Тёмный

USIKU WA KUMPOKEA MUME NA KUTOA NGUO ZA MUME KWENYE KIROBA KUINGIZA KWENYE KABATI/MUME HASUSWI 

Geah Habibu
Подписаться 369 тыс.
Просмотров 177 тыс.
50% 1

Ni kutoka Temeke Mikoroshinijijini Dar es salaam ndipo pambe hii imetokea.Usiku wa kumpokea Mume na kuingiza nguo za mume kwenye kabati baada ya mume kufukuzwana nguo zake kuwekwa kwenye kiroba na mwanamke aliyekuwa akiishi nae.Mmambo yalikuwa mengi
Fwatilia mwenyewe tukio hili kisha utoe maoni yako.
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,5 тыс.   
@sophiajeremiah5521
@sophiajeremiah5521 4 года назад
Kweli mapenzi yanaendana na hadhi hatimaye vichaa wamekutana Nakupa big Up mwanamke mwenzangu uliyefukuza hii takataka ndani kwako Mungu akujaalie akupe kilichobora na kisafi kabisa
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 2 года назад
🤣🤣
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 4 года назад
Hio ndo dawa ,Sio kwenda kupigana na Mke mwenziwe, Hongera Dada!!
@bahajajuma5947
@bahajajuma5947 4 года назад
Vitu hivi utavipata bongo pekee...🤣🤣..naipenda nchi yng no stresss🤣🤣🤣
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 года назад
Hahaha kweli kabisa morogoro hamna
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
Zitoke wapi? Niko ughaibuni naienjoi kama niko bongo
@totmohammed6430
@totmohammed6430 4 года назад
@@rukiaiddyyahaya9506 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jiji lina shida hili
@omaryshania3713
@omaryshania3713 4 года назад
Duh iih Ndo bongoo 🤣
@fatmakigula8634
@fatmakigula8634 4 года назад
@@esterelias8189 kweli, Ester wafanya kazi eee
@rolakealuko2343
@rolakealuko2343 4 года назад
MAMPONGEZA SANA HUYO MWANAMKE ALOFUKUZA HILI JANAUME..
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Ungekuwa karibu ningekupa soda
@winfridagama2042
@winfridagama2042 4 года назад
Kabisa soda baridi mwanaume mzima Hovyo hata elimu cha chekechea haijamkomboa.
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Yaani sio ya chekechea tu hata ya cjui nisemeje Mungu awatunze vijana wa kiume cjui wanakwama wapi???? Maana sio hivihivi
@seifmwasiti4522
@seifmwasiti4522 3 года назад
hatar
@marrypius576
@marrypius576 Год назад
​@@happymsaki1720alaf huy ni mvulana sio mwanaume
@mgesibabere4743
@mgesibabere4743 4 года назад
Mwanaume mwenyewe ndo huyooo aisee uyo aloachwa alichelewa kumfukuza
@shamimuabubakari3508
@shamimuabubakari3508 4 года назад
shoga kumbe hat wewe umeliona jaman mie nilijua ni bonge la bwana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumbe mtoto tu vijana wa kuingia toka duh
@kamalissabig2429
@kamalissabig2429 4 года назад
😄😄😄😄
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mariyammaria3366
@mariyammaria3366 4 года назад
🤣🤣🤣shakaaa yni kbsaa dish la uyo mme yni black out 😂😂😂
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 года назад
@@shamimuabubakari3508 mwenzio nilikuwa bado na subiri kumuona kumbe ndiyo yeye huyo?
