Тёмный
No video :(

Usiwatoe Watu Kwenye Uislamu Wewe Siyo Mungu / Mimi Sufi Na Qadiri / Sheikh Hashimu Rusaganya 

DARSA TV
Подписаться 104 тыс.
Просмотров 69 тыс.
50% 1

Usiwatoe Watu Kwenye Uislamu Wewe Siyo Mungu / Mimi Sufi Na Qadiri Na Nimepinda Unifanyi Chochote / Sheikh Hashimu Rusaganya
Mashaa Allah Sheikh Hashimu Rusaganya akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Usiwatoe Watu Kwenye Uislamu Wewe Siyo Mungu / Mimi Sufi Na Qadiri Na Nimepinda Unifanyi Chochote / Sheikh Hashimu Rusaganya
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
RU-vid @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 306   
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 Год назад
Mashaallah shekh hashimu Rusaganya. Muhimu kumridhisha Allah na si kuridhisha watu ambao hawamiliki pepo wala moto.
@machano5690
@machano5690 Год назад
Wacha kujifanya kua wewe ni mkamilifu, sh. Rusaganya anajielewa.
@mahamuduhassan8511
@mahamuduhassan8511 Год назад
Hakika ni kweliii mamba kaamua kusema kweli hamna kuremba
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 11 месяцев назад
Ukitaka kusema hivyo wale mashehe wote waliomsomesha na wamaulidi motoni maana walifanya yasiomridhisha mungu kwa mujibu wa maelezo yako ?
@RamadhanOmar-ow1ki
@RamadhanOmar-ow1ki Год назад
Mashaallah sheikh wangu umesoma kwa makuraiesh wa ujiji Allah akuhifadhi sheikh wangu .Naona wenye roho mbaya na kujiona wao ndo watu wa peponi povu linawatoka humu.Kwa kweli elimu ya kisufi na twariqa ina baraka sana na kuna mambo makubwa ambayo huyapati mpaka ambae anajibidiisha kuwa karibu kwa Allah na kwa watu wa twarika na hao masufi mwisho wakiona hizo kalama wanasema bidaa na uganga .
@fahadsalim3000
@fahadsalim3000 Год назад
Uzushi ni kumchezea Allah eti uwesu dah Allah akusameh nimzee wetu tunakuheshim kwahapa utatusameh mzee anatangaza akida yake alafu amesema amepinda subhanallah Allah akuongoze katika njia sahihi
@SoudShuraim
@SoudShuraim Месяц назад
Kwn yupo ktk njia gn twembie ewe mtu wa peponi
@kudrangayonga7766
@kudrangayonga7766 Год назад
Maashallha Leo nimefurahi mnooo nikiwasikia mashekhe kama hivi wakiongea huwa nafarijika sana
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline Год назад
Naam kaka hujanishinda Mimi. Kanifurahisha sana. Huu ndio ukweli.
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Год назад
Mashallah!! Allah atakulipa ujira wako kwa kila hatuwa!!!
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 11 месяцев назад
Shekh amepinda kweli Allah amjaalie anyooke na atujalie na sisi njia iliyostahiqi. Alichotufundisha Shekh ni kwamba hatutakiwi kupinga kile tulichofunzwa na mashekh wetu hata kama hakipo kwenye haqqi 😅na ni marufuku kuhoji 😃tufatilie mambo yanayotuhusu hatuna haqqi ya kuongozana njia stahiki 😅 Ahsante shekh nimekubali umepinda ila kila mtu ni mchunga na kila mchunga ataulizwa na Allah kwa alichokichunga
@MuhozaZiada
@MuhozaZiada 2 месяца назад
Siyo hivo nilazima kuaheshimu walio kusomesha Kwa kua ndo ilikua kiango Cha elimu Yao ذلك مبلغهم من العلم
@swalehahmed6579
@swalehahmed6579 Год назад
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allah akunawirishe akupe mema duniyani na akhera
@sharifumuya1979
@sharifumuya1979 Год назад
Hahaha plastic
@hajinassor6369
@hajinassor6369 Год назад
Mm nnachoamini ujumbe umeshakufikia sasa ni juu yako kuufuata au kubaki na bidaa zako
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 Год назад
Ma sha Allah... Allah akuhifadhi shekh Umefungua akili wengi wanaothamini Madheheb yao kuliko Uislam na kutaka radhi za Allah... Pia umewapa ujumbe wanaodhereu na kutusi Mashekh....
