Тёмный

UTAPENDA MAISHA HALISHI YA MUHOGO MCHUNGU UTACHEKA MAJIBU YAKE 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 117 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 окт 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 124   
@eppiemodest
@eppiemodest 2 года назад
Mzee Muhogo mchungu kwa mara kwanza nilimwona live kariakoo duka fulani la Waarabu. Kavaa ovyo tu kwani mkewe hamtunzi mmewe kuwa nadhifu maana ni kioo cha jamii. Hata hapo kwenye hafla hajawa smati. Pole M.Mchungu.
@purityneema218
@purityneema218 2 года назад
Aki Mzee mhogo mchungu wafurahisha sana mungu akulinde babaa
@shamzone388
@shamzone388 2 года назад
Nimempenda sana huyu mzee najibu automatic
@mannabu9333
@mannabu9333 2 года назад
Safi sana mzee majibu konkiii 👏👏👏
@paulkaruma8480
@paulkaruma8480 2 года назад
😂🤣Uyu mzee majina yake yanaweza kutoshea yote kwa kadi ya kitambulisho cha Tanzania kweli . Pengine atengenezewe passport lefu ili majina yake yote yatosheye . Daa zaidi 😂🤣💪👊booom
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 2 года назад
Sijazaa mm Anaezaa ni Mkewangu 🤣🤣🤣🤣 Majibu Konkii mwaga mboga nimwage Ugalii"
@meekman1805
@meekman1805 2 года назад
Dah! Kweli huyu Muhogo mchungu.😀😁
@muscatinternational4041
@muscatinternational4041 2 года назад
Key nakukubali sana unakipaji mashallah sema nakushauri jiweke smart upo lafu sana ilo shat limepauka nakushauri tu cz nakupenda kama nimekosea nisameheni
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 2 года назад
😂😂😂😂 ujuemb umefka
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 2 года назад
😅😅😅
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 2 года назад
Utamaduni wawa TANZANIA unapotea yaani baadhi ya waandishi hawawasalimii wakubwa zao kama ilivyo desturi umamsikia mtu anamwambia mkubwa wakr heshima yako ndio salamu gani sikama baba yako huyu mzee ukimwamkia utakatika ulimi
@twinssauditwinssaudi7248
@twinssauditwinssaudi7248 2 года назад
Mziwanda umepatikana leo 😄🤣😂
@dianamashallah3191
@dianamashallah3191 2 года назад
Diana mashallah
@halimamnyati9311
@halimamnyati9311 2 года назад
Nishida mzee mchungu majibu makalu mnoooooo
@jumasaidi8157
@jumasaidi8157 2 года назад
Kweli makolo shida. Neno ghafla limemshinda kutamka mpaka anasema ghalafu😂😂😂😂
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 2 года назад
Mziwanda hujajua kuuliza maswali kwa mtu mzima na vijana hembu jaribu kuuliza vizuri na sio heshima yako salimia.kwa heshima kwani shikamoo ni ushamba?
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Hapo sasa
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 2 года назад
K mziwanda leo umepatikana
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 2 года назад
Mtangazaji na mhogomchungu kimeumana 😂😂😂😂mana sikwamajibizanohao 🤣
@sarahmaganga9734
@sarahmaganga9734 2 года назад
Aliyesikia mtangazaji akisema halfa badala ya hafla gonga like 😁😁
@Mimy_keys
@Mimy_keys 2 года назад
Huyu Dada aisee sijawahi elewa kazi yake 😏🙄
@davidthegreat7779
@davidthegreat7779 2 года назад
Mzee muhogo amejaza hekima kweli.
@issaissah8832
@issaissah8832 2 года назад
Oya mzuanda JIFUNZE maswali ya kuwa uliza watu wazima Kama hao
@kainimlowe7555
@kainimlowe7555 2 года назад
hawa wasanii wapongezwe maana wametuburudisha sana miaka mingi
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
hajzaa kazaa mkeo 🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 2 года назад
Kimeumana Leo hayo majibu tu 😂 😂😂😂
@aminaibrahim4148
@aminaibrahim4148 2 года назад
Safi sana mzee muogo majibu yako mazur
@eppiemodest
@eppiemodest 2 года назад
Mbona mkali mzee Muhogo mchungu. Hasira kwa uwingi.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Safi sana Muhogo mchungu
@rosestephano7657
@rosestephano7657 2 года назад
Saaafii Sana mzee muogo
@seifmbembe95
@seifmbembe95 2 года назад
Tatizo la baadhi ya waandishi wa habari hawajipangi kumuuliza mtu maswali inaelekea wanakupuka na cjui kama wamepitia kwenye chuo cha uandishi wa habari kama huyu hajui jinsi yakumuuliza mtu
@halemmmbarak16
@halemmmbarak16 2 года назад
Mziwanda leo umezidiwa lugha😀😀
@jafarbweyegwa9840
@jafarbweyegwa9840 2 года назад
Mzee we unawaweza wandish. Congore kwKo
@mkudembeteni7667
@mkudembeteni7667 2 года назад
Majibu konki !!!! nahisi Mzee kalazimishwa kuhojiwa!!!!
