Тёмный

WAUZA DUKA NDARO NA STEVE MWEUSI UTACHEKA 

Ndaro Tz
Подписаться 278 тыс.
Просмотров 397 тыс.
50% 1

#ndaro #stevemweusi #comedy #chekatu #wasafi

Приколы

Опубликовано:

 

26 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 279   
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 11 месяцев назад
Najua nimechelewa ila naomba msininyime like za Steve mweusi na nadro mjeshi ❤️❤️❤️❤️💯🔥💥
@venaciokariuki4552
@venaciokariuki4552 11 месяцев назад
Kila wakati naipenda hiyo combination ya Steve na Ndaro 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 humu Kenya hatuachi kucheka banaaaa 😂😂😂
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 месяцев назад
Yaan wametafutana na hizo akili zao sasa😂😂😂😂
@issaskighanga3199
@issaskighanga3199 11 месяцев назад
Namipia naipenda mno😂😂😂😂😂
@FathmaIbrahim-pj7es
@FathmaIbrahim-pj7es 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂wanajuaaa snaaa❤❤
@PacifiqueSumaili-xg5xk
@PacifiqueSumaili-xg5xk 11 месяцев назад
💪💪💪
@ManyanaSimon-be4if
@ManyanaSimon-be4if 11 месяцев назад
nami nawaelew
@user-fq9ol4nr9x
@user-fq9ol4nr9x 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂njioni nikawaandike dukani mwaangu Steve na ndaro mwanifurahisha sana
@ramsogoscop5191
@ramsogoscop5191 11 месяцев назад
Jmn mm ndo wa mwisho kila siku nafeli wapi mm jaman..ama kweli mbuz wangu hazai ,
@tashavanny4476
@tashavanny4476 11 месяцев назад
Hivi ndaro na Steve nyiee ndugu au🤣🤣🤣🤣🤣
@KirivoloKakule-hu7ge
@KirivoloKakule-hu7ge 11 месяцев назад
🤣🤣Ila nyienyienyie mbavu zanguweeee wauzaji kama hawa hee😂😂😂😂😂
@danielkitsao
@danielkitsao 11 месяцев назад
Wa kwanza leo from Kenya 🇰🇪
@luganomwanjotile7575
@luganomwanjotile7575 11 месяцев назад
Nampenda kidoti anavaa nguo heshima sana uvaaji wake unanibariki
@pascal4405
@pascal4405 11 месяцев назад
Mimi ni shabiki wenu na wa tamaza kila Siku Steve na ndaro 🤣🤣🇨🇩
@ahmedniyonzima1703
@ahmedniyonzima1703 9 месяцев назад
Good day everyone when I see this 2 gentlemen I feel so happy they are my role model
@user-el4gs7fp4x
@user-el4gs7fp4x 6 месяцев назад
Hahahaha hahahaha 😂🤣 ndaro ndo kawa Kama mwenye biashara 👍🌷🌹💯
@user-mc4gk4ew4q
@user-mc4gk4ew4q 11 месяцев назад
jaah😂😂 awa jamaa ni noma napenda sana sauti ya Steve mweusi😂😂😂😂 na me nawachekesha sikuizi mtaani kwangu🎉🎉🎉
@memsiigaufe9225
@memsiigaufe9225 11 месяцев назад
Warundi tujuwane like 🇧🇮😂
@macklineremmanuel1742
@macklineremmanuel1742 11 месяцев назад
Hamadi kijicho una wadau huku, sio kwa Mkazo wa Steve😅😅😅, et Mkopo vipi😂😂😂
@mosesmuema1168
@mosesmuema1168 11 месяцев назад
Eti akaitupe nyota yake 😂😂😂Kwa simu...I like the combination ❤❤❤😊
@hafidhabdi2004
@hafidhabdi2004 11 месяцев назад
Hahahaha 🤣😂🤣😂🤣 kitengo cha kuhesabu wahuni Hivi Hamad kijicho ni nani
@betoleonardo326
@betoleonardo326 8 месяцев назад
Ndaro com Steve uma bela combinação... fazem um lindo par...one love diretamente de Moçambique 🇲🇿
@enocklavie3593
@enocklavie3593 6 месяцев назад
😂😂😂 nawakubali sana mimi naishi Congo drc
