Тёмный

UONGO MTUPU MIUJIZA EV PASCHAL CASSIN 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 151 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

#0766998994 #0788871769 #0688199370 #

Опубликовано:

 

13 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 222   
@Mwanaumewashoka
Sasa unamuongelea Tb Joshua unamjua Tb Joshua wewe, unajua mambo aliyoyafanya hao sio level zako wewe, unasema anatabiri Nabii hazitimii kwani hujui kwenye Biblia kuna Nabii zilitabiliwa hazikutimia, ilitabiriwa Israel watakaa utumwani miaka mia nne mbona haikutimia bali walikaa zaidi ya miaka mia nne, halafu kabla ya kuongea na watu wenye akili fanya research acha kupotosha watu wasiojua chochote maskini wa Mungu, Wewe fanya research bro ungemjua Tb Joshua au Bushiri usingeropoka hapo.
@TulloMhombo
Kwani Mtumishi wewe umepewa na nani kazi ya kuwahukumu wengine? Hukumu ni kazi ya Mungu mwenyewe. Mtu anayeumwa ndiye ajuaye maumivu anayopata Kwa mtu huyu anatafuta atakapo ponea shida yake. MTUMISHI USIBEZE WATU WANAPOHANGAIKA KUMTAFUTS MPONYSJI YESU. NAOMBA UTUPATIE ORODHA YA WATUMISHI WA KWELI ILI TUWAFUTE
@martinahlighare6495
Wengi watakuja kwa jina langu, walisema, mimi ndimi kristo, watawadanganya wengi. Bibilia kasema. Ila tuwe macho tusidanganywe. Wingi wa watu na kutenda miujiza sio hoja, hata palipo wachache na kulitaja jina la Mungu kwa kweli na ukamilifu wa roho, Mungu yupo papo hapo.
@simonIbrahim-hc8vm
Aminaaa mtumishi wa Mungu! Ninachojua hata ktk mambo ya rohon Wewe ndiye nabiii wa kweli umeletwa na Mungu Hawa wengne Mashetan tuuu!! Mungu akubarki Sanaa Baba! ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@laninjeje8290
Na wewe unajaza mavi eti eee😂😂 mbwa wewe hubiri neno la Mungu, acha kusema marehemu wewe
@robinlaysonkuyava1407
Mim ckubalian na wewe hakika hulijui Neno la MUNGU TB JOSHUA NI MTUMISH WA MUNGU ILA WEWE NA WASIWASI AKILI YAKO UCIFURAHIE UKIDHAN UPO SAHIHI UTAKUFA VIBAYA ACHA KUMGUSA TB JOSHUA
@elinisafibabarita
I disagree with you on T.B Joshua, kama ni huduma unataka bora ufungue yako kuliko kupinga wakristo wenzako. Ufalme unaojipinga umefitinika sasa wewe uko upande wa nani maana sidhani kama uko upande wa Yesu.
@aishaathuman6181
Zungumzia habar zako acha kumzungumzia mtu.jaza na ww kabisa lako
@tagiubavu4770
Tafazar tunaomba uachie nyimbo makanisa yakuzm naule wa kiapochadam
@robinlaysonkuyava1407
Upo kutaka Sadaka wewe acha ujinga nakuonya tena acha ujinga
@samwelmkilya9236
Ata wewe ni tapeli acha ngano imee na magugu mchambuzi ni mungu wewe mungu ndo amekutuma uwachambe hawa, tulia bhana mbona unaomba sadaka sasa fantastic kama paulo alihubir nakuomba chochote
@ServantJoshua-ew8ng
Ni kwanini usifanye injili,,, tu ya kuwafanya watu wamjue MUNGU.... Unafanya injili ya kushambulia watu wa MUNGU.. sidhani kama unafanya vema.... HUBIRI NENO LA MUNGU,,
@epifaniamilinga2848
Mtumishi,Mungu akussidie.Hiyo siyo kazi yako.Unamwingilia Mungu.Ww hubiri
@fantasticbmp5587
Ifike hatua watumishi waambieni watu watubu kwa ,maana ufalme wa Mungu umekaribia ila mim nimeokoka ila sheria ni moja kama hujui na huna imani na mtumishi fulani kaa kimya maana hawakutumikii wewe bali aliyewatuma kwenye kupiga vita watumishi hapo Cassian sikuungi mkono acha kumtetea Mungu, Mungu asimame mwenyewe na ajitetee mwenyewe mihemko itaponza wengi.
@user-nm3bg7li9m
Kazi ya kuhukumu watu ni ya Mungu mwenyewe ..ujuhi Mungu amemuandaa muda gn mpka kusimama hivo ...so wewe ndio mkweli ....tafadhari muhubiri kristo ...ili watu tupone na twende mbinguni ... Kifupi Mungu akusahidie basi tusije tukakuso mbinguni
@jovettedenise2591
Ubarikiwe sana mutumishi wenye wako na rohomutakatifu watalitambuwa hili nakumurudiriya Mungu🎉
@user-dd1ud1js4q
Nani Sasa ni mtumishi wa kweli
@medsonsanga4813
Masazo ya Mungu. Ya nyakati za mwisho 🔥🔥🔥🔥. Ukweli unauma ila injili inasongambele. Mungu awe upande wetu daima ⛪⛪
@evodiajohn7991
Mtumishi hubir njili ya Yesu habar za watumishi wenzako zinakuhusu nini Mungu ndo anawajua walio wake nawe jaxa la kwako kanisa acha wivu
@user-zk9rt5xg4f
baba nashukulu sana sana kwakutupa huduma sikuzote mtumishi wakweli anaonekana mjinga nakuomba usikate tama baba please nakuomba mtumishi wamungu leo hii umewafumbua macho wengi lakin wenye kichwa kigumu matusi ukingia tuu unaona sms matusi alafu uku wanasema mimi mtumishi paschal cassian unakili lakin kunawengine tunaelewa ushuhuda wako mtumishi
Далее
Документы для озокомления😂
00:24
Штаны легионера
00:44
Просмотров 229 тыс.
KISUMU MEGA MEETING NANI KAMA WEWE by Enock
10:40
Просмотров 742 тыс.
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20