost every day, through the intercession of Mary Help of Christians. From the lives of saints we can learn how to love God more and draw closer to him. Thank you
Niache na imani yangu fuata yako nami nafuata yangu wewe hijawa Mungu anaye hukumu kwa haki kama wasema moto unanisubiri sintaenda motoni utaenda wewe unaye hukumu kuonhilia kazi ya Mungu
eee mungu tunakuomba ulijalie kanisa katoliki hekima ,na ulitie nguvu siku zote na uwajalie watumishi wako hekima katika kazi zao na utujalie moyo wa kukutii wewe mungu wetu ,tunaomba hayo kwa njia ya kristo bwana wetu.amina
Wakati ambapo Wazazi wangu na marafiki zangu wako against Mimi kujiunga na shirika ili niwe mtawa,huwa naimba huu wimbo na tiwa moyo nguvu ya kuendelea na wito wangu
I’m publishing a weekly RU-vid video on episodes from the life of Don Bosco, entitled ST JOHN BOSCO by JOE ZAMMIT. In this series I’m narrating events and miracles from the splendid life of Don Bosco. St John Bosco used to perform a miracle almost every day, through the intercession of Mary Help of Christians. From the lives of saints we can learn how to love God more and draw closer to him. Thank you
Ivi naitaji kufahamu,kanisa Romani katoliki ndy kanisa kuuu duniani sasa wameweka misingi gani kwa awa wanaofungua makanisa mengine madogo,au wenyewe wakikosea mungu atawaukum,maana makani mengi sasaivi ndy yaalibu maadiri ya jamii zetu,1,kuvaa nguo zauchi anapoenda kwenye ibada 2, wachungaji kuubiri sana kutoa sadaka kuliko mafundisho mengine ya kuishi kwa kumpendeza Mungu 3,kuwa waoga kuongea maagizo ya mungu kupitia maandiko yake na kuongera sadaka sadaka sadaka 4,kutomsaria mtu aliekua afanyi ibada kipindi anapofariki,je niaki mwanadamu unaweza kumuukum mwanadamu mwenzako 5,kwanini atufundishwi bibilia wakati wa ibada,pia wangefungua vuo vidogo vidogo va mtaani ili watoto wakue kwakumjua mungu,kupia maandiko yake ya bibilia. Aya yote nilitamani nipate majibu maana kwanini wanakwepa ukweli.