Тёмный
No video :(

#UKISOMA 

maalim shabani online tv
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 243 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 656   
@ZuuhRaniya
@ZuuhRaniya 7 месяцев назад
Yah Allah nifanyie wepesi katika duwa hii nifunguliwe Kila kilicho fungwa katika mwili wangu nakama Kuna kibaya chochote katika mwili wangu basi kitoke na umjalie mwanangu apone ugonjwa unao msumbua inshallah 🙏
@salmaUthman-wo1ic
@salmaUthman-wo1ic Месяц назад
Allahumma aaamin
@user-fs7eu1be6o
@user-fs7eu1be6o 2 месяца назад
Allah akukinge na macho ya usuda na akupe kher dunian na kesho akhera inshaallah
@SubiraSubiramusitapha
@SubiraSubiramusitapha 4 дня назад
Ya Alha niwekeewepesi kupitia dua hii niweze kuwatunza wanangu bila ya maadui na mm pia mama yao niweze kutimiza malengo yangu niondokane na misukosuko naniweze kujenga familia zangu niweze kusikilizana na wanafamilia zangu tuwenye kusikilizana na kusaidiana tusiwe wenye kutengana na unikinge na maadui wambali na wakalibu na unitumie uwepesi kwa yote ninayo kuomba inshallah Amin
@ZabadoOmar
@ZabadoOmar День назад
Ya Allah nijalie hii dua iwe ni shifaa kwa maradhi nilionayo naomba Allah ukubali Inshaallah kwa uwezo wako unifungulie mambo yangu kama kuna mtu.yoyote anahusika kwa haya maradhi ya pressure basi yaa Rabi mrudishie mwenyewe
@DJAFARIPATRIA-pj7we
@DJAFARIPATRIA-pj7we 6 месяцев назад
Eeeeeh allah ni jaliye niwe miongoni yawele ambao wata nusurika katika maisha yangu amin
@AbubacarBuana
@AbubacarBuana Год назад
Shekhe wangu Mimi nipo Mozambique 🇲🇿kweli nimepona sana sana basi Mungu akupe lá kheri sana sana ❤
@issamushi6389
@issamushi6389 10 месяцев назад
Kweli
@rajabnyoka-vv5vh
@rajabnyoka-vv5vh Год назад
Allah amujaze khery ndugu yetu ,ust wetu,naomba ziku nyengine utuandalie mafunzo pia ya kutufundixha namna ya madawa pia kuyachanganya na matumizi yake,kwa mfano fuxho la kuwafuruxha majini aidha kwa mwili au kwa nyumba,pili dawa za kunywa kutoa machawi kwa tumbo,na tatu mafuta ya kujipaka kwa ajili ya kuondoa na kufuruxha majini pamoja na kueka jinga biidhnillahi kwa mwili, chengine nakukubuxha ndugu kutoa wasahau kwa dua zako ndugu zake wale walokuwa na kichaa sai tunashukuru kiasi lakini inxhaallah tuendelee kuwaombea majini yao ni juma ali nyoka na mbaraka ali nhoka na mimi ni Ustadhi rajab ali kutoka kenya kiji kinaitwa kizingo,na hizo dawa pia xheikh ukitufunza kutakuwa jambo lamxingi sana,mana wengine tunafatilia kujifunza kisomo cha rukia lakini hatuna ujuzi zaidi wamadawa naomba utusaidie kwa hilo pia shaikh wetu aaameen wajazakallahulkhairaljazaa.