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 4 года назад
Nampongeza uyo alie ufukuza huo uchafu ... Mwanamke unatakiwa uwe km ivyo Ao walio mpokea hapo wana madeni km yote
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 4 года назад
Umeona eeeee uyu muwache ampokee yatamkuta badae pombe kama komba na mnazi
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 года назад
Kwel uyo mwanaume n mchafu
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 4 года назад
@@katibatanzania3089 kwanza tukumbuke katoka jera yure alie mfungashia matambara yake kasema hii ndio fadhira ya kukutoa jera ....uwenda mwizi
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 4 года назад
Kabisa
@mirajizuberi4157
@mirajizuberi4157 4 года назад
Kichwani Hakuna kitu dada gear hao wote
@mariamkadija7764
@mariamkadija7764 4 года назад
Mmmm Mim Naona alichelewa kumfukuza kwakweli 🤣😂😂😂
@saidasaida9158
@saidasaida9158 4 года назад
Kabisa ata mimi kama kikatuni bora kamfukuza awanachochote wajiandae malejesho
@aminabakary7938
@aminabakary7938 4 года назад
Mmmmm kwa kweli kachelewa!! Kama ndo tabia yake unafikiri ataachaaaaaa loooo
@rehemakawambwa9914
@rehemakawambwa9914 4 года назад
Mariam Kadija) umeonaeeee best mamu
@rehemakawambwa9914
@rehemakawambwa9914 4 года назад
Chefu kwer nenda mwanakwenda mwanaume mwenyew ovyo
@mwatangachuma7138
@mwatangachuma7138 4 года назад
Duuu kuna watu wamepinda
@mohamedmohamed614
@mohamedmohamed614 4 года назад
Duh hapo shetani mwenyewe anajiuliza hivi hawa watu Mimi ndio nipo ndani ya mwili wao?au wao ndio wapo ndani yangu;ni hatari
@heriethmwandosya3440
@heriethmwandosya3440 4 года назад
😂😂🙌
@gospelinpeter8910
@gospelinpeter8910 4 года назад
😂
@zoey2635
@zoey2635 4 года назад
Mtihani😂😂😂😂😂 shetani lazima ashangae
@agnesburton3215
@agnesburton3215 4 года назад
Kwakwel
@martinajohn1289
@martinajohn1289 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@khadijahkhamis5851
@khadijahkhamis5851 4 года назад
Allah atunusuru na mitihani ya kidunia ya Rabb wanawake tunajidhalilisha wnywe kwa kwel
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 4 года назад
Aamiin
@veronicakipingu682
@veronicakipingu682 4 года назад
hadi naogopa sijui tunafundisha nn mabinti zetu
@dottnatt7110
@dottnatt7110 4 года назад
Duniya simama nipate kushuka wallah
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
Amiin wanawake mtihani cc
@fatmaaly3056
@fatmaaly3056 4 года назад
Amiin
@naimanurdin8984
@naimanurdin8984 4 года назад
Ina lilah Waina Ilaih Rajoun Msiba pia huu Wanawake karne hii tumekosa haya kabisa jamanii😢😢Ya raby tunakuomba utujalie Mwisho mwema Wja wko
@fatmaaly3056
@fatmaaly3056 4 года назад
Amiin
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
Alafu hao wengi wao ni waislamu
@SarafinaJMapas
@SarafinaJMapas 4 года назад
Kwel
@beybieohmine446
@beybieohmine446 4 года назад
ahhhhh unacheckesha
@hassanjuma2688
@hassanjuma2688 3 года назад
AMIN
@hasinarashid2768
@hasinarashid2768 4 года назад
Duuh!!simuach mume wangu kumbe mambo yenyewe ndio hayaaa sithubutuuuu hahahaaaaaaaaa
@theresiaassey8204
@theresiaassey8204 4 года назад
Asant mungu nimezaliw Kilimanjaro
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 4 года назад
Maskini weeh izo pesa munazo zichezea si bora mupeleke kwa watoto yatima
@marrybonephacy5245
@marrybonephacy5245 4 года назад
Yaan hp axbuh wataamka ht hela ya xupu hawana wanatafuta kiki kwenye mtandao maajabu hawana haaaoo
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
Ila uswazi kuna mambo
@aishamrsmkunga2143
@aishamrsmkunga2143 4 года назад
Yaani we acha Mambo ya kijinga kabisa haya.
@queenslandemile2536
@queenslandemile2536 4 года назад
Njo ivo😭😭😭😭😭😭
@8pistons194
@8pistons194 4 года назад
We huoni kama huyo kijana mwenyew kakaa kama yatima
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 4 года назад
Mwenye mume umefanya jambo zuri sana, nimependa kiukweli. Haya mke mpya pambana mama mume ndo huyo umeshaletewa usituletee malalamiko. Wanaume usipowajua vizuri ........
@joycechaz2840
@joycechaz2840 4 года назад
😂😂😂 mwanaume mwenyewe jamni😂😂😂 chizi fresh bora huyo aliemfukuza kaondoa nuksi ndani ya nyumba
@georgemaduga2406
@georgemaduga2406 4 года назад
Huyo aliyempokea kauelewa mziki wake mashineee😂
@faridahassan769
@faridahassan769 4 года назад
Mwenaume mjelajela
@pinochio5465
@pinochio5465 4 года назад
😂😂😂😂😂
@zouzou2849
@zouzou2849 4 года назад
Hahahah
@joycechaz2840
@joycechaz2840 4 года назад
@@georgemaduga2406 kwakweli hapo ni mashine tu ndo imefanya apokelewe na kabati lkn kwenye utafutaji siyo kweli huyu anaonekana mariooo kabisa analelewa
@mariamsuleiman1638
@mariamsuleiman1638 4 года назад
Kweli ibilisi alimuahidi Allah akamwambia naomba usinichukue roho yangu mpka siku ya mwisho. Nina wafuasi wangu kweli moto unanunuliwa ni ghali
@mimahmimah8793
@mimahmimah8793 4 года назад
Allah atuongoze cc wanawake
@mariamsuleiman1638
@mariamsuleiman1638 4 года назад
@@mimahmimah8793 Sana tu
@fadhilarajabu7233
@fadhilarajabu7233 4 года назад
Kosa mali upate akili ndio hii
@nasramakau6139
@nasramakau6139 4 года назад
Kweli tembea uyaone
@ashazubere3837
@ashazubere3837 4 года назад
Pombe sio chai wallah daaah🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️
@elizabethlizy2731
@elizabethlizy2731 4 года назад
Kabisa
@winnermariah
@winnermariah 4 года назад
Akyamungu walai
@aishammmhhaaarmrisho6891
@aishammmhhaaarmrisho6891 4 года назад
Ha ha ha h
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
Kosea vyote lakini hakikisha hukosei kuolewa am kuowa 🤣🤣😂
@winfridagama2042
@winfridagama2042 4 года назад
Amina
@Sandra39823
@Sandra39823 3 года назад
Uwongo
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 4 года назад
hako katoto kaliko choka mbaaaya ndio mume he he he he kweli njaa mbaya
@angellajoshua6497
@angellajoshua6497 4 года назад
Huyo mume hana tofauti na hao wanawake loooh mume gani hana stara...
