Тёмный

USTADHI MBOGO ATOA SOMO KWA USTADHI SHAFII KUHUSU KUTUMIA MAJINI, AMPAMBA DR SULLE 

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Подписаться 224 тыс.
Просмотров 2 тыс.
50% 1

SULEIMAN MBOGO AWAELIMISHA WATU KUHUSU MAJINI WEMA NA MAJINI WABAYA NA KUAMUA KUMUONYESHA USTADHI SHAFII KWAMBA ANACHOKOSA NI ELIMU

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 3 месяца назад
Sheikh mbogo ana maarifa mengi sana mashaallaa
@KipkorirDennis-z7g
@KipkorirDennis-z7g 3 месяца назад
Asante shehe kwa kukubaliana na ndacha,
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 3 месяца назад
Aaafu anatokea mtu anaamkana Yesu Kristo anahamia dini za ajabu ajabu. Asante sana Shekhe.
@otaibonny8835
@otaibonny8835 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 месяца назад
Dini zote duniani ni miyeyusho tu
@QWARIDAMassay
@QWARIDAMassay 3 месяца назад
Poleeeeni sana waislaaaaam
@QWARIDAMassay
@QWARIDAMassay 3 месяца назад
C kila biblia ni biblia....tunataka original Bible c zilizochakachuliwa
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 3 месяца назад
@@QWARIDAMassay Kwani Torati original ya kwenu mliipeleka wapi? Tuanzie hapo kwanza
@SaxidyMud-gd4bq
@SaxidyMud-gd4bq 3 месяца назад
Mkihitilafiana katika dini rudini kwenye qurani na sunna za mtume Hatukuambiwa turudi kwenye vitabu vya wanachuoni Shafii anajua sana Hoja zinaeleweka We unaruka ruka shekhe mbogo Hata iyo ya kumjua jini mwema Mtume hakusema mkiwajua wema shirikianeni nao Acheni kupotosha umma wa kiislamu 💪💪💪
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 месяца назад
Nendeni mkaulize kwa watu wa kitabu
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 3 месяца назад
Biblia inakubali mungu wao kamtuma pepo 2maMbo ya nyakati 18- 20 1wafalme22-21
@Mukhtar-cs6bd
@Mukhtar-cs6bd 3 месяца назад
We unamjua njoka vzr? Black mamba anasemeshwa
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 месяца назад
Msitumie vitabu za mawahabi kila mkitaka kudhibitisha mambo, kwani masufi hamna vitabu zenu na wanazuoni wenu
@Thabitilubunani
@Thabitilubunani 3 месяца назад
Umeulizwa unatafautishaje jini na michawi unababaisha babisha tu
@athumanimashingo6306
@athumanimashingo6306 3 месяца назад
Yani huyu mweupe sana! Elim yake ndogo naskini, eti nae shee!
@Thabitilubunani
@Thabitilubunani 3 месяца назад
Kasome acha kubabaisha na unajiupa ushkhe
@muhiddinmlawa6418
@muhiddinmlawa6418 2 месяца назад
Samahani Shekhe ni Siku tatu au Mara tatu???
@abdulkarimfarah2336
@abdulkarimfarah2336 3 месяца назад
Mbogo na sule washirikina wakubwa kasomeeni dini kutumia majini ni ushirikina
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 3 месяца назад
Tunachoitaji ni aya au hadithi ya mtume inayo thibitisha tunasali na majini
@mbalilax162
@mbalilax162 3 месяца назад
Uislamu unachekesha sana...hahahaa, jamani!!!
@salisali3738
@salisali3738 3 месяца назад
Yaaani huyu mtu una soma kwa tabu sana hiyo tu yaonyesha bado huna elimu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 месяца назад
Hakuna takbira wakati wa kuzika, ni kizushi tu
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 3 месяца назад
wanatia kiyatu wenyewe!
@mwinyidullailovetheprogram7404
@mwinyidullailovetheprogram7404 3 месяца назад
Mmh kwani kuna takbira za kwenda kuzikia??? Sijaziskia mmi hebu nipeni elimu juu ya hili jambo
@Mukhtar-cs6bd
@Mukhtar-cs6bd 3 месяца назад
Hi nja mbaya jamani.huyu ananjaa sana
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 3 месяца назад
Njaa ya chakula au😅
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 месяца назад
Kama kosa lako liko mtandaoni lazima hata wewe ukosikowe mtandaoni
@dullahmwamba9352
@dullahmwamba9352 3 месяца назад
Kama una video onyesha acha unafki
@salisali3738
@salisali3738 3 месяца назад
Mbogo atupishe hata kusoma kwa lugha ya kiarabu hujuii na ume tafsiri sivyo nenda kujifunza bado sana ww
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 3 месяца назад
Ndacha hamuwezi shafii hata ndotoni kama hoja ni mapepo wasafi na wachafu wapo vitabu vyote qurani na biblia
@IdrissaMoussa-tx7jy
@IdrissaMoussa-tx7jy 3 месяца назад
Mbogo ugakosea sana.
@mwoso
@mwoso 3 месяца назад
Sule amefichua siri ambayo waisilamu walikua hawakubali kukiri hapo awali.
@salisali3738
@salisali3738 3 месяца назад
Mbogo punguza sifaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@Ismailmusa-y6b
@Ismailmusa-y6b 3 месяца назад
Sheikh unachokisema ni kuidharirisha dini ya Allah,unafanya waislam tutukanwe na wasio kuwa waislam na kuwakatisha tamaa walio taka kuslim kwa kusema sisi ni washirikina
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 3 месяца назад
Kwahiyo unataka aongee uongo Ili akuridhishe? Yeye anaongea ukweli kulingana na kitabu chenu cha dini(Quran).Yeye si wa kwanza kusema haya na wala hatakua mtu wa mwisho. Shida nyie waumini wa kawaida hiyo elimu ya ushirikina mmefichwa. Hata misikitini hamfundishwi hii ni Siri ya Mashekhe tu. We endelea kupiga Taqbiri.
@salisali3738
@salisali3738 3 месяца назад
Yaaani mbogo ktk watu vibaraka na waongo ww una ongoza loo
@salisali3738
@salisali3738 3 месяца назад
Mbogo acha uongo yatosha tu una ongea kwa nguvu ili uaminishe watu na punguza kuwa kibaraka
@IdrissaMoussa-tx7jy
@IdrissaMoussa-tx7jy 3 месяца назад
Mbogo iyo ninja,acha nja dini ya Islam siyo kushilikiana na majini.acha nja.
Далее
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 7 млн
NIPASHE WIKENDI - OCTOBER 13, 2024
29:55
Просмотров 43 тыс.
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51