@zubedahabibu
@zubedahabibu 6 месяцев назад
amini
@rizikirashid1199
@rizikirashid1199 Год назад
Jazaka ALLAH KHER ALLAH Akuzidishie Elim IshaaALLAH killa mwenye maradhi shida za mwili ALLAH Ampe Shuffa kupitia Dua hizo
@eddietaxidriverzanzibar4395
Allahumma Aameen 🤲🏻🤲🏻
@ngweshanikhatib2379
@ngweshanikhatib2379 Год назад
Amiina yyarabb
@RehemaNoah-wu8nj
@RehemaNoah-wu8nj 6 месяцев назад
Amiin Ya Rabbi
@mariammwanja3988
@mariammwanja3988 3 месяца назад
Ya Allah anifanyie wepesi nimedumu Kwa kusoma uradi na Dua hizi nimefanikiwa kumgundua mwanaume ambaye alijifanya ananipenda na ana malengo kumbe ni mshirikina wallah jamani tuishi katika Imani tusiishi Kwa kutegemea uchawi Dua za Allah Zina nguvu sana imenitokea nimesoma nimepata majibu wallah 🙏
@malikdangote2362
@malikdangote2362 Год назад
Allhaa akujalie kilalaheri kwa kweli nilikua nasumbuliwa na wachawi sana lakini tangunime anza kukiliza hii dua nalala alhamdulilh
@sulaiyaramadhan992
@sulaiyaramadhan992 Год назад
Kama siwezi kusoma quran nitafanya je naweza kuzunguka nasimu kupitia saut yako
@fatmaabdullah6460
@fatmaabdullah6460 2 года назад
MashaAllah, jazakaAllah kheir
@SophiaBalagomwa-hx9gb
@SophiaBalagomwa-hx9gb Месяц назад
Jazza kumllah khaira
@aminakassim831
@aminakassim831 5 месяцев назад
Yaa Allah kupitia dua hii nakuomba unifungue kila kifungo cha kichawi na uwafungue wanangu vifungo vya kichawi!na kila uadui niliowekewa urudi kwa mwenyewe na kila majini ya kichawi yaliyotumwa kwangu na kwa watoto wangu yarudi kwa wenyewe amin
@MashaAlly-ro9kb
@MashaAlly-ro9kb Месяц назад
Ya Allah kupitia Dua hii naomba imponye mwanangu maladhi yanayomsibu.
@AllyYamkiwa
@AllyYamkiwa Месяц назад
Mashalah
@ukhtyshuufaah
@ukhtyshuufaah Год назад
Asalam aleykum natumain n wazim a afya n ramadhan hii n walokuw wanaumwa Allah awape shifaa 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻 Naomba nifahamishwe vyema hii dua
@mohamedpinyi1859
@mohamedpinyi1859 Год назад
Jazakallah Khaira Sheikh wetu. Allah akuzidishie nguvu tuzidi kufaidi na mafunzo yako kutoka kwa Qur'an tukufu.
@faridaali2820
@faridaali2820 6 месяцев назад
Yah Allah naomba unifunguliye kilah njia zangu zolizo funga napia uwaondoshee wazazi wangu maradhi waliyo nayo uwaponye katika kupitia Dua hii utakabaliye kila la kheri ln sha Allah 🙏🙏
@FatmaOmar-ff7yx
@FatmaOmar-ff7yx Месяц назад
Mashaallah Allah akuzidishie Kila lenye kheri na elimu zaidi uzidi kutusaidia kwa uwezo wa Allah. Aaameen Yarabal alameen
@JumasalumRamadhan
@JumasalumRamadhan 9 дней назад
Mungu akijalie inshallah
@neemahalima5440
@neemahalima5440 9 месяцев назад
Asante mwalimu Shabani ninakuwa huru kwa Dua zako ambazo tunazikiliza bila kuchoka imefikia mahali tunauina utukufubwa mungu mungu akubariki daima.mashalla utukufu kwa Alllha.
@shabanijumazakaria8389
@shabanijumazakaria8389 2 года назад
Asante ALLAH kumpa.elimu kupitia maalum s. Tunakuomba uumpe mwisho mwema maana. tunapata.faida na mazingatio.na imani zetu zinazidi allahu akubariki.duniani na Akhera .🌴 tunakuomba allah pokee dua hii .🕋
@maalimshabanionlinetv7105
@maalimshabanionlinetv7105 2 года назад
Ameeen yarab
@haleemasultan6760
@haleemasultan6760 Год назад
Masha Allah niko mbali lakini lnsha Allah nitakutafuta nikirudi
@latifaisaka2684
@latifaisaka2684 Год назад
Sasa tunaipataje hii Dua ili tuisome????
@latifaisaka2684
@latifaisaka2684 Год назад
Namba yako maalim tafadhal
@ramadhanikitandula6217
@ramadhanikitandula6217 Год назад
Mashallah
@rabiasalim9163
@rabiasalim9163 Год назад
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu. Shukran kwa duwa. Jazakallahulkhayr.