@makenebartazary2236
@makenebartazary2236 4 года назад
Sisi wazaramo bhana SHEREHE LAKI 7 CHOO KIBOVU na maisha yanaendaaa🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️
@officialdaynesskavishe4143
@officialdaynesskavishe4143 4 года назад
😜😜😜😜😜😜😜
@mozacc6268
@mozacc6268 4 года назад
Uswazi mtihani kweli si kwa mume huyo ovyooo😛😛😛😛
@twariatiomary486
@twariatiomary486 4 года назад
Hahaaaa
@jumandutu2275
@jumandutu2275 4 года назад
Chakula miguu ya kuku na ugali Kodi elfu 20 kwa mwezi chumba kimoja cilling hakina
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
Ndio sisi hao hhhhhh
@julianarichard1895
@julianarichard1895 4 года назад
Dada pole tena pole sana leo kwamwenzako kesho kwako ulicho mfanyia mwanamke mwenzako utalipa
@watakaniitaje1215
@watakaniitaje1215 4 года назад
Wakituonaga watu wa uswazi watuulizege tunanenepa na nini Maana mambo kama hayo masaki, ostarbay hakuna mambo hayo uswazi tu ndo unayakuta Uswahilini raha sanaaa
@shumiboi1063
@shumiboi1063 4 года назад
MAKUBWA🤔
@abelmshanga7519
@abelmshanga7519 4 года назад
Mbona nguo midabwada
@sharifamhyetumachokhamisi4951
@sharifamhyetumachokhamisi4951 4 года назад
Umeona ee
@mwanalikhamis9875
@mwanalikhamis9875 4 года назад
chizi nyie nakwamungu mkafanye ivoivo makumba uhange
@mwanalikhamis9875
@mwanalikhamis9875 4 года назад
pombe tu iyo kunavituko uswahilini
@winfridagama2042
@winfridagama2042 4 года назад
Mungu anawaona labda kama hayupo hongereni inavyonekana mkewe hata begi hakumnunulia.
@sharonke7442
@sharonke7442 4 года назад
Huyo mume kashindwa kukuvisha Pete eti unafanya sherehe ya nini Sasa? only desparate women can do such rubbish
@aminahamis9343
@aminahamis9343 4 года назад
Wallahi atakuja kujua hajui nihapo atakapo muona huyo mwanamume akirudi kwa mkewe kuombsamaha .
@giftnyakipande1253
@giftnyakipande1253 4 года назад
Sure
@joharyhance2196
@joharyhance2196 4 года назад
😂😂😂Nmecheka bongo raha
@kulthumsalim7070
@kulthumsalim7070 4 года назад
Maisha ya uswazi 😂😂😂😂😂
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 года назад
Sharon Ke. Inaelekea Bongo Wanawake ni wengi Kushinda Wanaume
@mariamumapunda4614
@mariamumapunda4614 4 года назад
Mungu awasamehe wanawake maana c kwa upumbavu huu
@averinesamwel6871
@averinesamwel6871 4 года назад
Hapo ukute wamejikopa kufurahisha genge kwer uswahilini kuna vi2ko.
@fatmakigula8634
@fatmakigula8634 4 года назад
Uswazi raha stress zinaondoka
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
Haswaa tenaaa madeni ya vikoba 😃😃😃
@khadijaathuman4362
@khadijaathuman4362 4 года назад
Raha kazaliwa bongo
@alisterlexter1115
@alisterlexter1115 4 года назад
Aseeee em wanawake wachuga tujuaneee maana ningeshatembeza gwaraaa kma zte na huku nikupoteza muda 🤨🤨
@jeniphermassawe3037
@jeniphermassawe3037 4 года назад
Hatar sana
@florahswai6317
@florahswai6317 4 года назад
ungese hatunaga ufala tuu huu
@gloryjulius1108
@gloryjulius1108 4 года назад
Kabisa asee ujinga huu
@toniaelias6864
@toniaelias6864 4 года назад
Hatriii sana
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 4 года назад
Sana tena bora alivyomuacha maana mume mwenyewe akili 2 na nusu
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 года назад
Hata nusu hana
@ashaali7154
@ashaali7154 4 года назад
Bibi mwenyewe keshaanza kuchoka anazishindilia nguo bila hata kuzikunja na huyo mwanaume marioo anaonekana hajijui wala hajitambui jinga mkubwa.
