Тёмный
No video :(

Twaha Kiduku_Marhaba_Official video 

KIDUKU TV
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 296 тыс.
50% 1

A song about love that one can appriciate the love is given by his or her lover
(KISWAHILI) Ni wimbo wa mapenzi ambao unaonyesha kukubali na kushukuru kwa mapenz unayo pewa na mpenzi w
.

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 781   
@ismailrajabu472
@ismailrajabu472 Год назад
Ngoma safi ije huku kwenye ngoma kali 10 za wiki
@edwinfelix6298
@edwinfelix6298 Год назад
Bonge la ngoma
@Tanga_father940
@Tanga_father940 10 месяцев назад
Naona twaha unaanza kumkimbia mwakinyo taratibu, ila safi sana ngomakali umetishaa
@amirikiponda3993
@amirikiponda3993 Год назад
Hapo utafeli Kiduku acha tamaaa!!! Baki na ngumi huko waachie wabana pua!!! Unajua kwa Nini fisi ana miguu mirefu na mifupi ???! TAMAA.
@rajanamzah6383
@rajanamzah6383 Год назад
Ebwana eee iko vzr sana kumbe mkongwe mpaka huku
@karimumnenga749
@karimumnenga749 Год назад
Umemsaau nadonga angekuepo ingekua bonge la ngoma sema uko poa ngoma Kari sana
@Officalnaph
@Officalnaph Год назад
bonge la KIITIKIO safi bonge moja la nyimbo
@chaleboymusician528
@chaleboymusician528 Год назад
Upo vizuri unamfunika hata huyu anaejiita tembo
@thefuntheatre9552
@thefuntheatre9552 Год назад
Ngoma kali sema ungechana ungetisha kinoma..nilivoona nilitegemea itakuwa ya kibabe flani hvi.
@frankphocaskabuhaya7399
@frankphocaskabuhaya7399 Год назад
Iyo bit ya wimbo wa alikiba mbio sema ngoma kali
@emmatheboy7984
@emmatheboy7984 Год назад
Kuimba ujui ukweli kusema fokasi kwenye ngumi
@abbassalum6824
@abbassalum6824 Год назад
Good yote ni ktk utafutaji ili maisha yaende Pa1 san
@yasinabdul5429
@yasinabdul5429 Год назад
Kuimba tunaimba ukituzingua nakupga tuna piga mwamba kaimba anajuaaa sanaaaa
@MuffyDollars
@MuffyDollars Год назад
ukija nondo unakaa...ngumi unafyekwa kabisa,,mziki ndio balaaaaa...kiduku mojaaaa
@josephmakonga3201
@josephmakonga3201 Год назад
Kweli warugulu kwa kutafuta pesa mko vizuri mzee kuigiza wewe ngumi wewe kuimba ww.moro big up.
@akidakombo259
@akidakombo259 Год назад
Bro tarent ipo ya kutosha uku tunawapiga vitasa vikitulia tunawapa burudan ✌️✌️✌️🐘💪💪💪
@1c4ujr11
@1c4ujr11 Год назад
Aseee usanii wa kuimba kumbe ata sio kazi kiivyo.. Ngoja na mm niingie chimbo
@MrusiMweusi
@MrusiMweusi Год назад
Kama vile sio nyimbo ya kwanza💪💪💪🙌🙌🙌🙌🙌
@flomenastephen2226
@flomenastephen2226 Год назад
Iko vizur unamjua kira kituuuuuu daah mwaba huyu hapa showshow
@sadamramadhan9887
@sadamramadhan9887 Год назад
Kumbe twaha kiduku msaniii umeuwa saana ila ungemushirikisha mandonga
@ramaspain5024
@ramaspain5024 Год назад
Amelelewa ktk mapenz ya dini leo kawa. Mpuuzi wa dunia. !! Mungu amfahamishe hata baba yake alipo huko hawezi kuridhika na hili
@silvernayzer4107
@silvernayzer4107 Год назад
Duuuh HONGERA BROTHER TWAHA UNAIMBA KAMA CHEGE CHIGUNDA
@tedysonmsigala3726
@tedysonmsigala3726 Год назад
Morogoro unatuwakilisha sanaa unajua kipaji boyy
@saidramadhan71
@saidramadhan71 Год назад
Ongera sana twaha kiduku umejaribu sana
@oissaomary7458
@oissaomary7458 Год назад
Ngoma Kari ivi umetunga mwenyewe au umetungiwa kwa sababu ngoma Kari ungemshirikisha mandonga ngoma ingevuma sana siku nyingine ujiongeze,
@peninacharles9757
@peninacharles9757 Год назад
Ngumi mbaya Sana kiduku kashaanza kuwa chizi
@hamadimakopo1818
@hamadimakopo1818 Год назад
Tupo nyuma yako kiongozi. Ngoma ijayo mtumbukize Mandonga m2 kazi.
