Тёмный

UKIOTA NDOTO HIZI 8 JUA KUNA WATU WANAKWENDEA KWA WAGANGA KUKUHARIBIA MAISHA. WAHARIBU HIVI KIRAHISI 

SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY
Подписаться 34 тыс.
Просмотров 224 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 391   
@SarangeWilter-k6m
@SarangeWilter-k6m 10 месяцев назад
Hakuna silaha ya adui itakayo faulu kwenye maisha yangu....nasikemea katika jina la yesu
@ElizabethKiula-v7r
@ElizabethKiula-v7r 9 месяцев назад
Hizo zote hazina mamlaka ktk jina la YESU KRISTO ameen,barikiwa mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho mazuri
@Sangaligospel
@Sangaligospel 7 месяцев назад
Zishindwe kwajina la yesu
@lucksonrupa3618
@lucksonrupa3618 День назад
Amen mm luckson navunjwa zote zaajabu ajabu juu yangu , damu ya Yesu inifunike maisha yangu yote . Na funika mwili wangu wote na damu ya Yesu christ Amen .
@Lilian20248
@Lilian20248 7 месяцев назад
Navunja nguvu za giza na ndoto zake zote ninaziteketeza kwa jina la Yesu Kristo🔥🔥. Ninakukaribisha Yesu Kristo ndotoni na maishani mwangu, Amen🙏🙏🙏
@GetrudaMwaikenda-dm5qj
@GetrudaMwaikenda-dm5qj 2 месяца назад
Damu ya Yesu inifunike usiku huu Ameen
@zephanianyakiha8598
@zephanianyakiha8598 7 месяцев назад
Asante barikiwa sana,nami Kwa damu ya Yesu na Mungu ndoto za ajabu ziniondoke
@HeliethAtilyo
@HeliethAtilyo 6 месяцев назад
Nazifunga nguvu za giza zote kwa damu ya YESU KRISTO,naharibu milango ya shetani na maadau kwa Mamlaka ya damu ya YESU Kila kilichochangu nakiludisha kwa damu ya YESU Amina
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 11 месяцев назад
Amen ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho mazuri
@JuliusLealmusia
@JuliusLealmusia 8 месяцев назад
Amen Na Milele Amina God bless you utuobee tushide kufu sa mapepo ishudwe katika jina la yesu Milele Amina 🙏🙏🙏🙏
@RahmaMusa-i6m
@RahmaMusa-i6m 6 месяцев назад
Ndoto zote zishindwe kwa jina la yesu ikiwa ni kwangu ,kwa familia na kwa ndugu na jamaa kwa mamlaka ya jina la yesu tutashinda UBALIKIWE sana mtumishi kwa kukubali kutumika juu ya hyo huduma na asante sana kwa kutukumbusha baazi yetu tulio lala wakati huu dunia iliochafukwa hakika yatupasa kuwa macho saa zote.
@JoyJ-qs4fv
@JoyJ-qs4fv 8 дней назад
Amen mtumishi umbarikiwe sana
@RosemaryOwori
@RosemaryOwori 9 месяцев назад
Amen 🙏🙏🙏 Damu ya Yesu itufunike
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 2 месяца назад
Asante Sana mtumishi nilikuwa nikikasirika nalaaani kuanzia Leo notabariki
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 2 месяца назад
Asante Sana mtumishi nilikuwa najiuliza hizo ndoto za makaburi na baharini zimenisumbua Sana
@vallntineayuma
@vallntineayuma Год назад
Hizo zote zishindwe kwa jina la yesu kristo Amen 🙏 Amen 🙏
@EdwardSambai
@EdwardSambai 10 месяцев назад
Mtumish mm naota kama kuna ugeni kwetu lakn jicho lang la mkono wa mashoto juu linacheza sana kwa siku hata mara 4 cielew inamaana gan
@AnnaSanga-ct1ul
@AnnaSanga-ct1ul 9 месяцев назад
Zishindwe katika jina la yesu
@inviolathaMasinde-yy1by
@inviolathaMasinde-yy1by 9 месяцев назад
Zishindwe kwa jina la YESU kristo
@Dianamoraa-je7bf
@Dianamoraa-je7bf 9 месяцев назад
Shindwe katika jina la yesu
@oneboytzoneboytz6789
@oneboytzoneboytz6789 8 месяцев назад
Kila mashetani mapepo majini waganga washindwe kwa jina la YESU krisito
@MariaKahind
@MariaKahind 10 месяцев назад
Mungu nitenge na hizi ndoto za kiwanganga na kunitenga na kila silaha za kuzimu na uniweke huru in jesus name amen
@jacklinewanjikuwanjiku9241
@jacklinewanjikuwanjiku9241 10 месяцев назад
Amen amen thank God 🙏🙏
@chescokimatile4134
@chescokimatile4134 7 месяцев назад
Ahsante mtumishi wa mungu nitalifanyia kazi naamini mungu yupo upande wangu.
