Тёмный

UGOMVI MZITO; STEVE MWEUSI NA CLAM VEVO WAFIKA PABAYA, WALIPUANA VIKALI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 186 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 519   
@rasegks
@rasegks 9 месяцев назад
sisi wakenya tuna wakubali Kicheche na Clam lakini kidogo Steve ni baba lao. Twampenda Steve zaidi tena kwa sana
@Uwitonze-l2v
@Uwitonze-l2v 9 месяцев назад
Steve, Walio kudhalaw watabaki na Aibu kubwa!! Watajidhalaw wenyewe! Steve tuko upande wako bwana 👏👏
@martinkarega4219
@martinkarega4219 9 месяцев назад
Steve Mweusi king of comedy..Kama unabisha angalia comment...mimi ni shabiki toka Kenya🇰🇪
@yusrahyusuphu1379
@yusrahyusuphu1379 9 месяцев назад
❤❤❤
@Menedja
@Menedja 9 месяцев назад
Ninacho Mpendeaga STEVE na kinacho muweka kuwa Best forever , Ni hile tuh Urahisi wake na unyenyekevu , Heshima zake...😊❤
@cyprianopudo-v8g
@cyprianopudo-v8g 9 месяцев назад
Steve the legend 🔥❤.Love from Mombasa Kenya
@Official.lil.nba2
@Official.lil.nba2 9 месяцев назад
Uyooo kuma fatuma asikuleteye nuksi kwenye kazi yako bro ulikuwa hunaga bifu na mtu asikuanzishie mwaka vibaya tabiya yako kila mtu anaipenda 🔥 steve mweusi 🎉
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 9 месяцев назад
Sasa matusi ya nini mpaka sasa jeshi la police 🚔 linakutafuta
@Official.lil.nba2
@Official.lil.nba2 9 месяцев назад
Jeshi la mchi gani ilo 😂😂?
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 9 месяцев назад
@@Official.lil.nba2 malawi
@adelinaomani9012
@adelinaomani9012 9 месяцев назад
Hapo kwafatuma nimechaka😂😂😂
@Official.lil.nba2
@Official.lil.nba2 9 месяцев назад
@@adelinaomani9012 😂😂🤦‍♂️
@Menedja
@Menedja 9 месяцев назад
Hadi kwenye Interviews bado Comedian tuh , Steve the Best bhana... Waache upinzani hupande huu❤❤❤
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV 9 месяцев назад
Mimi mkenya🇰🇪nampenda Steve kuliko clam
@OmanAsd-j5n
@OmanAsd-j5n 9 месяцев назад
Wanaompenda stevu piga like apa
@ayubosman129
@ayubosman129 9 месяцев назад
From Kenya... Steve mambo yote
@OmanAsd-j5n
@OmanAsd-j5n 9 месяцев назад
@@ayubosman129 ukwel kbx wanapata wivu
@esthermtega2486
@esthermtega2486 9 месяцев назад
Nakupend❤
@OmanAsd-j5n
@OmanAsd-j5n 9 месяцев назад
@@esthermtega2486 🥰
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de 9 месяцев назад
From abudhabi steve mweusi ypo poa
@ambrose-exclusive-hunterst353
@ambrose-exclusive-hunterst353 9 месяцев назад
Clam msenge kuma na mama ake akome akome kukusumbua akili yako clam ni mtoto mdogo sana hakuwezi bro Steve ajiheshim kwanza domo kubwa kama kuma la aliye mzee? Clam tafta pesa kwanza huna hela ww unavichenji vya family yako to mbwa wewe? I LOVE YOU STEVE MWEUSI BIGAP BROO 💪
@khalfanFarisy
@khalfanFarisy 9 месяцев назад
Acha matusi basi. Mdomo mchafu kama unapigia mswaki uliyopakaa mavi
@JeanBoscoBayongwa
@JeanBoscoBayongwa 9 месяцев назад
Sisi wa kongomani tuna like muvi za Steven ni mshamba kweli
@kondeboishukuru
@kondeboishukuru 9 месяцев назад
Ninacho mkubali uyu jama kwa nza ana noma na mtu pili uwa ajikuti sana na chamwisho uwa ni mkweli ❤🎉
@AlexWaiguru
@AlexWaiguru 9 месяцев назад
❤❤❤ one love Steve mweusi from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@andrew0502
@andrew0502 9 месяцев назад
Clam tatizo analewa usuperstar, ana ushamba na hela kifupi Clam ni mapepe pesa zinampa uchizi
@Mrzero_zofficial-s1i
@Mrzero_zofficial-s1i 9 месяцев назад
Stuve king wa tanzania kwenye comedy 🇺🇲🇺🇲
@NahishakiyeElyse-t9c
@NahishakiyeElyse-t9c 9 месяцев назад
Steve big up brother nakukubali sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ChenchiKing
@ChenchiKing 9 месяцев назад
Maskini Akiapt Matako Uliya Mbwata Kweli , Clam Ashike Adabu Steve Is Another Level 🎉🎉🎉
@kwaliakitoo9832
@kwaliakitoo9832 9 месяцев назад
Steve uko juu kaka Uyo n mtoto kW comedy bro n shabiki wako kutoka kenya 🥰🥰🥰
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 9 месяцев назад
Mbn mm clam simpendi 😢😢Steve focuse na kaz achana na uyo dogo usijiharibie sivii yko km vitu vya kijinga....jibu la mjinga kimy utaua soko lako....sisi tunacho jua you are the best ❤❤❤❤
@LonlyKing-we3sy
@LonlyKing-we3sy 9 месяцев назад
Steve banae,,,,heshima zako zikubebe nakutambua kaka,,,,nipo nyuma yako Mimi naku support.
