Тёмный

BINTI AMLILIA MTOTO WAKE/ ALIMUACHIA MAMA YAKE MKUBWA/HAIJULIKANA MTOTO ALIPO MAREKANI AU MBEZI 

Geah Habibu
Подписаться 367 тыс.
Просмотров 111 тыс.
50% 1

Binti huyu alibahatika kupata mtoto akiwa na umri wa miaka 15,ambapo kwa mujibu wake anasema alikuwa na akili za kitoto hivyo mtoto wake akawa analelewa na mama yake mkubwa huyo binti.Mama mkubwa alikuwa akifanya kazi katika kituo cha watoto yatima huko chanika.
Kilichotokea Dada huyo aliondoka nyumbani na kumuacha mtoto akilelewa na Mama mkubwa (Bibi wa mtoto).Sasa baada ya miaka kadhaa kurudi nyumbani ndipo anakuta mtoto wake hayupo...!
Fwatilia tukio hili umsikilize vizuri binti huyu akielezea mwanzo mwisho.
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Опубликовано:

 

5 авг 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 980   
@habibakisiwa2605
@habibakisiwa2605 4 года назад
Hii Kali wanaoamini mtoto kauzwa like hapa
@hawamashaka7235
@hawamashaka7235 4 года назад
Pole tupo pamoja mamy mm mwenyewe nilizaa nikiwa mdogo ila nilikomaa na mtoto wangu
@evagodfrey62
@evagodfrey62 4 года назад
Kauzwa kabisaaa Kama sivyo wamwambie ukweli mtt yuko hapa njooo upajue anapokaa mtt na ajue kabisa husna Ni Mam yake n huyo anae kaanae Ni mama ake mlezi tuuu
@mariamselemani5208
@mariamselemani5208 4 года назад
@@evagodfrey62 huyo mtoto kauzwa lakn usikubali mpambanie mwanao ikiwezekana mpeleke police
@zeranchimbi2808
@zeranchimbi2808 4 года назад
Mtoto hajauzwa anasaidiwa malezi
@thumabby1537
@thumabby1537 3 года назад
Pole Sana Ila ungeshitaki ungepata usaidizi wa kutosha
@mwanalimagamunda997
@mwanalimagamunda997 4 года назад
Hatakama ni mdangaji,mtoto ni mchungu jamani,uzuri mototo alimuacha kwa familia hakumuacha kwa rafiki,mama mkubwa atoe mototo jamani,😭😭😭😭😭
@latifalatifa7171
@latifalatifa7171 4 года назад
Mie simulaum uyo dada mupumbavu San watoto wana uma san
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 4 года назад
Kweli mtoto auma ,wampe mwanaye jamani wasimdhulumu,hakumtupa ,alimuacha na familia yake,wampe mwanawe
@suzanaagustinookelo4953
@suzanaagustinookelo4953 3 года назад
Siachii hata kama
@mwajabumussa4860
@mwajabumussa4860 3 года назад
Maadam mtoto amekujua mwache asome utamchukua
@zeyzey5439
@zeyzey5439 4 года назад
Mashaallah kwanza kwa kuzaa mtoto inge kuwa mwingine ange towa mimba mashaallah my ongera zako ila dai mwanao nenda kwa makufuli
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
Kweli,alijitutumua kuzaa kwa kweli. Mungu amfungulie njia.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 года назад
Hapo atafaulu🤗🤗
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 года назад
@@kekiplus1andonly in shaallh
@mauahamisi7547
@mauahamisi7547 4 года назад
Da gea tunataka muendelezo wa hii hekaheka apewe mtoto wake hata asnte kayumba atasoma
@latiphaibrahimu6986
@latiphaibrahimu6986 3 года назад
Ndioo Mama ako mkubwa alimlea mbona huyo Dada ako akumlea
@evachriss5906
@evachriss5906 4 года назад
Wampe mtoto wake ata km mdangaji wampe mtoto anaumaa sanaa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 года назад
Haezi pewa
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 4 года назад
@@ayshamahariq6665 kwa uwezo wa mungu atapewa ila kwa uwezo wako na maneno yako hawezi kupewa
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
@@user-rd7jt1vi5x Inshallah apewe kwa uwezo wa Allah
@fetychina3273
@fetychina3273 4 года назад
Apewe jamani alikaa miezi tisa tumboni mwake ukipata uchungu
@fetychina3273
@fetychina3273 4 года назад
Duh!atali
@mamahusein4476
@mamahusein4476 4 года назад
Yani usipochangamka humpatia mama mkubwa polisi lazima
@susanejd7775
@susanejd7775 4 года назад
Ungekua na uchungu na mwanao siku alokuja nyumbani. Usingemuacha aondoke. Ww sio mama. Nnavyojua uchungu wa mama hapo pangechimbika mwanangu asingeondoka ningepiga hata kelele za mwizi.
@pieremchome5202
@pieremchome5202 4 года назад
Namshangaa anacholia nini, si aliona kudanga bora kuliko mtoto
@pieremchome5202
@pieremchome5202 4 года назад
Alafu bado anadanga huyu, gonga like kama umegundua hili
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
Husna anajua kujieleza hadi rahaaa , kesi yake ni rahisi sana , Mamkubwa akamatwe asukumwe ndani , ahojiwe , atanyoosha maneno yote na mtoto apatikane , Lissa anaweza kulelewa na huyo adopted mother lakini ni vizuri Husna apewe taarifa zote kuhusu mtoto wake yuko wapi , analelewa na nani . Kesi ni rahisi kwasababu Mamkubwa yupo hai , Mama mwenye kituo cha kulelea watoto yupo hai , tunashukuru pia mtoto yupo hai , mbona movie ishakwisha hapo . Mamkubwa analo hilo , Inawezekana Makubwa alikuwa na nia njema mtoto akapate malezi mazuri lakini njia aliyoitumia sio yenyewe . Huyo Mama Mlezi anaemlea Lissa kama ana shida ya uzazi na alidanganya Lissa ni mwanae wa kumzaa daaah ajiandae tu kudhalilika , Husna kashazinduka huku anataka mwanae . Poleni nyotee ...
