Тёмный

Malaika: Nimeachana na Ricardo Momo, sitaki ndoa, Harmonize sio type yangu, French Montana ni rafiki 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 71 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Развлечения

Опубликовано:

 

17 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 364   
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 3 месяца назад
Big up to Chris ❤ nice presenter kuhoji watu wenye mapoz na ki2 kidogo tu ni no comment yahitaji moyo
@godsdaughter2820
@godsdaughter2820 3 месяца назад
Mbona amekuwa mbayaaa😢😮she was very beautiful 😮
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy 2 месяца назад
Vibakuli vya matako vimekuwa vyakuwekea ugali wa Mohogo komeni kujibadilisha wengine wamekuwa saawa na katoon
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 3 месяца назад
Ricardo momo amshukuru Mungu kwa kumnasua apa angekufa amesimama
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 месяца назад
😂😂😂
@Mina.15
@Mina.15 3 месяца назад
😂😂 Dudu lisengeingia 😂😂😂
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 2 месяца назад
😂😂😂😂😂Dah
@lukasjelamisanana6770
@lukasjelamisanana6770 2 месяца назад
Mwanamke akipata hela kinachofatia ni kumchukuza muumba wake tu
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 3 месяца назад
My God,da kweri hofu ya Mungu haipo ,ona umekuwa mubaya Makario kama kinu.,e mwenyezi Mungu naomba mwisho mwema..
@jimboulaya
@jimboulaya 3 месяца назад
Kabla ya kuoa ni muhimu kufanya umakini na utafiti , kuna wanawake dizaini hii sio wife material na huwezi kuwabadilisha , udangaji ndio nature yao upo ndani ya damu na hata umpe dunia nzima bado atachagua kudanga iko ivo, huyu ni wale wa kutafuta booking za wanaijeria wa Dubai, asafirishwe wiki na wamtumie vibaya alimradi tu apate hela ya kumantain BBL na kuishi maisha ya kufake mtandaoni.
@djumakadege659
@djumakadege659 3 месяца назад
MwenyeziMungu amemnusuru Ricardo Momo ! huyu mrembo yalikuwa maji marefu.
@timothzullu4665
@timothzullu4665 3 месяца назад
Kwel aisee dah
@doreenmsafari2945
@doreenmsafari2945 3 месяца назад
Kweli kabisaa
@rizikikasongo4388
@rizikikasongo4388 3 месяца назад
Ni kichaaa
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 3 месяца назад
Jamaa alikwepa risasi bila kujijua hapo😂😂Amshukuru Mungu sana.
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 3 месяца назад
Sio mrembo tumia neno shetani
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 3 месяца назад
Kiukweli " Criss , we nimtangazaji unajua kuuliza maswali broo uko vizuri "
@josephk90
@josephk90 3 месяца назад
Huyu mwamba ni balaa na hana aibu😂
@user-op7zl7fo1r
@user-op7zl7fo1r 3 месяца назад
Sanaa
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 3 месяца назад
Mimi nimeshitukia maswali ya huyu mtangazaji,he is very smart
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
kwa kweli maana interviewee is a cut throat lakini yy duuh anatiririka vixuri na maswali
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 3 месяца назад
Mwananchi naombeni like mbili tu
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 3 месяца назад
chukuakoment usisahau kusubscribe😅
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 3 месяца назад
​@@BarakerZeonlist😂😂😂
@user-eb7oi2bx6s
@user-eb7oi2bx6s 3 месяца назад
Wengi tumekuja ku view baada ya kusikia jina la konde boy🤝
@mosesthuranira6553
@mosesthuranira6553 3 месяца назад
huyu interviewer yuko juuu sana hauboeki kuangalia akihoji mtu anajua sana ku drive interview kaka kazi nzuri SnS itakuja kuwa big channel sana 🔥🔥🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@user-yq3ov6kj3p
@user-yq3ov6kj3p 3 месяца назад
Mungu atujalie mwisho mwema
@Magoma_Official
@Magoma_Official 3 месяца назад
TUTAFUTENI HELA WANANGU PIA TUMUOMBE MUNGU ATUPE MWISHO MEMA🙏
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy 2 месяца назад
Naaam
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy 3 месяца назад
daaaaaah Ricardo mshukulu mungu kwa kukuepushia uyu binadam
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 3 месяца назад
KILICHOKUWA KINAMSUMBUA RICARDO MPAKA AKARUDI NI ALIMPENDA KWELI,,ILA DEMU ALISHAKUNGUZUKA TAYARI,,DM ZA MASTAA NJE😊,,CADO AKAONA USINTANIE
@Tuu2019
@Tuu2019 3 месяца назад
Mdogo lakini amejiaribu mapema na Amekubuuuuuu....DOOOOH..?.Nah umekuja kwenye interview ya nini km no comments, na kwanini unaniuliza hivyoo.....why yr here....?
