Тёмный

USAJILI WA LAMECK LAWI WAZUA GUMZO SIMBA | DOCTOR MOHAMED AFAFANUA JANJAJANJA YA COASTAL UNION. 

MSN TANZANIA
Подписаться 4,4 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@erickprotace9463
@erickprotace9463 2 месяца назад
Waandishi mnajadili tukio lilivyoenda kuhusu LAMECK LAWI, inajulikana makubaliano yalikuwepo mnashindwa kuelimisha na kuelezea juu ya njia za kusitisha makubaliano kama zilifatwa kwa mashabiki. Kama walivyofanya coastal ndo hivyo haina haja ya kujadili mengi. Elimisha mwisho wa makubaliano na si walizingumza vipi.
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 3 месяца назад
Ka fei toto vile 😮😮 mama kasaidie haka katoto 🙏🙏🙏
@MussaMarwa-z3n
@MussaMarwa-z3n 3 месяца назад
Tatizo LA simba ndiy mahana wanatolew wachesaji
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 3 месяца назад
Washanunuliwa na gsm hao control union
@msntanzania
@msntanzania 3 месяца назад
😂😆
@muddsaid-kn2dq
@muddsaid-kn2dq 3 месяца назад
pesa tarehe 10 barua tarehe 17 tumesha yakanyaga tuangalieni mambo mengine mkataba umeisha iyo ni mali ya simba
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 месяца назад
Tamaa za Coastal Union zitawaponza mbona Bakari Nondo Mwamnyeto hakulipwa mbaka mwaka mzima ukakata why kwa Simba iwe kesi embu punguzeni tamaa
@msntanzania
@msntanzania 3 месяца назад
Kumbe
@khamismohammed7500
@khamismohammed7500 3 месяца назад
Kwahio kila siku mnataka kuwachezea coastsl kuwaibia wachezsji wao
@msemakweli...
@msemakweli... 3 месяца назад
Hebu turushie mkataba wa kumuuza Mwamnyeto kwenda Yanga tuone makubaliano yalikuaje isije ikawa mnaenda na beat ya kispika ambaye huwa anawaaminisha vitu visivyo na uhalisia
@aminihamisi3551
@aminihamisi3551 3 месяца назад
Coastal union wanajitekenya wenyewe nakucheka wenyewe ...... Tamaa mbaya sana
@msntanzania
@msntanzania 3 месяца назад
🤣😂
@muddsaid-kn2dq
@muddsaid-kn2dq 3 месяца назад
mtanagazaji unaulizaaswali ya kitoto sana jezi nini sasa kwenye ishu ya utambulisho
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 2 месяца назад
Usiwe unaojiwa na midia za kisenge kama hzo ambazo Wala hazjulikani tz hapa
@jumanakamo5503
@jumanakamo5503 3 месяца назад
KWA NINI WALIPOKEA HIYO PESA TAREHE 30 HUKU WAKIJUA WAMECHELEWA MDA WA KULIPA? KWA NINI WASINGEKATAA?
@ramadhanichaurembokahunge
@ramadhanichaurembokahunge 3 месяца назад
Doctor mo uajua kujibu
@msntanzania
@msntanzania 3 месяца назад
🤣😂
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 3 месяца назад
wewe nawe kafie mbele hajui kujibu hapo linajibu tako lako
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 месяца назад
​@@sakinasakina1286LUGHA GONGANA 😂😂😂😂 ISOME TENA COMENT YAKE.
@NassibuMussa-lu3vf
@NassibuMussa-lu3vf 3 месяца назад
Usajiri wa kijanjajanja lawi sio beki wa kihivyo kiki 2
@msangya60manyanki27
@msangya60manyanki27 3 месяца назад
kwann cmba hawakutii mkataba wa kulipa kwa wakati trh 31/5/24?
@msntanzania
@msntanzania 3 месяца назад
😂😆
@msemakweli...
@msemakweli... 3 месяца назад
Hata utambulisho wenyewe ukiwa na akili timamu utaelewa tu kuna vitu haviko sawa
@LeonorahLeonorah
@LeonorahLeonorah 3 месяца назад
@msntanzania
@msntanzania 3 месяца назад
💕
@ismailmohamed502
@ismailmohamed502 3 месяца назад
Bakari walifanya makubaliano na siyo janja janja
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 месяца назад
Sasa huyo naye wakuhojiwa?.
@imanmasawe749
@imanmasawe749 3 месяца назад
Costal waache matamaa
@msntanzania
@msntanzania 3 месяца назад
🤣😂
@valentinemagige1840
@valentinemagige1840 3 месяца назад
Utakulaje keki uliokwisha kuiuza?
@msntanzania
@msntanzania 3 месяца назад
😂😆
@BakarKhamis-iy8fh
@BakarKhamis-iy8fh 3 месяца назад
Je unajua Simba lengolao 2024na2025
@godfreymabula6858
@godfreymabula6858 3 месяца назад
Kama mlikubaliana tarehe 31 why mlipe tarehe 10??? Klabu kubwa kama Simba kiliwashinda nn?? SIMBA MMETAWALIWA NA VIONGOZI WAHUNI 😂😂😂😂
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 3 месяца назад
Godfrey mwamnyeto alipochelewa kulipwa mbona hapakuwa na malumbano Haya we yamekuzidi funga domo lako
@saidalbakry1990
@saidalbakry1990 3 месяца назад
😮​@@ismailhassan5209r800
@AbrahamChengula
@AbrahamChengula 3 месяца назад
Muuliza maswali huna taaluma ya kutengeneza maudhui! Uliza je kama simba ndio waliokiuka makubaliano ya muda wa MALIPO huoni kama simba ndio waliovunja mkataba?? Na je baada ya kuona hawajaoata pesa za kulipa kwa wakati waliuandikia uongizi wa coast kuomba waongezewe muda??? Ili nasi tujifunze jambo,dada wewe imekaa unaongozwa na yeye bila mwongozo wako wa maswali.Rudi shule
@msntanzania
@msntanzania 3 месяца назад
Big up
Далее
KINZUMBI WA TP MAZEMBE APEWA MKATABA WA AWALI SIMBA
4:56
GB 64 AMGOMEA ZUNGU
11:53
Просмотров 50 тыс.
#LIVE: AZAM , SIMBA NA  YANGA  VITANI LEO NBCPL
3:45:34
Просмотров 6 тыс.