@pericykiko6198
@pericykiko6198 4 года назад
Wekeni no za alieacha tumtumie tigo pesa anywe soda maana kanifurahisha
@nusuranusura4688
@nusuranusura4688 4 года назад
Saana kwa kweli ,kafanya la mbolea
@halimaalaraimi2721
@halimaalaraimi2721 4 года назад
bora ulivyo mtimuwa anaonesha kabisa corona bana pumzi pasua kichwa
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 4 года назад
Amin ya'allab
@taetaejamedmochi.5643
@taetaejamedmochi.5643 4 года назад
Me ntamnunulia na biskuti
@loner_wolf
@loner_wolf 4 года назад
Huyu Mwanaume mwenzangu ndio namuonea huruma 😅 Yaan hata kule alikuwa mzigo tu it seems .....na alichelewa kufukuzwa kiukweli humu kichwani sisalama
@siamushi3938
@siamushi3938 4 года назад
Haswaa
@agnesag8959
@agnesag8959 4 года назад
Asawaaa
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 4 года назад
Haswaaaa kweli kabisa
@jeremiahndossi3998
@jeremiahndossi3998 4 года назад
Qaida
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 4 года назад
😂😂😂
@allyflavour8005
@allyflavour8005 4 года назад
Munguwetu tusamehe atujui tulitendalo
@judithwatson6385
@judithwatson6385 4 года назад
Wamikoan sis utazan tunaishi nje ya Tz jaman🤣🤣🤣
@ummyleylahadya5202
@ummyleylahadya5202 4 года назад
Hahaha...
@ahmedmazinge4075
@ahmedmazinge4075 4 года назад
Hehehe
@missdee7488
@missdee7488 4 года назад
Bora nyie maana Dar imeoza kwakwel 😂😂😂😂
@mwajumakharoub8682
@mwajumakharoub8682 4 года назад
hatunaga uu upumbavu
@lilianjaphety7375
@lilianjaphety7375 4 года назад
Tunashangaa tu
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 4 года назад
Mtihani wanasherekea zinaa mungu atunusuru wanawake ujinga mtupu bora wangefunga ndoa ingenoga
@latifahassan5661
@latifahassan5661 4 года назад
Loh!!! Mwanaume mwenyew hamsini rasi hamsini majinun mi nilijua bonge la bwana kumbe king'asti 🙄 pole yake aliyepokea zgo la mavi
@marthajacob6104
@marthajacob6104 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
Hamsini Rasiii voo
@dominatryphone7027
@dominatryphone7027 3 года назад
Hii comment mpaka nimehisi upo kundi la waliomfukuza bwanaa😂😂😂😂😂😂😂
@officialdenismethod2878
@officialdenismethod2878 4 года назад
Mmm hatari kweli
@evachriss5906
@evachriss5906 4 года назад
Wote shetani kawakalia matakon anawaendesha kam.anavyo taka
@abuibra
@abuibra 4 года назад
Eva Chriss :Hakuna shetani alio wakalia wao wenyewe mashetani.
@everjohn1136
@everjohn1136 4 года назад
Hata yesu amekaribia kurudi haya yote lazima yatokee
@ashorass4431
@ashorass4431 4 года назад
@@everjohn1136 uko sahihi maana dalili zote zinajionyesha
@tonie5447
@tonie5447 4 года назад
Eva hadi ukuu😄😄😄
@malongosalim6826
@malongosalim6826 3 года назад
Uko sahii
@bellabakera
@bellabakera 3 года назад
Dah kazi kwelkwel kumbe mwanaume mwenyew ndo huyo
@lailahasan2200
@lailahasan2200 4 года назад
Mtihani mkubwa 😭 😭 😭 Cjui tutakwenda jibu nn kwa Allah na huu upuuzi
@lucymasanja2947
@lucymasanja2947 4 года назад
Mola atunusuru
@shamijuma7259
@shamijuma7259 4 года назад
Wanashabikia zinaa na mapombe wanakunywa
@abigaelbukuru273
@abigaelbukuru273 4 года назад
Hapo akili zilishakufa ni mwili tu upo Duniani jamaniiii jamani
@kamilyaibrahim9784
@kamilyaibrahim9784 3 года назад
Haram imekuwa muhimu kuliko halal Allah atusameh waja wake kwani hatujywi tunalolifanya
@radhiyarashid1314
@radhiyarashid1314 3 года назад
Yaani siku hizi shetani anawafuasi balaa,,,yarabi tunusuru waja wako
@rhodamasoud8719
@rhodamasoud8719 4 года назад
Hatari sana
@getrudejames6227
@getrudejames6227 4 года назад
Hata bure simchukui mwanaume gani amekaa kifala hivi
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@ameenasur656
@ameenasur656 4 года назад
Pia mm namuona kakaa kijinga jinga au kwa kua anapenda kulelewa
@angelrichard9749
@angelrichard9749 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 года назад
