Тёмный

"WEWE UMESOMEA NINI? NAKUPANDISHA CHEO I UTAKUWA MSAIDIZI WANGU' MAKONDA 

ST BONGO TV
Подписаться 162 тыс.
Просмотров 42 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder #Makonda #Arusha #AIKU6zaMoto

Развлечения

Опубликовано:

 

28 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@WinWilly4162
@WinWilly4162 25 дней назад
Mungu wa Ishara na Miujiza hajawahi kuwaacha watu wakarimu.. Hakuna hasara kwenye kutenda mema na uaminifu. Hongera sana Mtendaji kwa kupanda cheo❤
@godfreymwandara
@godfreymwandara Месяц назад
Huyu mtendaji ana akili sana anajua kujieleza na anajua anachokifanya
@PoulMarwa
@PoulMarwa Месяц назад
Kazi nzuri mweshimiwa makonda
@husseinshabani3306
@husseinshabani3306 23 дня назад
Huyu mtendaji naamini mama anamuona. Uteuzi zaidi unamuhusu hata uwaziri.
@PyramidSupply-mx1oe
@PyramidSupply-mx1oe 8 дней назад
Uwaizir mpaka awe mbunge nawew
@dawhacker2216
@dawhacker2216 Месяц назад
Mgogoro wa mzee umempandisha mtu cheo. 💯 Mungu akikupandisha bana ni muda wowote
@dizzboss7526
@dizzboss7526 Месяц назад
Kabisa yaani
@KhmsNsr
@KhmsNsr Месяц назад
CHANGAMOTO HULETA FURSA
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k Месяц назад
Anatakiwa mshahara wa kwanza kabisa wa cheo Kipya ampatie mzee hata nusu ya mshahara wake kwa mimi ningefanya hivyo
@dawhacker2216
@dawhacker2216 27 дней назад
@@user-rg8fq8fc3k yaan sio poa ksa
@DotoFulgence
@DotoFulgence 24 дня назад
Uwaminifu mzuri,haki uinua taifa
@frankbangimoto3462
@frankbangimoto3462 Месяц назад
Mungu wa mbinguni aendelee kumsimamiia Makonda. He is a true definition of the leader
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl Месяц назад
Manshalah manshalah manshalah mungu azid kuwapa afya na uzima makonda na huyo aliepandishwa cheo
@ClarabelleWilliams-uw5pm
@ClarabelleWilliams-uw5pm 25 дней назад
Nyie watu endeleeni kuwa waaminifu Mungu anainua
@user-kw6zo8tt5g
@user-kw6zo8tt5g 26 дней назад
Hongeraa mkuu WA MKOA Kwa kumuona mtendaji anajuaa kufatilia na kutatua migogoro ya ardhi pia anajua kujieleza.
@thomastemu3332
@thomastemu3332 28 дней назад
Hongera sana mtendaji..na mkuu wa mkoa umefanya jema kumpandisha cheo safi sana
@husseinshabani3306
@husseinshabani3306 23 дня назад
Yaan makonda dahhh!! Sijui tukulipe nn kwa wema wako. Mungu akulinde mdogo wangu mh! Rc.
@mmarynicolaus9837
@mmarynicolaus9837 22 дня назад
MUNGU NO MWEMA KILA WAKATI, KUNAFAIDA KUMTANGULIZA MUNGU, MAKONDA MUNGU AKUINUE
@jacklinemsacky5587
@jacklinemsacky5587 29 дней назад
Mtendaji ni very bright na anajua kuelezea kama lecture
@PartySekemi
@PartySekemi 12 дней назад
Hongera sana mkuu wa mkoa makonda shikamoo mpina
@PaulinaLwena
@PaulinaLwena 29 дней назад
Mungu ni mwema mtendaji kata kapandishwa cheo ila Mingu alipanga iwe hivyo❤
@fridahjohn1219
@fridahjohn1219 12 дней назад
Wema na uaminifu unalipa hongera kwake kijana Mungu amemuinua
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 29 дней назад
Makonda nimerudi tenaaaa, nasemaje? Yaani wewe, wewe makonda wewe! Popote alipo Rais naomba mpeni hii msg, naomba Makonda abaki Arusha mpaka jiji libaki safi. Makonda hongera sana.
@pascalmsechu6874
@pascalmsechu6874 21 день назад