@LonlyKing-we3sy
@LonlyKing-we3sy 9 месяцев назад
Oyah, Steve nipe location all deh way from Kenya nije kukushabikia live manze,,,,naku heshimu, I want you to get that little boy ashamed,,,,,,akutumbue ww kama star.
@akamani2543
@akamani2543 9 месяцев назад
Clam VEVO ni mjinga angekua huku kenya ningemfinyaaaa.......hizo pesa zake ni shilingi tano za kenya amweshimu steve...steve amepiga collabo nà mkenya huyo mkembe afanye colabo hata ni mimi nipee support...aaache ujingaaaaa
@نورهالعنزي-د5ص
@نورهالعنزي-د5ص 9 месяцев назад
Sitvu uko powa mm Niko Saudi na ni mkenya nakupenda sana kesho Niko n wewe chawa wko ❤❤❤❤❤
@josephmaina-vm1lc
@josephmaina-vm1lc 9 месяцев назад
Karibu Sana 🇰🇪👊👊👊 tatubora Kwa mpigoo 😂
@mouricemo
@mouricemo 9 месяцев назад
Steve mweusi ni king ebu kataza Huyo JAMA ana utoto sn
@MrsoomALIMBE-kq3yt
@MrsoomALIMBE-kq3yt 9 месяцев назад
Hata congo tunamkubali steven MWEUSI HUYO KONKI CLAM AMUACHE BABU YAKE
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 9 месяцев назад
Nampenda huyu Steve sanaaa.....anajielewaaaa...Clam NAKUKUBALI but acha kiburi..
@HashimDamson-pm6fz
@HashimDamson-pm6fz 9 месяцев назад
Kaka yangu kipenzi na kukubali sana nafurahi kila nikikusikia nakuombea sana ufike mbali
@CarolineChitechi
@CarolineChitechi 9 месяцев назад
Wa Kwanza leo.. wapi likes zangu
@ZakiyaollerRadju
@ZakiyaollerRadju 9 месяцев назад
Clam ni fresh kbs namupenda san clam sitive aca bongo clam nimupambanaji acanaye wey bakwako uwace clam vevo respect clam
@reginakerubo9671
@reginakerubo9671 9 месяцев назад
napenda huyu Steve sana,na anaongea ukweli
@halimaoman8726
@halimaoman8726 9 месяцев назад
Apa amna bifu wala nini hiyo fungia mwaka mungu atafika salama na kma kweli bifu 7:59 tutaona
@Oscarokran8133
@Oscarokran8133 9 месяцев назад
Ni kweli wako kwa kufanya a tension ya tonge kwenda kinywani
@cyprianopudo-v8g
@cyprianopudo-v8g 9 месяцев назад
😂😂😂😂sitivo oa watapate Adabu kidogo Sasa 😂😂😂.Much Respect Stevoh.❤❤❤
@aswaneliphas2271
@aswaneliphas2271 9 месяцев назад
Steve mweusi acha kuongea mengi kwa vevo ,we hauna hela kama kipara alikuwa anwkufanyia kazi, na alikuwa anakosa kodi yakulipa nyumba, we nitajiri wa wapi Kenya tunamkubali vevo, vevo ni boss wa mabosse,kama amekupata kwa kiwanja, akakupita,much love from Kenya❤, guys like back 70k likes
@izakiel72
@izakiel72 9 месяцев назад
Siku zote . ...chuki si suluhisho la hekima...jambo la busara ni kushikamana kama mandugu❤
@Dannywonderz
@Dannywonderz 9 месяцев назад
😢😢😢as kenyans we love you all please mpate kuelewana
@felixnelsen3777
@felixnelsen3777 9 месяцев назад
Mweusi to the world, Tanzania to the world 🎉
@julienbirere8310
@julienbirere8310 9 месяцев назад
Steve your are the king bro
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 9 месяцев назад
seteve unaongea ukweli namkubali sana pia na kazi zake ongera seteve piga kazi
@PatrickJohn-ev5hz
