Тёмный

TUSEMEZANE PART 15 | MCH. RICHARD HANANJA AVUNJA MBAVU WALIOSHIRIKI MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 

RUMAFRICA
Подписаться 345 тыс.
Просмотров 1,2 млн
50% 1

MCH. RICHARD HANANJA AVUNJA MBAVU WALIOSHIRIKI KONGAMANO LA WANANDOA YAANI MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2022 ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA IJUMAA 11.03.2022

Опубликовано:

 

20 мар 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 478   
@walawioutreach4055
@walawioutreach4055 2 года назад
hii inadhihirisha kwamba kweli kkkt wana hazina ya watumishi mahili na makini katika NENO.BARIKIWA MCH HANANJA.
@alipipimapunda9927
@alipipimapunda9927 2 года назад
Kabisa! Mgogo, kimaro, mwakasege ni miongoni mwa mazao ya kkkt
@johnmoses2345
@johnmoses2345 4 месяца назад
Mungu abariki kazi yako askofu, maneno ya kutia moyo, kukomboa na kuendeleza ndoa.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 года назад
Dah, hii karama na kipawa cha ajabu sana, Mungu ana hazina ya watumishi wa kila aina, unanibariki siku zote, sichoki kukusikiliza
@magrethilomo6065
@magrethilomo6065 Год назад
Umeimeza biblia,unanibariki sana,Mungu anisaidie niwe msomaji wa neno la Mungu
@moseswanaswa5370
@moseswanaswa5370 5 месяцев назад
Aki ananibariki sana bibilia iko kwa kichwa
@patientlazaro6930
@patientlazaro6930 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 duuuh pastor Ananja ubariiwe sana hahahaahaaa unaongea ukweli na kuponya mioyo ya watu hii style tofauti kiukweli Mungu anawatumishi wa kila aina.
@davidwainaina3899
@davidwainaina3899 Год назад
I'M from Kenya 🇰🇪,nawasalimu nyote ndugu zangu kutoka Tanzania, Mungu awabariki sana
@alexmwalingo5020
@alexmwalingo5020 Год назад
Asante ndugu
@Ohhvio
@Ohhvio Год назад
Ameeen Asante ndugu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Amen karibu 🤝
@LuckyBoy-pp2md
@LuckyBoy-pp2md Год назад
Ameeeeeen
@thomaskiokowanguu7620
@thomaskiokowanguu7620 Год назад
Wote sio nyote
@KahindiSamuel-pr3zy
@KahindiSamuel-pr3zy 2 месяца назад
Mungu akubariki mchungaji wafundisha vizuri mungu azidi kukupa uhai naomba siku Moja ufike Mombasa watamu malindi mubarikiwe watumishi wa tanzania
@jeniffermasha2540
@jeniffermasha2540 2 года назад
Yaan nafurahia Sanaa mafundisho yako mchungaji,,,hongeraa sana kwako,,ulindwe Na utunzwe pamoja na kipenzi Chalo,,,I love you so muchiooo,, from Kenya
@richardmollely2933
@richardmollely2933 2 года назад
Pas richard mungu Akibariki kwa neno niko Arusha ubarikiwe baraka zake mungu
@othmanhamad7887
@othmanhamad7887 2 месяца назад
Kwny uislamu kuna mashekhe hata km co muislamu utawackiliza kwa jinc mafundisho yao wanavoyatoa na pia kwny ukristo wapo ambao hata km co mkristo utawackiliza tu mafundisho yao,huyu mchungaji Hananja yupo vzr sn.