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂asukumwe ndani kwa kweli
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
@@kekiplus1andonly Ha ha ha ha . Mamkubwa kazingua .
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
@@chayogasperi9783 😂😂😂😂yaani hatari hatari
@zannihamza1926
@zannihamza1926 4 года назад
Umeonae apewe mwanae mtoto sio machungwa bwana
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
@@kekiplus1andonly Mamkubwa ameamua akodi watu wa kumtukana Husna , anajisumbua tu , issue ya msingi ni Shani / Lissa arudi baaasi .
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 4 года назад
Play stupid games,win stupid prizes! Wazee wenzangu wamenielewa......Pole sana dada ila hii stori ungesimulia kwa kijana mwengine ajifunze.
@winfridapeter4458
@winfridapeter4458 4 года назад
Mpeni mtoto wake ameshakua anataka kulea jamani,simsemi Sana huyu dada alikuwa na akili za kitoto na hata ukimuangalia ni kweli alikuwa mtoto
@madinakheri487
@madinakheri487 4 года назад
Kweli wampe mtoto wake jaman
@udaudauda8594
@udaudauda8594 4 года назад
kweli
@nadhirasalum1633
@nadhirasalum1633 3 года назад
Dada Husna pole sana kwa yaliokukuta lakini usichoke kufatilia pigania na kuwe nasheria nzito juu ya watoto hata kama ni mayatima ili wasisumbuke watakapo kuwa wakubwa wajijuwe na wao ni nani ktk masha yao ya badae isichukuliwe shida tuu itizamwe na future badae ili watoto wasije wakawa hawajijui nini nani kuwachanganya''-na vilele wewe mama mlezi hata kama umeuziwa au umegaiwa basi penda AMANI tambulisha family ndio muhimu na makubaliano badae ili pawe na amani na upendo juu ya huyo mtoto huwezi kuganganya maisha na wala hakuna linalojificha ktk hii dunia madhali lipata muanga wa juwa 'peace ✌
@d.a.t3383
@d.a.t3383 4 года назад
Kwa nini unapoteza mudaaaaa NENDA POLISI MAMA KITUO AKANATWE MCHEZO UISHEEEEE
@neemadeo7803
@neemadeo7803 4 года назад
Hapo ndo utajua hata aliyemchukua mtoto pia kamdanganya mumewe kuwa ni mtoto wake
@leonidakimtai4538
@leonidakimtai4538 4 года назад
😥😥😥😥
@udaudauda8594
@udaudauda8594 4 года назад
siku za mwizi40
@pyzzocatto1829
@pyzzocatto1829 4 года назад
Msisha nikuchezaana akili aisee 🤣🤣
@mwanaidingogo8419
@mwanaidingogo8419 4 года назад
Huyu husna namjua vzr sana kiukweli km anavyoelezea alizaa akiwa mdogo sana akuweza ata kubeba uyo mtoto ila sasa kakuwa ana kila haki ya kupewa mtoto wake jaman wafanye tu wampe mwanae
@happypa2027
@happypa2027 3 года назад
Camuhim nikupata mutoto wake tu
@caronmussa3543
@caronmussa3543 4 года назад
Uyo mama mkubwa aseme mtoto kampeleka wapi apewe mtoto wake
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
Sn jp itakuwa mama mkubwa na kituo ndo wanajuwa kuhusu mtt nn wamefanya
@Nyamisango
@Nyamisango 4 года назад
Kwanza yeye alisema ana enda wapi alivyo ondoka?! Au atarudi lini
@aishachambo3293
@aishachambo3293 4 года назад
Mtoto si nguo mpeleke polisi uyo mamkubwa ataongea ukwel
@rashidngwele3935
@rashidngwele3935 4 года назад
Aaah kafeli mwenyew kiukwel auumache mtot asomeshwe Ila atsmbulike km Tu ndo mama maan mahali alipo Ni salama
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 4 года назад
Sheria ya kuadopt mtoto ndo bac maana wanaingia mkataba
@dianamuniro2594
@dianamuniro2594 4 года назад
Msiongee mengi usikute na uchawi umefanyika wamemuuza mtoto alafu wamemvuruga akili ili asahau kuhusu mtoto
@happypa2027
@happypa2027 3 года назад
Kwel Kwel
@aminielmbise2013
@aminielmbise2013 3 года назад
Kweliii
@loicezosi5582
@loicezosi5582 4 года назад
Pole sana dada pia mimi nilizaa na umri kama wako lkn sikupatwa na akili ya kuachia mtu mwanangu kabisa asante mungu nilipambana nae mwenye ila mamangu mzazi alikuja akamchua kwenda kukaa nae akaniacha nikiendelea kupambana ila jumapili mpaka niende nyumbani kumuona mwanangu hadi nilivyo pata kwangu nikawachua mama na mtoto wangu nakaa nao mwenyewe
@siasmiles8057
@siasmiles8057 3 года назад
Hapa hata mtoto akiletwa hakuna mapenzi kati ya mtoto kwenda kwa mama🤦‍♀️"so sad"
@nikitadiamorelivingstone2831
@nikitadiamorelivingstone2831 4 года назад
umalaya na mtu kudai mtoto wake havihusiani, huyu dada ana haki ya kumdai mtoto wake ni bora apewe tu mwanae, maana huyo mfadhili angekuwa na nia njema basi angemsomesha mtoto bila kukata mawasiliano kati ya mtoto na mama MZAZI
@fatmalyego2531
@fatmalyego2531 4 года назад
Kweli kabisaaa
@mwanaseiph2853
@mwanaseiph2853 4 года назад
Mwambien Ukweli mtoto wake yuko wap
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 года назад
Hana haki umwache mtoto ana wk unategemea nan akulele
@rosepiere1857
@rosepiere1857 4 года назад
Nashauri pambana ujue alipo lakini Kama anaishi vizuri muache mtoto asome vizuri kwa manufaa yako na yake
@nasranakapala7447
@nasranakapala7447 4 года назад
Hilo ndo lamsingi
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 года назад
Babake "simjui" so sad😂😂😂
@babuubarotti8418
@babuubarotti8418 4 года назад
Kilajambo linafaida na hasara
@aminaissah2693
@aminaissah2693 4 года назад
Ulifanya makosa, ulivyo muona ungesepa nae
@saniajuma6123
@saniajuma6123 3 года назад
Dada yangu 💓💕
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 3 года назад
Tena kamwita na mama kula keki
@latiphaibrahimu6986
@latiphaibrahimu6986 3 года назад
We chizi mjinga sana ulimpoteza kwa tabiazako mbya mbona sisi tumezaa tukowa watoto wadogo mbona tumewalea
@maryambarayan7599
@maryambarayan7599 4 года назад
Yenyewe inauma I say. Am mother of 4kids na ukweli siwaachi kulala hata kwa nduguzangu coz I always miss them nakuja kwa corona na lockdown 254 nimefurahi Sana coz am always with them. Kamchukue mtoto wako yaliyopita Si ndwele ganga yajayo da husna.