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 3 месяца назад
Huyu mtangazaji ni very professional, keep it up 🎉🥰
@queenlinda255
@queenlinda255 3 месяца назад
Anauliza maswali vizuri sana
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 3 месяца назад
Hizo nchi alizokutajia huwa wanaenda kujiuza South Africa, Nigeria huko kote alipotaja ndipo wanaenda kujiuza, shape kajiharibu mitako mikubwa mno mihipsi yaani kajiharibu sasa angalia hivyo vimiguu kama vijiti mwili umemezwa mitako surgery sio urembo ni kumkosoa mungu hivi ulivyoniumba sivyo hata sijui wananawa vipi? Kafanya hiyo surgery Kwa ajili ya biashara ndio wakina poshi hao matokeo yake wanaenda kulala na kina harmonize ,nayule mwingine Nicole mwenye miboga huyo kitengo chake Nigeria biashara yake na chauzi
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 2 месяца назад
Zote anazotaja sana alikuwa anaenda na kina mond kwa lipi awe mwenyewe aaende mali sijui guinee kuna nn ?
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 3 месяца назад
Yani Sio mzuri wa hivyo,huwezi kumfananisha na poshy Nzuri Sanaa tu
@EvaWaziri-so3gi
@EvaWaziri-so3gi 3 месяца назад
Alikuwa mnzuri uyo kuliko uyo posh,mungalie zamani
@vickydan2869
@vickydan2869 3 месяца назад
Huyu alikuwa mzuri mno
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 3 месяца назад
@@vickydan2869 kajiaribu mnoo sijui Nani kamdanganya kutengeneza matako kama contena na China
@lukasjelamisanana6770
@lukasjelamisanana6770 2 месяца назад
Yaan kibaya lakin kinajiona mno
@sund2553
@sund2553 3 месяца назад
Kaacha ndoa kaenda kudanga maisha haya
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 месяца назад
Amekuwa mbaya sana alikuwa mzuri
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 3 месяца назад
Kivipii mbaya
@audaxmlowa9953
@audaxmlowa9953 2 месяца назад
Malaika aliyeimba na chege kipindi cha nyuma
@timothzullu4665
@timothzullu4665 3 месяца назад
Sio kusafir ni umalaya tu unaufata uko Kuna kesho kwa MUNGU AISEE
@swalehmohammed8378
@swalehmohammed8378 3 месяца назад
Masha'allah malaika ni mzuri mzuri mzuri sana masha'allah
@naifathassan2607
@naifathassan2607 3 месяца назад
Tengeneza meno dada sio unaangaika na shape tu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 месяца назад
😅😅😅😅
@Mina.15
@Mina.15 3 месяца назад
Nilithani Mimi peke yangu kuoma hana jino moja 😂😂😂😂
@MtessaAlly-rd4hf
@MtessaAlly-rd4hf 3 месяца назад
Hahahahhahahahahahahaaaaaaaaa
@user-gj2mm3ko8m
@user-gj2mm3ko8m 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂Kenya tunacheka😂😂😂😂
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 3 месяца назад
😂😂Naviguu hivyo kma vijiti
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf 3 месяца назад
Momo alikuwa na mtihani , kweli kweli
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 3 месяца назад
kabisa
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 3 месяца назад
Ila akili za Hawa ndugu zetu kweli aiseee Mungu awasaidie Sana!