@user-zt3ug9wv7f
@user-zt3ug9wv7f 6 месяцев назад
Huyu mchungaji yupo vizur sana nimependa mafundisho yake ,much love ❤️ from kenya 🇰🇪
@johnachuka3597
@johnachuka3597 2 года назад
Nipate sehemu yangu na naomba mungu anipe ufahamu zaidi niweze kutunza ndoa yangu,Niko Kenya
@bonifacebeatrice3981
@bonifacebeatrice3981 Год назад
Mungu ampe maisha marefu Pastor: Richard Hananja🙏❤️🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿
@bonifacebeatrice3981
@bonifacebeatrice3981 Год назад
AMEN 🙏❤️🥰 nawashukru mno 👏❤️ utukufu kwa Bwana Yesu Kristo pekee
@thedreamer3991
@thedreamer3991 8 месяцев назад
Im willing to invite the man of God to our church in Kenya Wonderful preaching. May God bless you
@moseswanaswa5370
@moseswanaswa5370 5 месяцев назад
Do that I will attend pliz
@user-yw8sf5op9h
@user-yw8sf5op9h 10 месяцев назад
Mungu,,,ukimuheshimu,kilakitu,ni,baraka,mfano,ndoa,wenye,ndoa,wote,tumuheshimu,mungu,amen❤❤❤
@andrewandrew2606
@andrewandrew2606 7 месяцев назад
Hakika Mungu ni mwema kwetu kila wakati...katika NENO Lake kuna Kila Kitu...barikiwa sana Mch.
@eliuslubida5457
@eliuslubida5457 5 месяцев назад
Mungu wetu azidi kukuinua zaidi mch. Hananja kwa jumbe hizi zenye baraka kwa familia be blessed.
@imanuelzakayo7472
@imanuelzakayo7472 2 года назад
Daaaah hadi nimejisahau kuwa natumia mb ubarikiwe sana mch richi
@fortunathajohn9745
@fortunathajohn9745 Год назад
😃😃😃😃😃yaan ni noma
@KaloleroOmbeni-fe2jo
@KaloleroOmbeni-fe2jo 11 месяцев назад
Akwnn kutoka Congo DRC nawapenda sana MUNGU awabariki wachungaji wa tanzania wote.
@rebeccamsangi3189
@rebeccamsangi3189 Год назад
Unanibariki Sana mtumishi wa Mungu Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu Zaid🙏
@dafrozachalukula9745
@dafrozachalukula9745 2 года назад
Kama Kuna mtu anao a kipaji kingine Cha comedian kwa huyu mtumishi, gongalike yako!
@christinabiyengo2955
@christinabiyengo2955 2 года назад
Hazina ya maneno ya Mungu unayo baba! Mungu akutunze
@patrickkishama5629
@patrickkishama5629 Год назад
We mzee noumaa
@pascal4540
@pascal4540 6 месяцев назад
Nimelpenda sana mahubiri ya mchungaji hananja Mungu akubariki ❤
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 года назад
Saluti kwako mchungaji kwa kufanikiwa kuyajua maandiko vilivyo!
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Год назад
Very enteresting Emen 🙏 Mungu awatunze
@kangetafortune3746
@kangetafortune3746 Год назад
Mwenyezi Mungu akubariki sana mtumishi, nafurahia mafundisho haya, iwe baraka Kwetu sote.
@josephkidibule1509
@josephkidibule1509 2 года назад
Asante mchungaji kwamafundisho mazuli sana nimejifunza kitu kutoka kwako
@godfreymagessa786
@godfreymagessa786 2 года назад
Hakika mchungaji Bwana amalileta wakati na kipindi sahihi kutuelimisha tulio dhohofu mioyo barikiwa Sana na uwe na Maisha mareeeefuuuu Ameen
@jeffyjeffy9882
@jeffyjeffy9882 Год назад
Asante sana mtumishi
@silasmeshilieki2975
@silasmeshilieki2975 2 года назад
Hakika nami nimepata package yangu ya kutosha, Mungu azidi kumtunza Mtumishi wake Mch. Richard Hananja
@franciscahmuli8230
@franciscahmuli8230 Год назад
M
@edwingichobi1657
@edwingichobi1657 2 месяца назад
Mahubiri huyu hupatikana wapi Tanzania? Asante sana na Mungu akubariki sana Mchungaji.Watanzania mimebarkiwa Sana kuwa Mchungaji Hananja.