@PatrickJohn-ev5hz 9 месяцев назад
Brother mm nakujua Huna bifu na mtu wew endelea kufanya mambo yako na mtangulize mungu tu
@KhalfanKhamis-ju1yz
@KhalfanKhamis-ju1yz 9 месяцев назад
Nakubali broo nafasi yako ww ipo pale pale tuu
@vdjcompsdallas2418
@vdjcompsdallas2418 9 месяцев назад
Mimi nakubali Sana Steve from Kenya
@eusebiojoaquimalberto
@eusebiojoaquimalberto 9 месяцев назад
Mas força Steve
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 9 месяцев назад
Kusema kweli mm shabiki hayaniusu sababu hamtanisaidia na lolote katika hili kikubwa mm nikiona kitu kimenipendezea naangalia
@ASALABOY
@ASALABOY 9 месяцев назад
Steve n Mtu Poa sana namjua sana apendagi umbambamba
@MOHAMEDSALIM-lt5yk
@MOHAMEDSALIM-lt5yk 5 месяцев назад
Steve n the best clam hamuezi steve mweusi
@Marcus92378
@Marcus92378 9 месяцев назад
Stevu n'a kukubali kabisa wewe ni Noma atchana n'a clam ww number moja from RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@petermurugagatei7911
@petermurugagatei7911 9 месяцев назад
I like u Steven ww unanivunjanga mbavu buana ww King of comedian in Tanzanian ❤
@jacobmutinda3618
@jacobmutinda3618 9 месяцев назад
Me from kenya napenda stive mweusi
@DrivemicherWaGS
@DrivemicherWaGS 9 месяцев назад
Mas força meu steve Mweusi
@Salashigifty-ii2mb
@Salashigifty-ii2mb 5 месяцев назад
Stive nakupenda sana i afrom burundi
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 9 месяцев назад
Kuweni makini Walimwengu huu ni mchezo kuwa Thibitishia wa nataka wafanye jambo kubwa Mwakampya wapige maokoto niko pale kama Mtabisha 👉🌥
@PascalInocent
@PascalInocent 9 месяцев назад
Umewaza Kam mim ivi
@samwelimwaim7136
@samwelimwaim7136 9 месяцев назад
Acheni mabeef ndug zangu na acheni kuchukiana maisha mapito😊
@josephmaina-vm1lc
@josephmaina-vm1lc 9 месяцев назад
Kabisa kaka 🇹🇿🇰🇪👊👊👊 tatubora Kwa mpigoo
@MelanceNindamutsa
@MelanceNindamutsa 9 месяцев назад
😢Nyinyi wasani Kuna vitu ambavyo hamuweki wazi Koo hay mambo sisi hayatuhusu
@OfficialA83640
@OfficialA83640 9 месяцев назад
Kiufupi Clam ni jeuri anajiona mkubwa sana kiusanii kumbe team ya inayompenda ni wanafunzi tu mtu na akili zake hawezi mkubali Clam ht kidogo mm wa kwanza sipendi ujinga wake wakujiona yy yupo juu yaani kile kigari kashajiona star aisee😂😂😂
@joasbaraka_gardener
@joasbaraka_gardener 9 месяцев назад
Kweliii kaka
@mathewben9983
@mathewben9983 9 месяцев назад
Clam naonaga anaforce kipaj lakin hana chakushawish mtu
@AminaAmimu-gp9po
@AminaAmimu-gp9po 9 месяцев назад
Na huyu stevu anapendwa na watoto ambao hawana akili
@kelvinathuman8545
@kelvinathuman8545 9 месяцев назад
Huyo Stevu anataka huruma ya wananchi mwenye akili atajua vizuri
@rajabuhamzambagonyonge3257
@rajabuhamzambagonyonge3257 9 месяцев назад
Umetumwa ww
@asmakhalfan
@asmakhalfan 9 месяцев назад
Ni kweli mwanang😅😅
@onenronnie8097
@onenronnie8097 9 месяцев назад
Stevo,wewe ni kipembe bwana,wuyu jama niko na tamaa tu.