😆😆😆😆🤸
@hadijamkindahadijamkinda238
@hadijamkindahadijamkinda238 4 года назад
Hapo utakuta wanamikopo kama yote
@ibrahimwerejuma4816
@ibrahimwerejuma4816 4 года назад
Watanzania napenda hizi sarakasi zenu sana, niko hapa Kisumu Kenya
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Alafu wanawake tunalalamika wanaume mario unampokea kwa shangwe hivyo alafu Akianza kukupiga mara au kukuzalisha na kukuacha tunalalamika
@Aysha-ms3ln
@Aysha-ms3ln 4 года назад
Wajinga ndo waliwao🤣🤣🤣
@abduibrahim7363
@abduibrahim7363 4 года назад
Nikweli kabisa
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 года назад
Kwa wanawake ambao awajielewi kam awo
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 4 года назад
Mapenzi ya watu ya acheni. .kitoto kizuri mwe. Tena kuku wakienyeji wa tamu. .welcome Temeke uswazi kumenoga 😆😆😆
@zainabtanzania6950
@zainabtanzania6950 4 года назад
😅😅😅😅jamani mjini shule
@mwasna
@mwasna 4 года назад
Mm nikajua mume kweli kumbe mashaka
@stellalupondo8472
@stellalupondo8472 4 года назад
Mwanamme mwenyewe ndo huyu tatizooo ninge kuwa mm ningefukuza toka January
@aishaabdulrahman6995
@aishaabdulrahman6995 4 года назад
😂😂😂😂😂
@dianawitgar6760
@dianawitgar6760 4 года назад
Bora alivyofukuzwa maana mwanaume mwenyewe dishi limeyumba
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 4 года назад
My kweli ulichelewa kumfukuza. Pumbu friii.
@happypa2027
@happypa2027 3 года назад
😅😁😅😁😁😁😁😁😁
@ashnatymzee2182
@ashnatymzee2182 3 года назад
😂😂😂😂😃😃😃
@salehekimenya6580
@salehekimenya6580 3 года назад
Wamikoani hatuamini kama ni kweli tunajuwa ni maigizo, kweli hiyo ndiyo Bongo Dar es salaam
@Quilant749
@Quilant749 4 года назад
Mm nilifikiri ni mwanaume wa maana kumbe mpuzi huyu kwanza anakaa malaya wa kutupwa, ila kwa shughuli kabati pambe 😂😂😂😂😂😂😂ila huyu mlevi na mdomo kama mwanamke
@ashihamhamad8133
@ashihamhamad8133 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@umluluabrawi5948
@umluluabrawi5948 4 года назад
😂😂😂
@mdzainb3722
@mdzainb3722 4 года назад
🤣🤣🤣
@emanuelamwenda7468
@emanuelamwenda7468 4 года назад
Sisi tumetafuta kiki hp tumevunja vikoba
@happinessmtalika16
@happinessmtalika16 4 года назад
Na hivyo kilivyo kifupi sasaa puuuuuuu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@modestaissa1947
@modestaissa1947 4 года назад
Hongera mfukuzaji maana si MWANAUME huyo.wapo wengi siku zao zahesabika
@ednagodson7540
@ednagodson7540 4 года назад
Dunian kote huwezi kupata mambo haya zaidi Tanzania ....wallah kila mtu ana namna yak y furaha mweee...Mungu tusaidie
@jumandutu2275
@jumandutu2275 4 года назад
Na Tanzania ni dar tuuu
@Raya-em8wz
@Raya-em8wz 4 года назад
Dada mzuri kenda kukanyaga nyoka pole Dada angu
@isackmgema7376
@isackmgema7376 4 года назад
Mwanaume mdogo kweli that's why yule mke Alikua Anasema aende kwa mama yake anyways Naona mwanamke kampokea kwa heahima zote mume wake na naimani hata ndoa itadumu na maisha yao yataendelea mwanaume kuheshimiwa na sio kupendwa
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
Kibaya zaidi hao wote asilimia 90% ni waislamu dah msiba huu
@lydiaakimana7988
@lydiaakimana7988 4 года назад
Alafu siku atakuja kuachwa nae sijuwi atafanya sherehe tena😅😅😅
@salehalbasam41
@salehalbasam41 4 года назад
Sm ataweza ludhiana nae
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dianachami6768
@dianachami6768 3 года назад
Kwanza jianaume lenyewe halijielewi kaa chizi😂😂 bora umefukuzwa ningekuwa mm ungekula vitasa mpk akili ikukae sawa. Eti nna boxer kabati zima pyeeeee
@marycosmas4043
@marycosmas4043 4 года назад
😅😅😅 boxse sasa lmefubaa anavyo lkung'uta looo .... Mmevaa vijola kushabikia poleni🙄🙄 kweli kkoswa kazi ndo hku
@kimamusaid4267
@kimamusaid4267 4 года назад
Maisha kama haya siwezi
@kimamusaid4267
@kimamusaid4267 4 года назад