@user-fj3dp2xe4q
@user-fj3dp2xe4q Год назад
Story ya huyo bwana nimeipenda
@habityabsa997
@habityabsa997 Год назад
Mmmh ila hawa Ma sheikh wetu mtihani sana. Mwisho wana anza kumtishia ndg yao katika imani. Naamini lengo kuu la Sheikh Mohammed Bachu ni kutoa elimu kwa ummah wa Ki Islam hasa juu ya kitabu cha Barzanj. Tatizo elimu hii ime pokelewa vibaya na wengi miongoni mwa Ma Sheikh. Allah pekee ndio anae jua nani yupo sawa na nani kapotea katika hili In Shaa Allah
@umbopaday
@umbopaday Год назад
Nimekuelewa
@SalehSaidmbarouk-pu9jq
@SalehSaidmbarouk-pu9jq 4 месяца назад
Sasa kama jambo liko hivyo, tunajifunza hapa kua watu wawe na heshima wasiwatukane waalimu zao Wala watu walio na mtazamo tofauti.
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v Год назад
Allah akuepushe shekh.unaona watu wafanya shirk kisha mtu anyamaze
@i_gabbykisalo4280
@i_gabbykisalo4280 Год назад
Allahu Akbar, Allah akuifadhi Sheikh wetu
@muhammadnassibu7706
@muhammadnassibu7706 Год назад
Allah atawadhihirisha tu watu wa bidaa wote inshaAllah hiyo ni ahadi ya Allah والله مخرج ما" كنتم تكتمون"
@MatanoSalim-il9fk
@MatanoSalim-il9fk Год назад
Hauna kazi ya kufanya
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 Год назад
Sahihi brother acha waumie ila bidaa wakifanya lazma waambiwe
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Год назад
Kwahiyo wewe Raha yako unataka akae hapo aanze kudhalilisha na kutukana masheikh.!!
@user-rf2zs4kk1v
@user-rf2zs4kk1v Год назад
Allah atujalie mwisho mwema, baada ya kusikia kutoka kwa mtu linganisha kwenye kitabu na sunna!
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 5 месяцев назад
MAA SHAA ALLAAH! رحمهم الله رحمة واسعة وأسكنهم الفردوس الأعلى
@abdulali753
@abdulali753 Год назад
Mashaallah, Allah Akuhifadhi Sheikh na wanafik❤
@raheemabeid1965
@raheemabeid1965 11 месяцев назад
Mashaaallah sheikh hakika umefunzwa vyema sana katika mji wa ujiji kwa masheikh wakubwa na alama kubwa ya mkoa wa kigoma
@Marjeby
@Marjeby 11 месяцев назад
Sheikh Mungu akuzidishie nimependa sana maneno yako umeongea kizamani hasa karne hii hakuna mambo hayo vurugu tupu kwanza huwezi kujua mwalimu nani sheikh nani mwanafunzi nani ujinga ujinga tu
@MohamedMgwami-nw6bl
@MohamedMgwami-nw6bl 6 месяцев назад
Aksante sana sheikh hashimu lusaganya mwenyezimungu akuhifadhi ,
@maisarasid8670
@maisarasid8670 10 месяцев назад
Nashukuru nimepata mafundishisho kutoka kwa sheikh mungu akueke na akupe afya
@suleimansaid4633
@suleimansaid4633 Год назад
Babullah ahmada bajata thanaa alayh❤ taraturbatu nnabatu nnabii ru’uyatallah alayh ❤. Maaashaallah
@masoudmohamedy5953
@masoudmohamedy5953 Год назад
Umenikumbusha mbali maalim
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 Год назад
Masha Allaah Sheikh, Alhamdulillaah Allaah amekutoa ktk Mila ile potofu. Mimi pia nilitokea huko huko, tulipotezewa time kulazimishwa kuhifadhi yasiyo sahihi. Laiti masheikh wangeitumia nafasi ile kutuhifadhisha Quran.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Год назад
acha uongo wewe umesoma wapi?! sheikh Rusaganya ni Sufi tena kindakindaki, mimi ni mwanafumzi wake. zamani masalafi walikuwa wanajua ni mwenzao, baada ya masalafi kuanza kutukana masheikh hovyo na kuwakufurisha waislam wenzao sasa sheikh Rusaganya ameamua kuwafunguka na kuwaeleza wajue yeye sio mwenzao.
