Тёмный
No video :(

UKWELI KUHUSU DENI LA SERIKALI YA ZANZIBAR KUFIKA TRILION 1.1 

AM ONLINE TV
Подписаться 737
Просмотров 1,4 тыс.
50% 1

CHAMA Cha ACT Wazalendo Zanzibar kimesema deni la serikali ya Zanzibar limefikia shilingi tirioni 1.1 kutoka shilingi bilioni 155 katika kipindi cha miaka mitatu tangu serikali ya awamu ya nane kuingia madarakani chini ya uongozi wa rais dk Hussein Ali Mwinyi.
Hayo yameelezwa na makamu mwenyekiti wa chama hicho Ismail Jussa Ladhu wakati akihutubia mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika uwanja wa kivumbi jimbo la shauri moyo.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@user-hk2oz2eg4j
@user-hk2oz2eg4j 2 месяца назад
Nchi hii ina kazi. Tabu kuendelea.
Далее
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
Просмотров 63 тыс.
Новый фонарик в iPhone с iOS 18
00:49
Просмотров 539 тыс.
DK.MWINYI ANGURUMAA KISIWA PANZA
7:56
Просмотров 581
Ali Karume Ccm Wamesahau Mema Yangu
7:56
Просмотров 7 тыс.
KANGANI WAMUUNGA MKONO DK. MWINYI
6:21
Просмотров 700
Новый фонарик в iPhone с iOS 18
00:49
Просмотров 539 тыс.