Тёмный

UKIPIGA MSWAKI USISUKUTUE, USIZIDISHE DAKIKA TATU, UKIMALIZA KULA PIGA MSWAKI, DAKTARI AFUNGUKA HAYA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@dreammedical5341
@dreammedical5341 10 месяцев назад
Mashaa Allah keep up the good work Doc...
@sumeiyamaddy95
@sumeiyamaddy95 10 месяцев назад
Mama saheer mashallah
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 10 месяцев назад
Msinichoshe kabisa mimi natumia kamkaa kungarisha meno yangu napiga mswaki asubuhi tu huo muda wa kuremba unatoka wapi tuanatafuta hela bwana😂
@fadalalharrasi9894
@fadalalharrasi9894 10 месяцев назад
Yes
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 10 месяцев назад
Uyu doctor sijamuelewa sa tutakaaje
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 10 месяцев назад
Sasa hao ambao meno yanatoka bado wadogo ni bacteria? wengine kupiga mswaki kwao ni shida 😂
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 10 месяцев назад
Mambo ya udakitari haya, yeye hapo ukute meno mawili hana
@user-zn9zl4kh1w
@user-zn9zl4kh1w 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@zuhrazuhra637
@zuhrazuhra637 10 месяцев назад
😂😂😂😂
@abumasoud1996
@abumasoud1996 10 месяцев назад
Huyo dactarinnamkubali anatowa manufaa mazuri
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 10 месяцев назад
Wanyama hawapigi mswaki lakin wako na meno imara hii imekaaje.
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 10 месяцев назад
Tena imara kwelikweli.
@zahakiosward1575
@zahakiosward1575 10 месяцев назад
Hatari sana 😅😅😅
@user-us4tg2it5q
@user-us4tg2it5q 10 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 10 месяцев назад
Mmh! Kiukweli umefikilia Sana
@sumeiyamaddy95
@sumeiyamaddy95 10 месяцев назад
Cc mapengo ndio tunao umia
@aishaissa2512
@aishaissa2512 10 месяцев назад
Uwii ungesema kusafisha ni bei gani mm ninameno ya Arusha
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 10 месяцев назад
Heeee mbona mtihani pale unapo sugua meno siyatakua na koya
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 10 месяцев назад
*Nina mashaka na Udaktari wake kusukutuwa nisawa namfuwaji nguo anaposuuuza nguo baada ya kufuwa meno hayaharibiki kwakupga mswaki hapa AKILI ZAKUAMBIWA CHANGANYA NAZAKO*
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 10 месяцев назад
Sio kweli Kwa nn tunashauri usisukutue kwa sababu..Dawa ya meno unayotumia ina madini ya "Floridi" ambayo hutengeneza utando(coat) kulizunguka jino ili kulilinda dhidi ya asidi inayotoka kwa bacteria ambaye husababisha kutoboka kwa meno hivyo basi unaposukutua unaiondoa(wash away) hiyo floridi na kupelekea meno kuwa bila huo utando (coat) kwa ajili ya ulinzi. 🙏
@abumasoud1996
@abumasoud1996 10 месяцев назад
Sawa unatakiwa usukutuwa mara moja tu ili dawa ufanye kazi katika meno.
@saidihysn2212
@saidihysn2212 10 месяцев назад
Sijamwuelewa na sidhaani kama nitamuelewa hapo ktk kusukutua maama nile mapovu na uchafu nilio usugua na brush
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 10 месяцев назад
Kuna people wananuka mdomo 😅
@sumeiyamaddy95
@sumeiyamaddy95 10 месяцев назад
Hiyo bei wengne tukua vibogoyo
@dullahhadji3495
@dullahhadji3495 10 месяцев назад
Sunaiyya 🎉
@SalmaPume-ld3wy
@SalmaPume-ld3wy 10 месяцев назад
Mfano mtu meno yakitobok hayawez kurud kweny hali yake
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 10 месяцев назад
Shukran sana Kwa ushauri Dr Nashukulu nazingatia sna upigaji WA mswaki nipo dada hapa muthiopia daaa Meno yote kamaliza Dubai mvivu kupiga mswaki ana mwkaa WA Saba hapa kapoteza Meno 6 yote magego kila mwkaa anatoa Meno 😅
@nasriyaali7462
@nasriyaali7462 10 месяцев назад
😊m3q
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 10 месяцев назад
Ina taji moyo io acha tu
@jackmata4368
@jackmata4368 10 месяцев назад
Sijamuelewa ata kidogoo
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 10 месяцев назад
Nasumvbuliwa na meno jamani sina amani
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 10 месяцев назад
Mimi bado kidogo niwe kibogoyo
@user-us4tg2it5q
@user-us4tg2it5q 10 месяцев назад
Kwani unaumwaje
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 10 месяцев назад
Tumieni mafuta ya nazi mafuta ya nazi ni mazuri kwa meno snaa hta harufu
@UmmyAsfar-sn5ul
@UmmyAsfar-sn5ul 10 месяцев назад
@@malak-lz6kx Unatumiaje hayo mafuta ya nazi?
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 10 месяцев назад
@@malak-lz6kx tuna swakia au?
@khamisassan9556
@khamisassan9556 10 месяцев назад
Hajui lolote uyo dada
@ciaraiddi4067
@ciaraiddi4067 10 месяцев назад
muppet
@jackmata4368
@jackmata4368 10 месяцев назад
Duuh nimemuelewa ila gharama kubwa sana ya kupangilia meno duuh
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 10 месяцев назад
Hio ni biashara ya madoctor hawna jengine
@khamisassan9556
@khamisassan9556 10 месяцев назад
Mwenyewe hana meno ya juu
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 10 месяцев назад
😢😂😂😢
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 10 месяцев назад
😂😂😂😂ah waniumiza mbavu ndio mujue madoctor kwa maneno heee lkn yote wanapenda pesa kuliko huduma.
@magrethndambo9635
@magrethndambo9635 10 месяцев назад
Yani nyinyi mnasikiliza uku mnamkagua doctor 😂😂😂😂😂😂
@jazilambaji2789
@jazilambaji2789 10 месяцев назад
Huo waya kukaa nao miaka miwil mpk mitatu mbona mtihan,,mie nilidhan labda mwez tu inatosha dooh
Далее
USIWACHUKULIE POA WAMAMA WA KITANZANIA WAKIWA CHINA
11:23
They got a Golden Buzzer 🤣✨
00:46
Просмотров 26 млн
Dealing with Failure and Self-Love with Salama Mohamed
35:27
MHE. RAIS SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA KIBITI
19:23
Просмотров 4,1 тыс.