Mwanamme mwenyewe mbora huyo aliemfukuza
@shalsamuddy4211
@shalsamuddy4211 4 года назад
Poleni wanawake as Dar kweli hawana kazi huku chupa uwezi kukuta huu ujinga
@shalsamuddy4211
@shalsamuddy4211 4 года назад
Chuga amnaga ujinga kama huu
@shalsamuddy4211
@shalsamuddy4211 4 года назад
Kweli hawa wanawake cdhani kama wanajielewa
@aminaluhamba113
@aminaluhamba113 4 года назад
Innalillah wainnalillah rajiun!huu ni msiba kwa kweli
@salharunguma4210
@salharunguma4210 4 года назад
Bwana anaboxa upande mzma wakabat🤣🤣🤣🤣,,hicho kiroba mwambie akiifadh ili akifukuzwa nahuku acpate tabu sehem yakupak nguo zake👌
@mgesibabere4743
@mgesibabere4743 4 года назад
Kabisaaaa, kuhamia hamia kwa wanawake
@luchyyelson8752
@luchyyelson8752 4 года назад
😂😂😂
@zuuothman9170
@zuuothman9170 4 года назад
😆😆😆😆😆
@omaryshania3713
@omaryshania3713 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@makkamadinnah9586
@makkamadinnah9586 4 года назад
Kabisaaaaa
@jacquelinedickson2893
@jacquelinedickson2893 4 года назад
Hongera dada uliefukuza hili bwege!!
@totmohammed6430
@totmohammed6430 4 года назад
Jamn mm coment zita niuwa mbavu😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rahmaali4009
@rahmaali4009 4 года назад
Wanawake mungu atunusur tu Kuna Watoto yatima Hawana chakula Leo ela wanachezea
@mgesibabere4743
@mgesibabere4743 4 года назад
Pata shidaa uone kama watakuchangiaa hao mashost!!! Uyo kaka anatakiwa a one aibu unafukuzwa ukuu unahamia kulee ukiharibu apo?
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 года назад
Nashanga
@lykamlaki7120
@lykamlaki7120 4 года назад
Atahamia kwengine 🤣🤣
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
Asilimia kubwa wanaume kwa sasa wanalelewa ndiomana hawackilizwi ndani ya nyumba..
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 4 года назад
Kitonga
@emanuelamwenda7468
@emanuelamwenda7468 4 года назад
Hpn jmn huyu dada anazindua kibar chake hp keko sasa wao wenyewe walikuwa na shughuli zao ili nao wapate kiki ikaja hivi jmn
@ramlabaruani4202
@ramlabaruani4202 4 года назад
Mwanamke mzur ila huyo mwanaume mauzauza
@najma3268
@najma3268 4 года назад
Mimi mwanamke lakin, wanawake kama hawa hata bure siwataki, yaan wanawake wazima Na akilizao hapo walipo wamewaaga waume zao kabisa, khaaa , Na hata hao waume zao akilizao kama wanawake wao Na huyu bwana alowekewe nguo kwenye kiroba , Na sku akifukuzwa nae anapewa viroba vyake 😁nacheka kwa uchungu mwanaume anavyozalilika halafu anafurahia , hana hata shuka la kulalia khaaa, angekuwa mwanaume kweli angeenda kuanza maisha Na akamuweka mwanamke ndani, ataishia kuwekwa yeye kila cku , hapo kashaolewa atasugulishwa hadi sufuria 😏
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 4 года назад
Yaani mi nahisi watu wa huko akili zao na waume zao ni hizohizo😂😂😂
@miriampaulo2600
@miriampaulo2600 4 года назад
Kweli Bongo kazi hamna! Uchizi tu
@abuibra
@abuibra 4 года назад
ALIE ACHWA KAPATA BAHATI KUBWA SANA MME KAMA HUYO IPO KAZI.
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 4 года назад
Umesema kweli hajielewi huyo kakaa
@angelholsey2484
@angelholsey2484 4 года назад
Siku sio nyingi anaachwa pia na yeye
@ashazubere3837
@ashazubere3837 4 года назад
Na akiachwa hatoweka kigoma wanaume wenyewe maji kujaa maji kushuka
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 4 года назад
Raha tupu ukijifanya mjanja watu tunabadirisha mwengine. Kudadeki huku ndio Uswazi hakuna kuremba marembo huko huko kwenu Masaki na Oysterbay Huku kuku anatundikwa mshikaki no stress Just living you heard!!
@beatricetemba7306
@beatricetemba7306 4 года назад
Mwanaume mwenyewe ndo huyo kumbe
@georgemahembe6803
@georgemahembe6803 4 года назад
Kumbukeni maripo ya dhambi na usariti hapa hapa duniani leo mnafurahia kesho mtajutia hayo ya ushetani wenu.
