Тёмный

USIJIONE UMECHELEWA - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 291 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 99   
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 2 года назад
Ahsante uncle joel ipo siku hata iwe miaka mitano ijayo kuna siku nitakupa ushuhuda wang jinsi unavyonisaidia, naomba Mungu atujalie neema zake na tufanye yale yaliyo sahihi na atujalie umri mrefu. Ubarikiwe tena na tena 🙏🙏🙏
@jameskilowoko223
@jameskilowoko223 2 года назад
Thnx br....nimekuelewa
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 Год назад
Mim kabisa huyu
@minapaul9468
@minapaul9468 Год назад
You made me good every day mr joel may God bless you more and more
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 2 года назад
Joel hakika toka nianze kufatilia 2021 mpaka mwaka uu umenipa nguvu kubwa yakujiamini na kusonga mbele kwakidogo npatacho hakika kinanijenga vyema Allhamdullhai ..ntakutazama kila asubui kama mila na desturi yangu
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ahsante sana, tuendelee kujifunza bila kuchoka.
@omarimtau5162
@omarimtau5162 2 года назад
Kwa kweli katika orodha ya marafiki zangu wote niliokuwa nao hapo awali wamesha kuwa na maisha yao katika sector tofauti tofauti lakini sikuwahi kujiona kama nimecherewa hata kidogo kwenye maisha kwa sababu nilipo ni njia sahihi na naamini itanipeleka kukamilisha malengo niliyojiwekea na nathamini vyote vilivyo navyo.. **Ahsante kwa advice nzuri Broo na nimejifunza mengi sana kwenye video hii
@jerrymalulu5631
@jerrymalulu5631 2 года назад
Broo kuna kitu nimekipata leo ushukuriwe sana asilimia kubwa ya watu wanajifunza kupitia ww mungu kakuleta uibadirishe dunia naamini ivo
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Jerry ahsante sana sana
@issazambiko6489
@issazambiko6489 Год назад
Mungu anakutoa kama ningejiunga nawe mapema huenda leo ningekuwa mbali ila insha Allah bado sijachelewa nakubali sana kazi yako kaka mungu awe nawe insha Allah by Zambiko jr
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 2 года назад
YEHOVA SHALOM Waamuzi to 6:20-24, YEHOVA ROHI Zaburi 23:1, YEHOVA RAPHA Isaya 57:18-19,Ufunuo 12:11,Mathayo 26:28
@shosagango6304
@shosagango6304 Год назад
Dah kaka Joel nimependa sana hili somo na kila siku najifunza kitu ninapokufuatilia
@legendykoy2945
@legendykoy2945 2 года назад
Kuna group coz I always appreciate that views
@isayakanyaga1657
@isayakanyaga1657 2 года назад
nimekuwa mfatiliaji mzuri wa kozi zako unazozitoa katika mtandao wa youtube. Mwenyezi mungu akubariki sana kwa kuzidi kutuongezea maarifa ambayo yanatusaidia tunapokumbana na mitihani mbalimbali katika maisha yetu. See you at the top
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Ahsante sanaa
@Haleem_07
@Haleem_07 2 года назад
The future 🙌 is more excited 😁 🔥💪🙌
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 Год назад
Kila video yko n potential sana
@gadielmawa6969
@gadielmawa6969 2 года назад
🤔.... shukrani sana kaka, kwa kunikumbusha nimepata nguvu za kuendelea na mapambano.
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 Год назад
Bro Nanauka umenifanya ni kumbuke andiko kutoka kitabu cha psalm 90:12 Inasema basi na utukumbushe tujifunze kuzihesabu siku zetu tujipatie moyo wa hekima na akili; ubarikiwe sana
@ramadhanbashir8484
@ramadhanbashir8484 2 года назад
Nilikua nnaumwa na kichwa cha pressure lakini umeniponyesha kwa lecture hii, mungu akubariki zaidi Amin.
