Тёмный

UKRISTO NA POMBE 

Mzee wa upako
Подписаться 26 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za RU-vid Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 160   
@anjelinamwinga
@anjelinamwinga 9 месяцев назад
Wana wa mungu popote mlipo simameni imara yesu anakuja na malipo
@HamisFaraji-s2j
@HamisFaraji-s2j 9 месяцев назад
Mwenyezi Mungu tujaalie mwisho uliokuwa mwema
@stephenlembo8986
@stephenlembo8986 9 месяцев назад
Ktk Ufunuo anasema nawachukia walevi, wazinzi na waabudu sanamu
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 7 месяцев назад
Si wote wanywao pombe ni walevi. Anaekunywa pombe chupa moja si mlevi ni mnywaji na Biblia haikatazi anywaye kiasi.
@NeemaKwingwa
@NeemaKwingwa 5 месяцев назад
Nyakat zamwisho watu wataipend dunia,ndio haya,tusimame kwamiguu yetu tuachane namanabii yusome sana neno lamungu
@AdamLuoga
@AdamLuoga Месяц назад
Mtenda dhambi atende sana mtakatifu azidi kujitakasa siku za mwisho kuzimu ipo kazini
@KanalIdrissah-dh5hj
@KanalIdrissah-dh5hj 4 месяца назад
Tatizo hamjamuelewa mzee ypo sawa
@abelialsen5383
@abelialsen5383 9 месяцев назад
Mzee anazeeka vby pole sana
@HappyKiteboarder-du9th
@HappyKiteboarder-du9th 5 месяцев назад
Wakristo kama haya ndiyo mafundisho yenu mmh hongereni sana na diniyeni ya mchongo
@bakariramaddhani5689
@bakariramaddhani5689 9 месяцев назад
anakubali, anakataa, mzee wa bapa yaliyoujaza moyo...
@marylucy1455
@marylucy1455 3 месяца назад
Wana wa Mungu, kimbieni hapo hapana kitu mtaachwa na Yesu Kristo anarudi.
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 9 месяцев назад
Endelea na konyagi mzee wa bapa
@aziziabdulrahman3914
@aziziabdulrahman3914 9 месяцев назад
Mzee me nakuelewa sana wache waseme yao mwaga ukweli ila siku ukitaka kuwa muislam karibu usione haya
@esaubakuza2640
@esaubakuza2640 9 месяцев назад
Aje awafudishe kulewa kwenye miskiti yenu, mnaweza kumpa hata semina miskitini mwenu.
@Jurbeg
@Jurbeg 8 месяцев назад
Duu nilikuwa sijui kumbe miislam inaluhusu ulevi kumbe sheh kishki mazinge niwalevi basi lusekelo ata wafaa 😏😏😏😏
@patrickmakori-y6x
@patrickmakori-y6x Месяц назад
Naomba unisaidie
@nuruemmymkayula861
@nuruemmymkayula861 5 месяцев назад
Nyakati za mwisho hofu ya Mungu itatoweka kabsa
@doricesanga9783
@doricesanga9783 9 месяцев назад
Hapo tayari kishalewa
@ElshadaiAnthony
@ElshadaiAnthony 9 месяцев назад
Kuwa mtaarabu kumbuka ana watoto uyo unavo andika ivo unamaana gani
@bishopstephanosaid9205
@bishopstephanosaid9205 3 месяца назад
Sababu mjinga mzee
@martinkisha6307
@martinkisha6307 9 месяцев назад
Kunywa tu mzee
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 9 месяцев назад
Unatakiwa uelewe dhambi ni nini ? Dhambi sio kuvunja amri kumi za Mungu pekee ... jaribu kusoma maandiko utaelewa Wagalatia 5:19-21 ,(Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
@MichaelAbel-s4r
@MichaelAbel-s4r 8 месяцев назад
Soma lsay 5:11,22, Lk 1:15. Amen
@JamalKishangu-p7w
@JamalKishangu-p7w 2 месяца назад
Mimi ni Muislamu, huyu jamaa anaijua Biblia. Na hakika anapata upinzani kutoka kwa wachunguji kanjanja.
