Тёмный

Ukombozi wa Maarifa Asilia ya Kiafrika katika Zama za Utandawazi 

Gumzo la Ghassani
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 412
50% 1

Mtafiti Arthur Muhia wa Chuo Kikuu cha Pecs nchini Hungary anaangalia jinsi riwaya za Kiswahili zinavyotumia fasihi ya Kiafrika kupambana na fikra za kikoloni ili kujenga msingi wa ukombozi wa maarifa asilia ya Kiafrika. Mada hii aliiwasilisha kwenye Kongamano la 36 la Kiswahili la Bayreuth (17-19 Mei, 2024).

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@DjPraze
@DjPraze 3 месяца назад
Hongera Arthur..... 👏👏👏👏👏👏🎊🥳
@user-sx3zt3sd9g
@user-sx3zt3sd9g 3 месяца назад
Huyo ni ndugu anyezugumza zidi kungaa munguu akuzidishie kaka🎉🎉🎉
@user-tg7cs6qp9q
@user-tg7cs6qp9q 3 месяца назад
Hongera sana Mwalimu 🎉 kiswahili wewe
@simonmuhia1993
@simonmuhia1993 3 месяца назад
Hongera kakangu wa toka nitoke.
@markthangamaina4393
@markthangamaina4393 3 месяца назад
Great piece from my friend Kinyanjui. I hope he doesn't mad that I used English to type this.
@simonmwangi5260
@simonmwangi5260 3 месяца назад
Hongera...
@Profesorgenius
@Profesorgenius 3 месяца назад
Mkuuu. Pongezi mwalimu🎉🎉
@EmmaNgugi-fm9hv
@EmmaNgugi-fm9hv 3 месяца назад
Congratulations mwali
@Shimonique
@Shimonique 3 месяца назад
Heko mwalimu wangu wa kiswahili,nyota yako ya lugha na ikaendelee kung’aa kote duniani.
@thehustle4498
@thehustle4498 3 месяца назад
Gumzo yenye ustarabu na maarifa sana
@PytahCarson
@PytahCarson 3 месяца назад
Heko Mwalimu.... Zidi kung'aa! Kila la heri kaka.
@petermokaya7908
@petermokaya7908 3 месяца назад
Heko
Далее
Kujikolonisha na Hatari za Wakati Tuliomo
21:57
The Truth about the Taliban with Dilly Hussain
1:28:30
Просмотров 65 тыс.
Lugha ya Kiafrika kwa Ukombozi wa Muafrika
22:47