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Pole sana Husna, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga 🙏
@cydrahope5251
@cydrahope5251 4 года назад
Huyu anataka kuvuruga tu maisha ya mtoto
@user-zm4ht3yu6s
@user-zm4ht3yu6s 4 года назад
Mashallah mtt mzur pambana umpate mtt wako atapotea
@joharhamisi9140
@joharhamisi9140 4 года назад
Mtoto awezi kupotea labda mmoja wapo atangulie kwa Allah lakin mtoto atampata mama ake
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 4 года назад
Duh mzuri kweli
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 4 года назад
Haki ya Mnyonge haipotei bali hucheleweshwa
@winfridashayo9136
@winfridashayo9136 4 года назад
Huyo mtoto kauzwa na mamake wamemloga ndio maana akawa hamkumbuki kabisa mwanae mama kubwa apelekwe polis
@sictimbombo1121
@sictimbombo1121 3 года назад
Jamani mtoto kumbe ni mzuri akiwa mkubwa eee mwache athomee
@narfatkarama5743
@narfatkarama5743 4 года назад
Pole husna wangu
@d.a.t3383
@d.a.t3383 4 года назад
Sikiliza NEW YORK ANAKWENDA KWA PASSPORT JEE KUNA RECORD HUKO HOME OFFICE??? NENDA USTAWI WA JAMII HARAKAAAAQ
@magrethjohn8576
@magrethjohn8576 4 года назад
Vyovyote vile itakavyokuwa apewe mtoto wake! Ma mkubwa aeleze vizuri wapi kapeleka mtoto!
@chikuvictor552
@chikuvictor552 4 года назад
Yaani apewe
@salehkhalfan1473
@salehkhalfan1473 4 года назад
Pole sana dd Allah atakujaalia utampata mwanao vuta subira huyo mm mkubwa ndio akamatwe aseme mtt yukowapi
@andreasabode7445
@andreasabode7445 4 года назад
Nimeamini ni sahihi kile wanachosema wataalamu kuwa si jambo jema binti kuzaa akiwa na umri mdogo. Haya yote ni athari kuzaa umri mdogo. Ni haki yake wampe mtoto wake pia na Yeye awe na uwezo wa kumlea vizuri asije akamchukua mtoto akiwa na maisha magumu kisa kataka mwanae.
@magrethjohn8576
@magrethjohn8576 4 года назад
Mama mkubwa akamatwe hata km alifanya wema alete mtoto!
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Hapa Cha Muhimu ni Akazwe Ma.Mkubwa,Yeye Yuajuwa Walivyo Elewana na Kupeana Mtoto Kwa Mfadhili.Pole Husna ni Somo Hili.
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 4 года назад
Mwenye kituo cha watoto ndio anajua mama mkubwa amekua pesa itakua
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
@@sitiabubakar2892 True Kabsaaaa, Ukweli Anao.