@SimonMwangi-j4d
@SimonMwangi-j4d Год назад
asanty sana mtumishi wa mungu kwa kututufafanuria ndoto
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 10 месяцев назад
Amen be blessed man of God
@imeldapoul
@imeldapoul 22 дня назад
Amina mtumishi ubarikiwe sana
@shakiechee6549
@shakiechee6549 10 месяцев назад
Kweli kabisa mie niliota hizo doto mbaya zote nikiwa mimba , nakemea zinajirudia, nikachukua sadaka yangu nikaombea na nikapeleka church hizo doto zote zikapotea, aftre apo ata sikukaa sana mimba ikalete shida ikabidi nizae kabla miezi kufika , na mungu akanilidia mtoto wangu now is growing well 🙏🙏,hii maubiri imenikumbusha nilichopitia , kama ningelegeza kw maombi kuna mchawi alikua na bindii y kuniaribia iyo mimba , lakini alishidwa kupitia iyo sadaka , hizi vitu ni serious usipo take action ,na maombi lazima kitu ikutokee mbaya utasemaga badae niliota hivi na hivi , wachawi washidwe mungu utulide
@maigathomas2353
@maigathomas2353 6 месяцев назад
Pole ndg ninaomba ni no yako kuna ki2 ninataka nikulize waweza kunisaidia
@neemakaveva910
@neemakaveva910 3 месяца назад
Nazikemea ndoto hizo mbaya ktk jina la yeah zishindwe ktk maisha yangu na familia yangu 🙏🏼🙏🏼
@WILSONSHEMHILU
@WILSONSHEMHILU 9 месяцев назад
Amennn kubwa,barikiwa mtumishi
@LeaNgira
@LeaNgira 17 часов назад
Kwa jina la yesu kristo naaribu Kila roho mbaya ya adui katika jina la yesu kristo najifunika kwa damu ya yesu kristo amen
@MussaJuma-v1s
@MussaJuma-v1s Месяц назад
Mungu niokoe kwenye ndoa yangu kila roho chafu zishindwe kwa jina la yesu
@leontinebinlydi9459
@leontinebinlydi9459 6 месяцев назад
Amen sana Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA 🙏
@joyceshirima207
@joyceshirima207 3 дня назад
Nakataa ndoto mbaya katika jina la Yesu
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg Год назад
Asante Sana mtumishi wa bwana.
@omundiirene8606
@omundiirene8606 10 месяцев назад
Be blessed a man of God Amen AMen.
@salehrashid392
@salehrashid392 9 месяцев назад
Kuna hii ndoto ya kuongea na maiti Huwa inanikujia Sanaa na nikiongea na Mtoto wa mjombaa wangu alifariki na hii ikiwa nko Kwa mto maji mingii nazamaa Tena nikiwa Shuleni tafadhali paster niombee
@EmmanuelJuma-py7hw
@EmmanuelJuma-py7hw 9 дней назад
Mungu nisaidie🙏🙏🙏 Naotanga nikiombea watu,,,nikikemea na kufanya miujizaa Ina maana gani plz
@appsplay4324
@appsplay4324 9 месяцев назад
Mungu nitenge n ndoto mbaya 🙏🙏🙏🙏
@AnneFrancis-m8z
@AnneFrancis-m8z 8 месяцев назад
Nafunika damu ya Yesu maisha yangu . Najiandoa kila mpango wa shetani. Uzao wangu hautazaa Mapooza katika jina la Yesu.