@blessingcharles-lc1rr
@blessingcharles-lc1rr 3 месяца назад
Amen,
@SmilingBuoy-kb1yn
@SmilingBuoy-kb1yn 8 месяцев назад
Jamani hukumu ya.mwanadamu anaye jua ni mungu ila.wanadamu kazi ni kusema
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 5 месяцев назад
anganyikiwa baba
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 2 месяца назад
Kunywa baba😢😢ilaa mh
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 6 месяцев назад
Umeishiwa!
@PeterMagoye
@PeterMagoye 5 месяцев назад
Huenda kashalewa tiyari
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 2 месяца назад
Wagalatia 5:19-21 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
@lovenessrichard9969
@lovenessrichard9969 9 месяцев назад
Upo sahihi mchungaji....huo ndo ukweli...tena ukitaka kujiona wewe ni Mtakatifu lewa pombe....mambo utakayofanya baada ya kulewa ndio yaliyopo moyoni mwako
@PropKibali-f8d
@PropKibali-f8d 8 месяцев назад
Hautabiriki!
@RafaelyMmbede
@RafaelyMmbede 5 месяцев назад
Mafundisho ya kipepo ayo mzee wa upako
@BatazalNdifwa-nk2hl
@BatazalNdifwa-nk2hl 4 месяца назад
Hah hah hah hah! Lusekeloooooooooo! Ok
@JescarkarugabaJescar
@JescarkarugabaJescar 3 месяца назад
Kaeni makini,haya hayana budi kuwepo
@StephanChika
@StephanChika 3 месяца назад
Dah mzee nawapa pole walio kaa kuku sikilizeni naona kama hata wewe mwenyewe hujielewi
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 8 месяцев назад
Duh lusekelo atakua anapenda mitungi😂😂😂
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 2 месяца назад
2 Wakorintho 6:14-18 14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? 15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? 16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. 17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. 18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
@CharlesMwaisomola-v9o
@CharlesMwaisomola-v9o 9 месяцев назад
Dah
@joycerichard9274
@joycerichard9274 5 месяцев назад
Ni nyakati za mwisho
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 9 месяцев назад
Pombe ni tamu kiukweli
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 9 месяцев назад
Ni kweli pombe siyo zambi Ila nikisababishi
@prochesernest5439
@prochesernest5439 9 месяцев назад
Pombe ni dhambi isiipambe pombe ni kilevi ndomaana biblia imesema walevi hawataurithi uzima WA milele ulevi unatokana pombe na mengineyo nyenye kilevi pombe inakilevi ndani yake wakati biblia inaandikwa hakukuwa jina pombe wara bia konyagi mbege na ulanzi na kitochi maana pombe Ina majina mengi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 9 месяцев назад
pombe mumehalalishiwa kabisaaa munywe mulewe mpaka muanguke😂😂 nyinyi kila baya mumeingiziwa na waandishi wa kizungu ndipo tunapogundua bibilia sio tabu la mungu Mungu hawezi kuwaamuru machafu
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 5 месяцев назад
Pombe siyo dhambi ..ulevi ndiyo dhambi.
@AkimuWaziri
@AkimuWaziri 5 месяцев назад
Vichungajigani hivi?
@edsonmruma4833
@edsonmruma4833 5 месяцев назад
Kuna kuzidiwa lkn watu wa Mungu waambiwe ukweli.
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 5 месяцев назад
POMBE IMEKATAZWA Walawi 10:8 Waamuzi 13:3 - 5 usinywe pombe Luka 1:15 Efeso 5:18
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 4 месяца назад
Vita vya upinzani wa historia ya Kristo iachwe vibaya tunakataa ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai mbaya sana Tusamehe Tusaidie Yehova tumalize salama. Uchambuzi mwingine hauna lazima mtaua wengi jamani. Si mtulie nayo acheni watu wamalize hivyo wajuavyo. Itawaghalimu na mtajibu kwa ajili ya hao wadogo ambao Yesu Kristo Aliyehai Aliwafia.
