Kupata mwanamke mchangamfu,,,anayecheka kutoka moyoni,,mwenye hekima na busara ni vigumu kuliko kupata dhahabu mara tisa zaidi,... Ninashauri Pastor ufundishe pia maandalizi ya kisaikolojia mwanamke anayopaswa kuyafanya,,,uchangamfu ni adimu Sana kwenye ndoa nyingi Sana. Unakuta sawa mwanamke mcha Mungu lakini si mchangamfu bado ndao haitakuwa na furaha.
Pastor asante sana, kuna wakati unajikuta una mahusiano /umeoa binti lakini unakuta anakuwa karibu sana na wazazi wake mathalani baba yake yaani mpaka anakushangaza, mara nyingi hasa ukikuta baba yake ana kauwezo kifedha. yaani uko naye lakini unaona hata akiwa na changamoto /au issue ambalo hata mume anaweza kulitatua mtoto wa watu analipeleka kwa baba bila hata mume kuambiwa naamini hii ni changamoto kwa wengi sana pastor japo haiongelewi kuoa watu
Bwana ni mwema nashukulu mungu Kwa kuwa nabarikiwa na mahubiri haya ila Nina swali ni jinsi Gani unaweza kubadili dini ya mtu hasa mulie nae kwenye mahusiano na ikitokea ikashindikana na Bado upendo upo je nichukue hatua gani
nakuelewa sana paster na, ninakupenda pia, mimi ni muislamu nipo hapa brazil, siku hizi unachelesha mahubiri, kuyarusha mtandooni na pia, ninahitaji kuongea na wewe paster.