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Nakutakia mafanikio zaidi
@mcchilo13
@mcchilo13 2 года назад
Joel wewe ni kichwa sana katika Taifa hili
@KelvMadarale
@KelvMadarale Год назад
Ahsante kwa somo nzuri
@EdwinSaimon-j2p
@EdwinSaimon-j2p 4 месяца назад
Mungu akure maisha marefu
@FarijaniBakari
@FarijaniBakari 8 месяцев назад
Kwel broo
@josephri1994
@josephri1994 Год назад
Ubarikiwe, Mungu akutumie zaidi
@amosmakabara3024
@amosmakabara3024 5 месяцев назад
Shukurani binadamu haishiwi kujifunza
@josephatnicodemus
@josephatnicodemus Год назад
Brother unanisaidia sana
@PeterNsangano
@PeterNsangano 2 года назад
Asante sana Kaka..! Unatufungua mawazo na fikra zetu kwa hali ya juu sana. Mungu akubariki.
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Ahsante sana👏🏼🙏🏼
@timothykengere2535
@timothykengere2535 2 года назад
Shukran Ndugu Nanauka 📚📚📚📚📚📚📚🎙️..........
@naomyerasto1305
@naomyerasto1305 6 месяцев назад
Mungu akubariki kaka
@Haleem_07
@Haleem_07 2 года назад
I'm waiting 😌 😴
@queenhuu2852
@queenhuu2852 2 года назад
Ahsnt,, kaka nanauka ,Mungu akulipe kwa unachokifaanya
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Ameen 🙏🏼
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 Год назад
Mungu akubariki
@omarjuma6472
@omarjuma6472 2 года назад
See you at the top
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 2 года назад
Mungu amekupa kipaji kikubwa sana
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Nashukuru sana na Namshukuru Mungu kwa hiki kipaji🙏🏼
@Haleem_07
@Haleem_07 2 года назад
Fanya ushushe material.. ngulii 🔥 🔥
@mwanetu
@mwanetu 2 года назад
amen amen bro
@omarjuma6472
@omarjuma6472 2 года назад
Loadings
@omarjuma1794
@omarjuma1794 2 года назад
#JoelNanauka Jenius By Discovery
@elimikatv
@elimikatv 2 года назад
Ahsante coach Somo nzuri sana kaka angu.. Mungu akubariki, Hakika mafanikio ni mrorongo mrefu thax y inafikia hatua Mtu anaona kama vile amechelewa au amekosea njia kabisa
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ni kweli kabisa
@christmoremilinga690
@christmoremilinga690 2 года назад
Mungu akupee siku nyingii na uzima tuendelee kujifunza kwako video hii imenipa nguvu tena
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Ahsante, Songa mbele
@obachristopher1371
@obachristopher1371 2 года назад
Kaka mwezi 10 naomba kitabu cha timiza malengo viwe 10 nataka kuwasaidia wengine sijui galama itakuwa ngap
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Karibu utakipata kwa 15,000/- mawasiliano 0762 31 21 71
@japhetmasini8632
@japhetmasini8632 2 года назад
Nakukubali sanaa bro
@mussakubari3920
@mussakubari3920 Год назад
Bro tangu nianza kukusikilza nimesogea hatua
@ufahamuzaidi2343
@ufahamuzaidi2343 2 года назад
Great
@abeid713
@abeid713 2 года назад
👊
@shelembizakaria5719
@shelembizakaria5719 2 года назад
nami nimejifunza kitu hapa maan huwa nahairisha mambo kwa.kuhisi nachelewa
@boni4415
@boni4415 2 года назад
umenena vyema Sir
@elkanakilumbe
@elkanakilumbe 2 года назад
Nimepata kitu kikubwa mnoo
@anithaanthony1006
@anithaanthony1006 2 года назад
Fact. Ahsante sana kaka
@shakirally3899
@shakirally3899 2 года назад
My mentor
@mussadismass9306
@mussadismass9306 2 года назад
Shukulan kaka joe
@atu1546
@atu1546 2 года назад
Hakika Mungu akubariki,heavy advice I receive it.
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Ameen
@florianlisso9421
@florianlisso9421 2 года назад
Nipo sehemu sahihi
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 2 года назад
Asante sana sana sana kaka Joel, Mungu wa mbinguni aliye zaidi ya vyote akupe heri!!!!.