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 4 года назад
Uswahilini, ufe kwa depression umetaka...🤣🤣🤣. Huyu mume anaesifiwa mtafutaji,kule alikotoka alitolewa jela bila shaka ana kazi zetu zile za kwny kona,au night kali,Type hizi subiri nawe kwenda kupeleka kabati kwengine........
@lisajackson5867
@lisajackson5867 4 года назад
kabisa dear
@susanlazaro8323
@susanlazaro8323 4 года назад
Nimecheka Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@yakfizahran4536
@yakfizahran4536 4 года назад
Mwanammke mzuri ila akili hana mwanamke so muongeaj sana anaonyesha ila akili mungu kamnyima ama kweli mungu hakupi yote
@jamilajuma3811
@jamilajuma3811 4 года назад
Yes mdada mzur sana alaf anaonekana sio muongeaji ila mashoga zake sasa 😂😂😂🔥
@remtymsangi4577
@remtymsangi4577 4 года назад
Audhubilah minaahaitwan rajiim,inalilahi wainailahi rajiuun
@neemaedgar1089
@neemaedgar1089 4 года назад
Hakuna siku nimecheka kama leo 😂😂😂
@joharikitundu
@joharikitundu 4 года назад
Da Geha mungu anakuona kwa kweli.huyu kaka yupo sawa kweli Ni mtz huu.
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 4 года назад
Yani kama ni mimi nimepeleka manguo hivyo alafu nione wa kisherekea hivyo naendea hayo manguo kwa haraka sana😀😀😀😀🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@mwajumakharoub8682
@mwajumakharoub8682 4 года назад
hahahahahahaha
@linahmwende8397
@linahmwende8397 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@giftnyakipande1253
@giftnyakipande1253 4 года назад
Hahhahaha
@prettylewis1394
@prettylewis1394 4 года назад
Hapo ndio utapigwa ufe
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 4 года назад
😂😂😂😂😂
@saidasaida9158
@saidasaida9158 4 года назад
Mchukuweni tu na malejesho msikimbie vichekesho sana mume mwenyewe du kichekesho bora umemuondowa
@ummuadam2423
@ummuadam2423 4 года назад
WA kuiba mtamu ila, Sasa ushapewa mume hyo na ww utazihamisha umpeleke mwenzako, c mume hyo, hyo tembo ikiisha hpo atajua, manake saii atatafta mwengine wakudona kdgo kdgo, 😏
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 3 года назад
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun Allah Akulaze mahali pema peponi Amiin
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 3 года назад
Mtihani yani lau mtu angejuwa umri umebaki mchache angeutumia kufanya toba ALLAH amhurumie yaRABB
@kefrinpatson7800
@kefrinpatson7800 4 года назад
Najiuliza ina maana kule kwa mwanamke aliyemfukuza alikuwa anamiliki nguo na boxer tu au?
@aishammmhhaaarmrisho6891
@aishammmhhaaarmrisho6891 4 года назад
Ha ha ha ha ha
@pilichachakibarapilichacha1314
@pilichachakibarapilichacha1314 4 года назад
Hahahaha hahahaha
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 4 года назад
Inawezekana alikuwa analelewa
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 4 года назад
😃😀na ndara ila zimesahauliwa
@arnoldalphonce6877
@arnoldalphonce6877 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😃
@maryamumapenzi1257
@maryamumapenzi1257 4 года назад
Watanzania.mnatabia.mbaya.sana..huku.kenya.hamnaga..ushenzi.huu..wakenya.wanapambana.namaisha.tu
@salmahussein4623
@salmahussein4623 4 года назад
Iyo ndo nchi ya magu 🔥🔥
@doramsuya5294
@doramsuya5294 4 года назад
Uswahili niutumwa jamani huyu mwanaume naye nimjinga sana
@dotosalim5090
@dotosalim5090 4 года назад
Alafu wanasema ali ngumu
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 3 года назад
ha ha ha ha huyo ndio mume wa kumpokea??!! he he he he eh huyo aliye mtimua ana akili sana, kituko gani hiki??
@khaiskhais4089
@khaiskhais4089 4 года назад
Makubwa jamani khaa mume wangu simfukuzi 🤣🤣🤣🤣🤣
@niaanthony9588
@niaanthony9588 4 года назад
🤣🤣🤣🤣Mfukuze tu ww
@tinamanzala
@tinamanzala 4 года назад
🤣🤣
@pilichachakibarapilichacha1314
@pilichachakibarapilichacha1314 4 года назад
Hahahaha
@ummyleylahadya5202
@ummyleylahadya5202 4 года назад
Hahahaha
@anetmush1449
@anetmush1449 3 года назад
Jaman mwanamke mzuri uyu ataafananii ushetan huu
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
😆😆😆😆😆sihami uswahilini kwa kweli Da Geah wewe hujapata kijola hapo😊😊😊
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 4 года назад
Dah! Aisee wana enjoy sana uswahilini
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
Na uhamie wapi raha km hizooo 😃😃😃😃
@hawaabdi6209
@hawaabdi6209 4 года назад
@isunga anacho amevaa 😅😅
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
@@hjhj6230 😆😆😆ntahamia buza mpendwa je nako uswagili upo kweli 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
@@hawaabdi6209😆😆😆yaani huwa najiuliza Da Geah atakuwa na vijola hatari maana shuhuri nyingi anakuwa navyo sijui anapewa bure 😊😊😊
@ibel4lf
@ibel4lf 4 года назад
Jiji la wazaramo!!! Siwaweziii naona Geah una sare chezeiya
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Muongo huyu Mario tuuu si wa Million wala laki,Muone alivyo Mmmmh Ulevi huu hata kwa huyu atamchoka. Heri Umemfungashia Vingunia vyake Pumzika dada,Huyu pia atamchoka.