@honmaka6200
@honmaka6200 Год назад
Apostle Asante sana kwa mafundisho mazuri, naomba unisaidie vipi Ukiona wanaofanya kazi nawewe wanakupinga je hiyo ninini
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy Год назад
ROHO ya KUKATALIWA na KUZuiwA inatengenezwa DHIDI Yako
@JoyceMuthama-i5h
@JoyceMuthama-i5h 9 месяцев назад
Pastor niombee sana naotanga sana ma watu waliokufa na tena naota nikiwa shule nikifanya mtihani
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 9 месяцев назад
TUMA MAOMBI 12 WHATSAPP RAFIKI YANGU. ACHA DHAMBI NA UCHAFU MAISHANI MWAKO
@ElpidiusAlphonce
@ElpidiusAlphonce 8 месяцев назад
Hicho kitu Huwa kinanitokea mara Kwa mara na mm Sema kwajina la Yesu kristo havina nafasi kwangu Wala kwakila mtu wa Mungu amen amen mtumishi wa Mungu hakika yastahili kuabudiwa kuheshimiwa na kutukuzwa MILELE
@MeryJoshua
@MeryJoshua 10 месяцев назад
Ubarikiwe mtumishi Kwa mafundisho mazuri ,
@Helen-uh1ww
@Helen-uh1ww 8 месяцев назад
Amen grory to God, thanks for the gd msg may the lord bless you
@stanleyjohn1361
@stanleyjohn1361 Год назад
Mungu anakutumia hakika barikiwa sana
@azizaidrisa428
@azizaidrisa428 9 месяцев назад
Mungu nitenge na ndoto mbaya zisipate nafasi kwangu amiin
@halimamaulidi8279
@halimamaulidi8279 4 месяца назад
Amen
@WiltherArisa
@WiltherArisa 7 дней назад
Zishindwe Kwa jina la yesu.Amen Amen Amen🙏
@RamadhanIdd-bz2te
@RamadhanIdd-bz2te 14 дней назад
Sishindwe katika jina la yesu christo AMENI
@yungeelias9339
@yungeelias9339 9 месяцев назад
Zishindwe kwa Jina la Yesu
@PendofandekengaPendo
@PendofandekengaPendo 10 месяцев назад
PENDO FANDE KENGA mungu na kuomba uniondoe na hii vita hya shetani kwa jina la yesu amen
@MetrineNafula-h3o
@MetrineNafula-h3o 7 месяцев назад
Nakataa hiyo ndoto yote katika jina yesu ishindwee
@ZubedaYahya-qz5wr
@ZubedaYahya-qz5wr Месяц назад
ndoto mbaya zote zishindwe juu yangu mungu Baba naomba unibariki
@Niyonzima-o3h
@Niyonzima-o3h 20 дней назад
Hizo zishindwe kwa jina la yesu amennn
@damiandismas1077
@damiandismas1077 2 месяца назад
Amen! Kwa ujumbe huu
@AngelSkawa6469
@AngelSkawa6469 Месяц назад
Mungu niepushe na njozi mbaya
@fridahmueni9137
@fridahmueni9137 10 месяцев назад
Hizo ndoto nazitangazia kushindwa in mighty name of Jesus; juzi nilikuwa naota na mamangu kama amerudi na alikufa
@Aisha-f2g
@Aisha-f2g Месяц назад
Ameeen niondoleee kila ndoto chafu na yenye mipango miovu juu ya maisha yangh
@anethmichael6888
@anethmichael6888 10 месяцев назад
Amen in Jesus name,shetan hatotuweza
@RachelSyavugha-c4l
@RachelSyavugha-c4l 2 месяца назад
Mungu wangu damu Yako inigunike naunitenge mbali naizi ndoto kwajina la yesu kwa wotes ambao wanapangamabaya ju yangu bubaya yabo ibarudiye kwa jina la yesu
@FidelisNzisa
@FidelisNzisa Месяц назад
Nashukuru k mafundisho yako.leo nimekua n ndoto cjui n sauti ya mungu au n mwili.kuota n cousin yangu uxku akiniambia natafuta ile papa yenyu ati imeua kuku yangu.tena due same ndoto ikajirudia asubuhi.ingine nkaona mvua imenyesha n ikanyeshea solar yangu ikiwa k mabati.ya mwisho nkaona mzee mwingine n shaka akakata mti ukaanguka ukaenda chini.na vijiko za kula zimepitana.ukiziangalia xko.x yaani zko ex😮
@gloriarimba4080
@gloriarimba4080 Год назад
Amen kwakutufunulia ki undani🎉