@desderiushaule4264
@desderiushaule4264 8 месяцев назад
Soma vizuri biblia mzee wa upako ili ujue habari ya pombe. Mit 23:20-21
@nickokihongole2249
@nickokihongole2249 7 месяцев назад
Mithali 31 :4
@BboossBILLY
@BboossBILLY 4 месяца назад
Unawachanga sasa
@Mgutehekima.
@Mgutehekima. 9 месяцев назад
Mmh😮 Ujasiri unatoka wapi huu?
@patrickmakori-y6x
@patrickmakori-y6x Месяц назад
Naomba uniombee ninamatatizo
@EvelinQueen
@EvelinQueen 5 месяцев назад
Chukizo la uharibifu limeshasimama mahali patakatifu wana wa Mungu tuwe macho tunakaribia kwenda
@giclifetv-lq8dn
@giclifetv-lq8dn 5 месяцев назад
Lusekelo unajaribu kuonyesha wewe ni wawapi
@elibarikimeela2761
@elibarikimeela2761 9 месяцев назад
Tafuta kazi nyingine ya kufanya,,,,, ya uchungaji huwezi.
@IbrahimMwakasembe-mu5fv
@IbrahimMwakasembe-mu5fv 3 дня назад
Nakuelewa. Biblia haijakataza pombe(directly). Biblia inakata usilewe,
@stevenlugano7888
@stevenlugano7888 9 месяцев назад
Du!! Dunia imeisha
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 5 месяцев назад
MIMI NAONA,MZEE HUYU...ANAKOSA ZA KUSEMA AU KUFUNDISHA KANISANI MWAKE. -AMESHAMKANA HATA,"YESU KRISTU KUWA NI MUNGU" -HII SIJUI NI IMANI GANI
@yohanamorisi9027
@yohanamorisi9027 9 месяцев назад
Mbona imeandikwa mselewe kwa mvinyo!! MLEVI MKUBWA WEWE
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 9 месяцев назад
Hahahahahahahaha Yani hajajirudi tu
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 9 месяцев назад
Ajabu 😮
@ElshadaiAnthony
@ElshadaiAnthony 9 месяцев назад
Umesikiliza vzuri sikiliza vzuri sio unalopoka tu acha utoto
@catherinemhule6519
@catherinemhule6519 9 месяцев назад
Huyu ni mlevi mkubwa kuna cku alilewa akaanza kutukana matus
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 8 месяцев назад
Duh 😂😂😂
@philemonkafyulilo7128
@philemonkafyulilo7128 9 месяцев назад
Kunyweni kanisani
@Elikanashileka
@Elikanashileka 7 месяцев назад
Bas ipo siku utaitwa kubariki mtaji wapombe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 месяцев назад
Wewe Mlevi wa Kvant mchungaji gani hufai kabisa ndiyo maanavunatetea pombe
@samsonmwaipaja4839
@samsonmwaipaja4839 7 месяцев назад
Aiseyi Hilo ni tatizo la kuwa na waalim wengi Yak 3:1,2
@richarddavidmk
@richarddavidmk 5 месяцев назад
Huyu mzee bolt zimekata
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 9 месяцев назад
Kuzini kumeandikwa kuwa tusizini,ila ukianza kusema kuhusu kuzini wanaozini watakushambulia kwa kuwa wanafaida nalo,hivo wote wanaomtetea Lusekelo ni kwa sababu Amelita mlemle wanapopapenda.kwenye angle yao.pole
@asifiwedeus4122
@asifiwedeus4122 8 месяцев назад
Wakala wa shetani
@davidmalila9221
@davidmalila9221 5 месяцев назад
Tutawatambua kwa matunda yao
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 8 месяцев назад
Mmmmmmmmmmmmmmmm eleza maana ya kosa
@norahmike7643
@norahmike7643 9 месяцев назад
Mungu atuhurumie😢
@ErnestTomas
@ErnestTomas 9 месяцев назад
Amekengeuka
@ElshadaiAnthony
@ElshadaiAnthony 9 месяцев назад
Kuwa mstaarabu ndgu maneno mazito ktka account ya mtu hasa ukizingatia ni mtu mzima uyo
@ErnestTomas
@ErnestTomas 9 месяцев назад
@@ElshadaiAnthony mtu mzima anapotosha neno la Kristo,upumbavu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 9 месяцев назад
​@@ElshadaiAnthonymtu mzima haambiwi ukweli?