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 2 года назад
🤪Nziwanda Leo kazi unayo hutoshi hapo 🤣
@hamadrashid8065
@hamadrashid8065 Год назад
Nakubali mzee
@eliudtibanimunguwidsoni4290
@eliudtibanimunguwidsoni4290 2 года назад
Uko.vizuri
@oliviershadrack1620
@oliviershadrack1620 2 года назад
Nakupenda Mzee
@user-vm7pz3sq8l
@user-vm7pz3sq8l 10 месяцев назад
Muzee mhogo mchungu nimhuni aliezeeka
@omarimaftah-wu5zb
@omarimaftah-wu5zb 9 месяцев назад
Tatizo mwanamke huyu mchaga kiswahili kiswahili sio asili yako ndio mana intervew inakua ngumu mno
@Mimy_keys
@Mimy_keys 2 года назад
Yaani huyu Dada sijawahi muelewa Kbsa sijuwi ana maswali gani,, Eneo waliopo na Maswali yake haviendani kbs 🙄😏
@mustaphahassan8407
@mustaphahassan8407 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 dah huyu mnzee hafai
@massoudsultan3926
@massoudsultan3926 2 года назад
Majibu KAMA ameanguka PUNDA
@hamzaforogo
@hamzaforogo 2 года назад
Hahahahahahahaha muhogo mchungu chizi kwelikweli
@MaryChibwana
@MaryChibwana 2 года назад
Mwandishi Rudi shule hujui kuendesha mahojiano.
@mdungially2342
@mdungially2342 2 года назад
Apo c kwenye maisha yake halis ila umemkuta tu kwenye sherehe ungemfata nyumban kwake tukakuona kulivyo
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Yn mie ngachoka
@levinamwanakulya9379
@levinamwanakulya9379 2 года назад
Ni kweli angekuepo kanumba solo la filami lingefika mbali
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 2 года назад
😂😂😂😂leo umepatikana
@bekabakari7394
@bekabakari7394 2 года назад
Me here au kengele? Kiswahili kinapotea
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 года назад
huyu jamaa mbona yupo kimya siku hizi
@dicksonmagabe5194
@dicksonmagabe5194 2 года назад
Sawa
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 2 года назад
Namkubali
@levinamwanakulya9379
@levinamwanakulya9379 2 года назад
Kanumba kaondoka na bongo movie
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 года назад
Mbengo mnachosha kila saa mkifanya interview lazima mlinganishe mondi na harmonize
@amojj858
@amojj858 2 года назад
That's fuct
@yunusumohammedi8576
@yunusumohammedi8576 2 года назад
Mzee kumbe yupo
@timilaishemalamba3058
@timilaishemalamba3058 2 года назад
Maisha halisi ya MTU sio kuhojiwa kwenye ukumbi nijuavyo Mimi,maisha halisi ni kuwa yuko nyumbani mnaona maisha anayoishi na kama ana miradi mnaiona sasa uko kutuambia maisha halisi ya msanii alafu atuoni anapoish,mnafeli wapi watangazaji
@abdallahpesa1456
@abdallahpesa1456 2 года назад
Hiyo ndio najiuliza kila siku, wanacho andika na wanachohoji ni tofauti
@timilaishemalamba3058
@timilaishemalamba3058 2 года назад
@@abdallahpesa1456 au wanaona ndo watatzamwa sana
@yobothegreat8207
@yobothegreat8207 2 года назад
Waandish wa habr wa sk hz wapuuzi kwel unataka ujue nyumba zake za nn?? Unamhusianisha na diamond wa nn Ujinga mttup
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 2 года назад
Muhogo mchungu jeuri balaaa ruvuma oyeeee
@aliyshemhiru746
@aliyshemhiru746 2 года назад
Muongo mkubwa wew
@halimaomar2986
@halimaomar2986 2 года назад
😁😁😁😁sijajua..nitafanya utafiti
@munatwalib2808
@munatwalib2808 2 года назад
Hahaha alhumhum
@zahorsalum663
@zahorsalum663 2 года назад
Baada yamajuto nakukubali sn baba.