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 3 месяца назад
Huyo Ricardo pia asingemueza mambo yenyewe ni haya😂
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 месяца назад
Lkn wanaume simunapendaga wanawake km hao sasa munampaje pole ricardo why 😂😂
@user-jv8dt8pk3p
@user-jv8dt8pk3p 3 месяца назад
Mbona hajui hata kujieleza hajui. Kujibu mashali kabisa ovyo
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 3 месяца назад
Surgery sio urembo n umalaya unaongeza kalio unalego gan kama sikuuza mkuu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 3 месяца назад
umalaya
@jamil1547
@jamil1547 3 месяца назад
😂😂😂😂😂kuuza mku...
@ghayamjombo6582
@ghayamjombo6582 3 месяца назад
😂
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 3 месяца назад
Asilimia 💯 maana najiuliza anafanya ili iweje😂😂😂
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 3 месяца назад
@@gladnessshola2718 mwanamke kuongeza kalio ni ishara kuvutia wanaume waone kalio after kuona mwisho nn
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 3 месяца назад
Hivi picha zinalipa au......😅😅😅 maaana sijui....huyu ni model au
@Sakwa01
@Sakwa01 3 месяца назад
Hawa celebrity ndo wanatuaribia watoto
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 3 месяца назад
Sasa mbona shepu imekuwa mbaya sanaa kama furushi khaa bora ungekaa vile vile kumkufuru tu mwenyez mungu😢
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 3 месяца назад
sijui limekaaje kaa kila kitu kikizidi kinakera
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 3 месяца назад
@@sabihaibrahim143 sanaaa yan kama fukushi khaa
@user-ym5dc1iz9e
@user-ym5dc1iz9e 3 месяца назад
Nenda kwenye youtube halafu tafuta video surgerygo roung
@user-ym5dc1iz9e
@user-ym5dc1iz9e 3 месяца назад
Top 10 celebrity plastic surgery desasters in you tube😂
@merinakassembe118
@merinakassembe118 3 месяца назад
Usijichanganye kariakoo sio upanga
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 месяца назад
Nimempenda anasema ukweli she is so pretty wow
@murtanseif3539
@murtanseif3539 3 месяца назад
Yani maskin huyo mwanamke hajielewi hata unavyojibu anajubu uongo tu ila kama ametamani kuzaa nje ya ndoa kuliko ndani ya ndoa kiukweli ni mtihan sana ndio mana amesema sajari ni urembo 😂
@juma3049
@juma3049 3 месяца назад
Chriss wee mkali kwa hizi kazi
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 2 месяца назад
listening tu it seems kichwani akili hakuna ohh my, mtangazji anamchora tuu alafu mbona kama mtangazaji anaskia harufu jmn?? kazi unayo poleee.
