Тёмный

🔴LIVE UKHTY SHARA | AFUNGUKA "SINA BIFU NA MTU" | "NATARAJIA KUOLEWA" | FULL INTERVIEW ZENJI FM 

Mulas Digital TV
Подписаться 29 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

KARIBU KATIKA RU-vid CHANNEL YETU HII KWA KUPATA QASWIDA MBALI MBALI KUTOKA TANZANIA ZENYE UJUMBE TOFAUTI UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KU-SUBSCRIBE KU-LIKE NA KU-SHARE ILI UWE UNAPATA TAARIFA ZETU KWA WAKATI HUSIKA.

Видеоклипы

Опубликовано:

 

6 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@SmilingBocce-gj9jx
@SmilingBocce-gj9jx 11 дней назад
Ebhana naombeni ajira katika media yenu zenj Fm
@mulasdigitaltv131
@mulasdigitaltv131 10 дней назад
Namba yko ya simu
@SharaSalum-wj3xy
@SharaSalum-wj3xy Год назад
Big up jitihada utafik mbal my
@Ishakmbarouktv
@Ishakmbarouktv Год назад
Asnt kaka Mulas kwa kutukhabarisha
@mulasdigitaltv131
@mulasdigitaltv131 Год назад
asante sana kwa kufatilia
@rashidabdurra3145
@rashidabdurra3145 Год назад
jitaidi shara🤗🤗
@salummkubwa5297
@salummkubwa5297 11 месяцев назад
Nakumbusha kuwa qur an inasomwa haiibwii arekebishe hapo uyo ukhty amekosea saan apo
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Unajua shara lkn hupo srious na kaz yako
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Год назад
Kasoma nini sema kaimba miziki sio kasida nakasida nindugu yake taarabu
@kaloujsrweddings
@kaloujsrweddings Год назад
oyaa wasanii wote zanzibar hawaongeolei ukwel kwny tasnia hii
@ukhtyashachannel5505
@ukhtyashachannel5505 Год назад
😄😄😄😄kwanini kaluu
@faridafaki4927
@faridafaki4927 Год назад
Kalou kaongea aisha muulize camera wak
@faridafaki4927
@faridafaki4927 Год назад
Shara anasema kaanzia kusoma madras cio kwely ujitambe watafuta Kiki y kutafuta mabwana mitandaoni huk hujampata usijidai n km umeanza kusoma madras tuachilie moja bila rikodi
@LatifaMatayo-sz2cb
@LatifaMatayo-sz2cb Год назад
@@faridafaki4927 mbona umepanik sana weye vipii
@ukhtyshara5094
@ukhtyshara5094 Год назад
@@faridafaki4927 kanisomesha yy kwao lbda utaijuaje siri ya mafanikio yangu na utahangaika ivyo ivyo natafuta mabwana na nishampata bwana antafutwa anakufata iyo tabia unayo wewe nimezaliwa na nyota yangu 🥱🥱🥱🥱
@faridafaki4927
@faridafaki4927 Год назад
Huna lolote shara unajitahidi tu
@ukhtyshara5094
@ukhtyshara5094 Год назад
Utajiju choyo chako uko
@faridafaki4927
@faridafaki4927 Год назад
@@ukhtyshara5094 choyo kwa sauti iyo unavyoilazimisha shosty maana apo umesoma kidgo kumbe maik husaidia weng
@LatifaMatayo-sz2cb
@LatifaMatayo-sz2cb Год назад
@@ukhtyshara5094 mwambie uyo
@LatifaMatayo-sz2cb
@LatifaMatayo-sz2cb Год назад
Binaadam atutakiani mema
@HassanSalu-pt7bu
@HassanSalu-pt7bu 4 месяца назад
​@@ukhtyshara5094dont worry shara ok
Далее
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Wapeni Njia Warembo
13:06
Просмотров 784 тыс.
Big Baby Tape, Aarne - Supersonic
2:44
Просмотров 683 тыс.
Mirjalol Nematov - Barno (Videoklip)
3:30
Просмотров 4 млн
Shoxruxbek Ergashev - Alam ekan (Official Music)
4:37