Тёмный
No video :(

USTADHI MAZINGE HASHINDWA KUJIBU SWALI LA WASABATO 

SEGEREA ADVENTIST MEDIA
Подписаться 5 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

MJADALA WA IMANI

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 84   
@thekingcr7365
@thekingcr7365 3 года назад
Sababu anajua kuna hizi dini za uongo, kwahiyo tujadiliane nazo. Asante mzee wangu Mazinge.
@sammunialo5463
@sammunialo5463 2 года назад
Mazinge hapa kitumbwaa kiliingia mchanga roho safi. Alijaribu kupindua lugha lakini kashindwa kabisa. Your facial expression says it all.
@abangaabanga4677
@abangaabanga4677 2 месяца назад
Afu watu wanajua uwongo dahhh ati amani iwe nawe inaamaanisha nini?
@mashakanyakusanja6475
@mashakanyakusanja6475 3 года назад
Inshallah prof mazinge umefeli kabisa jibu swali acha ngojera humeshindwa kabisa hahaha
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 11 месяцев назад
Mashaallha mazinge Allha akulinde
@henryhaonga1027
@henryhaonga1027 3 года назад
Inshallah mwenyezi Mungu ajalie injili ifike mbali🤓
@myself4128
@myself4128 2 года назад
waislamu uwa hawajibu swali au Kukubali ukweli wanaruka ruka tuu kukwepa ukweli wanaruka ruka tuu sababu ya mashetani waliyonayo
@saidahmed9688
@saidahmed9688 2 года назад
safi sana
@myself4128
@myself4128 2 года назад
ALLAH HAWEZI KUSEMA UONGO??WAKTI NDIYE MKUU WA WAONGO??Al makhr al makreena baba wa uongo ni Allah! Quran 4:157
@SaleheAmiry-mx1yn
@SaleheAmiry-mx1yn Месяц назад
Acha kukufulu wewe hivi unamjuwa ALLAH au unaongea ushabiki chunga kauli zako
@LIDIAMTEGA-eb9sk
@LIDIAMTEGA-eb9sk 10 месяцев назад
Sasa wew kutajwa wakristo kwenye kuruani ndo ushahid kuwa ndo mna dini sema mda hautosh angejibu vizuri Hadi mngefulai kama ni dini m bona zipo nyingi hata kabla uklisto dini zilikwepo lakin Si za kweli
@cocosnucifera5488
@cocosnucifera5488 3 года назад
MAZINGE kajibu swali ijapokuw hajamaliz ktk kuzungumzia kwsbab y muda na unaona kabsa alivyokua na hamu ya kuendelea kujib. Af nyinyi wakristo msipende kujipa moyo mtaingia motoni bure..wachungaji wenu wameshindw kuleta andiko linalosema Ukristo ni dini af mnawatetea..wanatoa maandiko kweny Quran ambayo hakuna hata moja linalosema Ukristo ni dini.. wachungaji wenu wameulizw maswal kbao wameshindw kujibu Swali: 1.lete andiko linalosema Ukristo ni dini (usipindishe go straight) 2.wakat yesu anasulubiw je injil ilikua inapokelew na nani? 3.Je yesu alisulubiw saa3 au saa6
@sammunialo5463
@sammunialo5463 2 года назад
Fuatilia mdahalo vizuri @cocos nucifera. Acha kujilazimishia elimu ya muskitini hapa kama mazinge. Mwenyekiti wa kiislamu amesema nini baadaya mazinge kumaliza kuongea? Mazinge katapatapa bure tu na kuharibu muda wake kimakusudi, ilimradi akanushe kuwa manabii na dini iliyotangulia sio ya kikristo lakini ikashindikana. Mazinge hata apewe siku nzima hatokubali japokuwa imeandikwa kwenye Quran. Kajaribu kupinda lugha eti 'zilizo.... iliyo.....' kisha tena eti za uongo kama wewe @cocos. Siku ya nyani kufa miti yote huteleza. Mazinge huyo.
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 2 месяца назад
Dini mana yake njia
@user-tl9ig1oz1i
@user-tl9ig1oz1i 2 месяца назад
Kwan dunian kuna dini ngap zilizo mbere yetu kabul ya ukilisito na usilamu
@abangaabanga4677
@abangaabanga4677 2 месяца назад
I find these debates very interesting, mostly how people lie and deceive, I mean look, maandiko yanasema clearly but why do people twist things?
@AlfredMongera
@AlfredMongera 15 дней назад
Mazinge nipo naomba kwa ajili yako saut ya yesu ya upole inakuita polepole urejee katk kweli yake nayo itakuweka huru
@user-rh4ou2kx6h
@user-rh4ou2kx6h 3 года назад
Jamaa hawa ndugu zetu wa kiislamu wanajilazimisha sana kujibu hoja,Mungu aingilie kati waokolewe.