Mungu ni wa Milele...kila mtu anafungu lake..Hongera sana Mtendaji
@UstadhiRai
@UstadhiRai 7 дней назад
Hoyooo makonda tunakuhitaji na huku kenya 🇰🇪
@AllyNyangala
@AllyNyangala 28 дней назад
Makonda namini tunakucherewesha kaka apo ulipo ninaimani na ww unaweza kuiongoza nchi yetu
@meshackmanofgod8151
@meshackmanofgod8151 24 дня назад
Mimi ni miongoni mwa watu wa maombi ninakuombea sana uhai mrefu uje utawale Tanzania nzima
@user-vo7oq3gz9c
@user-vo7oq3gz9c 25 дней назад
Mungu awassidie wote viongoz mnaowasikiliza mayatima ,masikin,wanyonge kama mm mungu mbariki makonda ila makonda mwambie chalamira naye atusikilize watu wake wa dar es salam
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 22 дня назад
Yani kijana kanyooka mpaka hadi raha, any way usikate tamaa uliepo duniani Mungu mda wowote unakaa juu. Kaa imara mda wote 🎉
@OlivreKimario
@OlivreKimario 29 дней назад
Kwa wale wasomaji wa Biblia,tuseme ni Daudi ameitwa machungani,1samwel 16:1-13
@dionestermwinuka7520
@dionestermwinuka7520 Месяц назад
Mmm!! Wema ni akiba hongera myendaji
@geey7893
@geey7893 5 дней назад
Nmeamini waaminifu na waadilifu hawana hasara mbele za Mungu. Malipo yao yapo hata kama yakichelewa
@modestamshana1279
@modestamshana1279 2 часа назад
wakati wa Mungu, kila la heri Mtendaji.
@user-mp6zd2ui7r
@user-mp6zd2ui7r 25 дней назад
Mtendaji apewe mauwayake
@katarinamanywele5049
@katarinamanywele5049 27 дней назад
Kwenye jambo la mungu halichelewi
@ndagijimanakibibi7381
@ndagijimanakibibi7381 29 дней назад
Mungu aendelee juju kinda babawawanyonge
@mozahsalum8882
@mozahsalum8882 7 дней назад
MUNGU HUYUUU,,ACHENI AITWE MUNGU🙏🏻
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 27 дней назад
Mungu akutunze sana.amen Mr nkini. Mwenye haki wangu ataishi kwa amani.Amen
@fridamuss922
@fridamuss922 29 дней назад
See god😭🙌🏽🙌🏽🙌🏽Hongera sana bro 😊
@alexvenas2699
@alexvenas2699 25 дней назад
Wema ni akiba,na hiyo ndiyo faida ya kutenda wema Leo mtendaji anainuliwa kwa sababu ya wema wake alioutenda awali.
@josephmaroa636
@josephmaroa636 29 дней назад
Makonda hadi usiku unarikiwe sana
@omarmwabege
@omarmwabege 14 дней назад
Wanikumbusha Magufuli🎉
@bm4tv602
@bm4tv602 9 дней назад
Uyu jamaa si kusema anaakili sana hapana ila nimfatiliaji mzuri wa anaowaongoza nimempenda bule kabisa
@sundaymushi9640
@sundaymushi9640 Месяц назад
So impressive 🙂🙂
@alexmsango
@alexmsango 14 дней назад
Tulio analia mara nyingi tujuane
@saimonmloka8210
@saimonmloka8210 19 дней назад
Madonna hoyeeee🔥🔥👏👏👏
@ramadhanmanirakiza8231
@ramadhanmanirakiza8231 Месяц назад
Wonderful
@JohnFrancis-mv4yf
@JohnFrancis-mv4yf 25 дней назад
Great
@wakushibandfrombushland
@wakushibandfrombushland 23 дня назад
Mzee wa spana bila kuchoka
@Jackson-xv6dn
@Jackson-xv6dn Месяц назад
saf sana
@shabanibigo7996
@shabanibigo7996 4 дня назад
Yani hii ndio clip ya kufunga mwaka.
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 27 дней назад
Akuna kupumzika kama mtume
@MtamboMovies
@MtamboMovies 22 дня назад
New movie Shamsa ford na rado ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-HJK6n4J3wuY.htmlsi=TitGl8O1oavjrHEb
Далее
It's the opposite! Challenge 😳
00:12
Просмотров 3,4 млн
Было?😂
0:12
Просмотров 2,3 млн