@Zainabu-z1e
@Zainabu-z1e 17 дней назад
Asamte Sana mwalm Yan ukisoma izi sura kuil unasisimka najiskiya kama nataka PGA makelele vile
@swalehmohammed8378
@swalehmohammed8378 Год назад
Baarakallaahu fiykum wa jazaakumullahu khayrul jazaai al jannatul fir'daus inshaallaah assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh mashaallaah tabaarakallaah al habiib inshaallaah ndugu yangu kipenzi katika iimaan maulana mufti sheikh amir ustadh al habiib shaaban kwanza akulipe na akuzidishie kila la kheri inshaallaah na allah kariim akulipe akuzidishie kila wema inshaallaah allah kariim sw akukinge na akuepushe na kila huzuni na majonzi na kila shari na kila balaa na kila hsda na hasad inshaallaah na allah kariim rahmaan akufurahishe kwa kila furaha inshaallaah na allh kariim rahiim haliim swt akuepushe na killa husda fitina hasad na killa aina ya maradhi inshaallaah na allah kariim rahmaan akukinge na akuepushe na killa aina maradhi na mabalaa na majanga na mitihani mbalimbali inshaallaah na allah kariim rahmaan akupe na akuzidishie afa njema na siha njema
@alawisoud665
@alawisoud665 Год назад
Ukiandika weka nukta na full stop hiiiiiii unaandikaje ndugu!!!
@Humayraahamza
@Humayraahamza 10 месяцев назад
mashallah Allah akup umri na afya
@SaeedMughayyar-jv8et
@SaeedMughayyar-jv8et Год назад
Maashallah alhabib, Allah akulipe kheyr inshaallah
@nadiabakari2589
@nadiabakari2589 2 года назад
Mashaallah asante Sana maalim wangu Allah akujaalie naweye uzidi kuwa na afya njema Ameen🙏
@swalehmohammed8378
@swalehmohammed8378 Год назад
Inshaallaah allah kariim rahiim haliim jallah jalaluh rahmaan akikuwezesha na kukuwafikisha inshaallaah kwa uwezo wa rahmaan inshaallaah al habiib nakuomba kwa hisani yako na iiman yako inshaallah unitumie hio duaa kwa njia ya maandishi kwa kiarabu na kiswahili inshaallaah
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 Год назад
Sawa hata mimi nimeomba hivyo.
@welcomeorange7357
@welcomeorange7357 Год назад
Mashaallah tabarak Rahman sheikh tu naomba tuandikie hii duaa thawabu yako utaipata kwa Allah subhanahu wa taala
@mwajumamusa4777
@mwajumamusa4777 Год назад
Mashaallah
@nahlaalmahrezi6801
@nahlaalmahrezi6801 2 года назад
Allah akuhifadhi na majicho akupe ilmu izidi zaidi kwa hesab ya witri
@welcomeorange7357
@welcomeorange7357 Год назад
Maalim Shaban wewe ni master jana nimesoma mara 39 leo nimeona maajabu makubwa yaani wewe ni kiboko jamani msiache hiiii duaaa kila siku Asante Allah na maalim Shaban
@mwatangachaurembo3405
@mwatangachaurembo3405 Год назад
Sema Maa sha ALLAH
@rahmahabibu1432
@rahmahabibu1432 Год назад
Ww mwezangu ulopata kuisoma naomba unijulishe umeipata wapi kama una picha nitumie mana siielewi vizuri
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
@@rahmahabibu1432. Tafuta kitabu cha Mukhul ibada. Utakutana na dua nyingi ikiwemo na hii hizbul bahr.
@HalimaMrisho-gn1jv
@HalimaMrisho-gn1jv 4 месяца назад
yah allah naomba unifunguliye kila njia zangu zilizo fungwa napia uwaondoshee wazazi wangu maradhi waliyo nayo kupitia dua hiiiii naomba uniondosheee husda zote zinazo nianda kwenye mwili wangu nakuomba uniondosheee nuksi zote nipate kuolewa kila kheri inshallah🙏🙏
@UmmuMariam-gq3qs
@UmmuMariam-gq3qs 10 месяцев назад
Assalam alaikum wahramatulai wabarakatu,shukrani maalimu Mola akujaze kheri kwa Kila njia yenye mafanikio kwa waja wake Aamin
@zaulotwagirimana
@zaulotwagirimana Месяц назад
Allah tube ubendo mashaallah
@abujademiteco1787
@abujademiteco1787 Год назад
Mashaa allah ❤🙏🤲 sheik mugu akuzidishie maisha marefu ili wedelee kutifudisha helimu yetu, mimi niko Mozambique napeda sana kazi zako ameen 🤝
@victoriagilago8894
@victoriagilago8894 Год назад
Mashallah Sheikh Mungu akulinde nsomba utpe tafsiri yske na madawa karma umelishwa vitu vya kichawi
@ShemsaIssa-z1m
@ShemsaIssa-z1m 9 дней назад
She mm Nina matatzo ntkupta wap mm naishi zanbr nimeipenda hii duwa mugu akufanye uwe na umir mrefu
@AmarBoy-zq5sm
@AmarBoy-zq5sm 5 месяцев назад