@esthercheruiyot9401
@esthercheruiyot9401 9 месяцев назад
Amen and thanks
@estersendeu-fc6tj
@estersendeu-fc6tj 3 дня назад
amina sana
@LYDIABYEMELWA
@LYDIABYEMELWA Месяц назад
Mungu nisaidie, Damu ya Yesu kristo inilinde
@mumostephen9115
@mumostephen9115 9 месяцев назад
Hizo ndoto mbaya zote zishindwe kwa damu ya YESU
@janenjoki215
@janenjoki215 8 дней назад
Mungu nifunike na damu yako
@jeytown4698
@jeytown4698 8 месяцев назад
Aminaa mungua tusimamie
@MarryNnko
@MarryNnko 11 месяцев назад
Pastor mm nmeota Sana nyoka ananing'ata mikono na bibi yangu alishakufaga namuota kila mara
@GraceZunda
@GraceZunda 22 дня назад
Najifunika kwa damu YESU nazikataa ndoto mbaya kwa jina la YESU Ameen
@LeocardiaDaniel-sj3wl
@LeocardiaDaniel-sj3wl 9 месяцев назад
Mungu akunariki sana, maake baadhi ya ndoto ulizosema zimeisha nitokea mimi, ni kweli kabisa.
@jeanbaptistemurengane1491
@jeanbaptistemurengane1491 7 месяцев назад
May the Almighty God protect me from those bad dreams
@MossesClinto
@MossesClinto 6 месяцев назад
Hizi zote zineshindwa katika jina la yesu, amen amen
@MuhamediCongo
@MuhamediCongo 9 дней назад
Vishindwe katika jina la yesu kristu maadui washindwe katika jina la yesu kristu
@mwafrikatanda7532
@mwafrikatanda7532 7 месяцев назад
Avunja nguvu zote zinazonifatilia kuniharibia maisha ziludi kwa aliyezituma zimrudie na zisinifate kwa damu ya yesu iliyomwagika msalabani kwa ajili ya dhambi zangu amen
@Niyonzima-o3h
@Niyonzima-o3h 19 дней назад
Hizo zote zishindwe kwa jina la yesu amennn
@faithnekesa2701
@faithnekesa2701 8 месяцев назад
Ahsante sana mutumishi wa mungu endelea kutuombea
@jerushawachira
@jerushawachira 2 месяца назад
Jehovah nakataana na roho ya kishirikina katika maisha yangu na naomba damu ya yesu ikanitetee katika jina la yesu kristu.
@PendoThomas-jz6cp
@PendoThomas-jz6cp 9 дней назад
Nazikemea kwa jina la Yesu 🙏🙏
@MilikaGatwiri
@MilikaGatwiri 7 месяцев назад
Hizi zishidwe kwa jina lad yesu amen amen
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 7 месяцев назад
YESU KRISTO AKUSAIDIE Kwa jina la YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏
@bettykachira5710
@bettykachira5710 9 дней назад
Nakataa ndoto mbaya katika jina la yesu 🙏
@ZawadiRatemo
@ZawadiRatemo 7 месяцев назад
Hizo zote. Zishindwe Kwa jina. Ia yesu kristo amen amen 🙏🙏🙏
@JemimahNyangasi
@JemimahNyangasi 22 дня назад
Thanks, may holy blood of Jesus Christ protect me
@KarimoboA12
@KarimoboA12 Месяц назад
N mungu anasema hadui atakuja kwa njia moja n watatawanyika kwa njia Saba,lkn kla ukilala unaona unazungumza n mungu n anasema hataki ufanye kazi hapo anataka akutoe,n mungu wetu ana nguvu y kukomesha hii hali sialitoa Wana w Israel huko misiri..watu huota mpka mara kumi kwa usiku mmoja so mambo mengine tumuachie mungu juu unaeza toa sadaka lkn km mungu anataka utoke mahali atakutoa tu,
@erickson-k3792
@erickson-k3792 5 месяцев назад
Izo ndoto zote zishindwe katika jina lenye nguvu la yesu kristu
@miryamasha4307
@miryamasha4307 9 месяцев назад
Mungu uni shindiye ndoto zote za vita vya nguvu ya giza kwa jin la yesu kristo
@connymapensi5405
@connymapensi5405 2 месяца назад
Ameen 🙏🙏zishindwe kwa jina la yesu chrito alie hai
@MwitaGabriel-r8s
@MwitaGabriel-r8s 9 месяцев назад
