Тёмный
No video :(

UHONDO with Mwanamke wa shoka Shamimu Mwasha 

Dina Marios tv
Подписаться 284 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 141   
@rahmaawadh9411
@rahmaawadh9411 3 года назад
Kwa mujibu ya hii interview Swebe alikua kesha jua kua huyu na mumewe wanajihusisha na kuuza unga,Mm nimeitazama leo tarehe 15 April 2021
@shizaarfred4059
@shizaarfred4059 3 года назад
Alie kuja baada ya huyu dada jufugwa maisha tujuane hapa mm nimeumia kidogo kwaajili ya watoto ila nimefurahia tu wao kwenda jela maan wanatuharibia family hawa watu sio watu wazuri hata kidogo
@chausikuzahoro3483
@chausikuzahoro3483 3 года назад
Mie😂
@shizaarfred4059
@shizaarfred4059 3 года назад
Unacheka na huko mtaan wametuharibia family kaka waume na pia wamewafanya wanatoa udenda tu huko hawana kazi yeyote
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 4 месяца назад
Mm nimekuja baada kuona coment za wadau wanazengo Kwa Millard ayo kuhusu Mama Samia kusamee wafungwa kadhaa Leo 26.4.2024 na kukutana na mkwaruzano WA comments kuhusu shamimu
@anitamushi5934
@anitamushi5934 3 года назад
Who else is wacthing this is 2021
@Anita-we4vf
@Anita-we4vf 3 года назад
✋baada ya hukumu 🙌
@shuweynalove3622
@shuweynalove3622 3 года назад
@@Anita-we4vf hela ya halali
@mosucc1269
@mosucc1269 3 года назад
🙌🙌
@Anita-we4vf
@Anita-we4vf 3 года назад
@@shuweynalove3622 lol ... inawezekana anamchora tu hapo
@mwanyangalamedia1068
@mwanyangalamedia1068 3 года назад
❤️❤️❤️
@danielx8
@danielx8 3 года назад
Alikuwa anashituka kila wakati Swebe akisema mfanya biashara 🤣🤣
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Nmekuja kuangalia baada ya kuhukumiwa 🤔🤔🤔
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 года назад
@Khadijah Alli me pia ndio naangalia baada ya hukumu yake ya maisha.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
@@nakundwamkubwe7823 😂😂😂
@angelkulwa840
@angelkulwa840 3 года назад
Yaani😭 Swebe ni kama alijua wanafanya biashara haramu.
@fadiasly3048
@fadiasly3048 3 года назад
Mm nimeangalia baada ya shamimu kufungwa maisha mungu ni mwema utatoka ila siyo kila mtu unaemuona ukamwamini wengine wanatumia kazi zingine kama kimvuli tu kumbe wanamambo yao duuuh mwenyezi Mungu tusamehe waja wako
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 3 года назад
Daaah aisee nimepata fundisho kubwa Sana kwenye hili kumbe usione watu Wanatanua na kuitwa wanawake wa shoka ukataka nawe kuiga kumbe wenzio Wana Mambo mengine
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 года назад
Kweli Fatma mwaya.Yesu macho.
@frankjackson1804
@frankjackson1804 3 года назад
Duh,hebu kafie jela na uongo wako
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 года назад
Mungu atakusaidia utatoka ukaleye wanao moyo wangu wanambia ivo🙏 Akuna binadamu alio kamilika 👌
@happymsaki1720
@happymsaki1720 3 года назад
Pole sana shamim na acha kudanganya watu wewe Malengo ndio yamekufikisha hapo Leo ila Malengo yako yalikuwa sio kabsaa ni kutuharibia watoto wetu
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 3 года назад
Maskiniii!! Miaka yote jela adi kifo dd shamimu et mwanamke wa shoka 😂😂 mamaaa alikuwa anatuulia wanetu..afungwe tuuu
@shizaarfred4059
@shizaarfred4059 3 года назад
Yani mm natamani wengine zaid wafugwe na hata hiyo yakuseam sijui lufaa isiwepo kabisa wametumalizia ndugu zetu
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 3 года назад
@@shizaarfred4059 kabisaaa yani wakaozee jela ..mwisho wa raha zikii wanakiona ss akuna cha rufaa hapo,maneno ya mkosaji tu yalee imeishaa iyooo!