Nikisikiya unavo adhini naunavo soma duwa nasikiya kutetema mweli mizima paka kichwa ishallaha alha akuzidishiye ruhuma ulo nayo nakipaji mola alokujaliya ameni❤❤❤❤❤❤
@abdiaziz4359
@abdiaziz4359 2 года назад
Allah akulindea na akupe Maisha marefu
@user-dp9yn2mu6m
@user-dp9yn2mu6m 2 месяца назад
Ya Allah,!!! Kwa uwezo wa dua hii na kupitia duwa hii naomba uniponye mm pamoja na wazazi wangu inshaallah kwa kila linalotusibu, wafungulie milango ya riski 🤲🤲🤲🤲🤲
@tabithantengule3709
@tabithantengule3709 Год назад
Sheikh imekuwa vyema ulivyo tuombea na imani yangu tutafanikiwa na nilikuwa napendekeza ingekuwa kwa mfumo wa maandishi ili tusiojua tujifunze. Amin
@nooroman2535
@nooroman2535 2 года назад
Shukrani Maalim Shabani Mungu hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah
@nadiabakari2589
@nadiabakari2589 2 года назад
Ameen kwa sote
@shanisaid6744
@shanisaid6744 2 года назад
shukran kipenzi wa Allaha Maalim Shaban Allaha akuifadhi na mahasidi
@mwijakaswaleh2662
@mwijakaswaleh2662 2 года назад
Mashaallah shekh,atujaze kher Allahu
@habbyyusuphyusuph6271
@habbyyusuphyusuph6271 21 день назад
Sheikh mwenyezi mungu akubariki
@Issufosuberissa-hj6pj
@Issufosuberissa-hj6pj 2 месяца назад
Mashala sheikh
@nurukimea3804
@nurukimea3804 6 месяцев назад
Yee Allaah mpe maisha marefu sheih wetu azidi kutupa dawaa
@ZuuhRaniya
@ZuuhRaniya 7 месяцев назад
Nasumbuliwa na pepo mbaya Allah nifanyie wepesi katika hili inshallah 🙏
@zoab2699
@zoab2699 2 года назад
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته alhamdulillah daima nafatilia kipinde hichi cha maalim shabani
@maalimshabanionlinetv7105
@maalimshabanionlinetv7105 2 года назад
Mashallha
@haleemasultan6760
@haleemasultan6760 Год назад
Jazaka Allah 🤲
@AmiNa-xs8gz
@AmiNa-xs8gz 6 месяцев назад
Mashaallah mungu akuzidishie kher na me napon kupitia Dua hii inshaallah
@aishabh7936
@aishabh7936 7 дней назад
ma sha allah watabarakallah shukran lakini tunaomba otu andikie hio dua naipenda
@allybulula9104
@allybulula9104 Год назад
Alhamduli llah alla atuondolee maradh ya nuks na tuongezewe mishahara makazini mwetu aamin
@nonaratnam3362
@nonaratnam3362 Год назад
Nashkur sana sheikh kwa dua ila niulize kama unataka kuisoma hio dua na wakati huijui nifanyeje
@user-tf7sx9xg7d
@user-tf7sx9xg7d 2 года назад
Alhamdulillah Allahu akulipe mema
@husseinomari2044
@husseinomari2044 Год назад
Ma Sheikh wetu nawapendasana duwayangu M Mungu awazidishiye ilmu naafya
@zuhura.suleimanmwamwari3083
Mashallah
@user-rf7fr7cc7i
@user-rf7fr7cc7i 5 месяцев назад
Mashallah Allah akupe umri mrefu ili tuzidi kufaidika❤
@summitseekerskenya
@summitseekerskenya 3 дня назад
Shukran Sana, hii dua nitalipata vipi
@ZaituniIssa-s8k
@ZaituniIssa-s8k 2 месяца назад
Shukrani shekh umenikumbusha mbali hiyo dùa.mungu akufanyie uwepesi katika mambo yako
@ashashaban6484
@ashashaban6484 10 месяцев назад
MASHALLAH MASHALAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER SHEIKH WETU
@sajidkas9503
@sajidkas9503 4 дня назад
Uhakika dua hii kali saana Shukran shekhee
@SaydaMohammed-yl8nq
@SaydaMohammed-yl8nq Год назад
Alhamdulillah Jazakha Allahu khayrah Allah Kareem
@user-vs6qz6lt4m
@user-vs6qz6lt4m Год назад
Shukran jazak Allakher in sha Allah
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps Год назад
Sheikh una maanisha usome kila siku mara moja kwa siku 41 au mara 41 siku moja naomba ufafanuzi tafadhali hii dua ni kiboko na tutawakomesha wanga na washirikina biidhnllah alla awape shifaa wote wagonjwa na wote maadhlum Allah awalipie hapa hapa duniani tuwaone wadhalilike wote wanga na shirk zao allahumma amiin
@saudasaid4884
@saudasaid4884 Год назад
Amiin yarabi 🙏🙏
@user-gl4cu4dy6q
@user-gl4cu4dy6q Год назад
Shukrani mwalimu
@jamalsalum4277
@jamalsalum4277 Год назад
Mashallah shekh, mungu akubarik
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 Год назад
Mara 41 Ndugu Yangu siio siku 41 Bali mara 41
@maalimjaffar5563
@maalimjaffar5563 Год назад
Mara 41 kwa siku moja,nijambo la kutenga muda sio ufanye ukiwa na haraka.