Vizur
@NdayishimiyeAgnes-of2tn
@NdayishimiyeAgnes-of2tn Месяц назад
Amina
@PendoMakarature
@PendoMakarature 3 месяца назад
Ubarikiwe sana mtumishi
@saumusulaiman4742
@saumusulaiman4742 10 месяцев назад
Ameen hz ndoto zishindwe zisipate makazi kwangu ameen🤲🙏
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад
Navunja nguvu za Giza na ndoto mbaya kwenye maisha yangu kwa jina la Yesu
@twizeyimanaAlphonse-nd9tk
@twizeyimanaAlphonse-nd9tk 8 месяцев назад
God bless you,
@nolayasopiato
@nolayasopiato Год назад
Apostle please help me understand this, once I think about somebody who died it doesn't take long before I get news that have somebody who has died it's not a dream
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy Год назад
ROHO ya kinabii, UKIWA unafikiri. OMBA kucancel ROHO ya MAUTI Kwa huyo uliyemfikiria
@Zaujia
@Zaujia Год назад
ameeeen ameeeen barikiwa sana mtumishi
@TUNUMNGONIGANI
@TUNUMNGONIGANI 29 дней назад
Niombee baba naotaga ivyo🙏🙏
@DollSeka
@DollSeka 8 месяцев назад
Amen aki mungu wangu tembee na mim
@FloresBly
@FloresBly Месяц назад
Umasikin sio sehemu yangu ufukara na kurudishwa nyuma kimaisha zte zishindwewaganga na wachawi kwangu na nyumba yangu washindwe kafara ishindwe mungu nilinde mtumishi niombee hapa nawindwa na jiran wangu waondowe kwangu na nyumba yangu wote Maovu yao iwarudie
@beatricechaula3281
@beatricechaula3281 3 месяца назад
Ndoto zote zishindwe kwa Damu ya Yesu katika maisha yangu
@maohmdghg8398
@maohmdghg8398 8 месяцев назад
Pastor Mimi naomba unisaidie kufafanua hii ndoto Niliota kua nililalamika sina viatu lakini badaye nakapata vitu nyukundu pindi nilipo rudi mahali baba yangu mzazi alikua nikapata amenitafutia viatu nyekundu lakini wakati nilikangua hizo viatu nikapata vimeraruka nakataa hizo viatu nika mwambia baba yangu kua Mimi nko na viatu alafu baba yangu akaombea hizo vitu na akarudisha kwa mwenye alikua ameomba please pastor make me understand the meaning of is dream
@Userog254
@Userog254 Год назад
Asante kwa tafsili maana mimi naota sana ndugu zangu upande wa baba waliokufa nilikua simalizi wiki au wiki 2, Kwass kidogo cjaota karibia km mwezi toka nilipoanza kuomba
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy Год назад
Zidisha kasu ya MAOMBI na kusoma BIBLIA
@Userog254
@Userog254 Год назад
@@shiningstarheavenlyembassy amiin🙏
@AnneMukami-he3zm
@AnneMukami-he3zm 8 месяцев назад
Be blessed man of God
@JosephMwangi-d7y
@JosephMwangi-d7y 15 дней назад
Ndoto mbaya zishidwe katika jina la yesu kristo
@InamahoroJuliette
@InamahoroJuliette 10 месяцев назад
Mungu aniepushe na hizo ndoto
@NaomiShila
@NaomiShila Год назад
Mtumish mm napetanda kuota nko shule,nko baharini ama kwenye mto na kuiba vitu nkikimbiswa na wenyewe
@CareenMasinde
@CareenMasinde 11 месяцев назад
Nasikomesha zote katika kwa damu Yesu katika jina la Yesu
@HalimaChallo
@HalimaChallo 10 месяцев назад
😅😅😅
@mercywaturi7764
@mercywaturi7764 Год назад
Amen in Jesus name
@rosekapingu-hs5rd
@rosekapingu-hs5rd 11 месяцев назад
Ziteketee katika jina la Yesu Kristu
Далее
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Просмотров 277 тыс.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
NDOTO HIZI '3' NI HATARI SANA!!
4:07
Просмотров 378 тыс.