@Lassana755
@Lassana755 3 года назад
Ssa tutakula wapi jamani na ndo kazi iyo ni ajali kazini tu wala hatukati tamaa
@ibrahimngurungu5607
@ibrahimngurungu5607 3 года назад
@@Lassana755 bado wewe na nishakumake
@ibrahimngurungu5607
@ibrahimngurungu5607 3 года назад
@@Lassana755 bado wewe na nishakumack
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 3 года назад
Alikuwa anaongea kumbe moyoni anajijua wanaumiza watoto wa watu wengi sana, jamani biashara nyingine zina laana sana
@subirajohn728
@subirajohn728 3 года назад
Yaani watoto vijana wengi sana wameharihabika jamani kwa madawa inauma sana yaani ni uuwaji mkubwa sana!
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 3 года назад
Shamimu alikuwa na bwebwee kumbe Siri ya mtungi aijuae kata,alikuwa anatuulia wanetu jamani..wakaozee jela tu ss zamu yao kura msoto marage tu yajela..
@pascalkasandakasela4541
@pascalkasandakasela4541 3 года назад
Ndiyo maana swebe alisisitiza sana. Hela halali,hela halali. Pengine alinusa
@mussamivache4986
@mussamivache4986 3 года назад
Umeongea point
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 года назад
Ukiionaivyo alishasikiaga
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 3 года назад
Nlichokugundua walijieka ki mtandao sana wangekuwa privet wala wasingejulkana kbs
@henrykibodya1207
@henrykibodya1207 Год назад
Asiyesikia la mkuu Light Shamim angekubali kushaulika yote haya yasingemkuta ila Mungu amsaidie aweze kutoka nimemuonea huruma sana binti kutoka Morogoro
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 3 года назад
Nimekuja hapa bahada ya hukumu nimjue zaidi shamim wewe je unamjua mtaje
@mataunasharifu6249
@mataunasharifu6249 3 года назад
HAta mimi
@neemakungule8633
@neemakungule8633 3 года назад
Nami pia
@stellah3844
@stellah3844 3 года назад
Hata mimi
@zulehaabubakar3574
@zulehaabubakar3574 Год назад
Sasa utayafikiria mengi mwanamme kakuangamiza fanyeni biashara za halali anaependa mungu
@florapaul4574
@florapaul4574 3 года назад
Mwanamke wa shoka kumbe muuza dawa za kulevya. Muwe mnawachunguza hao watu na sio kumuona tajiri basi ni mwanamke wa shoka.
@faridahjuma2000
@faridahjuma2000 3 года назад
✋I'm here ✋
@shizaarfred4059
@shizaarfred4059 3 года назад
Milio5 hizo ndo ulikuwa unatuongopea wanawake wenzio Kumbe u atuulia family wanawake wenzio natuachiamatahira tu huko mtaan wanatoa tu udenda
@aishachambo3293
@aishachambo3293 3 года назад
Mama wa poda kazi kutuaribia watoto wetu nawachukia sana wauza madawa
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Yaan mnafki sana
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 3 года назад
Wauza pombe je
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 3 года назад
Amini kwamba si watu wazurii yani
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 года назад
@@kitonekantasha1687 Ata wauza bangi ,mvuta bangi unaweza panga nae mipango Leo kesho umuelewi
@babaamanda1809
@babaamanda1809 3 года назад
Huyu nahisi mumewe ndie aliemponza mpaka akawa drug deal ....all in all ...Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi kwa kwel
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 3 года назад
Yah mumewe ndio alikuwa muuzaji. Alipomuoa akamshirikisha mkewe. Hata siku police wameenda nyumbani kwao shamy aliwambia mumewe kasafiri kumbe amemficha
@ashminaabdullah7049
@ashminaabdullah7049 3 года назад
Kabisa
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 3 года назад
Maneno mzuri lakini kumbe auwa vijana wetu
@marygaspar6429
@marygaspar6429 3 года назад
Kumbe ni weweee! mmh! Jela tenaaa!