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 года назад
Ulinzi kwa huyu mama mtu, asjekua kanunuliwa na mama yeyote aliedanganya kwa mumewe nna mimba, sasa wasimuue tu ili kupunguza madai
@liliantheodory5423
@liliantheodory5423 4 года назад
Tena sana sana utamharibia tu Mtoto maisha yake ukizingatia wewe bado hata maisha yako hayajakaa Sawa chumba kimoja bado unahangaika kutafuta maisha kwakudanga kubali tu Huyo Mtoto akujue kama wewe ni mamake. Kama unampenda Kweli mwanao utafanya hivyo ili maisha yake baadaye yasije kuwa kama yako. Mungu akutangulie
@wildatmsellem7531
@wildatmsellem7531 4 года назад
Mtoto mzuri sana mashallah
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 года назад
Wewe apo cha msingi nenda kwa MAGUFULI sasa iv acha uzembe dada yangu mtoto ni kitu kingine mchukue mwanao umsomeshe mwenyewe
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 4 года назад
Aende kwa mag kufanya nini wakat aliona kudang ndo kunafaa wakat pich za mtoto anaonekana analelewa vizur akamchukue aje kumfundisha kudanga
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 4 года назад
Hata kama alidanga ila so wake jamani hivi ni nani ambaye hana kosa kwenye hii dunia na awe wa kwanza kumnyooshea kidole huyu binti mama ni mama tu hata kama alidanga ila ni wake wampe mtoto wake
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 года назад
@@dotnatajoseph2620 acha usenge wewe sikiliza vizur maelezo ya uyo dada...we fala nn au ujawai kuzaa unafkili mtoto ni kama emba unaenda mtin kuokota....nenda na ww kazae uone KUMA inavyo chanika na kushonwa msenge wewe umenkera uyo dada maelezo yake ukimckilza anajuta na zilikua ni akil za utoto asaiv wampe mtoto wake yeye ndo aloenda kumwaga damu ata kama hana uwezo wa kumsomesha international ata msomesha izo izo shule za sent kayumba
@dorisnkini9617
@dorisnkini9617 4 года назад
@@dotnatajoseph2620 hakuna mkamilifu hapa duniani watu wanatupa chooni lakini yeye alikubali kuzaa na akamuacha nyumban mamkubwa abanwe hadi aseme mtt alipo tu
@kishawillium8906
@kishawillium8906 4 года назад
@@dotnatajoseph2620 Acha kujifanya mkamilifu,,, kudanga Kwake ndo kulimpa mtoto kama rahisi nawe wakauze mwanao uone raha yake
@catreinakalamariam5537
@catreinakalamariam5537 3 года назад
Daaah! Pole usna mwenyezi mungu akuongoze katika ili akikisha unapapambana kumpata mwanao
@fethelasef8319
@fethelasef8319 3 года назад
Pole husna Allah akupe nguvu iliuweze kumpambania mtoto wako inshallah utampata
@damarismbitha253
@damarismbitha253 4 года назад
Nkama hugo mama mkubwa aliuza mtoto....
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
Ivyo ivyo kwanza kwann akampeleke kuelewa na kwa mti wkati mama ake yupo hp Kuna jambo kazana Dada mtt kitu lingine kbs kamsjitaki uyo mama ako atasema uyo mtt kampeleka wp
@asiamwarabu7510
@asiamwarabu7510 4 года назад
Mm nipo mbez beach hembu picha tuone kii Kama sikuletei hapo Kama kudanga ukadange na mwanao waii hii ishu itawaletea shida ngoja ifike meza kuu
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 года назад
Pole best, ila tujifunze wanawake tusiwasahau watoto wetu😢😢
@husnamamuya5784
@husnamamuya5784 3 года назад
Wajina kwanza hongera unajua kujielezea vizuri lakini chakufanya hapo mamkubwa anaujua ukweli mpeleke polisi ataongea ukweli na mtoto ako utapewa mtoto so kitunguu wala nyanya mtoto hapatikani gengeni
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 года назад
Mtt mzuri mashallha na kashakuwa. Mkubwa now sema ulikosea ulivyo muacha bira ata mawasiliano miaka yote hiyo
@palomabaraka3991
@palomabaraka3991 4 года назад
Mawasiliano yalikuepo sikiliza vizuri alikua anauliza anaambiwa mtt anasoma
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 4 года назад
POLE SANA DA GEAH UTULETEE MREJESHO TUJUWE HUYO MM MKUBWA MTOTO KAMPELEKA WAP
@zuenamuogopemunguewemwanam1843
@zuenamuogopemunguewemwanam1843 4 года назад
We mamkubwa mtoto anauma. Mrudishie mtoto mwanao ni dhambi.
@rehemamwachalula2915
@rehemamwachalula2915 4 года назад
msaidieni apate mtoto wake bora tumkomboe jamani mtoto anauma sn
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 4 года назад
Rehema Umeongeea kweli kabisaa
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 года назад
Wampe mtoto wake jaman mtoto anauma sana wazae wakwao ndowa mpehuyo mama duu mbaka huruma😪😪😪😭😭
@gbwile1257
@gbwile1257 4 года назад
Sasa anatuma wamtukane ili iweje uyo mama mkubwa ashikiliwe aseme mtt yupo wap Kweli ukitaka kua mbaya dai chako
@faridaaa6481
@faridaaa6481 4 года назад
Pole sana cha msingi nenda kwa makufuli polisi watakuzunguusha njoo kesho mara nnjoo tarehe fulani
@sharifafatawy9874
@sharifafatawy9874 4 года назад
Mmhhh! Huu nimtihani yasikie tu kwa watu, naomba yasikufike.Kunaitajika umakini na ustaarabu maana nayule mama anamlea kwa Gharama na mapenzi itamuathiri sana . Kuwe na makubaliano mazuri isimuathiri na uyo mtoto.
@zuluftiabubakar3643
@zuluftiabubakar3643 4 года назад
Kweli kabisaa
@thestoryteller212
@thestoryteller212 4 года назад
Kweli kabisa
@nasratkibwana9827
@nasratkibwana9827 3 года назад
Kiukwel ningekua mm ningemuacha mtoto asome Kwanza, damu ya mtu haipotei ,chamuhm fatilia ujue mtoto anapokaa Kisha ongea vzr na mtu anaekulelea mtoto wako muelewane harafu muache mtoto atulie alipo asome ,kusomesha mdogo wangu nakushaur tu
@janeisrael3474
@janeisrael3474 3 года назад
Ushauri wangu Dada ulishachemka isipokuwa ungeomba kukutanishwa na huyo Mama anaemlea mwanao mkae mezani ujue anajua Nini juu ya mtoto huyo na juu yako ili umwache mtoto wako asome atakusaidia badae lakini siyo kumchykua hutaweza kumwendeleza tafuta suluhu kwanza siyo ukabidhiwe Dada mtoto yupo sehemu nzuri kikubwa unasomeshewa
@magejuliani5293
@magejuliani5293 4 года назад
Cha msingi ungejua anapoishi na subiria wakusomeshee damu ya mtu haipotei! Huwezi kumsomesha tumia busara apate elimu!