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen nashukuru sana🙏🏼
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 года назад
Shukraniii
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 года назад
Asante
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 2 года назад
Asante Sana brother maana mi nilikuwa siweki akiba nikiamini ninachofanya ndio aKiba yangu lkn kumbe nilikuwa na feli Sasa nimeanza kuweka akiba nilikuwa naona nimechelewa natamani ningepata hili somo mapema lkn nashukuru nimepata kitu kwenye kutokuona umechelewa
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Hongera kwa kujifunza na kuchukua hatua, kila la kheri
@richardmartin6429
@richardmartin6429 2 года назад
Ahsante kwa Ujumbe mzuri.
@neemashirima6121
@neemashirima6121 2 года назад
Hakika unazidi kunipa Motisha. Brother.
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Hongera sanaa
@leonardmakonda1631
@leonardmakonda1631 2 года назад
Amen 🙏🙏🙏
@ladslauspius4845
@ladslauspius4845 2 года назад
🔥🔥🔥🔥
@sophiaoscar8851
@sophiaoscar8851 Год назад
Ili nipate ushauri wako nifanyaje?
@drjamesjames9337
@drjamesjames9337 2 года назад
Kuna kitu nimejifunza,mbn Mara nyingi video zako hazizidi dakik 7??? ...au 10 .. nashukuru kwa kuzingatia uchovu wa ubongo
@djksevenmovies
@djksevenmovies 2 года назад
Nimefurahi San kusikiliza hii video bro nimepata mwanga mpya
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Hongera sana
@djksevenmovies
@djksevenmovies 2 года назад
Asante sana
@magaangamo8010
@magaangamo8010 2 года назад
Gud bro !!!!
@sibitasoinda7908
@sibitasoinda7908 2 года назад
Good bro, naomba nitumiwe kitabu Cha Core genius nilishatuma hela hii Ni siku ya 3 nasubiria kutumiwa naomba unisaidie kuwakumbusha wahusika kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Tuma hii msg kwenda 0762 31 21 71. Pole sana kwa kuchelewa kukipata
@sokonkitv1519
@sokonkitv1519 2 года назад
Thank you Brother
@jeremiahmussa2178
@jeremiahmussa2178 2 года назад
Joel nakufatilia sana napia nasoma vitabu vyako sana
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ahsante sana nashukuru
@naomigenchiri2223
@naomigenchiri2223 2 года назад
Ameen nimebarikiwa.! 🙌
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Ameen
@MrJuma-in5io
@MrJuma-in5io 2 года назад
Thanks good job👍👍👍
@aminahuqa5643
@aminahuqa5643 2 года назад
Shukran
@ashaidd2912
@ashaidd2912 2 года назад
Shukran Kwa kinipa moto maneno Yako yanatia moto sana mungu akulinde
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Ahsante sanaa🙏🏼
@luhumbyapaul3027
@luhumbyapaul3027 2 года назад
Asante sana coach Kaka Joel.
@erickevarst9589
@erickevarst9589 2 года назад
Kaka Nanauka niwakati Sasa wa kuzisoma ebook zako na kuzielewa.. hua najfunza mengi kwa maana hua unanirudisha kwenye mstariwangu wa maonoyangu,, Sina neno zaidi ya kusema endelea kutuvusha Kaka. Mungu akubarki Sana
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Ahsante sana Erick
@mateyigimatz3186
@mateyigimatz3186 2 года назад
🙏🏿 GOD BLES U BROTHER
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen
@atu1546
@atu1546 2 года назад
Hakika Mungu akubariki,heavy advice I receive it.
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Karibu sanaa
@obachristopher1371
@obachristopher1371 2 года назад
Asante
@adamjumaah2679
@adamjumaah2679 2 года назад
See you at the top
Далее
Joel Nanauka : Nini Ufanye Unapopitia Nyakati Ngumu?
46:23
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Просмотров 10 тыс.
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Просмотров 104 тыс.
JOEL NANAUKA ATOA USHAURI HUU KWA MASANJA NA MKEWE
4:56
NJIA 6 ZA KURUDISHA HESHIMA KWA WANAOKUDHARAU.
14:38
Просмотров 21 тыс.
Wanaume Wanaokimbiwa na Wanawake - Joel Nanauka
10:07