Тёмный

UBAO WA HANS UMEMRUDISHA FEISAL YANGA/ MFUMO WA GAMONDI UNAMTAKA FEITOTO 

Crown Media
Подписаться 142 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@HassanHassan-dk5db
@HassanHassan-dk5db 10 часов назад
Crown media mpo vizuri Sana kwenye masuala ya uchambuzi wa mpira.
@HajiHaji-v9f
@HajiHaji-v9f 7 часов назад
Mungu ipaishe yanga uipe ushindi na kutwaa taji la CAF msimu huu
@karolipius1162
@karolipius1162 10 часов назад
Hii live au
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m 8 часов назад
Wameona La ngoma limebuma, Aibu wameona watengeneze agender nyingine utopwilo bwana😂😂
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz Час назад
Yani Yanga wamsajili Ngoma?
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 8 часов назад
Huyu dogo wala hana nafasi YANGA kabsaaaaa
@cliff_drdr7340
@cliff_drdr7340 Час назад
Kati ya Hans na Jemedari kama kuna kachuki flani ivi cha chini kwa chini ndani yao.
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 5 часов назад
Ww huonge na haji manara
@edwardmbonika5102
@edwardmbonika5102 8 часов назад
Ya kagoma yamewashinda
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 3 часа назад
Nitamuunganisha JEMEDARI na wanawake wa Mbagala akapige UMBEA😂😂😂😂 Mnampamba na mwanzo mlimpotosha harudi yanga ng'ooo mimi nimekaa pale
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 4 часа назад
Chanel la dunia
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 8 часов назад
FEI Saliii yy apoteleeeee huko huko Azam au Makolo anayemtaka ni nyie wachambuzi ndio mnao sema😂😂
@ahmedimakope
@ahmedimakope 7 часов назад
Sasa kila cku mfumo huo huo kila timu inacheza mfumo huo
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 3 часа назад
Kitu walichokosea sana hii redio ni kumwajiri JEMEDARI ANAUSHABIKU BADALA YA FACTS
@jameskivelege6721
@jameskivelege6721 2 часа назад
Kama kuna kosa watalifanya kama walivyofa na Morrison,ni kumleta Feisal!! Hafai ana dharau kubwa kuliko!
@dennischarles3174
@dennischarles3174 6 часов назад
Jemedali anaongea fact,lakini tatizo lake anapenda ufalme sana,akiwa kama Eddo kumwembe atakuwa bora sana,kikubwa tufikishieni ujumbe kwake he is the best lakini inatakiwa ajifunze kuwa low key kama Eddo Kumwembe.
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 3 часа назад
Hawezi kuwa maana anawao a wenzake hawajui kumbe na yeye hajui Wadogo wanampiga fimbo uchambuzi ndio maana anakuwa mbishi
@MikidadiMchuchuli
@MikidadiMchuchuli 3 часа назад
​@@lucymsheshi5871 mbona umecoment kwa hisia Kali mno maana alichoment mtoa comment ni tofaut na uchoreply ww inaonekana unachukizwa na jemedar kuliko hoja zake
@daudkondo4069
@daudkondo4069 Час назад
Abaki huko huko
@NaligiaNzogu
@NaligiaNzogu 8 часов назад
😂😂😂😂Ama kwel bongo raha xana
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 5 часов назад
Fei hana adabu yy na mama ake
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 5 часов назад
Hana adabu yy na mama ake
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 3 часа назад
Abaki hukohuko Ni mpumbavu Sana
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 4 часа назад
Yanga ikiwa na mechi utasikia nzinze anaondo ñow mara fei anarudi😂
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 3 часа назад
Yanga inawachanganya 😂😂😂😂😂 na bado sana
@Hassan-ot1mc
@Hassan-ot1mc 8 часов назад
Tunajua mnatumwa kuanzisha propaganda ila malizeni kwanza swala la kagoma mana mlionesha mkataba wake Na Baikoko juu
@SuleimanAlly-c9p
@SuleimanAlly-c9p 8 часов назад
Hhhh wajinga hao uto
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 8 часов назад
Kajiita mwenyewe majina ya hovyo cio yanga.
@jameskivelege6721
@jameskivelege6721 2 часа назад
Hii ni promotion ya hovyo ya media!
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 8 часов назад
FEI a.k.a ameutaka mwenyewe " huyu dogo ni mchoyo sana wa pass kwa wenzie tena abaki huko huko na ndio aliyekuwa anampiga sana misumari AZIZ K abaki huko huko 😂😂
@harounramadhan9771
@harounramadhan9771 7 часов назад
Mmmmmm😂
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 5 часов назад
Na ww jemedar
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 5 часов назад
Ww huonge na haji manara
Далее
ВЛАД А4 СКАТИЛСЯ
09:34
Просмотров 565 тыс.