@israelsamberu2388
@israelsamberu2388 11 месяцев назад
😂😂aise mmetisha kwa kweli😅😅😅
@user-dt7xp7gz8s
@user-dt7xp7gz8s 8 месяцев назад
Da iko pwa sana nataman kuiona ii combination Leo na kesho mungu awaone na awatangulie
@Simbamossonngorongoro3739
@Simbamossonngorongoro3739 11 месяцев назад
Ndaro nakubali sana 🇹🇿
@dottowache5149
@dottowache5149 11 месяцев назад
Yes Ahmad kijicho bravo
@qaseem7660
@qaseem7660 11 месяцев назад
Ndaro bhana unajua mjeshi halaf hutumii nguvu
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 11 месяцев назад
Acha usenge ndaro unamzuzua mwenzio 😂😂😂😂
@user-je8iw9jk1v
@user-je8iw9jk1v 11 месяцев назад
Na me like basi ndaro na stevu
@user-rp1jm4ix9g
@user-rp1jm4ix9g 11 месяцев назад
Kenya tunawapenda bure aisee😂
@Peter-ok4ss
@Peter-ok4ss 11 месяцев назад
Duuuuuu???? Uyu jamaa Anajua sio pw Yani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hakim5033
@hakim5033 11 месяцев назад
Daaah ila steve😅😅
@francismuthiani349
@francismuthiani349 11 месяцев назад
ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪😂😂😂😂😂.RAHA TU. 🤗
@user-vb4dc8tf8i
@user-vb4dc8tf8i 8 месяцев назад
Steve na ndaro jamani,, yanii duka ya kila mtu kipara Leo utajua ujui❤❤❤😅😅
@masterpeter896
@masterpeter896 8 месяцев назад
Mimi ni shabiki wenu na wa tamaza kila Siku Steve na ndaro nawapenda bure👋👋👋👋💥
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 11 месяцев назад
Chukua Mswaki Ondoka🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@inviolatahnyakoa6167
@inviolatahnyakoa6167 11 месяцев назад
😂😂😂😂sasa vinywaji imekua grocery Ndaro na Steve Nani kawaroga
@abdallaabedi2354
@abdallaabedi2354 11 месяцев назад
😅eti we kilakitunyumbani huna😅😅
@UwezaLyimo-we1lu
@UwezaLyimo-we1lu 3 месяца назад
Hapo boss lazma asemee sio kwa wauzaj hawa et unaenda kushave nin sas rafki kama ndaro utatoboa 😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@shugunderitu8999
@shugunderitu8999 6 месяцев назад
I need to visit mkuranga and meet amadi kijicho😂😂😂😂😂
@mtungujaibrahim9384
@mtungujaibrahim9384 10 месяцев назад
Mpaka useme unataka ku shave nini 🤣🤣🤣🤣
@Fc_mobile202
@Fc_mobile202 11 месяцев назад
Nimeipende sana duuuuu ❤❤💖💖👊👊 👊 👊 👊 👊 👊
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂hizo akili zenu tu ndo napenda Steve kazi nzuri sana
@user_isra449
@user_isra449 11 месяцев назад
😊😊😊😂😂😂😂😂 ni weweeee ni wewe bwana niweweeeee
@AyoubTV414
@AyoubTV414 11 месяцев назад
Naishi nao kwa kucheka😂😂😂
@salomemanfred1809
@salomemanfred1809 11 месяцев назад
UnyaMaaa Sana Nimecheka sAn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🔥🔥🔥
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 11 месяцев назад
Hahaha maduka manne BAADA mwaka😂😂😂
@esterngogo4961
@esterngogo4961 10 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@user-yw4ue7yj4j
@user-yw4ue7yj4j 11 месяцев назад
kipara umepatikana😂😂
@sane_kidd
@sane_kidd 11 месяцев назад
Wa ishirini na Tisa nipeni like zangu 😂😂
@magretndinda1455
@magretndinda1455 11 месяцев назад