@user-ep7we8br6r
@user-ep7we8br6r 10 месяцев назад
MashaAllah baba yngu Allah aendlee kukupa afya njema uendlee kutupa mazr yeny mafundisho jazzaqalah khery
@ammsarissa-we4fo
@ammsarissa-we4fo Год назад
Asalam Alaykum, nawapenda kwaajili ya allah, kipindikile una vuma sana redio imani Mbona ulishawayi kusema asyatuni wa maryamu, haya maneno ya meongezwa tena haya maneno yako kwenye clipu, lu saganya to muogopeni Allah, na hisi maneno ya allah yasha tuzuru, a lipo sema, kuna watu, mudhbi dhabina bayna dhalika huku tuko na Kule to ko
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
SHEIKH HII DINI HUWEZI KUIBINAFSISHA!UISEMEE UNAVYOTAKA!! UKITOKA KWA MSTARI TU LAZIMA UPIGWE NYUNDO ZA KUTOSHA!!
@ushindiushindi5749
@ushindiushindi5749 Год назад
Kwel kabs
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Год назад
Unaumia Sana ndugu,pole sana
@omarmsomall3809
@omarmsomall3809 Год назад
Kajiunge na Daymond una sauti mzuri dini ya Allah so ya mizumar, vinanda wala matarumbeta
@myself4128
@myself4128 Год назад
Ulikuwepo wwkati Dini inaanzishwa au umefuata Mkumbo wa wazazi tu?
@mtotompole1040
@mtotompole1040 Год назад
NDIO NYIE SIO😂
@user-my9hc6uf9l
@user-my9hc6uf9l 11 месяцев назад
Jazakallahu kheir sheikh Rusaganya! Wewe huwezi kuwatukana masheikh wako,lakini mtoto wa marhuum Sheikh Nassor Bachu amemtukana baba yake kwa maneno makali. Hatari sana.
@ibnqassim7002
@ibnqassim7002 11 месяцев назад
Kamtukana vipi
@mohd39789
@mohd39789 Год назад
Hili shekh nalo linabana pua! Amesema kweli imaam Shafy mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika mchana tayari ameshakuwa mpumbavu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Год назад
huyo imam shafi na yeye mwenyewe ni sufi kama ulikuwa haujui.
@mohammedsaid3045
@mohammedsaid3045 Год назад
Ww itakuwa umetumwa ni mshenzi tu huwezi kumsema muislam mwenziwe maneno km hyo
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Год назад
Mohd...huyo imamu shaafy mwenyewe alikuwa sufiii Sasa unasemaje.!!
@mohd39789
@mohd39789 Год назад
@@swalehemrombo9301 ndio wanavyokudanganya mashekh wa kisufi? Imaam Shafy hawezi kuwa sufi hata siku moja! Imaam Shafy alisema mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika mchana tayari ameshakuwa mpumbavu. Imaam Shafy yuko mbali na usufi (upumbavu)
@user-zz9xi3kw4k
@user-zz9xi3kw4k Год назад
Maa shaa allah Elimu pamoja na adabu ndo funzo tunalochukua Kwa sheikh rusaganya Allah akudumishe siku nidiriki darsa yako ya macho Kwa macho in shaa allah
@bachus57
@bachus57 Год назад
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar mashallah
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 Год назад
Allah akuifadh sheikh Hashimu
@alikhatibali2024
@alikhatibali2024 4 месяца назад
Mashaallah
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py Год назад
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.
@user-ju1iq1pu3i
@user-ju1iq1pu3i 11 месяцев назад
Nimesoma comments nyingi humu , nikichogundua baadhi ya waislamu au wengi wetu , hatuna tamyiz ya kupambanua haki na batwil, bali tunafata mkumbo
@athumaniyshehoza2252
@athumaniyshehoza2252 11 месяцев назад
Shekh lusaganya Allah akuzidishie umri mlef zaid
@MwanaMpole-mo5di
@MwanaMpole-mo5di Год назад
Mashallah ❤
@hatibunkonga2350
@hatibunkonga2350 11 месяцев назад
Sheikh sasa anaaza kuheshimu watu wengine ...
@sanda960
@sanda960 11 месяцев назад
Shekhe. Unaposema shughulika na Yako na usishughulike na ya watu Mimi sikuelewi. Unaposhughulikia dini Moja Kwa Moja utashughulika na watu. Maana ndy walengwabwa dini hiii.