@zulfatdidas369
@zulfatdidas369 4 года назад
Mamkubwa anaroho mby sna Hata Iwej mtt wa Mwanao Kwa dada yko huwez kumuuza Kwa tajr ilhal mamayke yko hai
@halimamiss8878
@halimamiss8878 4 года назад
tena ni mjukuu wake maana ni ndugu na bb wa mtotot
@annaandrea2273
@annaandrea2273 4 года назад
Angekuw na roho mbaya angemlea. huyo mtoto mpaka alipofikia mbona hujiulizi alivyokuwa anamuacha Nani alikuwa anamuhudumia
@zulfatdidas369
@zulfatdidas369 4 года назад
@@annaandrea2273 Ukicklza vzur utackia mtt aliacha kurud naye nyumban cku chache tu baada ya bint kuondka yn hta iwaj alishndwa nn xx kuendlea kumlea hadi amuulze? 😏
@batulimwammed2979
@batulimwammed2979 4 года назад
Kwaza kitendo cha kubadilishwa jina huyo mtoto kauzwa wallah duuu
@sarahomarijuma9651
@sarahomarijuma9651 4 года назад
Mtt anauma pole dada Mungu akutie nguvu😘
@getmad9908
@getmad9908 4 года назад
Kama ,huna maisha mazuri na huna uwezo waa kumtumza mtt wako na kumwendeleza kimasoma ni Bora tuu umuwache tuu aliliwe kwenye mazingira mazuri na apate maisha Bora kuliko uliyo pitiya ww ,na ni vizuri ufanye mpango ama mkataba ili uwe unamtembeleye huyo mtto ,mana haja fichwa kuwa wewe ni mm yake , uwe Unaweza kumtembeleya mtto wako, kama ume pata mtu mwema na ana mtunza viyema na Kwa upendo , no Bora umuache alelewe na huyo ,na k mama , Kesho atakusadiya we mm yake , 🙏🙏🙏
@klystry1234
@klystry1234 4 года назад
Mtoto mzuri awwwww♥️♥️♥️♥️
@munnangamia5343
@munnangamia5343 4 года назад
Nenda kwenye sirikali dada upate mtoto wako tena kazana laa sivyo utamkosa maana mtu mwenye pesa sio mwenzio
@aishaally8062
@aishaally8062 3 года назад
Pole sana mama Shani mwenzangu.
@sleimanhamadtv6110
@sleimanhamadtv6110 4 года назад
Unachotaka kumuharibia future huyo mtoto uwanze kumdangisha mapema kama ww muache mtoto apate malezi bora
@aqssaomarynizwa9738
@aqssaomarynizwa9738 4 года назад
Malezi gan ww mama ke mkubwa akidondoka atakuja kumpata wap kikubwa asaidiwe apate mtoto angekuwa wakumtupa angetoa mimba mbona mimba alilea
@bintsulaymansuleiman668
@bintsulaymansuleiman668 4 года назад
Cha muhimu ajue mwanae yko wp na mtt nae ajue huyu ndie mmngu lkn mamkubwa hataki hvyo yuampeleka hku akimrudisha uku na umpe mwanawe hta akifundisha lkn atakua amemfundisha mwanawe
@manjuja993
@manjuja993 4 года назад
Bora spate at a malez mabaya ila aishi na mama ake
@asherqusher4076
@asherqusher4076 4 года назад
Wew baba unaesema anataka kumdangisha mapema unaakili kweli ushawai kuzaa wew acha usenge. Kuma wew ujui uchungu mbwa wew
@sleimanhamadtv6110
@sleimanhamadtv6110 4 года назад
@@asherqusher4076 uyo mama mwenyewe hana malezi, ndiomana walimjaza mapema, atajua wapi malezi ya mtoto? kwani wangapi walitengenezewa future na watu mbali baadae anarudi kusaidia familia yake, kwamtazamo tu huyu ataingiza bwana chumbani wakati mwanae anaona, kwa akili zako mtoto atajifunza nn,
@mjemasaid6435
@mjemasaid6435 4 года назад
Wee wampatie tu mwanawee hata Kama uwezo Hana.
@nuruhabdul6900
@nuruhabdul6900 4 года назад
Nilichopenda huyu dada amekiri ukweli na inavyooneka huyu dada kapigwa upepo asahau mtoto lakini MUNGU mkubwa atampata damu nzito
@dorislema1814
@dorislema1814 3 года назад
aku cha upepo apo mdangaj anapata wap muda wa kulea ndomaana akamtelekeza mwanae sema ashaona mwanae anakaribia mafanikio ndomaana anasema mwanangu ndoanawza kuja kunilea,amuache mtoto kwanza asome watamrudsha ata nyuma kielim wakimtangsha ivo
@happypa2027
@happypa2027 3 года назад
@@dorislema1814 aca zako labuda weye haujawayi kuzala
@stellayusuf7778
@stellayusuf7778 3 года назад
Duuh hatar Jaman tuliza akili zako mi nilizaa Mapema lakin skutaka hata lisaa lipite nisimuone mwanangu sasa wewe kwakua hunamtoto mwingine ndo unamtafuta basi hata baba humjui Haya ni majanga Hakika 😥😥😥😥Da G muonesheni Sula mtoto ili liwe wazi hili Swala uyo mama atakua Kala cha juu
@raiye5621
@raiye5621 4 года назад
Huhuuuu mmi ningekimbia na mtoto wang ng'ombe hashindwi na nundu yake.
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 года назад
Kwa kifupi ajue tu mwanae yuko wapi basi, ila amuache huko huko maana kumsomesha shule za English medium hatoweza ataishia kumuuza bure mwanae. Amuache mtoto akue vizuri mpaka apate kazi. Pia amshukuru aliyemlea maana hajamtesa amempa elimu bora wakati yeye akiwa anahangaika na dunia.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 года назад
Eti jamn..nashangaa watu wanasgadadia arudishwe. Angalia mitatoo aliyochora hiyo?!
