Тёмный

Unaweza usimchape tena mwanao Baada ya kutazama video hii In sha Allah 

Kalamutz
Подписаться 131 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@leahmollel6589
@leahmollel6589 2 месяца назад
Walimu hebu waache viboko hata kwa mwezi mmoja tuone! Walimu wengi huwa hawachapi kwa hasira lengo ni kurekebisha! Wenye hasira Mungu awasaidie! Usimnyime mtoto mapigo😊😊😊
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 2 месяца назад
Mtu akifanya kosa, akipata adhabu inamsaidia kujitafakari yaani opportunity cost either aadhibiwe au aache makosa. Adhabu ni asili ya binaadamu, hata Allah anaadhibu duniani na akhera. Kila kitu kina wastani wake yaani kufanya kitu kwa kati na kati. Kumuadhibu ndiyo huzaa adabu. Ila ni vizuri kujua tatizo la mtu kabla ya kumuadhibu
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 2 месяца назад
Unaweza kutumia fimbo kuadabisha....na si adhabu Kadhalika Unaweza kumuadabisha Mtoto kwa fimbo bila ya hasira Ila hii njia anayoitoa Mwalim si sahihi moja kwa moja.kuna manufaa katika speech yake ila si kwamba kapatia asilimia Mia. Tuweni makini sana hasa sisi Walimu Kadhalika aina ya Watoto tulio nao Dunia ya sasa
@sein.208
@sein.208 2 месяца назад
Masha Allah Jazaakallah kheiry
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 2 месяца назад
Hii ni mateso siyo sahihi kabisa. Adhabu shuleni ni tofauti kabisa na ukatili huu. Chapa na fimbo nyembamba miguuni na siyo na fimbo kama gongo. Halafu kuchapa mikononi ni kosa kubwa sana tena sana
@laninjeje8290
@laninjeje8290 2 месяца назад
Huna akili wewe na Kama huna chakuchangia kaa kimya, nani kakwambia watoto wa kike ni kosa kuwachapa mikononi?? Mtoto wa kike hairuhusiwi kumchapa matakoni
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 месяца назад
Kweli kabisa maneno yako kaka Allah atu hidi wote. ALLAHUMMA AMEEN YAARABIL AALAMIIN JAMIAN
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 2 месяца назад
Maximum anahasira za mkewe anamalizia kwa wanafunzi huyo dingi noma 😂😂😂
@ismailkhamis4694
@ismailkhamis4694 2 месяца назад
Nime soma kitu Mashaa Allah
@nasraswakala
@nasraswakala 2 месяца назад
Mim niliichukia shule kwasababu ya kuchapwa na mwalimu kilasiku
@asmahasanirashid5059
@asmahasanirashid5059 2 месяца назад
Maashallh
@user-sq1ol2fb3i
@user-sq1ol2fb3i 2 месяца назад
Walimu wa kiafirika niwachinga wanadhania wakichapa mtoto wadhania ni vinzuri wakumbavu sana
@nazraseiban1082
@nazraseiban1082 2 месяца назад
Kumuadhibu mtt kwa kutumia kiboko sio suluhisho, suluhisho ni kumsemesha
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 месяца назад
Adhabu za viboko zililetwa na wakoloni mbaka leo hii sijui Afrika sijui tutabadilika lini
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 2 месяца назад
Maashaa Allah wakufunzi wapo wazuri, lkn kuna mijitu katli iliyosomea ualimu lkn sio mwito wao, ni taabu
@HEMEDIABASI-io9ge
@HEMEDIABASI-io9ge 2 месяца назад
Idea za kizungu una kitu unataka kukisema ila njia uliyotumia ni mbovu. Waislamu tumeamrishwa kutoa adhabu za makosa mbalimbali ni kuwa huujui uislamu ndio mana
@user-ft8vo2tl2b
@user-ft8vo2tl2b 2 месяца назад
Baba Zetu walipigwa wakawa na akili
@salumkondomwinyimkuu4241
@salumkondomwinyimkuu4241 2 месяца назад
Assallam alaykum warahmatullah wabarakaatuh ndugu zangu naomba mawasiliano ya huyu mtoa mada nahitaji kumualika kwenye Kongamano, Inshaa Allah
@user-ft2vq5on6l
@user-ft2vq5on6l 2 месяца назад
Adhabu ipo siyo kwa mtindo huo ukimvunja mkono mtt wa mwenzio useme umemrekebisha aah hapana
@SaidAwadh-mq2tn
@SaidAwadh-mq2tn 2 месяца назад
Mashallah
@zahramoo4760
@zahramoo4760 2 месяца назад
Huyo teacher salah asijidai 😂😂😂😂 Wallah alikua akituchapa ubungo Islamic km nini huyo
@ASIMOnlineTv
@ASIMOnlineTv 2 месяца назад
Yaaani kama sio yeye aliekuwa anachapa fimbo kama anachapa Ng'ombe . Shame on Him
@halimasalim1724
@halimasalim1724 2 месяца назад
Isikilizen vzr Anasema alkua anachapa tena mwanae akamfundisha akaacha
@seemanishekiao
@seemanishekiao 2 месяца назад
Isikilize mpaka mwisho. Kuna faida .