Steve you make me happy😂😂😂😂
@lawrence9934
@lawrence9934 11 месяцев назад
B#001representing from #254 me ni a big fan wa Steve mweusi and napenda hiyo combination ya Steve na ndaro huwaaga mbaya shout out to you mweusi
@issajuma1948
@issajuma1948 11 месяцев назад
Ndaro nikiponza😂😂😂
@ngovielkingeliance6125
@ngovielkingeliance6125 11 месяцев назад
Mjeshi kikofia Ana tumia Steven mweusi vibaya jamani 😂😂😂
@user-el4gs7fp4x
@user-el4gs7fp4x 8 месяцев назад
Jamani wewe Steve haya bhana 🌷🌷🌷
@guychrisingabire3323
@guychrisingabire3323 11 месяцев назад
W1 from burundi🇧🇮
@FelisterDuway
@FelisterDuway 9 месяцев назад
Hivi huyu hamadi kijicho ni nani kwani kila mara stivu anamtaja😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JolakaMagoli
@JolakaMagoli 11 месяцев назад
Nipewe like
@PacifiqueSumaili-xg5xk
@PacifiqueSumaili-xg5xk 11 месяцев назад
Combination ya Ndaro na Steve ni bonge, nawafuatilia kila wakati nikiwa nchini DRC.
@EliasJohn-lc8nu
@EliasJohn-lc8nu 11 месяцев назад
Ndaro na Steve nawapenda bure
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 11 месяцев назад
Ndaro ww siyo kabsa! Unatembea na karata,yaani ww na Steve wote akili hamna😂
@chidzodunda
@chidzodunda 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 haki nyinyi barikiweni sana😂😂
@UnitedStates088
@UnitedStates088 11 месяцев назад
Naughty Boys And Soooo funny 😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@user-kl2eb4mx7v
@user-kl2eb4mx7v 11 месяцев назад
Together as one❤
@youngweezy3846
@youngweezy3846 11 месяцев назад
Yani awa jamaa ni hawana akili kweli😂😅
@nduguzetu
@nduguzetu 11 месяцев назад
hawa jamaa wana juaa sanaaaa❤
@EliVanie
@EliVanie 8 месяцев назад
Stive nakukubali sana mwanangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@chussede3072
@chussede3072 11 месяцев назад
Hata niwefala kiasi Gani cwezi Ajiri hawa Nyau watakula vyote 🤣🤣
@user-eh2jz8rw3o
@user-eh2jz8rw3o 11 месяцев назад
Steve mozes na ndaro mnajua sna kuigiza wallah nawafatilia nikiwa Quatar
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 11 месяцев назад
Mh😂😂😂😂 ,, Ila Ndaro
@MichaelEdwrdi-jp5ve
@MichaelEdwrdi-jp5ve 11 месяцев назад
IMEENDA IYOOO
@jamesmeitalami467
@jamesmeitalami467 11 месяцев назад
Stive anajua sana ,wakiwa na ndaro ni 🔥
@makanyagacomedy
@makanyagacomedy 11 месяцев назад
Hakika broo so kila rafiki ni saii kwako wengine hawatamani maendeleo yako
@filimon5810
@filimon5810 11 месяцев назад
nimekuaw 8 naombeni like 10
@AnnahLusia-bz3lc
@AnnahLusia-bz3lc 9 месяцев назад
Tuleteeee bn huyo hamadi kijicho,😂😂😂😂😂
@superafrodance5109
@superafrodance5109 11 месяцев назад
Amadi kijicho 😂😂
@user-sk3sv8pb8e
@user-sk3sv8pb8e 9 месяцев назад
Aisee huyu dada ni mrembo
@hilarymariki5696
@hilarymariki5696 11 месяцев назад
Steve falaa snaa😂😂😂
@user-nz6rr8oc7s
@user-nz6rr8oc7s 9 месяцев назад
Stive na ndaro nawakubl san munafny vizr kaz njema
@Jb40_
@Jb40_ 11 месяцев назад
what's funny ndaro Tz 🤣🤣🤣🤣🤣
@WilondjaBenjamin17-xp4hx
