duuuh sisi watoto wa 2000 tulikuwa tunaskia tu zinawekwa kwenye majumba muda huu zanzibar ilikuwa inatikisa sana qaswida nyingi zilikuwa ni kama visa fulani hivi kwahiyo ukitoka madrasa kusoma sira ya mtume ukiskia na hizi qaswida basi ni hatarii. Zingine tukawa tunazisoma kwenye maulid❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kama hiii tuliisoma kwa dufu ndogo bc ilikuwa vita
Nakumbuka mwaka 2003 albamu zipo 1.Muhajirini 2.Mama amina 3.Alishitaki ghazal 3.miujiza ya tumwa nabia 5.Uyo ni Gamia alia majozi Mwaka 2005 1.Nuru fauka nuru 2.Kamba ya Allah 3.tutashakimana nae mtume hashima 3.Miangaza tumeiona 5.Peke yake chumwa❣️❣️🙏
@@jumafaki1697sema qadiria pamoja na kasida zenu nzr mlikua mnatuogopa sanaa muntahalkalami ukija kupiga bila mnanda nakumbuka maisara mlibadili kasida kuanzia rihesal mpk maisara jumla mlisoma kasida 3 hivi ila wee ulikua kadogo upo mstari wa mbele mkisoma khataminabiyyina
Masha’Allah...Wallahy huipenda sana Qaswaid hini Allah azidi kuwatilia Noor katika kazi yenu Insha’Allah 🤲 A.alaikum warahmatullah Ustadh Juma Fakih naomba hini Qaswida tafadhal +254748471513 WhatsApp
doh!! Jaman Kama Kuna uwezekano tuna omb umtume na za vidio maan niadimu saan tuna kumbuka mbali saan tupie. Albam zimaaa hum.ombi langu na tumain litafanyiwa kazi