@HassanNapalamula
@HassanNapalamula Год назад
الله أكبر ! بارك الله فيك
@ramadhaniddsalim2201
@ramadhaniddsalim2201 Год назад
Watu watarika wengi wamekufa na shahada wanapata mwishomwema
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 Год назад
Na kwanini wasife na shahada hali wao kutwa kucha ni lailaha illah Allah. Kila baada ya swala ni adhkaar tupu na lailaha illah Allah mara 165
@alawikihema8676
@alawikihema8676 Год назад
chozi lataka kutoka nikiwakumbuka Masheikh wetu wameishi maisha yao yote kwa dhikiri tukufu
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 Год назад
Na kubali twarika ukiishika na mafundisho yake unapata mwisho mwema twarika ni njia ilio nyooka🙏🙏🙏
@muktazimbuyu6569
@muktazimbuyu6569 Год назад
Sio ukweli wewe ni muongo
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 Год назад
@muktazimbuyu6569 Kwani wewe una Ilm ya ghaib kujua kama fulani ni muongo? Nyie kwenu masheikh zenu wa kiwahabi hawana nuru na utulivu na kutwa kucha ni matusi na takfiri na magaidi ni zao na magaidi. Hamuwafikii watu wa twariqa kwa adhkar na tahlil, huyo sheikh wenu mkuu hamfikii hata robo muridi tu wa chini kwa uchamungu na ibada
@yassinijumanne1763
@yassinijumanne1763 Год назад
Wallahi shekh unasauti nzur yaan nmejiskia raha sana
@rashidabuu9406
@rashidabuu9406 Год назад
Mashaallah maneno mazuri sanaa shekh mungu akubarik watu waufaham mchango wa mashekh walotangulia
@mussakisope7207
@mussakisope7207 Год назад
Kuna sheikh na mzee ww ni mzee rusaganya endelea na hadithi za babu na wajukuu zake Mm nilikuwa nakuona umesoma kumbe umefata mkumbo ila Allah atuongoze katika njia ya sawa sawa
@binaamour318
@binaamour318 Год назад
Kw taarifa yko w Musa waulize hao unaowmini huyo rusaganya kasoma wpi watakwambia na ushabik wko up huyo Madina miaka iyo isiokuwa na mihemko ya kishabik y dini au shekh wako!
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Год назад
Tatizo we hujuwi halafu una mihemko huyo Rusaganya Sasa kasoma huko huko huko kwa hao hao wanaokuleteemi hiyo misimamo mnaojifanya mnayoo.!! Sasa yeye ndio kasoma huko huko uliza utaambiwaa.!! Acha ushabiki maandazii.!!
@salmasalim4090
@salmasalim4090 10 месяцев назад
MashaAllah sheikh
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Год назад
Mashaallah mashaallah maneno mzuri
@abdillahimohammed3544
@abdillahimohammed3544 Год назад
Naam sheikh mashaa Allah nimefurahi qaswida unazijua
@sharifumajaliwa-pc8kd
@sharifumajaliwa-pc8kd Год назад
Maashallaaa shekhe.Rusaganya Alla.akuweke maana watu kamanyinyi niwachache sana
@fadhilizomboko459
@fadhilizomboko459 11 месяцев назад
Daaah mtiani huuu kwl ww umepindaaa xx km umepindaa sheikh bachu hata kunyoosha
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 6 месяцев назад
Quran na Sunna FULL STOP ❤❤❤
@ruzatuntajadin1274
@ruzatuntajadin1274 Год назад
Mashallah hiyo dhikri inifurahisha mpaka rohoni
@muhamadikombo4976
@muhamadikombo4976 11 месяцев назад
Sheikh Muhammad Bachu maashallah mungu amueke hakik anafanya kaz ngumu kwa kweli 😢 ila watu bado wametia pamba masikion 😭
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 11 месяцев назад
Wee na bachu wako hamuoni mbali baadala yakutagazaa ndini ya kiislam bachu wako kakalia maulidi biidaa na anocho jua nihicho tuu bachu hana elimu
@muhamadikombo4976
@muhamadikombo4976 11 месяцев назад