@cleartzboy
@cleartzboy Год назад
Dua show show mi nakukubali haunaga maringo kama yule mrembo watanga
@mwinyiswalehe9564
@mwinyiswalehe9564 Год назад
Hii ni Hatarii na nusu Twaha umetisha snaaa
@user-uc6ez8dn2x
@user-uc6ez8dn2x 3 месяца назад
Jun safi sana kwakidongeiko gd
@mwendokasi90
@mwendokasi90 Год назад
Oya Twaha minakuelewa sana kwenye Bendera chuma mlingoti chuma ,, Yann Shoo!! Shoo !! Ila huku mwanangu utanisameh amin kwamba hata uwe kama Mond au nan!?? No msimamo wangu uko pale pale .
@jacksonchristopher6310
@jacksonchristopher6310 Год назад
Kama kweli umeandika wewe kipaji nakiona kipo sana tu
@eliakimdaniel3748
@eliakimdaniel3748 Год назад
shika jambo moja achana na vitu vya ovyo , unafanya kazi ya kiume tena unaenda kuimba kiraini kabisa
@paulomaona2466
@paulomaona2466 Год назад
Ngoma Kali video Kali melodi yenyewe big time br
@kelvinanderson1620
@kelvinanderson1620 Год назад
Mshirikishe na mandonga ngoma ijayooo kakaaa
@christopherfanuel9002
@christopherfanuel9002 Год назад
Kaz kaz,,, talent unay 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@basiaarsh3835
@basiaarsh3835 Год назад
Hii ngoma ungemshiri kisha mwaikinyo ndo ingekuw show show
@theobizzo8167
@theobizzo8167 Год назад
Ingekuwa collabo na mandonga ingekuwa unyama sana
@harunaemanuely6526
@harunaemanuely6526 Год назад
Daaah ila huyu mwamba ni shida💪💪💪💪💪
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Год назад
Big up Sana Bora uingie huku maana hayo mangumi usije ukawa matumla hata kuongea vizuri hawezi kutokana na ngumi za kichwa.
@zabronsamwel2688
@zabronsamwel2688 Год назад
Duuiii kumb unavipaj vingi brother kazaaaa
@juliussimba4130
@juliussimba4130 Год назад
Pamba mungu atabless
@bestmedia_tz
@bestmedia_tz Год назад
Kaka Na huku uko vizuri mwaka umeisha kwa burudani kweli
@abdurahimmwakibinga5318
@abdurahimmwakibinga5318 Год назад
Kweli kabisa mandonga angenogesha sana
@godblessyexaudnkyale20
@godblessyexaudnkyale20 Год назад
Samini machoo yangu twaha kiduku on this
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Год назад
Haka wapi hukuuu si tulikubaliana tuishi kwenye ngumi tu ,, olu ini olu angefanya korabo na mandonga goma lingehiti mnoo 🤗🤗🤗
@nicholausmwinuka7640
@nicholausmwinuka7640 Год назад
Bomba bomba twende kazi
@danielimusa7601
@danielimusa7601 Год назад
Mwamba huyu hapa ndyo boxing ninaemkubari yani maisha yote na dua zangu za kheri ziende kwake sikuzote.. Oya kiduku %% mkali wangu. Eeeh wataelewa tu.