@davidlamai880
@davidlamai880 4 месяца назад
Am from Ndaptabwa Kipsimo Country 48 kenya. This man is a great man. Be blessed
@doreenkazungu2494
@doreenkazungu2494 Год назад
Mungu akubariki mchungaji.much love from Kenya 🇰🇪
@salhabeautybashiru8393
@salhabeautybashiru8393 Год назад
Anae amini hii ndoa wameishi mpaka wAmefanan like pleas
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 2 года назад
Njoo kanisani kwetu jamani unanifurahisha sana mtumishi
@lesliesolomon3624
@lesliesolomon3624 3 месяца назад
Riiiich Joseeee,Mariiii aaah,Chariiii ty🎉🎉🎉🎉Sauti ya chumbani na sebuleni🙏
@mrematvbabakoku8336
@mrematvbabakoku8336 2 года назад
Mtumishi nayakubali sana mahubiri yako. Ningependa sana kUjua taratibu zakuhudhuria ibada zako namimi nije
@wycliffeoduor3835
@wycliffeoduor3835 5 месяцев назад
mahubiri yenye msisimko kutoka kwa man of God asante brother kwa mafundisho.
@isayamwirigi1866
@isayamwirigi1866 2 года назад
Mafundisho mazuri karibu Kenya 🇰🇪
@deodatusantony9483
@deodatusantony9483 Год назад
Namkubali sana HUYU mchungaji dada anamambo ya kuelimisha sana ubalikiwe mchungaji
@mwanaidijuma-bu9yv
@mwanaidijuma-bu9yv 3 месяца назад
Pastor Hananja unavunja watu mbavuu sana jamnii hhhhhaaahahahaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kevinoswago907
@kevinoswago907 7 дней назад
Mafundisho halisi na ya kweli kabisa...asante sana mchungaji Hananja ubarikiwe 👏👏👏
@Mshamba_Art
@Mshamba_Art Год назад
Maashallaaah!ujumbe mzuri nimeupenda..hongera kwa muhubiri
@aiyasageo2572
@aiyasageo2572 Год назад
Kama wakenya Mpo gongeni Like. Nimependa hilineno. Mungu ambariki mchungaji Hananja.
@rehemahamadi6774
@rehemahamadi6774 Год назад
Nimebalikiwa Kwa neno lake mch: hananja🙏
@user-in4qv7dw9q
@user-in4qv7dw9q 8 месяцев назад
​@@rehemahamadi6774❤😊jdn,m.6..(
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 Год назад
Hakuna haibu ktk mafundisho ya Dini Mungu akubariki.
@heavenlight5084
@heavenlight5084 2 года назад
Amina mtu wa MUNGU, kweli huu ni ujumbe mzuri sana barikiwa sana mtu wa MUNGU
@hawamjungu3396
@hawamjungu3396 Год назад
Jamani mchungaji huwa anachekesha mungu amumbaliki sana
@wilper6318
@wilper6318 18 дней назад
Paster Hananja, Neema juu ya Neema, ikifika muda WA me kuwa na mume, hii itakuwa ndiyo fundisho kubwa🎉
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 Год назад
Mungu akubarik sana nikiwa na masters huwa yanatoka nafurahi sana mtumishi
@kenedrocky5964
@kenedrocky5964 2 года назад
MC Hananja unanivunja mbavu mzee wangu. Duh!!!! Umenishinda tabia.
@davidlamai880
@davidlamai880 4 месяца назад
So touching Hananja awakusa kweli myioo zetu. God bless
@beatricenyenza6291
@beatricenyenza6291 Год назад
Ubarikiwe mchungaji hananja. Nimepima kwa neno lako
@kemnick8144
@kemnick8144 Год назад
Mafunzo mazuri sana, watching from🇰🇪 Kenya
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Год назад
Mchungaji DR. Hananja Mtaalamu wa kutumia vema Tafsida "Hajila akatuletea Boko Haram na Al-shababu" Hongera Baba mchungaji.
@sirpleasureb
@sirpleasureb 2 года назад
yuda 1:23 na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto; na wengine wahurumieni kwa hofu, mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili.
