Тёмный

THE CLASSIC AY PT 1 :SIR NATURE ALINISAIDIA KUPATA NAFAS KWA P FUNK/NINA TUNZO ZAIDI YA 30 /COMPLEX 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Masta Ay ni msanii mwenye mafaniko makubwa katika ukanda wa Afrika ya mashariki na kati,ameweza kufanya vzuri katika nchi mbali mbali za Africa,aliweza kutoka na kufanya collabo kubwa kimataifa katika wakati ambao haikua rahisi kuweza kufanikisha,Ay ameshinda awards zaidi ya 30 za ndani na kimataifa,hii ni sehemu ya kwanza ya maongezi yetu kupitia The Classic.
#Ay #efmtanzania #jabirsaleh

Опубликовано:

 

26 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 5 месяцев назад
Ambwene yesaya,,,on fire ,,hongera manjizo ,studio sound iko powa sana utulivu wa hari ya juu
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 5 месяцев назад
* Fid Q - the most intelligent with highest IQ and overall the greatest bongo hip hop artist of all times. * King Crazy GK - the greatest bongo hip hop visionary, who initially wanted to take bongo musics to the highest level, and one of the best rappers. * AY - the greatest bongo hardcore punch line real hip hop rapper of all times. * Prof Jay - the most credible and consistent bongo rapper of all times. * Kalapina - the greatest panafricanist and revolutionary bongo rapper of all times. * Ngwear - the most flexible bongo rapper, who could fit in all rap styles, of all times. * P Funk - the godfather and Alfa & Omega of bongo music followed by Master J. Much respect and love from Congo🇨🇩✊🏾
@AMwamzola
@AMwamzola Месяц назад
Safi yoo it's good song
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 месяцев назад
Wasanii wa zamani wanajua sana kufanya interview
@salaita2829
@salaita2829 5 месяцев назад
Wengi wao walikuwa wanatoka kwenye jamii zinazojielewa
@sultanmsoloni8635
@sultanmsoloni8635 5 месяцев назад
Weng walienda shule
@ObaMizo-oc1wq
@ObaMizo-oc1wq 5 месяцев назад
Ay yupo fear sana hana majigambo saf
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 5 месяцев назад
Masta mnyama sanaaaaaaàaaaa,watangazaji wote wanyama sana Pamoja sana Big Bonge nakukubali aana
@stevewanga957
@stevewanga957 5 месяцев назад
Watching from 🇧🇭🇧🇭...jamaa wako na discipline saana
@AMwamzola
@AMwamzola Месяц назад
Raha tu ay my nigga i like this song it's my favorite song
@giftmeela6250
@giftmeela6250 5 месяцев назад
Nadhani AY ndo msanii wakwanza kuipeleka bongo flava international 🔥 angekua ulaya angeshajengewa sanamu lake pale posta. Respect to you brother AY.
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 5 месяцев назад
Wakwanza Mr nice wa pili ay mzee
@juliuselifasi8858
@juliuselifasi8858 5 месяцев назад
Uko sahihi offsaa
@CyprianMziba
@CyprianMziba 5 месяцев назад
Nadhani aendelee na muziki zaidi na zaidi itapendeza sana
@nyambwirasam5896
@nyambwirasam5896 5 месяцев назад
Juma nature mpaka kushindania tuzo America na kina 2 face Idibia sema manager fela alizingua jamaa hakwenda na tuzo ya pil south Africa na goma la mugambo na akashinda. Marekani ilikuwa wimbo wa Dance with.Labda useme Ay alikuwa wa kwanza kufany nyimbo na waamerica na wakamjua uko. Ila nature alitoboa yy kama yy.
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 22 часа назад
​@@mbenamdudu7856 unaujua muziki huu mpaka umpe heshima hiyo mr Nice??? Hatutaji kwa mapenzi ndg,harakati za AY na marehemu Complex unazijua?? Kitambo saana kabla ya hao waimba mahovyohovyo hawajaanza
@AMwamzola
@AMwamzola Месяц назад
I was repeated that song for manytime
@ikabako2454
@ikabako2454 5 месяцев назад
Ay ! Master ! Genius !
@sifakalu5811
@sifakalu5811 5 месяцев назад
Kingine the radio presenter n mtu mwenye anajua music sanaa.. tumpe mauwa yake jamaa
@xaverisunday699
@xaverisunday699 5 месяцев назад
#aboi_4rm_makambako OVAAAA ay mzee wa komesho
@MohamedTuga-dn9su
@MohamedTuga-dn9su 5 месяцев назад
Kipindi Bomba sana
@sifakalu5811
@sifakalu5811 5 месяцев назад
Napenda vile A-Y yuko reall #G O A T mwenyewe
@samirmswahili
@samirmswahili 5 месяцев назад
Masta mnyama sana
@melkiorymelkiory4853
@melkiorymelkiory4853 5 месяцев назад