@kidukutv1020
@kidukutv1020 Год назад
🙏💪
@petersamson9975
@petersamson9975 Год назад
Salute kwako kaka
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 Год назад
Vinanda kama THE RENEGADE safiiiiiii
@speciallvoice8091
@speciallvoice8091 Год назад
Kumbe kuimba Ni kitu lahis siku Iz pka inafikia watu wanaacha fani zao kuvamia za watu
@catherinemhecha7225
@catherinemhecha7225 Год назад
Hujui kuimba twaha asante kwa kushiriki
@ismailrubaha9530
@ismailrubaha9530 Год назад
Nice my family hatunaga fani moja
@emmanueldonath4399
@emmanueldonath4399 Год назад
Shoo shoo mwamb katisha sana
@meshaqkenya7616
@meshaqkenya7616 Год назад
Alaa! Kumbe sio kwa dondi tu pia huku unaweza
@youngbnine1249
@youngbnine1249 Год назад
Twaaaaah kapata demu mpya nini 🤣🤣🤣🤣🤣hadi huku kumbe yupooo
@migeraphares35
@migeraphares35 Год назад
Ona sasa Mungu alivyo yani jamaa ana vipaji 2! Afu me sina hata kimoja
@ibrahimjoseph9417
@ibrahimjoseph9417 Год назад
Yaan Msando we ndio umemwambia Twaa anajua kuimba bas sawa ndio faida ya kuwa na mkuu wa wilaya kijana...
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
Duuuh kuna watu Mungu amewakirimia Hipaji vingi
@chingakibona5273
@chingakibona5273 Год назад
Mandonga angekuwepo ungekuwepo na bint zake mngeua Sana
@anethnyoni3397
@anethnyoni3397 Год назад
Umejitaidi aisee Ila ungemuweka madonga ingekuwa hatari Sana.
@njolatvonline1039
@njolatvonline1039 Год назад
Mungu awezi kukupa vyote kipaji chako ni ngumi tu kaka kuimba hamna kitu
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 Год назад
kiutani ngoma imeenda Kuriko wasani wakubwa
@alfredycarrentals7357
@alfredycarrentals7357 Год назад
Nyimbo nzuri kuliko ya aslay
@husseinchai1133
@husseinchai1133 Год назад
Twaha niliwahi kuwaza siku moja utakuja kivingine
@MrusiMweusi
@MrusiMweusi Год назад
Bendera chuma Mlingoti chuma .. baada ya hapo anatupigia mtu😅🇹🇿💥💥💥💣💣💣💣💣👍👍👍💪💪
@fraty255
@fraty255 Год назад
Jaman.kumbe.twaha kiduku nimsanii kumbe
@waduni2326
@waduni2326 Год назад
Piga ngumi kaka! Huku kwenye mziki umekujakushishusha brand Mzee!
@lameckdingoo4404
@lameckdingoo4404 Год назад
Tz one Bondia
@murugamba5719
@murugamba5719 Год назад
Bonge la ngoma,bonge la demu
@ernesttesha3615
@ernesttesha3615 Год назад
Kaka najiuliza romantic hiyo umeipata wap
@robertabel6984
@robertabel6984 Год назад
Kiduku umetisha huyo dem chuchu zimesimama ulimbakiza kweli jah?
@filbertcarlos2946
@filbertcarlos2946 Год назад
Mmmmmh haya bwanaa nimekubali
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Год назад
Hii ngoma ungemshirikisha Mandonga mngeua sana yani
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@shamsahasan2748
@shamsahasan2748 Год назад
😀😀😀😀😀
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald Год назад
😁😁😁
@messaabbas739
@messaabbas739 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fadhilihakeem2458
@fadhilihakeem2458 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@r_-_tanaDawatz8015
@r_-_tanaDawatz8015 Год назад
Noma sana
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
Bora upigane tu mziki waachie wakina Marioo 😁😁😁
@samwelchilijila
@samwelchilijila Год назад
Wadepo nimekuelewa kazi iko poa wadee
@arnoldethan8699
@arnoldethan8699 Год назад
Muacheni Mwakinyo awe bondia siku hizi miguu yako imelegea huwezi kustahimili tena bendera chuma mlingoti chuma huna tena hiyo sifa. Acha gongo na bia, acha mziki fanya mazoezi uwe imaea mbali na hapo acha mgumi utakuja kuhaibika ulingoni
@shambafm7422
@shambafm7422 Год назад
Sema mtoto anakakijungu flani hivi 😋😋😋
@user-gv5zi2ue2q
@user-gv5zi2ue2q 5 месяцев назад
Jamani we mkaka nakukubali.mpaka nakukubali tena ilove u
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 Год назад
Show show show show hello show show .....salute.....