@@jamilahjamilah4157 Wee una ushahid gan kama bachu hana elimu kwan unamjua mtu mwenye elimu na alokuw hana nduguyangu.... 😢🤔 Au ndo unaishi kwa kufuata mkumbo na matamanio yako t yanakupeleka wap 😢
@sadamakame7684
@sadamakame7684 11 месяцев назад
Si tusoelimu sijui tushike wapi jamani mbona mwatuchanganya
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 11 месяцев назад
@@sadamakame7684 dg yangu waala usichaganyikiwe elim haina mwisho wee soma utaujua nayule lile swali kalikimbia kusudi alikuwa anajua akijibu basi nahuyo wanaye muita ibun temwe atakuwepo naataulizwa kasema nn ndio sababu yakukataa kusema
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Год назад
Ma Shaa Allah Sheikh wangu upo sahihi
@husseinazizi1275
@husseinazizi1275 Год назад
قال الأمام أبيو بكر الطرطوشيء رحمه الله. مذهب الصوفية بطلة وجهالة وضلالة وما الإسلام إلا كتاب الله وسنة رسوله صلى الله عليه سلم
@user-gg1zh6oe2w
@user-gg1zh6oe2w Год назад
MAULIDI JUU ZAIDIIII MTUME ASIFIWE SANAAAAAAA
@marthad7627
@marthad7627 Год назад
اللهم صل وسلم وبارك عليه وعلى آله وصحبه أجمعين
@husha6372
@husha6372 11 месяцев назад
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Sheikh Mohammed Abdulwahab Mwenyewe amesomea Kwa Sheikh Abdulqadir Jeilani
@hamishijja4574
@hamishijja4574 11 месяцев назад
Ostaz allaah atuongoze atujali namwishomwema
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 Год назад
Shehe muhammad nassoro kigogo mwenyez mungu amfanyie wepes aliko 👏
@saidkondo5112
@saidkondo5112 Год назад
Mtihani huu,shekhe hata kama kakosea hataki ambiwe, hizo qasida unazoimba lusaganya shekhe wangu maana yake unajua, basi waambie waislam kama inafaaa kumuomba msaada au ukombozi mtu aliekufa, mtihani sana huuu sikutegemea kama unajeuri kiasi hiki
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад
Akili huna kama kitu hujui maana yake kukaa kimya nibora kuliko kuwatuhumu watu
@shabansalum5328
@shabansalum5328 Год назад
Asante e
@FarahJey
@FarahJey Год назад
Ongeza sauti rusaganya asikie,naona yuwaimba tuu,twaomba tafsiri ya hizo beti za nyimbo au qasoda
@saidkondo5112
@saidkondo5112 Год назад
@@tanzaniaonmzamiloon8627 hakuna alietuhumiwa hapo ,lusaganya ni shekhe tena kasoma kwa hao mnaowaita mawahabi ,ila ataki kuacha itikadi za babu zake hata kama mbaya,atafsiri hicho alichokuwa anaimba wengine hue nda hawjui maana yake.alafu atuambie maiti anaombwa istikhatha
@fuellessgenerator9426
@fuellessgenerator9426 Год назад
@@FarahJey kumbe elimu huna ndio maana unaomba tafsiri
@adamkombo2221
@adamkombo2221 Год назад
شاء الله حفظك الله يا شيخ
@BashirNuru-dn6fs
@BashirNuru-dn6fs 5 месяцев назад
Book of qadiria shiekh
@abdimwalim3505
@abdimwalim3505 Год назад
Alhamdulillah
@nassorothabiti7237
@nassorothabiti7237 Год назад
mashallaa
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Masufi mna dhalilika hadharani bila kujielewa😅😅😅😅😅
@sheikhhusseinsuleimani2755
@sheikhhusseinsuleimani2755 Год назад
Mashaallah shekhe Allah akuifadhi
@selemanabbas6862
@selemanabbas6862 Год назад
Masha Allah
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Mashekhe wana fanya kazi ya kuelimisha nyinyi mnarejesha nyuma juhudi njema, mtalaaniwa na Mola Mlezi wetu ngojeeni tu
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 Год назад
Wameanza kulaaniwa masalaf alafu ndio wengine
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Год назад
Umesikia kuwa mungu ni mjomba wako atowe laana kwa matakwa yako tu unavyotaka wewee.!! We mpuuzi kweli yani.!!
