@@tatuamidu40 kwan Qaswida na nyimbo zimetofautiyan nn Qaswida inaara ya muziki na nyimbo zinaara ya muziki kwa hiyo hukumu kiislam Qaswida ni mziki tusihalalishe vitu ambavyo havijahalaliswa ila nashiid utenzi zina ara ya shairy ni halali Allah atusamehe tuu ss wajawake sii wakamilifu ila pia Qur'an inasema tukawaulizewanao juwa tuliwa ss hatujuw pia tunapaswa kukumbushan yaliyoamrishwa na kukatazwa ss watu tukikosey tukilinganiwa kukumbushwa tusiwe wabishi adhabu za kabri ni kali