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 2 года назад
Masweli ya kisenge kweli Yan mnalinganisha wasanii wamaigizo namziki ndonn
@jumasaidi8157
@jumasaidi8157 2 года назад
Kwenye hii ghalufa. 😂😂😂😂
@harunimwanawima7851
@harunimwanawima7851 2 года назад
Eti mnaonyesha mjengo
@aminamjema2470
@aminamjema2470 2 года назад
Ila maswalli mengine kolable wakat hajawah. Kuimba
@uledihassan6065
@uledihassan6065 2 года назад
Hajielewi huyu mzer
@ramadhanmohd2097
@ramadhanmohd2097 2 года назад
Muhogo msanii Mtangazsji msanii Ngoma suluhu
@purityneema218
@purityneema218 2 года назад
🤣🤣🤣🤣 jamani majina ayo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Hautarudia tena wewe 😂😂
@rashidjuma1969
@rashidjuma1969 2 года назад
Yani huyu jamaa si mchezo anaakili sana licha yakua amezeeka
@abdallahabubakar688
@abdallahabubakar688 2 года назад
Tatizo nikwamba hizo picha za nyumba sio za hao walengwa tunaomba utuoneshe halisi
@eppiemodest
@eppiemodest 2 года назад
Msamiati kwa uwingiiiii hadi kupotosha.
@nyamizimpangule8640
@nyamizimpangule8640 2 года назад
Kweli majina konki
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 2 года назад
Sio Alfa ni Hafla
@allywilson4155
@allywilson4155 2 года назад
Watangazaji wengi wa sasa mnatakiwa umkajifunze kuoji maswali
@felisternselu6287
@felisternselu6287 2 года назад
Hatar
@huldamichael4445
@huldamichael4445 2 года назад
"Halfa" au "hafla"??!! Hahahahaaaaaa
@khamismtoma4902
@khamismtoma4902 2 года назад
Hapo na maisha Harris añaishi ukumbin et
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Ndy eti 😂😂
@faidamashala6874
@faidamashala6874 2 года назад
Mzee mtata hatar sana
@nyapolasuleiman3485
@nyapolasuleiman3485 2 года назад
Sasa huyu sio Mtangazaji...anahoji bila content kabisaa
@hassanmasoud8167
@hassanmasoud8167 2 года назад
Akiwa na Nyumba hiyo nakunya hap hadi mkoani
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Nmecheka na hy majb na sura yk kavu
@abrahamumusa2229
@abrahamumusa2229 2 года назад
Inapendeza
@khalfanjuma7678
@khalfanjuma7678 2 года назад
Muhogo mchungu kwa nyanya
@frankgeorgemadiwa4855
@frankgeorgemadiwa4855 4 месяца назад
Halfa au Hafla?
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 года назад
Kwenye Halfa huna sumu
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 2 года назад
Leo umekamatika😅😅mpaka umekosa pouzzz hauridii tena kumhoj🤣🤣
@rukaiyaahmadsuleiman3951
@rukaiyaahmadsuleiman3951 2 года назад
😂😂😂😂😂
@ashaali7154
@ashaali7154 2 года назад
Hafla dada sio halfa.
@fortunatahulilo8411
@fortunatahulilo8411 2 года назад
Mtangazaji sio alfa ni hafla
@MaryChibwana
@MaryChibwana 2 года назад
Ni hafla sio halfa. Wewe vipi!!
@xamael1989
@xamael1989 2 года назад
Haka tomboy kachoko sana
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 года назад
kumamako
@ahmedalhashmy6445
@ahmedalhashmy6445 2 года назад
😅😅😅😅
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Huyo muhogo mchungu atoe hizo ndevu ziko kama uchafu maana hazihudumii zinaonekana kama uchafu
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 2 года назад
Kivipi my
@rikekikonyo2265
@rikekikonyo2265 2 года назад
Nyie mnataka ndevu zake au kazi zake??
@abdallahmakombo3866
@abdallahmakombo3866 2 года назад
Ongeza bidii ya kufikiri , tafadhali
@petersynto2043
@petersynto2043 Год назад
Umenichekesha wewe jamaa
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Hizo nyumba munazo zituma za waingizaji au mwatuma tu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Wanataka view 😏
@saudahuseni3714
@saudahuseni3714 2 года назад
nimemkubar muhogo mchungu
@sahachi397
@sahachi397 2 года назад
Mzee kachanganyikiwa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Kachanganyikiwa kivipi
@kaylaassiah9461
@kaylaassiah9461 2 года назад
Hahahaha hihihihi
@sakinat2527
@sakinat2527 2 года назад
😀😀😀😀😀 htr na nusu mzee mchungu
@kimggiy3540
@kimggiy3540 2 года назад
Mzungu huyu amzimia diamond ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-zcjWqCFgGhM.html
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 года назад
😃😃😃😃
@georgebundala1915
@georgebundala1915 2 года назад
UPO VIZURI@MUHOGO MCHUNGU
@kondegangmusic5866
@kondegangmusic5866 2 года назад
Diamond platnumz kazimia kwenye show 😢😢ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-e_uV56dLtMI.html
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 года назад
kwakwer kwenye gugo ata miee mwalimu wangu walah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Далее
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Недооцененный котел в Симс 4
00:37
UTAPENDA CHIEF GODLOVE ALIVYO GAWA PESA KWA HUYU BIBI
25:28
MJOMBA MASTER
1:02:34
Просмотров 18 тыс.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40