Ujumbe: Umuhimu wa Imani katika maombi yako
Andiko: Marko 5:34
Pastor: Innocent Leonard Mashauri
Marko 5:34
Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani, upone kabisa ugonjwa wako.”
Mara nyingi sana tumekuwa ni watu wa kuwekeza nguvu nyingi kwenye eneo la maombi pekee, na matokeo tunayoyapata yamekuwa sio ya kuridhisha kabisa.
Hali hii imewafanya wengi wetu kukata tamaa na kuona kwamba maombi hayasaidii, Kitu pekee ambacho walikosa kukizingatia katika maombi yako ni IMANI.
Somo hili lina muendelezo wake, zingatia kufuatilia kwa ukaribu sana na hautadharau wala kuchukulia kawaida maombi yako.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
12 май 2024