@cocosnucifera5488
@cocosnucifera5488 3 года назад
MAZINGE kajibu swali ijapokuw hajamaliz ktk kuzungumzia kwsbab y muda na unaona kabsa alivyokua na hamu ya kuendelea kujib. Af nyinyi wakristo msipende kujipa moyo mtaingia motoni bure..wachungaji wenu wameshindw kuleta andiko linalosema Ukristo ni dini af mnawatetea..wanatoa maandiko kweny Quran ambayo hakuna hata moja linalosema Ukristo ni dini.. wachungaji wenu wameulizw maswal kbao wameshindw kujibu Swali: 1.lete andiko linalosema Ukristo ni dini (usipindishe go straight) 2.wakat yesu anasulubiw je injil ilikua inapokelew na nani? 3.Je yesu alisulubiw saa3 au saa6
@bestmindcoolingrelaxationm1084
@bestmindcoolingrelaxationm1084 2 года назад
Keep waiting and u will see uislam unavyokua kwa kasi duniani, u choose to close your mind and its u who have to blame not us
@user-hp1im5ek4r
@user-hp1im5ek4r Месяц назад
Umechemka mzeee
@daud8785
@daud8785 3 года назад
Hapo alikamatwa.
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 2 месяца назад
mazinge ana akili finyu anapindisha mambo aende sule kasome
@mussakisoma4369
@mussakisoma4369 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-HO3lWVw_MKc.html Jeuri ya mazinge iliishia hapa!
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 3 года назад
Nilivyo ona Kichwa cha habar nilipata hofu sn sababu sina muda mrefu toka nisilim, nikajua sasa nimepotea, kwl nyie wakristo hamna maskio kbs, maelezo alio toa yana eleweka hta na mtoto mdgo lkn mbal na hlo una ona kbs Shekh alikuwa bado anaendelea kutoa darasa, cjutii kamwe kusilim
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 3 года назад
Umeshaingia kwenye salama kaka uislam ndiyo dini ya hak
@bakarimavura2293
@bakarimavura2293 2 года назад
nakuombea kaka
@pastornongoli4388
@pastornongoli4388 2 года назад
Unajifariji ndugu,
@pastornongoli4388
@pastornongoli4388 2 года назад
Swali na jibu vitu 2
@Excel-Elevation-School
@Excel-Elevation-School 2 года назад
Pole sana kaka Kwa kuslimu.
@swidickrajabu4615
@swidickrajabu4615 3 года назад
Aisee wakiristo hamuna hata skili za kufikiri,ingewatosha tu kwa injili kutoka kwa Allah
@cocosnucifera5488
@cocosnucifera5488 3 года назад
waislam hawajawahi kushindw swali..hakuna andiko kweny biblia kweny Quran linalosema Ukristo ni dini
@andrewkundya7324
@andrewkundya7324 Год назад
Ndio mshajibiwa tayar na kitabu lkn bado mnabisha
@saluten5926
@saluten5926 Год назад
Waislamu wote motoni mana wanamkataa jesus
@jumakutengeza1080
@jumakutengeza1080 Месяц назад
Wakristo ndo wanamkataa Yesu, maana ametoa maelekezo lakini hamfuati Luka 4:8 (KJV) Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake. Kama kweli mnamfuata Yesu na amefundisha hivi, mbona hamtak kusujudu?
@mwambiretv9092
@mwambiretv9092 Год назад
Hii nayo Mazinge alilemewa
@HisakaOtenyo
@HisakaOtenyo 5 месяцев назад
Jibu swali
@mussakamando2678
@mussakamando2678 3 года назад
Kashindwa kivipi?
@amblozambloz8812
@amblozambloz8812 2 года назад
Waislam jina ukristo mlitoa wapi juu nyinyi ndio mnauliza maswali ya kitoto
@daud8785
@daud8785 3 года назад
🤣🤣🤣😁😁😁
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 3 года назад
YESU NJIA YA KWELI NA UZIMA
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 года назад
Hiki kipande Kwenye Chaneli Za RU-vid za Waislam Hawakiweki Nimefatilia Chaneli zote za Kwao wanaweka vipande vingine Ila hiki wanakikata
@elianestory5159
@elianestory5159 3 года назад
Hawawezi kukiweka hicho
@thekingcr7365
@thekingcr7365 3 года назад
Mbona kimewekwa!! We kagua Channel ya Saimu gwao tv Online kipo.