@danielkayoli3492
@danielkayoli3492 9 месяцев назад
Mm hata uyo clam namsikiq hapa...anakuwaga kweli😅😅
@abdeezycoogi
@abdeezycoogi 9 месяцев назад
Team stivu & Dogo sele 🤝🤝🤝🤝
@DaudiRioba
@DaudiRioba 9 месяцев назад
Mtakuwa wapi steve
@DanielLaizer-ec7cd
@DanielLaizer-ec7cd 7 месяцев назад
Watu wa clam mko wapii pigeni like❤
@stephenaurah
@stephenaurah 9 месяцев назад
Steve mwenzangu usiwe na wasiwasi tuko pmoja
@kladahmad3333
@kladahmad3333 9 месяцев назад
Stves mimi nakupenda kaka yangu ❤❤❤❤
@davisnyandindi4917
@davisnyandindi4917 9 месяцев назад
Dah nimecheka kinoma leo nadownload instargam kwa ajili yenu
@muddymbwana5679
@muddymbwana5679 9 месяцев назад
Utofaut mmoja mtoa clip mwengine movie
@tuyisengemariegoreth9489
@tuyisengemariegoreth9489 9 месяцев назад
Am in Lusaka Zambia 🇿🇲 Nakukubali stiv ila cram vev. Naona kama hamipo kwenye lev Moja kwakuwa
@NajmaMohd-f8o
@NajmaMohd-f8o 9 месяцев назад
ni uongo jana tu walikuwa live tiktok pamoja wakicheka na utani kwanza hii video ya clam ilikuwa jokes coz walikuwa na match you guys stop confusing us😂😂😂
@ModestussMashallooh-vd7wx
@ModestussMashallooh-vd7wx 9 месяцев назад
Sasa stevu hii amepita kuazia leo kesho ni mbwembwe tu😊
@muhammadrashford4757
@muhammadrashford4757 4 месяца назад
Clam ndo Yuko Juu kuwaliko wasanii wote TZ baada ya Clam ni Kicheche na kama unabisha basi hujui kitu. Clam Yuko Juuu
@nicksonimbai4480
@nicksonimbai4480 9 месяцев назад
Mweusi ❤❤
@user-maua
@user-maua 9 месяцев назад
Tupo kaka upande wako tutakusapoti kwalolote bro love you so much ❤ ❤
@NorahNorahmwari
@NorahNorahmwari 9 месяцев назад
Wanao pendA clam gonna like apo
@odemarysilas573
@odemarysilas573 9 месяцев назад
Steve mwambaa ❤❤❤❤
@JohnNzioka-m8r
@JohnNzioka-m8r 9 месяцев назад
Johnny apa ni Nairobi Kenya steve mweusi baba yao
@Assam62
@Assam62 9 месяцев назад
Ila nyie mnaweza kutengeneza HELA hao hawan lolote wako pamoja ila wanajifanyisha tyu
@AmosJumaMapalala-tp4wz
@AmosJumaMapalala-tp4wz 9 месяцев назад
kabs
@RuthiDaniel
@RuthiDaniel 5 месяцев назад
Mafanikio yajitangaze yenyewe,usiyatangaze kwa maneno.stivu your correct.
