Тёмный

Utapenda simulizi hii ya Mwana FA kuhusu wimbo wake Mabinti 

Dizzim Online
Подписаться 768 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Mabinti ni moja ya nyimbo za Mwana FA bora zaidi za muda wote. Kwenye Chill na Sky, FA alielezea mambo kibao kuhusu wimbo huo ambayo mengi hujawahi kuyasikia

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@Hector-cq9dt
@Hector-cq9dt 5 лет назад
huyu jamaa nibonge la Presenter..anauliza maswali magumu na anatumia akili nyingi na pia amefanya research kwa vitu anavyouliza BIG UP bro..
@fauziashabibu1467
@fauziashabibu1467 Год назад
Yaani nyimbo mabinti imeimbwa mimi bado sjazaliwa jaman sasa nimekuwa nimemkuta mwana fa bado kijana
@rashid0mar181
@rashid0mar181 5 лет назад
Dah we need dis kind of artist for sure
@emiliolucca9224
@emiliolucca9224 3 года назад
instaBlaster...
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 лет назад
Nakukubali sana Baba *MARIKA* Nyimbo zako zote azichuji.
@abdulbakari4122
@abdulbakari4122 6 лет назад
Mshairi wng bora wa mda wote
@anthonyemanuel8614
@anthonyemanuel8614 Год назад
Musically you are the real philosopher Usiache music kaka Tunakusikiliza
@athmanrajab7740
@athmanrajab7740 5 лет назад
Bro I salute you
@jacobhunter2593
@jacobhunter2593 6 лет назад
Mtu mzma uyo lazma ujiume ulimi. ...hebu skia hawa mabinti ni waajabu sana. Na ma mc je.
@allytauka8196
@allytauka8196 6 лет назад
fa ni sawa na akina diamond wote
@peter1018ful
@peter1018ful 6 лет назад
camera-man play with camera precisely...anaongea FA camera ipo kwa mtangazaj
@Manfilly
@Manfilly 6 лет назад
Huyu jamaa ni sayari nyingine
@rashid0mar181
@rashid0mar181 5 лет назад
genius yani uongeaji tu unamtofautisha na wasanii wengi hababaiki kabisa
@mohamedsalum8343
@mohamedsalum8343 5 лет назад
Msanii wangu mm Bora duniani sijawahi kuona au kusikia kitu kibaya kutoka kwake
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 5 лет назад
Watu Wenye Akili #MWANA FA
@lilakhhassan6896
@lilakhhassan6896 5 лет назад
Hamis akiwa kwenye interview hakiamumungu burudani sana nina kisema amelelewa vizuri ana adabu
@jamesm.darnes640
@jamesm.darnes640 6 лет назад
Huyu jamaa akili yake watu 10000
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 5 лет назад
Miriam ikoa unaweza utangaze ndoa ....umemsahau
@geofreymdemu1938
@geofreymdemu1938 Год назад
Ukiacha ya kuwa presenter mzuri, Sky walker ni mkali pia DJ mkali sana!!
@mwinjumasaid5596
@mwinjumasaid5596 Год назад
Pia ni muimbaji
@famousbox9525
@famousbox9525 6 лет назад
huyu jamaa hata aimbe mavi nasupport tu 😂😂😂😂😂😂yani anything aisee
@janetrevocatus9586
@janetrevocatus9586 6 лет назад
Busara na hekima zinakuweka kuwa tofauti na wengine uko juu
@neemathomas3163
@neemathomas3163 6 лет назад
😂😂😂😂😂
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 лет назад
Me too
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 9 месяцев назад
Mwana fa: Kila Kitabu na zama zake!
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 лет назад
Nice
@mfaumeramadhani4772
@mfaumeramadhani4772 6 лет назад
Ww fundi fa
@kagirasta1476
@kagirasta1476 2 года назад
Kibibi Bendera
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 3 года назад
Hujaelezea wimbo wako unahusiana vipi na Kama Unataka Dem wa JayMo? Maana nasikia ulikuwa ushirikishwe na JayMo kwenye wimbo wake wewe ukaibuka na wako😂😂😂. Ila cha kushukuru Mungu zote zilikuwa hit
@kimaisinguly319
@kimaisinguly319 Год назад
Binamuuuuuuuuuih
@EllyMtulumpu
@EllyMtulumpu Месяц назад
Nawewe kumbe iyo uliinyaka! Walitengeneza bifu zito na jay mo!
Далее
Тренд Котик по очереди
00:10
Просмотров 335 тыс.
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56
БЫСТРАЯ сборка ПК - от А до Я!
00:22
Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
28:34
Просмотров 202 тыс.
MWANA FA FT LADY JAYDEE ALIKUFA KWA NGOMA
8:51
Просмотров 222 тыс.
Mwana FA Nitachagua kufa mimi ila sio mke wangu
19:15
Тренд Котик по очереди
00:10
Просмотров 335 тыс.