@kassimali8756
@kassimali8756 10 месяцев назад
Haki ibainishwe jameni tusiifiche ndivyo yalivyo amrishwa na Allah na mtume wake
@fadhilizomboko459
@fadhilizomboko459 11 месяцев назад
Maulidi sheikh Hashimu ni bidaa hata km umepindaa ukwl umekufikia vzr tu
@MudGuy-gv9do
@MudGuy-gv9do 11 месяцев назад
Hiyo stori ya mtume kuminywa na jibril sio kweli jribu kufikiria vzr
@user-zy4fr2qz5b
@user-zy4fr2qz5b Год назад
mashaallah
@Mfinanga1
@Mfinanga1 Год назад
Shehe nakupongeza Allah akulinde.
@ngalamenoherbal6955
@ngalamenoherbal6955 11 месяцев назад
Aislam isomeni dini yenu muijue hapo ndo mtaijua haqi iko wapi vinginevyo mtaburutwa sana, ukisoma fiqhi ya imam shafiy rahimahullah ndo utagundua Imam Shafiy hakuwa sufi na mengi yanayofanywa na masufi yeye aliyapiga vita, tafuta kitabu kinaitwa safinatu nnajah au matin ghaya utajua mambo mengi.
@jumabias4917
@jumabias4917 11 месяцев назад
Masjid qubah nimesoma kuanzia 1987 ..... Mwalimu kaduguda, Yusuf Salim, Salim Awadh, shekh rusaganya ndio miaka hiyo nilimuona
@kahiyemohammed8556
@kahiyemohammed8556 11 месяцев назад
Mimi niliota wale maulama sufi wala masuni wanahalalisha vitu zaharamu kama mira , tumbako, kuozesha wanake bila walii wao, wakiwa wanafamu wakona elimu watakuwa mahbuzi au prisoners (with uniform)ndani ya kaburi paka kiama , until the day of judgements... niliota nataka mtafsir hio ndoto yangu...
@FarahJey
@FarahJey Год назад
Rusaganya عَنْ عَائِشَةَ رضي الله عنها قَالَتْ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : ( مَنِ الْتَمَسَ رِضَى اللَّهِ بِسَخَطِ النَّاسِ ، رَضِيَ الله عَنْهُ ، وَأَرْضَى النَّاسَ عَنْهُ ، وَمَنِ الْتَمَسَ رِضَا النَّاسِ بِسَخَطِ اللَّهِ ، سَخَطَ اللَّهُ عَلَيْهِ ، وَأَسْخَطَ عليه الناس ) رواه ابن حبان "الإحسان في تقريب صحيح ابن حبان" (1 /510) ، والترمذي (2414) بلفظ : ‏( ‏ مَنِ الْتَمَسَ رِضَاءَ اللَّهِ بِسَخَطِ النَّاسِ كَفَاهُ اللَّهُ مُؤْنَةَ النَّاسِ ، وَمَنِ الْتَمَسَ رِضَاءَ النَّاسِ بِسَخَطِ اللَّهِ وَكَلَهُ اللَّهُ إِلَى النَّاسِ ) . وقد اختلف في رفع هذا الحديث إلى النبي صلى الله عليه وسلم ، ووقفه على عائشة . وقد صحح الإمام البخاري ، كما في العلل الكبير للترمذي (332) ، وأبو زرعة ، وأبو حاتم ، كما في العلل لابن أبي حاتم (5/59) ، وغيرهم وقفه . وقال الدارقطني رحمه الله : " ورفعه لا يثبت" . انتهى، من "العلل" (14/182) . وينظر " سلسلة الأحاديث الصحيحة " ، للألباني ( 5 / 392 ) ‏.‏ ثانيا :
@MussaRwegasira-ei3em
@MussaRwegasira-ei3em Год назад
Shkh Rusaganya mim nataman uwe mwalimu wangu katika dini sikuwah kukaa darasani ila nasoma kama hiv nikiingia mtandao hiv
@abdikadirshariif5311
@abdikadirshariif5311 10 месяцев назад
Mimi binafsi hata kama sijafika huo makamu, lakini najivunjari kuwa sufi Al hamdu lillah.