@fatumamohammed4670
@fatumamohammed4670 Год назад
Jazakallah khair
@emmymajula5164
@emmymajula5164 Год назад
Kila la kheri inshallah siku moja na Mimi nitapona🤲🤲
@bingasamali8054
@bingasamali8054 Год назад
Mungu akupe maisha marefu tuzidi kupata yalo mema kutokana na dua zako zinanipa afueni
@user-lf3vy1ys3z
@user-lf3vy1ys3z 3 месяца назад
Alhadulilahi hizbu bahari unaisoma Kwa ufundi maashaallah ustadhi
@hafswanaaman2911
@hafswanaaman2911 Год назад
A alkm mashaallah jazaka Allah kheri
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 4 месяца назад
Jana usiku nliposikiliza dua yako , nmelala vzur , nimeoneshwa wabaya wangu mwanzo mwisho . Nikiwa nmefungwa nikiota sikumbuki , na wakat mngine sioti ndoto kabisa . HAKIKA SHEKH UKO VZUR . ALLAH AKUPE WEPESI
@kasatbintalib9127
@kasatbintalib9127 2 месяца назад
Mashaallah
@ashamwachoyo
@ashamwachoyo 2 месяца назад
Jazakallah Khair
@user-nb8fe6ux7j
@user-nb8fe6ux7j Месяц назад
Yaarab naomba uniponyeshe mola wangu nimetupiwa majini machafu mola wangu
@martinmasita6229
@martinmasita6229 3 месяца назад
Jazakallahu kheyr
@neemahalima5440
@neemahalima5440 9 месяцев назад
Yaani mwalimu hizi Dua mwaga na wachawi pamoja na maajeti wao wanakufa tu hakuna mjadala mungu az8du kukupa ufunuo wa kutuletea duambalimbali, Asante Mwalimu Shabani .uwe na wakati mzuri
@ThureyaSaid-te1du
@ThureyaSaid-te1du 5 месяцев назад
Yaallah kulitia dua hii naomba niondeshee maradh haya niliyonayo naimani naninakuamini mungu mbele yako hakuna kinachoshindika ishaallah
@SaleAkbar
@SaleAkbar 3 месяца назад
Shukran allah akulipe sheikh wetu. Ila dua hio ili tuweze kuismo na kuomba inshaallah
@typebubasha1325
@typebubasha1325 Год назад
Allah akulinde na akuzidishiye Kila la heri maalim wetu
@faizunmohd9839
@faizunmohd9839 4 месяца назад
Ya Allah nilinde na mumewangu na watoto wangu na mamangu na jamii uslam
@safiakhamis3073
@safiakhamis3073 Год назад
Mashaallah Allah akubarik
@HassaniMakbel-kc9fi
@HassaniMakbel-kc9fi Год назад
Wallah allah akubark amiin🤲
@user-gr5bc7sx5c
@user-gr5bc7sx5c 6 месяцев назад
May god bless us
@rukiasaid6264
@rukiasaid6264 10 месяцев назад
Maalim nnaskiza hii Dua mwili wanicheza wallahy Allah akuhifadhi uje usaidie watu yarrab
@hasnatyhasnah2762
@hasnatyhasnah2762 Год назад
Shukran kwa dua tu saidie kwel
@user-lp1mr5sp3g
@user-lp1mr5sp3g 6 месяцев назад
Ameen🙏🙏
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw Год назад
Hiyo dua inaitwa hizb lbahr Ahsante Shaikh kwa kutujuza, Jazaka Allahu khairan:🤲
@ElinamiMsuya-lu8uz
@ElinamiMsuya-lu8uz 11 месяцев назад
Shehe wakati wadua nilitia Nia nipone kizungu zungu, nikawa nimefumba macho nikaisi mbavuni mwangu ametoka mwenda wazimu naupande wapili nikahisi katoka mtu mweupe, nashukuru Mungu Amina.