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Biashara nyengine ungaa au mmesahau🤣🤣
@Commentsplus
@Commentsplus 3 года назад
Leo yupo lupangoooooo
@finahamis8875
@finahamis8875 3 года назад
baada ya hukumu story za kibubu zmeisha
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 3 года назад
Tenaaaaa.. akatuzie kibubu jelaaaa!
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 года назад
Amekaa kutudanganya shamimu nyoko ww na mumeo mmejua kutuharbia watoto.mkafeee huko.mnapenda raha nan asopenda.kenge kweli.mmewapotezea watoto wenu dira.lkn ni malipo ya mungu hayo.na wengne mjifunze.
@summanelson5523
@summanelson5523 Год назад
Huyu dada bwana!!!! Hiyo hela ya kusave si mpaka uwe nayo!!!! Ila sasa hivi tumejua kwa nini unaweza kufanya haya!!!! Unga!!!! Kula maisha dadeki!!!!
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 года назад
Media bongo wanapenda kuwapa watu attention au kik bila kujua shuguli zao
@hamoudsaid5582
@hamoudsaid5582 3 года назад
Hata kuuza madawa yakulevya ulikua front
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 3 года назад
Ndio maana mashabiki wengi walimstukia biashara ya mtandao unaingiza milion 5 kwa mwez?dah maisha yana siri kubwa kumbe muuza unga dada
@agnessherman2926
@agnessherman2926 3 года назад
Ndio maana tunakumbushwa tusiige,wala kutamani maisha ya wengine
@mussamivache4986
@mussamivache4986 3 года назад
Kumbe nimekuelewa ulikua unadunduliza ela za madawa ya kulevya kwenye vibubu daaaah
@bintiallymajid1295
@bintiallymajid1295 3 года назад
Amepotea toka akamatwe jmn ila ujifunze
@anastaziamruma3775
@anastaziamruma3775 3 года назад
Imebid nirud nikaone mama wa vibubu kumbe muuza unga
@fantamohamedi8564
@fantamohamedi8564 3 года назад
Mipango yote kumbe hela ya madawa na mambuzi kayale jela.
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 года назад
Ila tuache utani wanawake wote mlio kwenye ndoa njoeni ili swali mjibu je waweza kumstaki Mume wako hanauza madawa na unampenda na watoto ?izi kesi nyingi kam yale yaliompata kajara kha
@eppiemodest
@eppiemodest 3 года назад
Pole sana.
@sayrachuna6705
@sayrachuna6705 6 лет назад
Swebe raha sana
@mariamjuma9215
@mariamjuma9215 6 лет назад
Hahaa kilakitu chake amalize kwenye kibubu Sofia ntakuuza bureee
@mosucc1269
@mosucc1269 3 года назад
Noma
@siwemamichael690
@siwemamichael690 3 года назад
Kujifanya wa shoka kumbe mama maunga
@da2mshenzi817
@da2mshenzi817 3 года назад
Swebe unachekesha eti vinegar anaweza kuzania stering was kihindi
@irenembura5684
@irenembura5684 3 года назад
Sasa ataenda kuchoma nyama jela uwiii!! Kweli siri ya mtu ni Mungu pekee anayejua!! Sasa hii interview amedanganya watu wangapi???
@neemavahaye4184
@neemavahaye4184 2 года назад
Ulitudanganya we dada
@Commentsplus
@Commentsplus 3 года назад
Unauzaaa unga
@samirakiango957
@samirakiango957 Год назад
🤣🤣🤣jamanii nyiee mpka huruma yanii mtoto wamjini kumbe ngada inaongea
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 года назад
Jamani wamtoe alee watoto wake maskini
@bobchanda2460
@bobchanda2460 3 года назад
Miaka 💯 jela
@aishachambo3293
@aishachambo3293 3 года назад
😂😂😂😂
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 3 года назад
Kabisaaa😂😂nyodo kuleeee
@selemanmangoma8849
@selemanmangoma8849 2 года назад
Mhhh
@florencemlay9333
@florencemlay9333 3 года назад
Kumbe ilikua ni lazima ufungwe maana si kwa mashauzi hayo🙄🙄
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 3 года назад
Ss anadengulia jela..kwaza kashakuwa mwenyeji toka 2019
@irenembura5684
@irenembura5684 3 года назад
Ungekuwa mkweli kwamba unauza madawa watu wangekuelewa wale ambao wanaona life style yako iko juu!! Kweli ukweli ukijitokeza uongo unajitenga. Haaaa Kibubu🤣🤣🤣
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 3 года назад
Na me nimekuja apa baada ya kifungooo doo
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 года назад
Akiuza madawa kwa mtandao ukweli ukizihir uongo wajitenda kapanda kalandika maskin
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 3 года назад
Kwahiyo ajira yako ya mitandao ilikuwa ni undercover yako!?kweli uliweza hayo maisha ya aina mbili!!? Huku bloger,,,huku,,unga !!?
