Astaghfirullah ndio ukht uyo mtoto wa kiislamu harusi yako unajipigia tarabu mwenyeo, ndio mana ndoa zinakua hazidumu munamkera mola wenu, ukht Shara nakuonea huruma omba msamaha kwa mola wako
Sauti nzurii mashallaah lkn huku paswa kumuimbia mbele ya hadhara hayoo ni mambo ya makafiriii alafu unajiita ukhti gani wewe any way sishangai Sana maaana ya ukhti ni Dada kwa iyoo sijui unatufunza nini hapoo Dada Eti duuuuhhh tubu kwa mungu Wako yy ni mwenye rehma na mwenye huruma kukusamehe hashindwdiiiii
Onesheni mifano mizuri ktk jamii kwa mtuakiolewa kajistili juba nagauni lisilokua na marembolembo nakamaunajipodoa ufiche ulicho kupaka ndo Sheria ya kiislmu
Allah akujaalie kil l kheri kweny ndoa yk Dada yng lkn musijibadilishe majina mukishafikia kuwango CH kuw mastaa jiite jin lako n ulipolelew uoathamini n waluokulea pia uwathamini
Yaan ndigu zangu WA kiislam tunapinga Aya ya Allah SW inayosema Wala musionyeshe mapambo yeni isipokuwa Kwa waume zenu SS tunafanya mm halafu tunajiita maukhty mtume Saw anasema hakika ya kujistir hakupunguz k2 ktk uzur wako SS kama hatujakaa na nguo ambazi sizo hatujaridhika bd turudini Kwa Allah SW jamani akhera kuzito sana