Dr haya nimekuwa nikimwambia mno mume wangu,hatuvai vzr,hatuli vzr hela zote tunajenga majumba,kitu ambacho naona tutayaacha tutakufa mapema,hatujawahi ht kuenjoy chochot,na mbinguni hatuingii pia.maan hatukuwa na mda na Mungu pia
Mauki sema sema usiogope,,unaniongelea Mimi na mme wangu,alinikimbia akaoa na akazaa,nilipompeleka balaza la kata tupeane taraka sukari ilipanda Sana akawa magonjwa!!
Ahsante saana pastor sisi wanawake tumefundwa na kla tukijaribu kuwafanyia wa mme haawaerewi kabisa sio katika tendon la ndoa sio heshima Wala v Chochote unafka wakati nawaza fundisheni wanaume saana ndoa nakuishina wake zao
Chris I learn from a friend that, let ur girls children to have of their father's touch and keep close to their daughters. Men's always they know many mistake they did and always share direct or indirectly to their daughters. I full concur with you we need to prepare our boys to the new empowered women. Review of bejiin aftermath and recorrect where we are heading wrong from family level
Ukitangulia mbinguni maisha uendelea tu, so wazee acha pressure nyingi za kutafuta hela nyingi, huku watoto wakifuta bhangi. Kwa eulorogy ni watoto uandikwa tu sio mali, chunga husi Rest in peace unaachia mama watoto bonoko aki,,,
Habari za apa ...naomba mnifunze jinsi ntachukua hii vidéo...imenifunza kitu kikubwa. Kisha docteur wetu mtu anakuaga na maswala ya private anakupata aje? Asante Mungu akubariki