Masha Allah Allah akulipe kher sheikh wangu🤲🤲🤲😍😍😍😍😍أّللَهّــــــمً صَلِّ وسَـــلَِّـم وبَارِڪ على نبينا مـُحَـمـَّـــدٍ وعلى ألهِ وِصحبِــــهِ أّجِمَعيـــنﷺِ
Mashaalla mashaalla tabaraka rahman Allah akuzidishie umri mrefu wenye kheri na Baraka uzidi kutuzindua na kutukumbusha Yale yote aliyotuamrisha Mola wetu kuyatekeleza na kuyaacha yale yote aliyotukataza inshaalla wajazakahu lkheir
Masha Allah Allah Akupe Kilalakher Akuepushie Shari n mahasidi Alafu kheykh Othman Maalim kuna kisa cha Dhurkarnayni Nataka Nikisikie kwa Sauti yako kusimulia na kisa cha juja maajuja Please sheykh Mimi mawaidha yako nayapenda sana ❤😢❤❤
Mm nakupndakwanza hakuna shekhe ata mmoja anaekufikia kwa kutoa visa maan unakitoa kisa km uliekuwepo vile na tukiskiliza tunafarijika San tunaon unatusimulia km uliekuwepo kwenye ile historia ya kitu au ya mtu na nakumbuka tangu Niko kigori mama alinisifia kuwa wew ni shekhe mzur wa visa unavitoa km uliekuwepo mashaallahu AllahuAkbar Allah akujaalie maisha marefu uwepo uzidi kututolea visa na historia za mitume ukijaukiondoka wew hatutopata shekh mwengine Zaid Yako hakuna hakuna na siku zote kit kinapoondok hakiji tena km kile kilichokuwepo