Ay yupo vizuri mno ni msanii mwenye kipaji kikubwa na ana uwezo mkubwa. Mh.mama SAMIA ikikupendeza beba na hiki chuma.
@mugadimon3563
@mugadimon3563 5 месяцев назад
Huyu mwamba watuachie huku tumfaidi vizuri
@dullahsimbaulanga6472
@dullahsimbaulanga6472 5 месяцев назад
🔥🔥🔥
@user-xg6jb2sg8s
@user-xg6jb2sg8s 5 месяцев назад
Napenda vile anavyo chana hiphop
@allysanya8346
@allysanya8346 5 месяцев назад
Jabil next time tupe favour tuletee Zey B tujuwe yuu wap it's spread long time Sana'a tusikie floor na michano
@user-rz6nz5dg1u
@user-rz6nz5dg1u 5 месяцев назад
Ay tueleze kidogo na ile film ya girlfriend ilikuaje mkakutana mkacheza ile film mana ilikua bomba sana kipindikile tunalipa sh 10 kuangalia kwenye kibanda umiza .
@allymoshi2053
@allymoshi2053 5 месяцев назад
Umenikumbisha mbali enzi za gx-90 chaser TZT 3620 GARI WALOKUWA WAKIITUMIA AY NA GK ENZI HZO UKIWA NA HYO BALOON UNAONEKANA TAJIRI BALAA
@user-rz6nz5dg1u
@user-rz6nz5dg1u 5 месяцев назад
@@allymoshi2053 nikweli mwanangu nikiangalia ile film nakua nawaza sana dunia ilivyo uko nyuma na ilivyosasa
@mugadimon3563
@mugadimon3563 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂 kitambo sana aiseee
@user-iy3fx7cl1j
@user-iy3fx7cl1j 5 месяцев назад
Huyu ndo msanii alokosa bahati na hazungumzwi na hapewi heshima yake na ndo msanii alofunguwa Milango ya kimataifa ,na ndo msanii aloimba wimbo Wa kimataifa na Psquare kuliko msanii yoyote bongo ,ila Leo hii ile heshima yake alostahili kupewa Ay ,amepewa domo Diamond
@SaleheAthumani-ql3wp
@SaleheAthumani-ql3wp 4 месяца назад
Tisha sans ay
@dikamboy9513
@dikamboy9513 5 месяцев назад
🔥
@Abbasbakarsth
@Abbasbakarsth 5 месяцев назад
🎉❤
@bullychandy6509
@bullychandy6509 5 месяцев назад
west side till we die
@Mc_Gwajee
@Mc_Gwajee 5 месяцев назад
Nakufatilia sana mzee
@KuviFacts
@KuviFacts 5 месяцев назад
🫡
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 5 месяцев назад
Mlete Fid q
@user-un6jr1tm1j
@user-un6jr1tm1j 5 месяцев назад
Mmi Nashauri awa Wasanii mnaowaita apo studio za classic waonyesheni pale nje jinsi wanavoingia na kama kuna madoido flani ya wepo siunajua nijinsi kuwapamba pamba vile unajua mwengine ana ngar nzur linamfanania au ata chochote kile yan mbwembwe flan hivi za kisanii tuwapambe nazani inakua inawapendezesha kama mastaa,niwazo lang lakini! Naitwa meja simba kutoka karikoo mmi ni mdau sana wa classic
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 5 месяцев назад
Ushamba
@svt3
@svt3 5 месяцев назад
@use-un6jr1tm1j: unayo ya andika unaonesha ulimbukeni, kuwa na hivyo vitu sio vibaya na wengi wao wanavyo ila sio lazima na haina umuhimu wowote kuvionesha tunayo Itaji ni interview na sio wanavyo ingia studio za redio au usafiri wanao kuja navyo ila ukitaka kujuwa wanavyo miliki au usafiri wao hiyo inaweza kuwa kipindi yenye mahudhui mengine kabisa, na hao ma staa lazima waridhike na kipindi kama hiyo
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 5 месяцев назад
Hatutaki kujionesha
@Ngudure
@Ngudure 5 месяцев назад
Vamponji sehemu ya kulia mbuzi katoliki
@official_kingzimira
@official_kingzimira 5 месяцев назад
Old skul
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 5 месяцев назад
Mzee wa commercial
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 месяцев назад
Wasanii sahv hata wale wakubwa hawajui fanya interview kabisa
@kijanisaini5688
@kijanisaini5688 5 месяцев назад
Mwamba ndo aliupeleka muziki kimataifa alifanya collabo na p2 wakiwa wamoto king stone
@nyambwirasam5896
@nyambwirasam5896 5 месяцев назад
Nature huy wa pili
@Bumutz-po2df
@Bumutz-po2df 5 месяцев назад
Tunatamani kumsikia Crazy Gk yupo wapi
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 5 месяцев назад
Usalama wa taifa kagera
@Bumutz-po2df
@Bumutz-po2df 5 месяцев назад
@@enocksilungwepondajr9707 🤣🤣🤣🤣🤣
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 5 месяцев назад
@@enocksilungwepondajr9707ya kwel??
@dadyjo_
@dadyjo_ 5 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jBH1pLsJPP4.html
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 5 месяцев назад
​@@enocksilungwepondajr9707😅😅😅
Далее
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
Просмотров 59 тыс.