Kuwa na meno yaliyopangika vizuri ni jambo huweza kukuongezea ujasiri unapozungumza na pia kufanya tabasamu lako liwe la kuvutia. Kinyume chake huweza kukuondolea ujasiri unapozungumza, unapotabasamu au unapocheka. Je unawezaje kuboresha mpangilio wa meno yako? Tazama vidio hii ya #KurunziAfya.
14 окт 2023