@barakakibuti3324
@barakakibuti3324 7 месяцев назад
Wewe Bado mchanga Sana wa maandiko tatizo unaongozwa na hisia zaidi na sio ukweli
@MsafiriCharange
@MsafiriCharange Месяц назад
Ww nimkweli myaminifu
@josephinamkono5183
@josephinamkono5183 9 месяцев назад
Hizi ninyakati za ukweli na uwazi
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 9 месяцев назад
Feel free
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 9 месяцев назад
Wewe Mzee tubu kabla hauja lala usiwapotoshe watu usiitete dhambi kisiasa
@benedictmhina4819
@benedictmhina4819 5 месяцев назад
Kwani mzkosa na dhambi tofauti yake ni ipi hapo?
@Direct-0000
@Direct-0000 9 месяцев назад
Siasa izi ...na ushoga nao mnasema si dhambi nao ni kosa kwani dhambi Nini.? Dhambi si Imani dhambi ni kosa huu uhuni mtupu...😮
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 8 месяцев назад
Mm muislam ila mzee mambo mengine unaongea ukwel ila pombe haifai ni dhambi na ndo baba wa maasi # na kwa akili ya kawaida tu ukichunguta utaona pombe haifai ina madhara mengi sana
@ZENAMHUMBA
@ZENAMHUMBA 5 месяцев назад
Mtumishi wa shetani huyu
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 5 месяцев назад
Habakuki 2:15 Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao! Woe unto him that giveth his neighbour drink, that puttest thy bottle to him, and makest him drunken also, that thou mayest look on their nakedness! Habakuki 2:16 Umejaa aibu badala ya utukufu; unywe nawe, uwe kama mtu asiyetahiriwa; kikombe cha mkono wa kuume wa BWANA kitageuzwa ukipokee, na aibu kuu itakuwa juu ya utukufu wako. Thou art filled with shame for glory: drink thou also, and let thy foreskin be uncovered: the cup of the LORD'S right hand shall be turned unto thee, and shameful spewing shall be on thy glory.
@shadraachshadinho
@shadraachshadinho 4 месяца назад
Jamaa simuelewi kabisa huyu
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 8 месяцев назад
Unajiaibisha
@NeemaKwingwa
@NeemaKwingwa 5 месяцев назад
Huyu anaejiita mzee waupako kwanza mwenyewe nimlev ndio mana anatetea dhamb tazamen hata liuso lake lilivyo lamtu mlev kabis
@JoyceMkini
@JoyceMkini 5 месяцев назад
Watu wanashangilia kunywa pombe jamani tunapelekwa wapi ? hii injili ya sasa
@zachariazachaaa4958
@zachariazachaaa4958 5 месяцев назад
Pombe ni dhambi
@jumahili8121
@jumahili8121 9 месяцев назад
Mzee wa Upako nimekuelewa. Mtu hataenda jehanum kwa kunywa pombe.
@bishopstephanosaid9205
@bishopstephanosaid9205 3 месяца назад
Sasa mzee unaipamba dhambi rangi dah pole heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake mzee
@msemakweli243
@msemakweli243 9 месяцев назад
Uyu mzee ni mtume wa shetani lkn mkumbusheni yesu anarudi
@EBENEZEREMMANUELtv
@EBENEZEREMMANUELtv 9 месяцев назад
HABAKUKI 2:15 ole wake yeye ampae jirani yake kileo
@johnjohnkipokola5077
@johnjohnkipokola5077 9 месяцев назад
Acha kudanganya watu wakaangamie.