@godfreymhando3248
@godfreymhando3248 Год назад
Asante Sana mchungaji kwa kutuzidua akili zetu wachungaji (wengine)wakokimaslahi zaidi
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 Год назад
Asante Baba mchungaji kwa mafundisho mazuri huwa unanibariki sana
@kevinkania3795
@kevinkania3795 Год назад
Much love from Kenya we love you Hanaja may God bless you you've been of great blessings to us man of God
@zamirujuma4485
@zamirujuma4485 5 месяцев назад
Nomaaa
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 2 года назад
Dah aisee, raha sana nchi hii
@alfredntazana3899
@alfredntazana3899 2 года назад
Mungu akubariki mtumishi asante kwa mafundisho nazuri nakupenda sana Neema wangu
@benardokumu5811
@benardokumu5811 2 месяца назад
You are my pilot in this flight of life. One of the most inspiring prophets of today
@anithaboniphaceshola3779
@anithaboniphaceshola3779 Год назад
Amina mchungaji umenivunja mbavu na umenifundisha
@lucyngowi1299
@lucyngowi1299 Год назад
Kuna vipengele muhimu anavyosema huyu mchungaji ni nouma
@ZAMYLFILM
@ZAMYLFILM Год назад
Mashaallah Allah akupe afya na uzima na Allah akujaalie uwe muislam inshaallah, napenda Sana unavyohubiri ningejiskia faraja ukiwa muislam Allah asikufishe kabla yakuwa muislam.
@benardshayo3886
@benardshayo3886 Год назад
🤪🤪🤪🤪🤪
@AnwarySaid-lj2ve
@AnwarySaid-lj2ve 9 месяцев назад
Huyu ndio mwalimu wa dini but yeye anafundisha tu,
@saurasoso1543
@saurasoso1543 2 года назад
Nakuona Thea bongo movie barikiwa
@jmubs95
@jmubs95 Год назад
Mchungaji karibu Kenya 🇰🇪 Nimebarikiwa sana.
@ministerDavidemanuel6729
@ministerDavidemanuel6729 9 дней назад
mungu kunauamusho mkubwa anauleta maana anasema utukufu wa mwisho utakuwa mkubwa sana hivo basi ukiona watu wanamwabudu mungu kwa sana na maombi ya mkakati juwa mwana waadamu yukalibu kuludi
@mutulasamandar25
@mutulasamandar25 2 года назад
mukuu muchungaji wa mulima wa moto niunganishe nautukufu wa Mungu uliyo hapo ili Nami nivute hewa zuri' kama mafundisho nikashuhudiye mafundisho mazuri iliyo hapo mimi ni mwanafunzi wa vipindi vyote vya kanisa mulima wa moto'
@jerryjuma1339
@jerryjuma1339 2 года назад
may GOD bless you man of GOD
@gavoswain6993
@gavoswain6993 Год назад
Kenyans are impressed with your ministry
@user-cj4ht2kp2o
@user-cj4ht2kp2o 10 месяцев назад
Huyu mzee hatar mungu ampe maisha marefu tuendelee kufurahi😂
@salumuseif3324
@salumuseif3324 2 года назад
Mzee una madini mengi mungu akubariki amen
@roselyneisiyee1436
@roselyneisiyee1436 7 месяцев назад
Ushauri mwema na wa manufaa kwa jamii na ndoa zetu !!!!
@felixjuma381
@felixjuma381 2 года назад
Nimejifunza,asante saana mchungaji.
@mussampalo9454
@mussampalo9454 2 года назад
Unapatikana wapi mchungaji? Mimi na mkewangu tunaitaji mahubili yako
@agripinah6011
@agripinah6011 2 года назад
god bless you mtumishiiii nimependa mafundisho mazuri sanaa
@lilianmeja7615
@lilianmeja7615 9 месяцев назад
Bwana yesu asifiwe, Mme wangu ni mlevi akija nyumbani hunigombanisha nifanye nini ili kuepukana na hizo kelele?