@henriettenkuba3240
@henriettenkuba3240 3 месяца назад
Yani Tanguy ameacana na Ricardo amekuwa n'a kiburi kweli😊
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy 2 месяца назад
Uzeeee huo unamtembelea anakumbuka ujana wake anachanganyikiwa sasa ukizeeka na mabali ya kuwekwa yanashuka
@swalehmohammed8378
@swalehmohammed8378 3 месяца назад
Malaika masha'allah tabaarakallaah the beutiful beautiful beutiful queen queen queen the beutiful queen beautiful queen queen beutiful queen mashaallaah
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 3 месяца назад
Sageri ya Malaiki imepitiza ,ni kubwa sana ,angeipunguza ingekua poa is beautiful
@newzon5300
@newzon5300 3 месяца назад
Ricardo momo alijichanganyaa vip kwa uyu mwanamke😅😅😅😅
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 месяца назад
Na alikuwa anampenda saana
@trice_yanga
@trice_yanga 3 месяца назад
sio kwamba alijichanganya momo alikuwa nae kabla hajajipata baad ya kujipata demu kalimbuka
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy 2 месяца назад
Ricardo alimchukuwa wakati hayo mabakuli feki hayachaanza kumchemka hahaha
@aishabakari8040
@aishabakari8040 3 месяца назад
Watu kama hawa ndio wanao fanikiwa sana kuliko sisi tunaopambana kila siku 😢😂😂
@faudhiaadam6773
@faudhiaadam6773 3 месяца назад
Achaaa tuuu 😢😢
@hilarymayende
@hilarymayende 3 месяца назад
Hivi huyu demu na kajala na queen nani class??huyu ana utiaji sana
@vickydan2869
@vickydan2869 3 месяца назад
Dada ulikua mzuri sana jamani zamani saivi mm naona umezeeka mwili umekua mkubwa mno jaman ila ulikua mzuri mno zamani nimelia sana mpaka kwikwi
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy 2 месяца назад
Hahahaha hahahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha Jamaani
@alexanderhaule7667
@alexanderhaule7667 3 месяца назад
Ame dedicate maisha yake kwenye makalio.
@ahlamverynice.3605
@ahlamverynice.3605 2 месяца назад
Mbona alie kuwa mumewe aliongea wako na watoto 3 na huyu anasema mmoja sasa tumuamini nani🙄?
@HappinessMasolwa-nm2to
@HappinessMasolwa-nm2to 3 месяца назад
Sema Huyu dada anapaniki sana ajuh kujibu maswali
@homeandaway2811
@homeandaway2811 3 месяца назад
Yaani hadi inasikitisha, full kupaniki, hajitambui 😂😂😂😂
@nunuuali5316
@nunuuali5316 3 месяца назад
Sio hajuwi kujibu hata akili ya kuelewa swali hana. Yaan ni mburura wa kwanza
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 3 месяца назад
Malaika au shetani
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 3 месяца назад
Vyote sawa ila wahuni tukipewa tunaruka nae kama kawa
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 3 месяца назад
🎉🎉🎉
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 3 месяца назад
shetani wanajiita malaika
@JanethMapunda-hq1cw
@JanethMapunda-hq1cw 3 месяца назад
Mzuri sana❤
@rajuxcharity
@rajuxcharity 3 месяца назад
Yani unamanisha utaendelea kuzini kuliko kuolewa?
@itNeza
@itNeza 3 месяца назад
What Belongs to the Street will always be on Street ( Huyu Anafanya kazi Gani ? Mwanamke Asie na Kazi Rasmi yeye na Mtandao ) Huyu sio wakuwa Mke, Eti kajitengeneza Kabisa, Huyu kuna Business Anafanya Huwezi ukamuweka ndani. 😎
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 3 месяца назад
Ricardo momo angesumbuliwa tu bora amemuacha
@AugeniaDaniel-mo7hi
@AugeniaDaniel-mo7hi 3 месяца назад
Sure...she belongs to the streets.... focus on the BAG
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 3 месяца назад
Wanaume cc tutapata tabu sana special tunaopenda tusiivyovijua ndani ya wanawake .ukitaka maisha mazuri tafuta mtoto mbichi mzuri anaejua kupika utaenjoi life lkn awa wanaofata shepi na mionekano watasubuka sana
