Тёмный

UCHAGUZI WA GARI KWA KIGEZO CHA UPATIKANAJI WA SPARE PARTS BY KYANDO MJ 

KYANDO MOTORS TV
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 2,6 тыс.
50% 1

Tuzingatie upatikanaji wa vipuri wakati wa kununua gari

Опубликовано:

 

24 апр 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@jack2010ization
@jack2010ization 4 года назад
Upo vizuri safi sana
@bensonswai7575
@bensonswai7575 2 года назад
Naomba uweleze kidogo kuhusu range rover
@naphetkisigo4553
@naphetkisigo4553 3 года назад
Bàrikiwa sana kwa elimu!
@hermanlubapula64
@hermanlubapula64 3 года назад
Asante Sana kwa elimu nzuri juu ya vyombo vya Moto. Naomba nijue zaidi juu ya Nissan X trail
@evancekaganda1250
@evancekaganda1250 3 года назад
Mwandisi asante kwa shule nzuri naomba ushauri wako juu ya gari aina ya spacial
@simongenius8178
@simongenius8178 2 года назад
Kwann gari zinapewa namba A,B,C,D
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 3 года назад
Mhandisi Kyando asante kwa darasa la vipuri.Napenda kuuliza je ni aina gani ya magari vipuri vinapatikana na aina gani vipuri hadi kuagiza nje nchi?
@nicholaussatielnkondo8966
@nicholaussatielnkondo8966 2 года назад
Habari za kazi ndugu, mi nataka unifahamishe kuna gari nalipenda ambalo ni Toyota mark 2 grande hivyo nahitaji ushauri Kwani ninatarajia kumiliki gari kwa mara ya kwanza. Nielimishe juu ya uimara na matumizi ya mafuta ikoje. Ahsante kwa msaaada
@kyandotv1468
@kyandotv1468 8 месяцев назад
tuwasiliane. 0762244647
@maryaloyce5715
@maryaloyce5715 2 года назад
Sawa braza nimekuelewa .Mimi nikuwa nataka kununua voklswage polo au golf kwa utaalamu wako spare zinapatikana? Asante sanaa
@adammsemakweliministry394
@adammsemakweliministry394 3 года назад
Mwalimu nashukuru sana kwa masomo,lakini naomba masahada ni wapi naweza kupima gari nzima kujuwa matatizo kwa jumla pia ni jue gereji yako ikowapi?
@michaelpeter9513
@michaelpeter9513 3 года назад
Punguza sauti ya background mziki ili tusikie vzur!
@dojachomoka7643
@dojachomoka7643 3 года назад
Tafuta siku kaka uizungumzie Nissan xtrail uzuri wake na changamoto zake nakuelewa sana
@dojachomoka7643
@dojachomoka7643 3 года назад
👍
@freddieelice6377
@freddieelice6377 3 года назад
Kala. Naomba ushauli, nataka kununuwa Toyota porte!!... Uzoefu wako upoje wa hii gar.
@freddieelice6377
@freddieelice6377 3 года назад
@@kyandotv1468 asante, nimeona ina Vvt-i engine, hopefully vipuli vyake vinapatikana kwa urahisi hapa dar es salaam !...?
@joshuambiaji9808
@joshuambiaji9808 3 года назад
Engineer Kyando Hongera Sana we ni mwalimu mzuri sana nimeanza kukufuatilia huu ni mwaka wa nne naomba uendelee tu kutupa masomo kama haya maana tuko tunaopenda sana kazi yako na naamini ipo siku utafurahia kupata mhitimu ambae umemfundisha kupitia Online TV yako Please ongeza masomo, pia share na mimi email yako na namba ya WhatsApp nina jambo la kusema na wewe. Respond kupitia mbiajijoh@gmail.com simu +255762878306 Asante!
Далее
Чистка пляжа с золотом
00:49
Просмотров 245 тыс.
JINSI YA KUZUIA WEZI KWENYE GARI
6:28
Просмотров 1 тыс.
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Просмотров 24 тыс.
UCHAMBUZI WA MITIHANI YA UDEREVA
7:49
Просмотров 22 тыс.