@mealiimwamasai3481
@mealiimwamasai3481 Год назад
Jazak Allah kheir
@twemuhamad554
@twemuhamad554 Год назад
زادك الله علما يا شيخنا
@Kubanatv-mf7un
@Kubanatv-mf7un Год назад
Assalam alaikum warahamatullah wabrakatu sasa nataka mimi unuhandikie
@liliannaseriannaserian4850
@liliannaseriannaserian4850 Год назад
Assalam alaikum warahamatullah wabrakatu Mimi ni namatatizo kwa mweli wangu naomba uni some dua hii naona ikosawa kabisa
@aminaasma5417
@aminaasma5417 Год назад
Amina
@masudmasud3904
@masudmasud3904 Год назад
Manshaallaah
@chiwangaathumani7492
@chiwangaathumani7492 Год назад
Mm naitaj kitabu chake...sas nakipataje...Cha hyo Dua uliyisoma hapo
@user-in6qi8dr3b
@user-in6qi8dr3b 10 месяцев назад
Allah Akbar,Allah akulipe kher NYINGI diniani na Akherat
@mbwanatwaha958
@mbwanatwaha958 Год назад
Asante kwa msaada wako inshallah Allah akuzidishie Kila la kheri
@AlifaAbdala-wn4me
@AlifaAbdala-wn4me 24 дня назад
Sheekh ata mim nataka nijue kila siku au siku moja❤❤❤
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Год назад
Mimi wachawi wamenichosha sana nataka mtu mwenye Dua Kali za kuwaangamiza wote kwenye mtaa wetu inshallah
@bikeymmaka9152
@bikeymmaka9152 Год назад
duh km mtaan kwetu
@SamanthaAlih
@SamanthaAlih Год назад
weka sura tul baqara in shallah na udumu na udhu na swala 5 kila siku na toa sadaka kila mala
@khadijamohamed8919
@khadijamohamed8919 2 года назад
Shukran maalim shaaban
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Год назад
Jazaka Allahu kheri
@nooor1120
@nooor1120 2 года назад
Shukran sheikh jazakallahu kheir
@ChikuMalele-pe1bi
@ChikuMalele-pe1bi Год назад
Baraka llahu fqa ishaallah ustadh.wallah nimesikiliza Dua hii majibu nimeyapata ALLAHU AKIBARU ALLAHU AKIBARU ALLAHU AKIBARU
@issamushi6389
@issamushi6389 10 месяцев назад
Kweli ndugu yangu
@FatumaNsabimana
@FatumaNsabimana 4 месяца назад
Amina Allah akuripe kirarakheri
@abdikofa
@abdikofa Год назад
Shukrani shekhe
@user-qw4pm2xe4j
@user-qw4pm2xe4j 5 месяцев назад
Yarab nifungulie milango ya ridhk nauniondolea vifungo vyote na husuda pia umurehem mzazi wangu naumuondolee maradh mama yangu
@yuongmidia6573
@yuongmidia6573 Год назад
Jazakum llah khaira
@FatumaMwaliko
@FatumaMwaliko Месяц назад
Shehe Mimi kichwa kulikuwa kinaniuma sana ila wallah Toka juzi mpaka sasa kinaendelea vizuri maumivu yamepungua nakushukuru sana shehe
@alassannzhass6893
@alassannzhass6893 Год назад
Jazakumullah khairi
@ibrahimutegele1433
@ibrahimutegele1433 Год назад
Sheikh Mwenyezi Mungu akulinde na akuzidishie na mengine zaidi ili utusaidue.sisi maamuma jazaka Allah
@user-nb5yl3id7k
@user-nb5yl3id7k 10 месяцев назад
Mashaallah Allah akuhifadhi
@FaizahNamisi-tt1st
@FaizahNamisi-tt1st Год назад
Mashallah jazakaAllah kheiran
Далее
when you have plan B 😂
00:11
Просмотров 5 млн
La Tierra Robó El Anillo De Saturno #planetballs
00:14