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 4 года назад
Wa llahi, Huyu Kule kwetu digo kenya ,twamuita mlume muphuphu ni wani asiyerichirwa madia😏😏
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 4 года назад
Jilevi hili ji Mario, benten
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
@@rukiakhamsin9220 🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
@@rukiakhamsin9220 Hana lolote huyu,Sifa tuu za kuziba aibu.
@allygambo6559
@allygambo6559 3 года назад
Kweri bongo matukio hatari
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 4 года назад
M2 mume yuko tila lila battry low hapo😂😂bwana mcharo kawa mtamu hadi anapiganiwa
@majidmbegu8120
@majidmbegu8120 4 года назад
Awaja jiuliza kulea kaondokea nini Kwa mkewe wanajitapa tu.mungu niweke Niyaone ya dunia
@hamisahillary8615
@hamisahillary8615 4 года назад
Nimecheka hadi chozi! Hiyo boxer ilovyokung'utwa
@dullahjuma6137
@dullahjuma6137 4 года назад
Mrs dulah au zena kihondo. Uswayln Shida ndomana awaendeley
@shanambonika9205
@shanambonika9205 4 года назад
😂😂😂😂😂
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 года назад
@@dullahjuma6137 haswaaa. Na majumba yao paa ziuchi
@makkamadinnah9586
@makkamadinnah9586 4 года назад
Yaaaaani mi nachekaaaaaaaaa sina wa kunizuiaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@angelrichard9749
@angelrichard9749 4 года назад
@@makkamadinnah9586 bongo ukifa kwa stress umejitakia😂😂😂
@seciliagwelino47
@seciliagwelino47 4 года назад
Mwanamke mwenye hakili timamu asingemfanyia hivyo mwanaume ni kusema nae kwa nn ajidharirishe hivyo kweli hamna hakili
@mauahamisi7547
@mauahamisi7547 4 года назад
Bongo sihami raha kama zote ulaya nikafanye nini😂😂
@marygregory7566
@marygregory7566 4 года назад
Weuweeee
@irenemina2059
@irenemina2059 4 года назад
😃😃😃
@fatmabhinda3916
@fatmabhinda3916 3 года назад
Dawa wekunywa wao mimba kapata mwingine atal hiii TZ raha sana no stresss
@esterabonga7947
@esterabonga7947 4 года назад
Maboya nyie wenzenu wanasherekea kuolewa nyie mnasherekea kupewa mume 🤣🤣🤣ivi uyo jinga mwenzio kaoa au kaolewa 🤔🤔🤔
@totmohammed6430
@totmohammed6430 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣Jmn muna niuwambavu mie
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 4 года назад
siyo mume wamepewa hawara
@emanuelamwenda7468
@emanuelamwenda7468 4 года назад
Kiki hizo
@kalssambaboo9705
@kalssambaboo9705 4 года назад
Nimtihan sana sheytwan katawala jihurumieni nafsi zenu
@stargloria7106
@stargloria7106 4 года назад
Hahhahahah 😂😂dah, Tanzania sihami kwa kweli 🙌
@mwajumakharoub8682
@mwajumakharoub8682 4 года назад
jamaniii
@maimunamustafa2010
@maimunamustafa2010 4 года назад
yani uyo mwanaume ndoitakuwa tabia yake
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 4 года назад
Hhahahaa ila wanaume n wanafkii sanaaaa,Yanii uyo dada simshangai n maumivu ndio maana alipaniki sasa hapa s atajuta
@victoriagasper4478
@victoriagasper4478 4 года назад
Yani sijui kama huyu mwanaume atarud
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 4 года назад
@@victoriagasper4478 awezi ila sijui
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
Kweli hasira ila wanaume wanakera sana me natimua tu...hasira zikiisha nampeti peti anarudi..........hehe
@regnaldgadi9924
@regnaldgadi9924 4 года назад
@@victoriagasper4478 arudi kufanyaje hata mimi sirudi
@regnaldgadi9924
@regnaldgadi9924 4 года назад
@@esterelias8189 hakuna kurudi hata mimi sirudi
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 4 года назад
NI heri ukae bila mume ila sio huyo dada uliyeacha hongera kwako
Далее
BABA MZAZI AMTIA MIMBA BINTI YAKE WA KUMZAA..!
23:56
Просмотров 107 тыс.
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25