@cocosnucifera5488
@cocosnucifera5488 3 года назад
Kagua saimu gwao online utakikuta
@cocosnucifera5488
@cocosnucifera5488 3 года назад
MAZINGE kajibu swali ijapokuw hajamaliz ktk kuzungumzia kwsbab y muda na unaona kabsa alivyokua na hamu ya kuendelea kujib. Af nyinyi wakristo msipende kujipa moyo mtaingia motoni bure..wachungaji wenu wameshindw kuleta andiko linalosema Ukristo ni dini af mnawatetea..wanatoa maandiko kweny Quran ambayo hakuna hata moja linalosema Ukristo ni dini.. wachungaji wenu wameulizw maswal kbao wameshindw kujibu Swali: 1.lete andiko linalosema Ukristo ni dini (usipindishe go straight) 2.wakat yesu anasulubiw je injil ilikua inapokelew na nani? 3.Je yesu alisulubiw saa3 au saa6
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 года назад
@@cocosnucifera5488 Duuuh!! Rafiki Maneno ya Yesu ndio injili Matukio Yoote aliyoyatenda Yesu ni Injili Soma Marko 1:1 Marko analopoti anasema Mwanzo wa Injili ya Yesu mwana wa Mungu, matukio Yoote aliyotenda Yesu yameandikwa Na Wale maswahaba Wake ndio walioandika, Ukristo ni ile hali ya Mkristo Kuenenda sawa sawa kile alichofundisha Yesu na Kuagiza Kitendeke, nisawa Usema Uislam nini uislam ni ile hali ya Muislam kuenenda sawa sawa na Kile kilichoandikwa ndani ya Qurani sawa sawa na Mafundisho, Kama Huelewe Soma Qurani 5:47 harafu pia naomba unisaide Aya iwe ndani ya Biblia au ndani ya Qurani Ishmaeli na kizazi chake Waliwahi kumuabudu Mungu wa baba Yao Ibrahimu maana Ahadi ya Mungu ni kwa isaka na kizazi Chake na sio Ishmael Mungu hajawahi kua na nabii au Mtume Mwarabu Soma Biblia nzima au Qurani Yoote uniambie Kama Ishmael na kizazi chake waliwahi kumuabudu Mungu Ishmael ndio Baba wawarabu Woote
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 2 года назад
Ukristo n dini
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 2 года назад
Wap imeandikwa🤣
@uwezahalisidominick4215
@uwezahalisidominick4215 Год назад
Yesu ashawah kusema kama ukiristo dini?
@ikwabeinjilitv9758
@ikwabeinjilitv9758 3 года назад
Kwel jamaa Alibanwa mbavu hapo, hachomoki
@collinsmwanza8639
@collinsmwanza8639 3 года назад
Dawa yako ni dacha tarehe tano kitaeleweka
@mohdkhamis4558
@mohdkhamis4558 2 года назад
Ww usikufur hutumpi mazing huy huy tunmpa shafi tu
@mohdkhamis4558
@mohdkhamis4558 2 года назад
Ww usikufur hutumpi mazing huy huy tunmpa shafi tu
@amblozambloz8812
@amblozambloz8812 2 года назад
Mazinge katoroka ndacha kaenda kujipiga kifua vichorochoroni pwani
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 3 года назад
mazinge ni mtu mzima lakini anaamua kufa na ukafiri wa waarabu ni wakati sasa arudi kwa Mungu wa kweli Yesu atampa maarifa ya Mungu wa kweli aijue injili aache kurukaruka kwenye mimmbari. sasa unajibu kila swali ukifikiri ndio umaarufu na hekima kumbe si swali linajibiwa unajipalia mkaa. swali rahisi tu unapotea kwa kuwa unataka kupotosha ukweli.
@danielernest8588
@danielernest8588 3 года назад
kweli kabisa
@thekingcr7365
@thekingcr7365 3 года назад
Duuh!! Kwakweli wakristo ni wagumu kuelewa. Paka hapo bado mnamponda mazinge tu?
@cocosnucifera5488
@cocosnucifera5488 3 года назад
Wakristo mnamatatzo..waislam hawajawahi kushindw swali..hakuna andiko kweny biblia kweny Quran linalosema Ukristo ni dini
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 3 года назад
@@cocosnucifera5488 hivi unaelewa kweli wewe ama umeshalogwa kama mtume wako. hakuna hoja muislam anajibu kama inavyotakiwa. na hii ni kwa kuwa akili za anayeitwa profesa ni ujinga wa mtume.
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 3 года назад
@@cocosnucifera5488 mazinge alifikiri sauti ndio hoja anatumia sauti kubwa majibu hana. yaani wewe na akili zako zote hayo aliyojibu huyo mazinge mmeona ni majibu. sasa kama hayo kwenu ni majibu mnafikiri kuna muislam mwenye akili kweli?
Далее
DEBATE: SABATO NI UOVU ISAYA 1:13 PROF:MAZINGE
8:53
Просмотров 22 тыс.
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 18 млн
MDAHALO WASLAMU WASHINDWA KUTETE IJUMA
27:13
Просмотров 822 тыс.