Pamoja sana kamanda hapo umenifungua sana maan nilikuwa nashindwa nikimbilie wap kati ya QLED na OLED pia upande wa neo QLED na OLED evo tunaomb utufafanulie hapo pia tunaomba utufungue kuhusu sound bar ni zipi ni bora zaid kati ya BOSE,SONOS,SONY,LG,JBL,SAMSUNG