@WilondjaBenjamin17-xp4hx 11 месяцев назад
AM-J GUNDI FROM USA 🇺🇸
@pascal4405
@pascal4405 11 месяцев назад
Tafazali djameni mudje Congo 🇨🇩 djemeni🤣🤣
@Aisha-30030
@Aisha-30030 11 месяцев назад
Leo wakwanza naombeni like
@saluten5926
@saluten5926 11 месяцев назад
HAKIKA
@KarimuLibago-zf9xw
@KarimuLibago-zf9xw 11 месяцев назад
Wakwanza Mimi Leo like zangu
@amanimwakipesile7072
@amanimwakipesile7072 11 месяцев назад
@user-od9nc9zl7z
@user-od9nc9zl7z 11 месяцев назад
Hyo mkulanga imefcha meng aisee!!!😂😂😢
@user-vn1tu1xs4g
@user-vn1tu1xs4g 8 месяцев назад
Kabisa yani wanatupa rahaa sana😅😅😅😅
@GiftHaizuru-ej9qq
@GiftHaizuru-ej9qq 11 месяцев назад
Hatarii sanaa jaman mlurogwa nyinyii.....
@hudasfeiswal663
@hudasfeiswal663 11 месяцев назад
Naomba location ya hlo duka😂sijafanya shopping long time ago😅
@deusdon777
@deusdon777 11 месяцев назад
Nyiee waha waha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@barasachemben4043
@barasachemben4043 11 месяцев назад
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tunawakubali sana
@officialdjlenny254
@officialdjlenny254 11 месяцев назад
Steve mtu wangu 🤣🤣🤣
@abdallaabedi2354
@abdallaabedi2354 11 месяцев назад
Ila mnatisha guys 👏 good job 👏
@charlesngombo1616
@charlesngombo1616 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂Ndaeo na Steve bana
@ramadanwario9960
@ramadanwario9960 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂... tricky sana
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 11 месяцев назад
😂😂😂
@samsontweve7268
@samsontweve7268 11 месяцев назад
😂😂😂😂 nakubal sana
@user-lv3yu7bg3b
@user-lv3yu7bg3b 11 месяцев назад
Lakin Steve shirt hilo hilo hubadilishi tu
@Low_bills
@Low_bills 11 месяцев назад
Hii imeenda 😂😂😂
@Nasseb25
@Nasseb25 9 месяцев назад
Aaaaah oya ww Stive ww huy hamadi kijicho ni Nani 😂
@vailethsimbowe7799
@vailethsimbowe7799 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 nawapenda sana nyie watu❤❤❤❤
@evansmasicia6753
@evansmasicia6753 11 месяцев назад
Ndaro Na Steve juu huku Kenya
@KirivoloKakule-hu7ge
@KirivoloKakule-hu7ge 11 месяцев назад
😂😂kuweka dukani Watu kama hawa nishida sana kweli heee
@christinaernesto4636
@christinaernesto4636 9 месяцев назад
Haki ndaro na Steve acha kabisaa😂😂😂😂😂😂😂
@CikuShangalume-sb8ey
@CikuShangalume-sb8ey 11 месяцев назад
Vraiment nasepeli makasi 🤣🤣🤣🇨🇩🤣🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Zafnai
@Zafnai 11 месяцев назад
I am the first one to comment.
Далее
WALINZI WEZI WA SIMU NDARO NA STEVE MWEUSI UTACHEKA
12:48
NDARO  KAPATA MKE  SHAHIDI STEVE
14:32
Просмотров 399 тыс.
100❤️
00:19
Просмотров 2,9 млн
CHEKESHA : BALAA LA MPOKI KWA SHEMEJI YAKE NA EX WAKE
15:14
Cheka stive mweusi na ndaro🤣🤣🤣🤣🤣
10:01
STEVE MWEUSI  NA BAISA COMEDY BORA 2023
1:40:29
Просмотров 224 тыс.
BABA NTILIE PART 1
11:22
Просмотров 381 тыс.
STEVE KAMFATA DEM MBAGALA KISA NAULI KWA MGUU
11:24
Просмотров 254 тыс.
NDARO NA STEVE MWEUSI LEO WAMEYAKANYAGA
15:05
Просмотров 1,4 млн
SIMU YANGU
8:38
Просмотров 376 тыс.