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 Месяц назад
Asanteeeeee🙏🙏🙏🙏🙏hakika upwekwe ni M'BAYA sana,barikiwa mtumishii
@japhetowoya9505
@japhetowoya9505 2 года назад
🤣🤣🤣🤣namkubali sana uyu Pastor
@raujohn8238
@raujohn8238 2 года назад
mimi nina kukubali sanaa mchungaji Ananja 😂😂😂😊
@user-vr6nm4fc3c
@user-vr6nm4fc3c 5 месяцев назад
Honger san mchungaji hananja kwa kipiji chako
@renathakisso1827
@renathakisso1827 2 года назад
Nimebarkiwa sana mungu azidi kukulinda
@ShidaKazungu-tp8ld
@ShidaKazungu-tp8ld 3 месяца назад
Ubarikiwe sana pastor mungu akubariki sana mungu akuzidishiye maisha marefu sana pastor
@freshman9913
@freshman9913 2 года назад
Mungu akubariki sana mchungaji richard
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 Год назад
Asante sana. Mtu wa tatu ni noma.
@mugirejoseph3312
@mugirejoseph3312 2 года назад
Mch namukubali anamistali atal
@barakakatana5398
@barakakatana5398 Год назад
I'm Blessed, na mchungaji Mungu azidi kukutumia
@kibetndiwa9550
@kibetndiwa9550 Месяц назад
Mwenyesi Mungu akubariki mchungaji...
@BarakaMerere
@BarakaMerere 2 месяца назад
Mungu ambariki mch hananja kwakazi zuri Mungu amtunze na Aisha milele
@Wakwetujitu
@Wakwetujitu 2 года назад
Nimefurahi Sana mchungaji ubarikiwe Sana Sana
@denisjohn2015
@denisjohn2015 2 года назад
Akina mama angalieni mavazi ya kuvaa kanisani mnavaa matiti show sana
@yohanamlekwa3534
@yohanamlekwa3534 2 года назад
Ndo ulicho kuwa unaangaria, wazizi utawajuwa tu, ndo ww
@cresensiakimaryo9602
@cresensiakimaryo9602 4 месяца назад
Hpo c kanisan
@magrethgeorge6749
@magrethgeorge6749 2 года назад
Ubarikiwe Sana mchungaji ,
@gidionmibaluro7085
@gidionmibaluro7085 2 месяца назад
Barikiwa sana....nmejifunza mengi ...bwana apewe sifa
@user-fn5yz3hy1g
@user-fn5yz3hy1g 3 месяца назад
Asante mchungaji unavunja mbavu na mafundisho mazuri ubarikiwe
@JosephSimiyu
@JosephSimiyu Год назад
Barikiwa mchungaji kutoka Kenya
@dominicblass4319
@dominicblass4319 Год назад
Tyk mch, nakutakia huduma njema,mungu azidi kukutia nguvu.dominic b, Tluway
@user-zo2ni1kg3f
@user-zo2ni1kg3f 6 месяцев назад
Am blessed with this man of God.
@innocentrichardnsengiyumva1068
Ubarikiwe sana mchungaji Hananja.
@jacklinekaburu5394
@jacklinekaburu5394 Год назад
Much love from Kenya 🥰🥰 Am blessed 🙏
@victarsanga4174
@victarsanga4174 Год назад
Gh
@kibambavictor
@kibambavictor Год назад
mhubiri kama mhubiri😂😂😂😂😂😂
@margarethkamugisha6430
@margarethkamugisha6430 9 месяцев назад
Greetings n love in Jesus, from Tz
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 7 месяцев назад
😂😂😂
@nimahnoizy8068
@nimahnoizy8068 Год назад
Huyu mzee ata una stress mskilize tu lazima ukae sawa
@aldovickbakunda
@aldovickbakunda 10 месяцев назад
Mchungaji asante kwa ujumbe mzuri tumepona
@edwardkisoma5968
@edwardkisoma5968 2 года назад
Amina sana
@user-zr8ow8cp6b
@user-zr8ow8cp6b 5 месяцев назад
Mungu akubariki zaidi ya sana
Далее
#kikakim
00:31
Просмотров 10 млн
NOOOOO 😂😂😂
00:15
Просмотров 6 млн
MCH. HANANJI | "DIAMOND, SHOLO MWAMBA NI WATOTO WETU"
37:38
#kikakim
00:31
Просмотров 10 млн