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 3 месяца назад
Za ndaaaaaaaaaaaaniiii Ricardo Momo asingeweza kumiliki huu mzigo😂😂😂😂😂... Project na French Montana 😂😂meneja kwa ajili ya makalio tu
@dr.madevualcantara4775
@dr.madevualcantara4775 3 месяца назад
Innalilahiwainnailaihirajoun surgery ni urembo biashara ya makalio
@NashonyMagwi
@NashonyMagwi 3 месяца назад
umeongea vizuri sana malikia mambo yote sio ya kuonge .uko vizuri tunza siri za mmeo wadada wengine ni fujo you so cute malikia❤❤❤
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 2 месяца назад
Mungu atusaidie
@josephchaba6007
@josephchaba6007 3 месяца назад
Wadada wauza K mjini nikazi kuwamiliki Momo angekufa
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 3 месяца назад
😂😂😂😂🎉🎉
@spaganiceboy
@spaganiceboy 3 месяца назад
Harmonie nimushenzi sana😂😂 Mimi Niko Congo nimechikizwa nayeye kumutusi mwenyezi mungu😂😂😂 aache bangi niyetu sisi wacongo unaona alifika kwetu congo Goma bangi zikamuchanganya akashindwa kutumiya akifika kwetu goma Tena namupiga masasi🔥🔥
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 3 месяца назад
kwa iyo ndo umekwenda kuwavutia wanaume hahahaaaa pole kujipenda ni kujitunza vile maumbile alokupa Mungu ukajiweka vizuri basi sio kuvichoma choma kila sehemu
@issazalala4907
@issazalala4907 3 месяца назад
Shida ni ndoa tu lakini mikanda mizo kama kawaida hakuna off ya mungu
@mwanaidikhamis5430
@mwanaidikhamis5430 2 месяца назад
Huyu mwanamke hajui hata thamani yake yy yupo yupo tu na ulimwengu wake
@NashonyMagwi
@NashonyMagwi 3 месяца назад
@Lina4285baby
@Lina4285baby 3 месяца назад
If I pay money and I end up look like this I would just slap the doctor nonsense😂😂
@user-dz1gm4dh7e
@user-dz1gm4dh7e 3 месяца назад
Ety harmonize sio hadhi yangu mweeeeeeee wakati kashakupiga papaa kitamboo
@celline3148
@celline3148 3 месяца назад
Jamani Stive Nyerere yako wapi? Jamani?
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 3 месяца назад
Huyu dada kuanzia abadilishe shape hata tabia yake imebadilika 😏😏😏 yani anajiona classic sana hivi huyu anaweza ingia kwa wanawake wa harmo??
@SultanSA15
@SultanSA15 2 месяца назад
😅😅😅😅😅
@salumucharles9655
@salumucharles9655 2 месяца назад
Haingi hata nusu kwa poshy sula kama matako.
@SultanSA15
@SultanSA15 2 месяца назад
Wivu
@SultanSA15
@SultanSA15 2 месяца назад
Wivu
@mushtaqakram9843
@mushtaqakram9843 3 месяца назад
Biashara matangazo lazima
@Mohaa4309
@Mohaa4309 3 месяца назад
Kila k2 no comment,bure kbsa
@user-jz6lm5yv4f
@user-jz6lm5yv4f 3 месяца назад
Leo wa kwanza naombeni like zenu
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 3 месяца назад
Amezidisha kalio khaaa amezidisha
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 2 месяца назад
Better remain neutral and naturally than ....
@malietamaliet
@malietamaliet 2 месяца назад
nimefatilia interview ya momo anasema ako na watoto wawil na uyu nikaja uku uyu mara mtoto mmoja mara watoto mara no comment je ni swali kwa wanaowajua vzr uyo mtoto momo alosema ana miaka 12 ni wa uyu malaika ama ni wa momo kwa mke mwingin mbon sielew
@abnassirkarriem-ko5pw
@abnassirkarriem-ko5pw 3 месяца назад
Inauma sana hataki ndoa sasahivi yuoko anauza ka wakimaliza kumchokonowa arudi kwa momo
@user-zq7jb2ij4u
@user-zq7jb2ij4u 3 месяца назад
Napenda travelliiiiiiiig.
@ombeniruvubika5392
@ombeniruvubika5392 2 месяца назад
Mina penda hilo tako hilo Yani kusukuma uboo mwailo tako kwa hasira sn, piga ma bao km zote mwailo tako.