@RamadhanishemauaShemaua
@RamadhanishemauaShemaua 11 месяцев назад
Kidogo shkh ume teleza
@binpodah6003
@binpodah6003 11 месяцев назад
Muhimu kuambiana. Kama wafanya makosa ni uambiwe. Mtume (saw) alisema kutakuja wakati kutakua na scholar watakao zuia watu katika njia ilionyooka. (Misguided scholars) sasa hatakama mtu yuko na ilmu kiasi gani basi ipo haki ya kupingwa kama hayuko sawa. Miongoni mwa wanavyuoni alisema kama mafundisho yake yatakua kinyume na aliyofundisha Rasulullah (saw) basi msiyafuate, fuateni aliyofunza Rasulullah (saw). Kwaio fata kinachofundishwa kama kinatoka kwa Mtume (saw). Mtasema sana ila haki iko kwa Allah. Na kuna hadith inaeleza kwamba kuna watu watakao tengwa mbali na Mtume (saw) siku ya kiama. Mtume (saw) atauliza kwanini wanatengwa ilhali ni waumini. Itasemwa kwamba "haujui walicho buni baada yako ewe Rasulullah (saw)" . Wakuambiwa na kuelewa atasikia ila mshindani huachwa na kelele zake.
@AbeidMuyaKumoka
@AbeidMuyaKumoka 11 месяцев назад
Rasulul Llaah amesema "Kila uzushi katika Dini ni upotofu na kila upotofu ni motoni" ridhika na aliofundisha rasulullaah.
@user-zf7ft8eg1x
@user-zf7ft8eg1x 11 месяцев назад
Kabisa nakuunga mkono kwailo mungu atujalie gheri insha Allah tunyooke katika njia ilio nyooka
@omadal1
@omadal1 11 месяцев назад
"MTUME (saw) kasema... Sasa wewe ndugu ulikuwa na MTUME akikuwambia? Ninavyo elewa Mimi mwenye elimu hasemi "MTUME (saw) asema. Sasa wewe unamkashifu huyu sheikh wakati elimu yako ndogo sana.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 месяца назад
Huyu shekhe nilikuwa najuwa mtu wa sunnah kumbe nae mpiga maulidi mtu wa bidaah pole sana baba nilikuwa sijui saivi nimebainikiwa sisikilizagi watu wa bidaa ila kwa dharula
@ahmedmohamedshaksy9471
@ahmedmohamedshaksy9471 11 месяцев назад
MashaAllah Sadakta sheikh 100 kwa 100 asiyependa ajifungie chooni 🤣
@jumabias4917
@jumabias4917 Год назад
Mwalimu wangu, shekhe Rusaganya wakati nasoma masjid qubah ( kijitonyama Daressalaam) Allah akuhifadhi
@ndolasaid6323
@ndolasaid6323 11 месяцев назад
Masjid Quba umesoma mwaka gani
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Год назад
Maashaallaah
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
KUWATUNA MASHEIKH WALIYOPITA SIYO SAWA! ILA KUWATETEA KTK YALE AMBAYO WAO WALIYAKOSEA NDILO KOSA!! NA KUSIFU NA KUWASOMEA WATU MASHAIRI YA WATU WA BID'A KWA NIA YA KUWASIFU UNAHESABIWA AWE NI MTU WA BID'A!!
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Год назад
Sasa ndio umeongea ujinga gani
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Год назад
Jifunze ewe kijana ujinga ni aibu hakuna anayeridhia ujinga ila punda
@mwalimumwanyongo880
@mwalimumwanyongo880 Год назад
Siku ya hukumu jitahidi ukae katika milango uwazuie watu wooote wa bidaa na maulidi masufi wasiingie peponi
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Год назад
@@mwalimumwanyongo880 hahaha 😂😂😂😂😂 hiyo kazi hata shetani ana roho mbaya lkn hataiweza
@mwalimumwanyongo880
@mwalimumwanyongo880 Год назад
@@mhusinigau3231 haha 😃😃 ee Si masufi na watu wa maulidi ni makafiri kwahiyo watu wa suna na salafi siku hiyo wakae kwenye milango ya pepo ili masufi wasiingie peponi
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 Год назад
Mtu anatetea bidaah huyu daah, sio vizuri
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Год назад
MASHA ALLAH 🇰🇪 💚 💚💚💚
@mussabaly
@mussabaly 11 месяцев назад
Mzee kazungumza hekima kubwa sana
@mohammedal7864
@mohammedal7864 11 месяцев назад
Sheikh Rusaganya dheheb gani mbona hatumueliwi
@ayoubshaibu8123
@ayoubshaibu8123 Год назад
Chungu cha busara hicho, ALHAMDULILLAH
@swalehmuhsinhassan9413
@swalehmuhsinhassan9413 Год назад
Kumbe hili jamaa sufi. .jitu la twariqa.. doh Allah atuongoze. Hafai kabisa
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Год назад
Haya mnyime Pepo basi km unayo hiyo Pepo ya kumnyimaa.!! Maana watu km nyinyi si mnamiliki Pepo zenu za kuwapa watu na mnamiliki mioto yenu ya kuwaingiza watu haya fanya uwezalo Sasa.!!