@sinawsinaw9081
@sinawsinaw9081 9 месяцев назад
Tunakupenda sitivu meusi❤❤❤❤
@nordinebaraca4635
@nordinebaraca4635 9 месяцев назад
Nilicho sikia, ambae ana mwenzake mvuto ana 🤔🤔🤔🤔
@FeisaliFeisali
@FeisaliFeisali 9 месяцев назад
Hhahahah nikweli
@alexanton9183
@alexanton9183 9 месяцев назад
Clam aache utoto kweli anafanya vizur lkn steve ni level zingine kwake
@danielkayoli3492
@danielkayoli3492 9 месяцев назад
Mm step nampa kura yang bila waswas...i lk that man more....niko kenya but nikimtanzama nafikiria tu dugu yanguuu
@gunyndeka-k3k
@gunyndeka-k3k 9 месяцев назад
Steve Mweusi ako juu ❤❤❤
@RobinsonUmungu
@RobinsonUmungu 9 месяцев назад
Kenya tupo na stivu❤
@عايشهعايشة-ر1ب
@عايشهعايشة-ر1ب 9 месяцев назад
Si kenya yote ww
@ninahprimx7361
@ninahprimx7361 9 месяцев назад
Mkiwa kweny page ya clam mnamsifia clam mkiwa uk mnamsifia Steve unafki😊acheni
@GeorginaMmboshia
@GeorginaMmboshia 9 месяцев назад
Stivo mweusi nakutambua be strong kazi kujipaka mibilichi was just chliing
@KaumbiyaCute
@KaumbiyaCute 8 месяцев назад
mm nampenda sana steve mweusi 9:54 10:12 10:15
@reginamathayo4956
@reginamathayo4956 9 месяцев назад
Heee jamn mi nilipoona vile vi creep nilidhani ni utani, kumbe kweli😢
@user-nq3lb9hy6n
@user-nq3lb9hy6n 9 месяцев назад
Steve tumika kazi Yako kama unavyo fanya, pendanenitu basi, uyo ni mdogo wako. William apa Congo Lubumbashi
@Khalufan
@Khalufan 9 месяцев назад
Nakubar mwamba
@ميقنميقن
@ميقنميقن 9 месяцев назад
Nipe Link yako ntakuwepo
@nadiajames4598
@nadiajames4598 9 месяцев назад
Nakupend san steve haujui tu
@Spagles
@Spagles 9 месяцев назад
Oya me namfatilia clam lakin kwa kesho Niko kwa Steve coz Steve nakukubali San #clam anatak apitie kwa steve😂
@hadijaramadhani4801
@hadijaramadhani4801 9 месяцев назад
😂😂😂dah nimecheka
@Spagles
@Spagles 9 месяцев назад
@@hadijaramadhani4801 umecheka nn na ww
@muhamedimdoe
@muhamedimdoe 9 месяцев назад
Haya kama unamkubali clam vevo au clam cris gonga like apa
@ImaniMukoto-l5v
@ImaniMukoto-l5v 9 месяцев назад
Tunakupenda kk miye kanzi Yako nitakusapoti ila sijapata gisi tuongeye kk stive
@PeacegacheriPeacegacheri-vi9mg
@PeacegacheriPeacegacheri-vi9mg 9 месяцев назад
Nakupenda Sana Steve🎉
@felixmuendo9252
@felixmuendo9252 9 месяцев назад
Shidangu sijuangi Steve akiwa serious banae😂
@AlindaRwegasila
@AlindaRwegasila 9 месяцев назад
Steve 👍 the best
@JacksonBahati-wj1zx
@JacksonBahati-wj1zx 9 месяцев назад
Steve we mshindi usi muogope clam nipo drc🇨🇩🇨🇩 nakufata juu ya tano
@NzomoKahehu
@NzomoKahehu Месяц назад
oa clam Steve motor tu Mr bonface kutoka mombasa likoni Kenya 🇰🇪
@Mohammedaa-xp3tq
@Mohammedaa-xp3tq 9 месяцев назад
Ucjali stevu utashinda 2
@kelvinngokadouglas7005
@kelvinngokadouglas7005 5 месяцев назад
Japo kuwa Clam ni dogo but anaweza films zake ziko fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alevanytz3472
@alevanytz3472 9 месяцев назад
Stive good bro hna baya achana na kilandege😂😂
@abednego229
@abednego229 9 месяцев назад
Mko sure sio kiki 😅, just asking
Далее
VITUKO VYA KWENYE DALADALA STEVE KIMEMLAMBA NDARO
8:00
ROBLOX TRAND AGAIN. Part 7☠️🗿🙋🏻‍♀️
00:16
USO KWA USO DIAMOND PLATINUMZ  NA STEVE KAMCHANA ANGELA
16:26
KINYOZI MPUUZI
8:16
Просмотров 2,1 млн
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 694 тыс.
UTACHEKA NDARO NA STEVE KIMEUMANA
9:58
Просмотров 739 тыс.
VINNIE BAITE STEVE MWEUSI HUYU DEMU WANGU
15:10
Просмотров 564 тыс.
ROBLOX TRAND AGAIN. Part 7☠️🗿🙋🏻‍♀️
00:16