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 года назад
@@masalakulwa7601 hatoweza kumlea, malezi ya chumba kimoja ni uhuni mtupu mtoto atarithi. Amuache tu kwa kweli hata ingekuwa Mimi ningemuacha
@jabirjabirhassan308
@jabirjabirhassan308 4 года назад
kabisaa jmn mtoto ataishia kubaya
@janethshio8936
@janethshio8936 4 года назад
We mwenyewe sinza unaendaga kufanya nn km nawe si..........
@janethshio8936
@janethshio8936 4 года назад
Toa maoni..si kusema mambo ya watu..na ya kwako yatasemwa na nani?????? Mwenye uwezo wa kuukumu maovu ya watu ni MUNGU mwenyewe..
@vanessadahnilly8551
@vanessadahnilly8551 4 года назад
Da gea tunaomba utuletee mrejesho #geahabib
@vero57
@vero57 3 года назад
We mama mkubwa MUNGU ana kuona, sema kweli kuhusu mtoto
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 года назад
Anakumbuka shuka, kumekucha mhh. Asubiri tuu atakuja ipo siku.
@mariamelias1915
@mariamelias1915 4 года назад
Siyo hivyo alikua mdogo sana hakua na akili ya kulea mtoto
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 4 года назад
Kanisa atulie ajue tu yupo amwache asome
@dorislema1814
@dorislema1814 3 года назад
@@angelanaftael7965 kabsa amwache asome asimuaribie future
@dorislema1814
@dorislema1814 3 года назад
@@mariamelias1915 udogo upi akajua kunakudanga
@emmanuelbichige1212
@emmanuelbichige1212 4 года назад
Akiludi. Kwako Atakua. Mdangaji
@rehmaibrahim8761
@rehmaibrahim8761 4 года назад
Uchawi upo .. Pole dear
@lindaabraham5365
@lindaabraham5365 4 года назад
Asipewe mtoto kabisa ila apewe haki ya kumwona na mtoto ajue tu huyo ni mama yake mzazi. Amwache mtoto asome na apate malezi bora atamwaribu mtoto navyoona comments wengi wanasema wanamwona bado sinza ambiance inaonesha bado anaendelea na shughuli zake. Mama ni yule anaelea mtoto vema sio aliezaa tu.
@lidyangonyani5180
@lidyangonyani5180 4 года назад
Wampe mwanae jamaniii mtoto anauma nyie mnao sema alianza umalaya mapema aiusu apewe mwanae
@samicutebby3450
@samicutebby3450 4 года назад
Umeonaeee....leba kunauma....mtoto usisema...wamrudishe.
@faridariziki8766
@faridariziki8766 3 года назад
Kweli kabisa apewe mwanae
@Nyamisango
@Nyamisango 4 года назад
Corona imetufanya tukumbuke watoto tulio wasahau . Sasa hiyo miaka 6 alitengemea nini jmn
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 4 года назад
Sio akili yke haiwezekani mtu kusahau mpaka ukumbushwe weee..... Tumbo la uzazi linauma
@neemalucas464
@neemalucas464 4 года назад
Inawezekana walikuwa wanampumbaza ili amsahau mwanae sio bure hii.
@faithdaniel5957
@faithdaniel5957 4 года назад
Alimuacha kwa bibi ake kosa lake nini hapo
@neemalucas464
@neemalucas464 4 года назад
@@faithdaniel5957 hana makosa na alijua mwanae yupo mikono salama.
@oum759
@oum759 4 года назад
Hta ikawa miaka 1000 uchungu wa mwana anaeujua n mama
@joyanambuya3695
@joyanambuya3695 4 года назад
Mmmmmh pole sana jaman
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 года назад
Asanteni sana tena nashukulu kwakunipa nguvu asanteni sana ndugu zangu
@madinakheri487
@madinakheri487 4 года назад
Komaa mpaka wakupe mtoto wako na usikubali kuwapa kabisa mtoto ndio faraja yako
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 4 года назад
Ata msaada atapewa km uwezo ana lkn mtoto harudishwe
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
Namm nnavyo juwa km mtu kaenda kituoni kuchukuwa mtt akalee lkn anapo tokea mama ake apewe au abaki nae kwa taratibu nahata ivyo husna ajasema mtt wk apewe mtu akalee ila uyo mama mkubwa ndo mwenye pashau akamatwe akajiekeze vizur km kauza mtt alipe mtt apewe husna
@dorislema1814
@dorislema1814 3 года назад
atakama mimi ndouyo mtoto namkataa uyo mama alikua wap muda wote aje na makajagio yake muda huu na udangaj wake kwakua kaona nakaribia kufanikiwa,nitabk tu namjua nialie nizaa na kunitelekeza alaf aniteme kama ni msaada ntampaga nikija kupataela.tena wasimchanganye mtoto akil kumtangisha wakafanya ata mtoto aru nyuma kimasomo kwaajil ya stress
@amour5535
@amour5535 4 года назад
Nenda polisi dada weeeee
@asmahanyally3225
@asmahanyally3225 4 года назад
Pole sana Husna serikali itakusaidia umpate mwanao in shaa Allah
@sadakhamis6684
@sadakhamis6684 4 года назад
Mtihani sana
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 4 года назад
Nawe una roho kweli miaka 6 hukumbuki wala kufikiria mtoto..uliyataka
@atuganileswedy4830
@atuganileswedy4830 4 года назад
Aliyataka kwl,, ujue kwenda dangulo, ujue kudo, ujue kuzaa ushindwe kulea na Bado ukamsahau hata salam uulizi miaka yote....