@sammyaron3818
@sammyaron3818 2 месяца назад
Kila kosa Lina matokeo yanayo umiza hio ni law hata kwenye maisha ukukosea kufanya jambo litakuja na matokeo usiyo ya penda hata amri za Mungu ukishindwa kuzifuata utapata matokeo ya kuumiza so kumchapa mtoto si kitu kibaya ila kinatakiwa kutumika vizuri ili kujenga cuz hata maisha ya mtaani haya tubembelezi tukikosea
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 2 месяца назад
Huyu mwalimu kashatupiga sana pale ubungo Islamic.. nashangaa leo Mashaa Allah anakemea kuadhibu
@bahidispensary2786
@bahidispensary2786 2 месяца назад
Ahsante kwa kuliona hilo na alikua anachapa hasa
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 2 месяца назад
Ndo anajutia alichokua anakifanya huku Uingereza walimu hawachap ukimgusa tu mtt unafunguliwa mashitaka unafukuzwa kazi mimi mwanangu anadamu ya kiswahili mama ake nishachapwa huko ninakotoka basi kila week anarudishwa nyumbani 2 days asiende school ndo adhabu anayopewa anaekewa vikao kuonywa anarudi darasani lakini hasikii ingekuwa bongo washamtia ngeu hivi😂😂
@JazilaIjengo
@JazilaIjengo 2 месяца назад
Nimejifunza Allah akulipe kwa mafunzo haya
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Nimeeleza hapo alipewa adhabu na mwalimu wake malaaika jibril aliemfundisha kusoma quran sio kwamba alifanya kosa bali alibanwa na jibril
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 2 месяца назад
Kuadabisha ndio inatakiwa na kuadabisha inawezekana pia kuwa unaweza kumtia adhabu lkn bila ya kupiga Kuna adabu za kulipa , kuandika , kufanya jambo lolote jema Au kumfahamisha na hii ndio nzuri zaidi
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 месяца назад
Fimbo ilituletea adabu shuleni saiz watoto wameachwa wamekuwa mashoga na wenye dhalau wasio na misingi mizuri acheni huo umaghalibi unahalibu mfumo wetu
@wegesaelias5110
@wegesaelias5110 2 месяца назад
Kuchapa ni kubaya sana sana sana, mi niliacha tuition sababu ya viboko
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 2 месяца назад
Tafadhari msiwachape watoto wetu ,je nyie watoto wenu wakipigwa utapona raha
@generosennko8343
@generosennko8343 2 месяца назад
H
@Laizer3
@Laizer3 2 месяца назад
Elimu ya africa haina faida. Walimu nao hamna kitu kama ingekuwa na faida mchina asingejenga madaraja wasomi wetu wangejenga ila tumebez kwenye ukatili wa fimbo na elimu haina faida
@sakuranitillya6088
@sakuranitillya6088 2 месяца назад
Hatna wasomi tuna mambwa tu
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 2 месяца назад
Uyu jamaa ni gwiji wa geography hajatokea alikua pale ubungo Islamic
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Ukija kwenye upande wa kusoma na kuhifadhi quran na kuhifadhi kutubi na vitabu vingine yaan kwenye upande wa dini nikisema dini na maanisha uisilamu kuchapwa kuwepo kwa sababu hata mtume ﷴ ﷺ alipewa adhabu na jibril kwa hiyo kuchapa watoto kuna faida pia na mm naona faida ni kubwa kuliko kumuacha nikuchunga t namna ya kumchapa kuchapa kusiko umiza
@alibinjuma793
@alibinjuma793 2 месяца назад
mtume alifanya kosa gani akaadhibiwa na Jibril?
