Тёмный

Usifanye makosa haya kwenye PICHA YA DV LOTTERY maana utakosa kuwa mshindi  

EBM SWAHILI
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Upigwaji wa picha ya kuomba Green Card Lottery una masharti mengi sana. Ukifanya makosa, unakatwa, huwezi kuwa mshindi.
Hakikisha unajua masharti yote na kuepuka makosa yasiyo ya lazima
#DV2021 #DV2022 #DV2023 #DVLOTTERYRESULTS #GREENCARD #GREENCARDLOTTERY #DVLOTTERY #VISAS #KCC #EMBASSY #SCHOLARSHIPS #INTERNATIONALSTUDENTS #FINANCIALAID #IMMIGRANTS #STUDENTVISA
Follow EBM SCHOLARS Facebook Page at / ebmscholarsofficial
Join the EBM SCHOLARS Green Card Facebook Group at / greencardinformation
Don't forget to Subscribe to my other Channel / ebmswahili
Subscribe to MAMA BENEDIKT / mamabenedikt to learn more about life in the United States
Join EBM SCHOLARS Telegram Group for more updates and answers t.me/ebmschola...
Join African RU-vidrs Network (Telegram Group)
t.me/africanyo...
Visit EBMSCHOLARS Books
www.amazon.com...

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 месяцев назад
Wallahi tunashkuru saaana kwa kutu ilimisha Mheshimiwa Ernest boniface Makuriro
@khadijaismail8427
@khadijaismail8427 Год назад
Waooooh nafurahi maelekezo mazuri sana tushindwe wenyewe tu
@mamodostyle9668
@mamodostyle9668 2 года назад
Mungu akulinde maana unatufungua macho na kutufanya kukaribia ndoto zetu
@victornzebele3990
@victornzebele3990 3 месяца назад
Thanks a lot my brother
@mjmswahil6244
@mjmswahil6244 2 года назад
Asante Anko kwa msaada bado cjatuma Maombi
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 месяцев назад
Utakuja lini kenya 🇰🇪
@mussaharun7257
@mussaharun7257 Год назад
EBM Hongera unatuelimisha vizuri japo kiukweli Watanzania wengi tupo nyuma zaidi kwenye kuchangamkia fursa hii adhimu. Mimi rafiki angu ameshinda mwaka jana na nimeona ukimuhoji, Watanzania wengi wanakwama pale kwenye gharama, mtu kuwa na 8M minimum ya nauli, medical na visa ni ngumu sana. Nilikuwa na dream za kuishi Canada, lakini sasa naona bora niombe DVL ya USA. SWALI: Nina 3 kids na one wife, je naweza kuomba DV mimi binafsi nikishinda nilete familia baadae?
@abrahamsalim5167
@abrahamsalim5167 Год назад
Unapoomba hakikisha na picha na details za familia unazo unawajaza humo
@moseshorrace7569
@moseshorrace7569 Год назад
Kazi mzuri tu mimi.je waweza ni saidia application yangu
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 2 года назад
asante sna Bro leo nimemaliza kujaza ile fomu
@fatumaayubu6470
@fatumaayubu6470 Год назад
Naomba unisaidie jisi yakujaza
@MtumbaOG
@MtumbaOG 11 месяцев назад
Zanzibar mnakuja lini
@mubabray9845
@mubabray9845 2 года назад
Asante EBM
@winfredhart6724
@winfredhart6724 2 года назад
Asante kaka.
@mukirefatumaevaste3688
@mukirefatumaevaste3688 2 года назад
Kaka, nataka kujuwa je mkimbizi ana haki ya kuomba green card lottery
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Ndiyo tena ndiye ana nafas kubwa kuliko hata citizen ila usiwe Marekani tu
@stanleyjohn2929
@stanleyjohn2929 11 месяцев назад
Unaruhusiwa ila nenda ukaaplay nchini kwako
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 2 года назад
Asante kaka
@clevermngao7565
@clevermngao7565 Год назад
Brother nakufuatilia sana! Je ukipiga simu ukiwa na ndevu! Je inakubalika? Naomba contacts zako tafadhali!
@jean1698
@jean1698 2 года назад
👏👏👏👏
@mikethobiasikisanga4655
@mikethobiasikisanga4655 2 года назад
Ernest nakuomba nisaidie mwezi wa kumi mimi ji jirani yenu kigoma kama unanikumbuka
@jean1698
@jean1698 2 года назад
Mimi niliedit background kwa adobe photoshop, I first took a picture kwenye background ya kawaida
@yusufomar1218
@yusufomar1218 2 года назад
Je uliweza kuipa picha yako vipimo vya 240kb na 600*600 megapixels ??
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Hawatakukubalia
@emedykwizera1065
@emedykwizera1065 Год назад
Pica kama haienezi 600*600yani hatuna bahati cini ya hizo tusahawu???
@petermarwa3871
