Тёмный

Uchaguzi Marekani: BIDEN bado anaamini atamshinda TRUMP licha ya kukiri hawezi kuongea kama zamani 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 3 месяца назад
Katika maisha hainaga kukatataa😂hamm naamini ntashinda katika utaftaji kwahiyo msimshagae awezi kusema atashidwa😊😊😊
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um 3 месяца назад
Amezeeka huyo hakuna kukataa
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 месяца назад
Huyu Mze kazungukwa na wapiga deal wanamtumia kupiga hela il kilichofanyika kwenye mdahalo ulio pita ulimwengu ulishuhudia yaliyomo nyuma ya paziya.
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 месяца назад
Bora ashinde tupate muhula mwingine wa kumuona anavotambaa na kushikwa mikono .mana akiambiwa apange mstari anaelejea chooni
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 3 месяца назад
Hii ni ndoto za mchana tu.
@DismasMaturine
@DismasMaturine 3 месяца назад
Jamani umri wote huu wanasema africa tunangangania madaraka kumbe nyani halioni lake
@ngoyaboy1590
@ngoyaboy1590 3 месяца назад
Tatzo africa ni kwamba mtuu anataka kuka madarakan miaka 50
@KayongoOba-ht2rf
@KayongoOba-ht2rf 3 месяца назад
Safi sana Baden
@francomwacha2262
@francomwacha2262 3 месяца назад
Nikisikia sauti tatu, sky, dj sma, na aly masubi najikuta ninatabasam.. sns imejitosheleza
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 3 месяца назад
Ila wakumbuke kuwa Kung'ang'ania kwake ndio kushindwa kwa chama chake pia. Acha inyeshe.
@hkaniugu
@hkaniugu 3 месяца назад
Ukifatilia vizuri. Jamaa anabusara sana, japo watu wanamjaji vibaya
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 месяца назад
Busara kupeleka silaha Ukraine na Gaza?🤔
@hkaniugu
@hkaniugu 3 месяца назад
@@MohammedBwanga mbona kashaelezea vizuri kwanini amewasaidia, au una judge kigugumizi pasipo kumsikiliza
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 месяца назад
@@hkaniugu wanaamika hao?
@Zuhuranadadoita
@Zuhuranadadoita 3 месяца назад
Kuuwa watoto Gaza machozi Yao hayatamuacha salama baden na bado atatetemeka saaana na hatashinda yaani
@bernardmunuo2137
@bernardmunuo2137 3 месяца назад
Kwa Biden apana ameishakua mzee sana ni muda sasa wa kupumzika na siasa. Nimeangalia hile debate hiko wazi kabisa ni muda sasa trump kumalizia muhula wake wa pili
@hamisihasani-gu7hv
@hamisihasani-gu7hv 3 месяца назад
aachie jembe liingie vita ziishe
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 месяца назад
Hawezi huyo mzee sana😢
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 месяца назад
Uzuri wa Biden ni kwamba amefanya kazi muda mrefu,kwa hiyo anielewe nchi na kazi.Urais anauweza sana. Trump ni mfanyabiashara,kwa hiyo hata akiwa rais ni kwa manufaa yake tu
@TheBossOdhis
@TheBossOdhis 3 месяца назад
Team Trump
@francomwacha2262
@francomwacha2262 3 месяца назад
Leteni GPS tujadili hii kitu kwa pamoja
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 3 месяца назад
Raisi afuatae American ni Kamala Harris Eka kumbukumbu ya text hii
@jemjay1011
@jemjay1011 3 месяца назад
North Carolina my state
@ngoyaboy1590
@ngoyaboy1590 3 месяца назад
Obama nae kawa chawa
@Jaytv.100
@Jaytv.100 3 месяца назад
Nampenda Sana jamaa
Далее
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
ТАРАКАН
00:38
Просмотров 1,4 млн
How Israel Assassinated  Hezbollah Commander?
8:48
Просмотров 1,9 млн