@aishadaudi1081
@aishadaudi1081 4 года назад
Huyu mtt ameuzwa so huyo mamkubwa alikuwa anamroga asimkumbuke mwanae
@bintsulaymansuleiman668
@bintsulaymansuleiman668 4 года назад
@@aishadaudi1081 yawezekana lkn hakujua km dawa zna mwisho
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 года назад
Watu wanaloga usikumbuke chezea pesa
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 года назад
Mackin mdangaji kaamua kurud nyumban 😢anatafuta mtt wake ila mungu yupo utampata tu mwanao damu ya mtu haipotei Bure
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 4 года назад
Pole sana Mungu atafanya wepesi utampata mwanao
@timanyere9052
@timanyere9052 2 года назад
Mrejesho jaman geah
@yusraikram2214
@yusraikram2214 4 года назад
Alilala mama sasa ndo kaamka
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 года назад
😃😃😄
@salmasalim6055
@salmasalim6055 4 года назад
🤣🤣🤣
@saumsiraji9870
@saumsiraji9870 4 года назад
😂😂😂😂
@aliceanyango770
@aliceanyango770 4 года назад
Jua kwamba bado alikuwa mdogo, akilitoto,, maziwa pia haikuwa ikitoka ya mtoto,, mimi pia nilizaa nikiwa mdogo sana,,akili yangu ilikuwa kitoto zaidi,,maziwa ilikata kutoka,, baba ya mtoi wangu simjui hadi waleo,,, baada ya mwezi tatu mamngu mzazi alisema lzm nirudi shule kwa ajili sina hata maziwa kunyonyesha mtoi,, nikarudi nakuanza masomo darasa la saba,, asante kwa mamngu alilinda mtoi wangu vizuri sana,, he's in university buy due to corona bado yuko nyumbani still with my mom,, while I'm hustling aboard,, pole dada, mtoto wako utapata coz Mungu yupo.
@fei3668
@fei3668 4 года назад
amshukuru mamkubwa alimtafutia hata mlezi wa kumlea nae angemuacha kama yeye alivyo muacha leo huyo mtoto angemdai wap
@Safariking2010
@Safariking2010 3 года назад
Nashangaa sana watu wanashindwa kumuelewa mama mkubwa na huyu dada anasema atamsomesha kwa udangaji au kwa lipi
@dorislema1814
@dorislema1814 3 года назад
me pia namshangaa tena ashukuru et anadai alikua mdogo mbona alikua anajua kudanga si angekaa kwao atulie,mamkubwa apo kosa hana ni utaira tu wa uyodada anajida kapumbazwa maana anaona mtoto kakaribia kufanikiwa ndoanamtaka.et mtoto wangu ndoanaweza kunilea ajibweteke apo asubirie kulelewa
@Idafa
@Idafa 3 года назад
The wellbeing ya mtoto ni muhimu.... Kumweleza mambo ya kikubwa bila wataalamu wanaojua mambo hayo ndio mwanzo wa kumuharibia maisha yake huyo mtoto akiwa mkubwa. Ni vizuri huyo mama wa kufikia alivyofanya. Ndiyo mzazi ni mzazi lakini hata mtoto ana haki pia. Yeye kakiri makosa aliyoyafanya huko nyuma lakini haina maana huyu mtoto anahitajika to pay for her mother's mistakes for the second time. Mama mkubwa alifanya uamuzi aliouona ni the best kwa huyo mtoto kwa kipindi hicho. Mtoto hajakaa naye miaka yote hiyo leo anataka amchukue? Hata huyo mtoto ana feelings. Kashazoea mtu anayemjua ni mama yake kwa miaka yote hiyo. Aache kuwa selfish huyu mwanamke. She was selfish then to dumped her child and run and she is selfish now to want to bring that child into her distractive life. Kucheza cheza hivyo ina maana alitumia madawa ya kulevia kipindi fulani na wala hakuna cha uchawi wowote. Huyo mtoto apewe contact info za mama yake akifikisha miaka 18 atamtafuta kama akipenda. Na watu hawa hawana shukurani. Mimi wazazi wangu walichukua mtoto na akalelewa kama mdogo wangu. Alipochukuliwa in 6 months mama yake alifariki. Hivyo wenye sauti wakawa ni wajomba zake. Alivyokuwa std 7 chokochoko zikaanza. Kumbe walikuwa wanamtaka ili wakamuozeshe wapate mahari. Walimjaza maneno huyo mtoto akawa anafanya wazazi wangu kuwa ni wabaya sana. Aliondoka baada ya std 7 akiwa 14yo na kwenda kuolewa. Maisha aliyonayo sasa hivi ni ya kusikitisha sana. Alipoteza nafasi ya kuendelea kusomeshwa na kuwa na maisha yake. Huyu mama au hao wanaomsukuma huko nyuma ili achukue huyo mtoto wanawaza mahari tu. I feel for this kid kwa kweli.