@petermarwa3871 2 года назад
sasa mkuu kama huna mtu huko usa inakuwaje nani anakupokea
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 2 года назад
ukishasubmitt computer itakufyekelea mbali
@amirymanjota8551
@amirymanjota8551 2 года назад
Bro mm ni mkazi wa dar esaalam ni fundi wa truck vipi kuhusu ndoto yangu ya kuish malekani naweza kufaulu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Kama umemaliza form 4 unaweza
@MtumbaOG
@MtumbaOG 11 месяцев назад
Kama mtu kapata sifuri hio form 4
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Wewe unataka kuwalia Hela
@suzannagibai213
@suzannagibai213 2 года назад
Mtani nakusubiri October Dsm
@edkawiche3171
@edkawiche3171 Год назад
niko makini nakufwatillia.
@juliusmugyabuso453
@juliusmugyabuso453 2 года назад
Umri Una limit Hadi miaka mingapi?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Hakuna
@mathewsnyabende3781
@mathewsnyabende3781 2 года назад
Jambo Ndugu Ephraim. Pongezi kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaelimisha wote wanao jisajili kwenye DV lottery.Nina swali moja,nili upload picha yangu,mkeo na mwanao lakini nili upload ya mkeo na mwanao mara mbili kwa ile chaguo la ''Edit photo" Portal.Baadaye ikawa processsed na kukubaliwa kama "Approved". Swali langu ni je kuna uwezekano wa picha kuwa disqualified tena baadaye kwa chujio la kwanza kwa msingi kwamba picha haiko sawa hata baada ya "YOUR PHOTO HAS BEEN APPROVED" kwa portal wakati wa ku apply?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Ndiyo
@iszzknowledge5933
@iszzknowledge5933 2 года назад
Kaka mimi ndoto zangu ni kuishi marekanii lakn sina elim yoyt kazi zinapatikn hata sisi ambao hatuna elimu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Ila si kwa Bahati nasibu
@stanleyjohn2929
@stanleyjohn2929 11 месяцев назад
Usipo kuwa na elimu uwe na uzoefu wa kazi zitakazokuwezesha kufanya kazi kwenye makampuni
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 2 года назад
😅😅luckdube
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 месяцев назад
Mimi nakuwa nakufatilia saaaana ungenisaidia number yako ya whats up
@munajomar3218
@munajomar3218 Год назад
Habari yako mmi nimeona clip yako unasema utaenda zanzibar .sasa mmi nataka nikupe contact au unirushie zako wanangu wa2 uwafanyie
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Fanya online mwenyewe utapata
@kipsjr3664
@kipsjr3664 2 года назад
kivuli 😭😭😭
@BillyNahum
@BillyNahum Год назад
😂kidibwi hapo sasa
@ForDrama_
@ForDrama_ Год назад
Bro napataje mawasiliano yako ya WhatsApp
@chidyobey10
@chidyobey10 2 года назад
Daaah mi kila nikitaka kuweka picha kwenye remove bg niweze kuweka background nyeupe inaandila Errors
@blacksingapore
@blacksingapore 2 года назад
Kuna app unatakiwa udownload
@yusufomar1218
@yusufomar1218 2 года назад
Ni app iki hio app ya ku edit picha
@seremaboubakar8981
@seremaboubakar8981 Год назад
😂
@saimonjmai801
@saimonjmai801 2 года назад
Kaka Habari , Samaaani naomba kuliza hiyo baati na sibu inachezwa mwezi gani kwa mwaka 2022?
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Год назад
Mwezi huu hadi wa 11 hapo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Huu october 8 to nov 2022
@danielkiondo9451
@danielkiondo9451 2 года назад
Je Kama nimevaa nguo nyeupe inafaa?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Hapana
@beatriceemanuel1098
@beatriceemanuel1098 Год назад
@@trophywilson7211 my dia naomba muongozo jinsi yakufanya hiyo kuomba green card
@azizamohd5728
@azizamohd5728 Год назад
Picha za watoto nilizotumia ku apply mwaka jana naweza tumia mwaka huu ? za watoto tu mie nitapiga mpya
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Big no wamekua
@stanleyjohn2929
@stanleyjohn2929 11 месяцев назад
Usitumie autakiwi kutumia
Далее
гендер пати🩷🩵
00:21
Просмотров 100 тыс.
Fursa ya kupata Summer Camp Jobs - Marekani
21:44
Просмотров 6 тыс.
Njia rahisi ya kuingia marekani
2:35
Просмотров 19 тыс.