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 3 года назад
Muuza sembe. Don't believe everything you see on social media. Let her rot in Jail. Kaharibu future ya vijana mamilioni.
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Год назад
Msameheni alee watoto wake jamani
@minmaxc485
@minmaxc485 3 года назад
BAADA YA MIAKA 3 NIMERUDI HAPA@washoka life in prison without parole ndo halali hiyo pesa yake? na vibubu venu sasa kifungo cha maisha
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 3 года назад
Huyu mtangazaj wakiume kama ulkw anaongea fumbo hv eti hizo pesa za halaliiiii?😂😂
@credo7837
@credo7837 3 года назад
🤣🤣🤣
@starlily07
@starlily07 6 лет назад
Swebe na Sophia napenda mnavyotaniana, hahahaa Swebe amesema atadanga na kibubu hahahaa
@credo7837
@credo7837 3 года назад
🤣🤣
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 года назад
Kumbe uku anakibubu kikubwa kinacho muingizia mkwanja khaaa ona ss umeacha watt bado wanakuitaji
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 3 года назад
Et alikuwa anatuzuga na vibiasha vyake..kumbe muuwaji wallah..akauzie unga jelaa ss
@azisaazisa1533
@azisaazisa1533 6 лет назад
swebe kiboko
@fahadfahmy
@fahadfahmy 6 лет назад
Pesa yahalali inakazi
@mariam1chuwa542
@mariam1chuwa542 3 года назад
Serve ulikua unajua biashara yake kumbe .mdada WA Kibosho unaniashara chafu fungwa maisha
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 года назад
Mjasiriamali,sio mfanyabiashara? Wewe kaka kichwa tikiti
@zubedamagambo9600
@zubedamagambo9600 3 года назад
Swebe anajua kuwa Shamimu anauza unga. Hapo anamkebehi tu
@patricialuande9540
@patricialuande9540 3 года назад
Ati mwanamke wa shoka;were u guys serious???
@ashminaabdullah7049
@ashminaabdullah7049 3 года назад
Sielewi mimi ndiyo leo naangalia
@peterpain5594
@peterpain5594 3 года назад
Yani hawa madrakidilla wanatunganya na vitu vyakitoto kumbe apo anavyoongea kumbe moyoni shetani
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 3 года назад
Mjasiriamali wa mitandaoni🤣🤣
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 3 года назад
Trust no one in this life!
