Katibu Tena Katika Channel Yetu, Ungana nasi mpaka Mwisho Ukapate Kuifahamu Smart TV hii Kutoka HISENSE. Please... SUBSCRIBE ... SUBSCRIBE ... SUBSCRIBE ... AND Stay BLESSED.
Naomba msaada mm nina tv Hinsense vidaa laikin nikieka flash inachagua videos nikiingiza movie 20 sinasoma 3 nyingine video notformat,, nifanye nn wadau
Nina Hisense 58" ilikua ina fuction tu vizuri lakini suddenly imechora mstari wa purple pembeni karibu na mwisho wa screen, shida inaweza kua nini? Na navoizima ilikua fresh kuja kuiwasha naona huo mstari?
Inaweza kuwa tatizo la graphics card au screen panel. Ili kubaini chanzo cha shida, unaweza kuanza kwa kuangalia cable na kuhakikisha kuwa hazina damage Na zipo fully Connected (HDMI). Kama huo mstari wa purple Bado unaonekana, huenda ikawa ni suala la vifaa vya ndani. Kama Bado una Warranty, wasiliana na huduma kwa wateja wa Hisense au Fundi.
Nakushauri Utumie HDMI cable kama connection kutoka DStv kwenda Kwenye TV, na utumie HDMI Port 1 - 3 zilizopo Kwenye TV Yako, hizo ndo zinasupport video Quality up to 4K.
Channel zangu zote zimeruka,na nikizidowloading tena inanambia niunganishe na cable na nikiunganisha nikiseach channel inakataa je nifanyeje ili nirejeshe channel zangu?
Inaweza kuwa tatizo la updates. Kwanza, jaribu ku update programu ya televisheni yako kwa toleo la karibuni zaidi (update to current version). Baada ya kufanya hivyo, jaribu kufanya upya utaftaji wa channel. Ikiwa tatizo linaendelea, unaweza kuhitaji kuwasiliana na msaada wa wateja wa Hisense kwa msaada zaidi.
Utofauti Mkubwa Kati Ya Smart Ya Kawaida Na Smart Ya 4K ni Picture quality. Kwenye Normal Smart inakuwa normal but in 4K smart Quality Ni Ya Juu / Bora Zaidi na Ang'avu.
@user-yz4hx7yr6f Kama ulinunua kwa authorized dealer wa Hisense na Bado warranty ipo, rudisha watakusaidia apo, ila Kwa mafundi kupata anayeweza hii n ngum
Kuna njia kadhaa za kuhakikisha kwamba TV ya Hisense unayonunua ni ya original: 1: Nunua kutoka kwa wauzaji wanaoaminika - Show room za Hisense 4: Ufungaji( Package) pia Na Brand Logo 5: Kagua Ubora wa Picha na Sauti 7: Scan QR code