@chikuvictor552
@chikuvictor552 4 года назад
Apewe mtoto wake jamani hata kama malaya mama ni mama
@rahmssalum3163
@rahmssalum3163 4 года назад
Lkn huyu dada hajielewi
@amour5535
@amour5535 4 года назад
Utoto ulichangia pia tusimlaumu sana
@rahmssalum3163
@rahmssalum3163 4 года назад
Kweli
@dorislema1814
@dorislema1814 3 года назад
kabsa kama mimi ndouyo mtoto ningemkataa uyo husna kiukwel kwenda kulelewa nae
@mantoummantoum1392
@mantoummantoum1392 4 года назад
Ila uyodada nae alikuwa na umalaya sana mpaka umekosa kukumbuka mtoto wako sasaivi ndio unajifanya unauchungu na mtoto
@omarisuleiman2611
@omarisuleiman2611 4 года назад
Tena kbay zaid hat baba yake hamjui ni yupi man yake alkuw anagaw kwa kla anaetak kwa cku watu 70
@pieremchome5202
@pieremchome5202 4 года назад
Huyu mwehu,hakuna mwanamke anayeweza kuacha mtoto muda wote huo
@cathelinemaurid898
@cathelinemaurid898 4 года назад
Hana jipya mwaka yote alikuwa wapi wadada tujifunze kwanza amshukulu mungu mtoto yupo na analelewa vuzuli ye akaendele kudanga
@maimunamwaren5885
@maimunamwaren5885 4 года назад
Nimeumia sana pole mpenzi nimeumiya sana mtt huwezi kummbadilisha na nguo
@olivermwajuma7385
@olivermwajuma7385 4 года назад
Amuwache uyo mtoto asome uyo mama mwenyewe anafanana akili azija tuliya
@udaudauda8594
@udaudauda8594 4 года назад
hujaonja leba ukaskia uchungu wa mtoto amakweli mamkubwa sio mama laiti angelikua ni mama mzazi wa huyo binti asingemuuza mtoto wala kumpana wampe mtoto wake hata mtaani atasoma tu
@salomekamili4852
@salomekamili4852 4 года назад
Unaumwa wewe ingia leba uone utamu wake
@bihawahamisi8522
@bihawahamisi8522 4 года назад
Kwamimi wangesha Nipa zaman
@tinkiboniface3342
@tinkiboniface3342 4 года назад
Mimi ninachoona bora muache amalize masomo yake maana anasoma vizuri she's happy so vizuri ajue tu ana mama 2 uwasiliane na mtoto tu ujue anapokaa Ila usimchukue muache asome
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 года назад
Sasa wao ndoawataki kunipeleka anapokaa mtoto mpaka leo
@fahimayussuf8486
@fahimayussuf8486 4 года назад
Yeah lkn ni vema wakamwambia ukweli ili kujua mwanae yupo wapi nadhani hata yy àngekuwa radhi ila hivo wanavoficha ukweli ndo inampa wasiwasi huyu dada inaelekea ndo wanataka kumdhulumu maskini. ..fight for your kid husna mtt anauma
@belindasteve4749
@belindasteve4749 4 года назад
@@sabrinahkizzer5245 Duuuh,pole mwaya ila kwa ushauri wangu usikubali swala la kuambuwa akae amalize kusoma maana mwisho wa siku mmoja akitwaliwa mbele za haki watakuja kukukana...Chamsingi fwatilia mwanao umpate hata kama unakunywa uji wa chumvi kunywa naye mwisho wa siku mtoto atakupenda,usiogope eti kuambiwa mtoto amepoteza upendo kwako....No....hcho kitu hakipo labda kama sio damu yako.
@tinkiboniface3342
@tinkiboniface3342 4 года назад
@husna makame usikate tamaa, pigania haki yako utapata na ukimpata usimchukue mtembelee Kama ni simu wasiliana naye be there for her weekend mchukue Ivo tu Mama
@tinkiboniface3342
@tinkiboniface3342 4 года назад
Na fuata Sheria zote za haki ya mtoto na mama uwe na vielelezo vyote vya kuwa wewe ndiye her biological mother
@rahiminamsangi8558
@rahiminamsangi8558 4 года назад
Mtoto yupo mbezi hapo picha anaonekana mlango wa grli hey ulaya hakina uchaf huo huku tunaish na ujenzi wa milango na madrisha ni tofauti.
@bebebebe5677
@bebebebe5677 4 года назад
Pole my mung atakusaidia fuata utalatibu atapata mtt wako maana aukumtupa bar ulimuacha nyumban kwenu
@mwanaidyibrahimu8861
@mwanaidyibrahimu8861 4 года назад
Husna mzur ..Maa shaa Allah
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 года назад
Mwanaidy Ibrahimu asante
@salmamussa786
@salmamussa786 3 года назад
@@sabrinahkizzer5245 umepata mtot wako
@milkamugomo218
@milkamugomo218 4 года назад
Lakini dada pia wewe una makosa uzae na usahau mwanao miaka hata sio miezi wako wanzako wanazaa na miaka 12 na wanawatunza watoto wao lakini yote kumi nakuombea upate mwanao
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
Dah,Mungu amsaidie tu,kama ndo kapotea moja kwa moja ..basi hasara haipati mti. Amshukuru Mungu angalau yupo hai,na kama uko aliko ana maisha mazuri,aendelee kumuombea sababu yupo kwenye mikono salama
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 4 года назад
Mim nilimza mwanangu ninamiaka 15 nampaka leo mwangu anamyaka 7 namlea mwenyewe
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 года назад
@@aisatahaisatah2612 ongera
@yunaisamir2099
@yunaisamir2099 4 года назад
@@aisatahaisatah2612 msiseme hvo jaman ina tegemea na mazingra me ninae jiran yet kijijin miaka 12 sasa hajarud nyumbn na ame muacha mtoto anapga cm mwaka had mwaka na yupo nairob sio nje ya nchi so msi seme hvo na pia inategemea na akili ya mtu unaeza hta ukawa na miaka 20 na akili ya kulea ukawa hauna so tumuombee tu mungu
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
@@aisatahaisatah2612 MashaAllah rafiki,Mungu aendelee kukuimarisha na kuwapigania wote,wewe na mwanao. Maisha ni mtihani,wako wengine wanafeli,nikuwaombea tu Allah awafanyie wepesi
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Год назад
Ushauri. Muhimu ukabadilishe.mkataba ujue yyko wapi na ana nanii awe anakutembelea kisha arudi kwa.mfadhiri asome
Далее
Parents' Breakfast Rescue Mission for Laptops
00:28
Hamster Kombat 20 July Mini Game
00:13
Просмотров 7 млн
DADA WA KAZI ADAIWA KUMUUA MTOTO WA BOSI WAKE
16:36
Просмотров 277 тыс.
Parents' Breakfast Rescue Mission for Laptops
00:28