@PeterJuliusSabuni
@PeterJuliusSabuni 4 месяца назад
Haya bwana yanatokea kwasababu ya kosefu wa ajira yaani huyu mzee ni mpigaji nawaambia jamani, tuweni makini
@amanamani4429
@amanamani4429 9 месяцев назад
Mmmh
@OmaryIddi-d9g
@OmaryIddi-d9g 3 месяца назад
Watu wangu wamekua kondoo waliopotea wana wachungaji wao wamewapoteza
@MichaelJohn-et8mk
@MichaelJohn-et8mk 3 месяца назад
Huyu ni mlevi kama walevi wengine kaeni mbali na hiyo roho ya ulaghai
@MichaelAbel-s4r
@MichaelAbel-s4r 8 месяцев назад
Biblia inakataa pombe Moja Kwa Moja,wewe una agano la pombe toka kwa shetani,wewe na wote wanaokunywa,kumpa kileo,kulewa,kutapika,kuanguka wote jehanamu.
@Jurbeg
@Jurbeg 8 месяцев назад
Mwana wajoka yupo kutetea maslahi Yake uku dhamila iki msuta anajua anacho kifanya ila hana namna amesha fika mbali sababu ya tamaa mbaya sawa ila haichelewi atakukuta MUNGU wa moses kulola 😢😡
@cliffdenis144
@cliffdenis144 9 месяцев назад
Walimu wa uongo Hawa tayari wameanza
@jastinmkoba
@jastinmkoba 9 месяцев назад
Umesemaje?.....ludia tena? Apo nimekuelewa ni kwasababu wewe mwenyewe mlevi
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 9 месяцев назад
Wale ambao wanajiita walokole wa kukaririshwa.ni ngumu kukuelewa.kwa kuwa watakusikiliza lakini hawatakuelewa.wakatoliki tunasema pombe ni mzizi was dhambi wala mapadri hawatoi jasho kuhuniri pombe.Bali neno LA Bwana.unaweza kuwa hunywi pombe lakini mwongo.utapataje kupona.
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 8 месяцев назад
Mlevi hutetea ulevi
@tiracymbombo5337
@tiracymbombo5337 5 месяцев назад
hiyo injili yako ina mashaka hakuna ulevi bila bombe.
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 9 месяцев назад
Msiposilimu wote mtaishia motoni
@denisharris2889
@denisharris2889 9 месяцев назад
Ifahamu hiyo Dini Yako mpya, uliohamia kabla haujashauri watu waje huko. Isije ikawa uko tayari moyoni Kwa kumkataa Yesu.
@amaningalla9420
@amaningalla9420 9 месяцев назад
Usiibadilishe biblia ikafuata matakwa yako,dhanbi ni dhambi hata ukiiipaka rangi ni dhambi tu.
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 9 месяцев назад
amina
@ElshadaiAnthony
@ElshadaiAnthony 9 месяцев назад
Acha ujinga sikiliza somo alaf pia kapitie ilo somo
@calistusmahombo-ty8ni
@calistusmahombo-ty8ni 9 месяцев назад
Mtawatambua Kwa matunda Yao,ole wake ampaye jirani yake kileo,usinywe mvinyo ujazwe Roho, (Hekima ya Dunia hii ni upuuzi mbele za MUNGU,(Roho hushuhudu pamoja na roho zetu...)SIKU za mwisho watakuja makristo wa uongo na manabii wa.....
@joh_001
@joh_001 9 месяцев назад
wewe aliekufundisha ndiye alokupoteza..tuambia kunywa pombe ni dhambi ya amri ya ngapi???
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 9 месяцев назад
​@@joh_001jibu hana, ila watu wanaona pombe sigara ni dhambi ila Zina fitna uongo na nk sio dhambi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 5 месяцев назад
We ni mlevi tu ndio maana unaitetea.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 месяцев назад
wewe mlevi wa Kvant mchungaji gani hovyo kabisa
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 5 месяцев назад
Biblia haijakataa pombe je matendo ya pombe he sijui jamani
Далее
HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA
21:53
Просмотров 75 тыс.
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 174 тыс.
YESU NI MUNGU AU SIO MUNGU
51:26
Просмотров 29 тыс.
POMBE NA UKRISTO
12:11
Просмотров 10 тыс.
SIRI YA MAFUTA NA MAJI YA UPAKO | MZEE WA UPAKO
19:21
Wakristo Wengi Biblia Hawajui
3:19
Просмотров 21 тыс.
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 174 тыс.