@moonaamli6835
@moonaamli6835 3 года назад
Ndio maana wanasema njia ya muongo fupi Biashara ya mtandaoni milioni 5 kwa mwezi Kumbe unauza madawa ya kulevya pumbavu kabisa Sasa mnavuna mlichopanda
@emmanueljsemwaiko1442
@emmanueljsemwaiko1442 3 года назад
Kumbe muuza madawa ya kulevya,aibu tupu
@peterpain5594
@peterpain5594 3 года назад
Mungu uyu jamani anaumbuwa sometimes
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 3 года назад
Sanaaaaa
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 3 года назад
Mwisho wa ubaya aibu
@priscanicholaus6439
@priscanicholaus6439 6 лет назад
Hahaha eti nitadanga na kibubu
@irenemsumba6776
@irenemsumba6776 3 года назад
Hatar
@irenemsumba6776
@irenemsumba6776 3 года назад
MH🤷🤷🤷🤷
@mariammohamed3104
@mariammohamed3104 3 года назад
Kumbuka'yuko'.wapi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Hy ya mda kumbuka kaaza juz tuu hp kaz
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Swebe mkorofi wewe😂😂😂😂
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 года назад
Saumu😂😂😂
@emmamombo7149
@emmamombo7149 3 года назад
Jamani serikali msameheni huyo dada watoto wanateseka yy alitudanganya kuhusu vibubu kumbe ako na biashara haramu kuuwa watoto wawatu
@ummusamira3518
@ummusamira3518 3 года назад
Nihaki yake watoto watalelewa na ndugu zao Salama nawao wastarehe jela maisha na watoto wao wataenda kuwatizama jela
@reginasawe3356
@reginasawe3356 3 года назад
Kwa wenye ndugu walioathirika na madawa ndio wanauchungu...wewe madawa ubaki unayasikia tu
@emmamombo7149
@emmamombo7149 3 года назад
@@ummusamira3518 jamani ww na mm tumesikia kuwa alikuwa hana ukaribu na ndugu zake kwa utajiri aliyekuwa nawo haramu watoto wako kwa rafiki na rafiki anasema pesa ile isha siyo maneno yangu in maneno ya habari pia wale watoto wanateseka mdogo Ana miezi sita kama sikosei jamani mtoto in mdogo ww hata kama ni mama jamani kuwa na moyo wa huruma kumbuka apo nikifungo cha maisha hata sio miaka ate atarudi alee watoto wake serikali imuonee huruma tuu kwa sababu ya watoto basi afungwe maisha akiwa nje bora alee wanawe mwanzo huyo mdogo mm ananitia imani sana
@ummusamira3518
@ummusamira3518 3 года назад
@@emmamombo7149 serikali ina hiyari yake mamy ola hilo ni funzo kubwa Sana mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe tusidharau wazee na ndugu zetu na mungu haondoi kitu kabla ya kukuekea kitu kwaiyo hao viumbe vyake atavisimamia bila matatizo yeyote kwa ilo sina wasiwasi
@emmamombo7149
@emmamombo7149 3 года назад
@@ummusamira3518 kweli kweli ma my nimeamini dada alitufunza jinsi ya kusave kumbe mwezetu anabiashara haramu kabisa ya kuua ndugu zetu mtaani umejinga Sasa siungeacha hiyo biashara Lakini tamaa hata afathali kafungwa Tanzanian nasikia China ndio kunyongwa kabisa
@nassorozumba8025
@nassorozumba8025 3 года назад
Mh
@islandgirl4578
@islandgirl4578 3 года назад
Asante kumbe mlikua mnahoji haramia
@zainabissa7986
@zainabissa7986 3 года назад
Ila swebe alikua kama anamchora vile,Yani alimshtukia flan hivi😆😆😆
@merryvaleria864
@merryvaleria864 3 года назад
Duuh nimejifunza kutokuamini wafanyabiashar anakwambia nimeanza kuuza maandaz sa hvi nina hotel looh Watt tu jaman! Ila mtu huvuna alichopanda. Hata mliowaharibu na madawa ni watoto wa watu na wazaz wao wanalia na maumivu
@islandgirl4578
@islandgirl4578 3 года назад
@@merryvaleria864 malipo ni hapa hapa merry acha afie jera
@faridakidoti6734
@faridakidoti6734 4 года назад
Kumbe alikuwa anawachota wenzie akili kuna mlango wa pesa mkubwa tu ukiacha hicho kibubu duh
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 года назад
Hatariii...khaa...waja sio watu
@sittisittitobaa7036
@sittisittitobaa7036 3 года назад
🤣🤣🤣🤣mtihani
@zwainazwaina9808
@zwainazwaina9808 3 года назад
Hhh
@ngwayatv2798
@ngwayatv2798 3 года назад
Kumbe muuza unga shame on you
@Commentsplus
@Commentsplus 3 года назад
Leo yupo lupangoooooo
Далее
PASTOR ROSE SHABOKA AKIZUNGUMZA NA WANAWAKE WA SHOKA
35:51
SIKILIZA HAPA KUNA CHA KUJIFUNZA
7:07
Просмотров 9 тыс.
Thasiana Thomas-Mwanamke Wa Shoka(Official Video)
3:27
Msichana mwenye jinsia ya tatu
2:27
Просмотров 42 тыс.