@mpendaabdallah4635
@mpendaabdallah4635 Год назад
Kipaji unacho kaka mungu akuongoze
@saleh9997
@saleh9997 Год назад
Nyimbo nzuri sana
@basilhamis681
@basilhamis681 Год назад
Nakukubali san kaka haunaga masifa
@user-wn9ty3jn4q
@user-wn9ty3jn4q 11 месяцев назад
Mwamba nakukubali sana
@exsaverymachaninga6138
@exsaverymachaninga6138 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣Sawa champion Umetishaaa lakn Acha kutuzingua Shika moja Kaka
@flomenastephen2226
@flomenastephen2226 Год назад
Weeeeeeh body sasaaaaaaa we chumaaaa
@mashakamahunda8834
@mashakamahunda8834 Год назад
Uko vzr bloo🛠️🔊
@wilsonjoseph229
@wilsonjoseph229 Год назад
Yaani wimbo wa kawaida sanaaaaaa!!
@highcancara1993
@highcancara1993 Год назад
Kumbe kaimba kwel me nilijua masihara, kajitahd xana
@yussufabdalla9377
@yussufabdalla9377 Год назад
Ni roho bro sio loho sasa tuanze kuzingatia mataamshi na uandishi ndio huanza hapo kua bora na mzuri sister munamkera sana @Yahstonetown
@jshuakayange5417
@jshuakayange5417 Год назад
Ila Braza kua Bize na ngumi utakujakua bondia mkubwa sana zaidi ya wapinzani wako, acha vitu vya kupunguza pumzi cmtaji bondia jina ila atakuja kua chini yko. Na akijichanganya kakubali pambano na wewe mfumue nnaiman unaweza, wew ni Tanzania one, na Morogoro one....
@nurugezu9070
@nurugezu9070 Год назад
Wa ukae umetisha sana✌️
@blackpanther4825
@blackpanther4825 Год назад
Dah demu mzuri
@allymunawara2588
@allymunawara2588 Год назад
huna baya broo💪💪
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Год назад
One way konde gang crew itanoga ukikohoa vile anakohoaga jeshiiiìi
@drackshad2995
@drackshad2995 Год назад
Kaza kwenye boxing,, unatuchanganya
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Год назад
Kwanza nichekeer😀😀😀😀
@mitikasitv7326
@mitikasitv7326 Год назад
Haah kumbe kiduku unaimba
@omarmwabege
@omarmwabege Год назад
Acha mziki sio nyanja zako Baki Kwa Ndondi!!
Далее
Reforged | Update 0.30.0 Trailer | Standoff 2
02:05
Просмотров 770 тыс.
Useful gadget for styling hair 💖🤩
00:20
Просмотров 1,4 млн
Woman = best friend🤣
00:31
Просмотров 3,5 млн
THE BSS BOYS NA MAPIGO YA BUGA
5:47
Просмотров 67 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
JTITLE _TUNAPENDANA (official video)
2:36
Просмотров 1,1 тыс.
Founder TZ - Mfano (Official Music Video)
3:22
Просмотров 1,8 млн
RAP BATTLE HII NO MOTO ZAIDI | MICHANO YA KIKUBWA SANA
14:31
Monkey King Vs Titan Fight Scene - Black Myth Wukong
12:17
Nacha x Stamina - Jua Lile (Official Music Video)
4:58