@babchudu
@babchudu 2 месяца назад
​@@alibinjuma793 kipindi mtume (s.a.w) anafundishwa kusoma na jibril alayh ssalaam, alibanwa mbavu huku akiambiwa "iqraa" yaani SOMA.. huu undo ulikua mwanzo wa kutufikia quran tukufu. fuatilia kisa hiki, utajifunza mengi inshallah
@abdallahsuleima487
@abdallahsuleima487 2 месяца назад
Shekh imekuwa kama nakufanisha imepungua sunna gani?
@hamisimsosi6237
@hamisimsosi6237 2 месяца назад
Adhabu ya viboko mashuleni ifutwe ni ukoloni sana angalia adhabu zingine 😭😭😭😭😭😭
@user-xz8mm5kt5m
@user-xz8mm5kt5m 2 месяца назад
Asiyefunzwa na maame hufunzwa na ulimwengu, haya ogopeni kuchapa watoto ulimwengu ukawachape! na kumbukeni kichapo cha ulimwengu ni kikubwa na hakina vipimo pia hakina lengo la kufunza bali kuadhibu. Wazungu wamefikia wapi katika hili? leo hii watoto wanatukana wazazi wao huko na kuwapeleka polisi kilakukicha kisa wamepewa haki zinazowatoa katika maadili sahihi ya ki-utu. Adhabu ya bakora ilikuwepo kabla ya ukoloni! ... jitieni hamnazo msubiri kuwa na jamii ya mashoga, majambazi, malaya nakadhalika
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Mimi nimeona mara nyingi kwenye upapande wa secular walimu wanaochapa sana ni wale ambao walifeli wakahonga na kutoa rushwa na kununua majina mpaka wakawa walimu yaan kiufupi walimu wasiokua na akili
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 2 месяца назад
Na kwa mzazi kama mimi nikigundua umemchapa mwanangu kwa namna iliyomdhuru basi huyo mwalimu ajiandae kwa kudhuriwa pia katika muda,mahala nitakapopanga
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 месяца назад
Hee mbona hivo 😂
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 2 месяца назад
@@kalamuMedia si unaona kama huyo mwalimu mtu mzima anajisikia fahari tu kuumiza mikono ya watoto was watu
@mwalimulossilamsuya1944
@mwalimulossilamsuya1944 2 месяца назад
NAKUPINGA KWA 100%
@alisuleiman9627
@alisuleiman9627 2 месяца назад
Wasiwachape kwenye mikono watawafanya washindwe kuandika shuleni
@mutomubaya
@mutomubaya 2 месяца назад
Katika baadhi yetu Wafrika kuna watu wajinga sijawahi kuona. Hawaoni mzungu hufunza mbwa kujua kushika mwizi wa madawa ya kulevya. Je wanafunzwa kwa kuchapwa...?
@aboubakarothman
@aboubakarothman 2 месяца назад
Mbona huna hoja hata kidogo hapo!
@massvpro
@massvpro 2 месяца назад
Sasa Kama Hana hoja unafuatilia kwanini? Hiyo ni elim kaamua kuitoa Bure.
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 2 месяца назад
Sasa usisema nyie waislam, kama wewe unatoa elimu kwa Uma basi swala dini ni pale utakapokaa na hao wa imani yako..HAIPEPENDEZIII.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 месяца назад
Ila Africa kama hatunazo Sasa mifimbo hiyo kama anampiga wezi ndio nini?
Далее
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24