@AbubakaryKibendera
@AbubakaryKibendera 11 месяцев назад
Sayyid Abdul qadiry jaylan
@salehothman4723
@salehothman4723 Год назад
Alhmdulillah
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
😢😢 Allahu Akbaru Allah akulipe kheri
@muftiahmadimahmudulemba1918
Wao Maa Shaa Allaahu
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 Год назад
فقد ثبت في الحديث الصحيح أن النبي صلى الله عليه وسلم قال: افترقت اليهود على إحدى وسبعين فرقة، وافترقت النصارى على اثنتين وسبعين فرقة، وستفترق هذه الأمة على ثلاث وسبعين فرقة كلها في النار إلا واحدة، قيل: من هي يا رسول الله؟ قال: من كان على مثل ما أنا عليه وأصحابي
@baarutmazrui5186
@baarutmazrui5186 8 месяцев назад
يقول الله تعالى (ان للمتقين مفازا)
@bellasi349
@bellasi349 Год назад
Ingia bongo fleva utoe nyimbo utoboe maisha😂au kalia kaswida zako ufe masikini kwa kutegemea sadaka
@omariaman7818
@omariaman7818 Год назад
Masheikh wa kisalafi wengi ndo wana maisha magumu sana kwa unafki wa kujifichia kigezo cha sunna
@ikabako2454
@ikabako2454 Год назад
Mngefundishwa vitu vya msingi mngekuwa mbali sana waafrika na watanzania ila mmefundishwa ujinga ambao hauwasaidii kitu katika maisha yenu.
@mohd39789
@mohd39789 Год назад
Ni kweli wangefundishwa vitu vya maana wangekuwa mbali ila walifundishwa upuuzi na bid'aa na kubana pua
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 Год назад
musiwe wajinga uislam haupo kimihemuko toeni dalili zinazoenesha kua maulidi ni bida'a
@ibnqassim7002
@ibnqassim7002 11 месяцев назад
Daaah yaani Kwa kibri kabisa eti Mimi nimepinda tena nimepinda vibaya mwanangu, na haunifanyi lolote🤲 Allaah ndo mwenye kushughulika na watu bida'aa,kibri na matamanio 👍kuonesha makosa ya masheikh si kukosa adabu Bali kutahadhari umma na makosa Yao, kwakuwa wazee wetu walitufunza dini basi eti tusiyarudi maneno Yao ata km walikosa? Kwan wao ni waungu? Huoni unarudi ktk dini za wazee km ambavyo Quran imekuwa ikitutahadhari na jambo hilo....?? Allaah awarehemu wazee wetu wote waliyofanya jitihada mbali mbali ktk kuipambania dini hii tukufu hapa East Africa lakini panapo makosa yafaa kuweka bayana maana ata wao walikuwa ni wanadamu kama sisi
@badmanno.1650
@badmanno.1650 4 месяца назад
Kumbe ummoja wao 😢
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 Год назад
Wew ni shekhi wa mana hizo qasida zote ulizo sisoma ni kweli mi nazijuwaa somaliya ilikuwa hakuna mawahabi watu wote walikuwa watu wa tariqa na walikuwa na karama sasa hakuna ijabaa
@mohd39789
@mohd39789 Год назад
Na ndio maana mnauwana kwasababu ni wapumbavu
@shabanimussa4269
@shabanimussa4269 6 месяцев назад
akusamehe ww mtupu elemu alio Naya shekhe rusaganya inawezekana kwenye ukoo wako wote hakuna hata thelusi yake kwahiyo kinachotakiwa mawahabi mkasome
@fahmymasoud3653
@fahmymasoud3653 Год назад
Masalafi wakwanza mabidaa wakubwa wanafuata na kuamini kila wanalosema wenzao Ila ma sheikh wengine wote hawajui
@salimbaalwy9388
@salimbaalwy9388 Год назад
HONEST IZ THE BEST POLICY... "ENJOY THE RITE FORBID WHAT IZ WRONG"
Далее
TWAISHI KWA REHMA YA MTUME | USTADH SAID SHIRAZY
11:07