@EvelyneJoseph-ub1cb
@EvelyneJoseph-ub1cb 3 месяца назад
Nahisi Mimi ndo namuelewa pekeangu anavyoongea huyu dada, afu pia nampenda sana Malaika na namfatilia sana
@alhabib9874
@alhabib9874 3 месяца назад
No comment
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 месяца назад
Munakuwa kama midoli ngojeni mungu awaumbue kwa kumkosoa uumbaji wake😢😢😢
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 3 месяца назад
Mwanamke yeyote mwenye kupata pesa hawezi kukaa kwenye ndoa anaona anabanwa sana na mwanume kipindi hicho anaraka kukaa huru ili yauze uke wake kujipatia kipato
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 3 месяца назад
No comment ya nyoko 😏 pengo kama mlango wa jela
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@alfredbowa9677
@alfredbowa9677 3 месяца назад
Mmm acha midengo ludi kwa mwamba
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Месяц назад
Mmmh
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 3 месяца назад
Hiyo kao hapana kwa kweli!!! Angefanya na miguu pia
@Mina.15
@Mina.15 3 месяца назад
😂😂🐜 🐜🐜🐜
@mrsjuma100
@mrsjuma100 3 месяца назад
Meno tu angerekebisha!
@Mina.15
@Mina.15 3 месяца назад
🐜🐜 😂Kwani zamani ulikuwa mdogo 😂😂😂
@user-dz1gm4dh7e
@user-dz1gm4dh7e 3 месяца назад
Huyu Kwa French Montana kajipendekeza tyuuu akapigwe papa apate maokoto
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 3 месяца назад
Hovyooo
@user-uh3eg5cj2r
@user-uh3eg5cj2r 3 месяца назад
Jamani wadada ni Vizuri mkaelewa kuwa mwanamke mrembo huwa ahitaji matakata ya kujipambia na ukiona mtu anajiwekea kucha ndefu kama shetwani mara makope kama Bata mzinga mara wigi yaani zote hizo takataka!
@dr.madevualcantara4775
@dr.madevualcantara4775 3 месяца назад
Innalilahiwainnailaihirajoun
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 месяца назад
Mtu gn uyu mmetuletea kwenye interview mmh no comments n nyingi kuliko majibu dah
@hamiduomar1316
@hamiduomar1316 3 месяца назад
Hizo nchi ulizozitaja hpo ni ndizo wadada hukimbilia kujiuza huko , hususan falme za kiarabu ndio hupenda mikalio na mishepu km hyo
@user-is7ot7bq9x
@user-is7ot7bq9x 3 месяца назад
Kila ktu no comment
@abdisahlanofficial2591
@abdisahlanofficial2591 3 месяца назад
duhh hatariii sanaa
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 месяца назад
Wadda wa mjin,,hawataki kuzeeka,,naskia ana miaka 20😁😁😁😁
@gfvh7282
@gfvh7282 3 месяца назад
Da😂😂
@user-io6gm1wm7i
@user-io6gm1wm7i 3 месяца назад
Kiukweli huyu kwa RICARDO MOMO hakuwa mke sahihi kiufupi Momo Alijichanganya sana 😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 месяца назад
Wanawake kama hawa huwa hawaiwezi ndoa ana muda wa kumuhudumia mume na hizo kucha anajichambishaje kwa mfano hiyo ni midoli uliweke ndani ukilitazama tu si lakupika wala kuvua yy ajipambe tu
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 3 месяца назад
Momo MUNGU Kakuepusha na aibu na dharau, huyu Mwanamke ni Shangingi la kimataifa,...watu wanatia MZIGO wana jump nae
@SamiraKimaro-ps8iu
@SamiraKimaro-ps8iu 2 месяца назад
Ndo zama za mwisho inaalilah wainalilah rajuuli
@bakarimohamed9351
@bakarimohamed9351 3 месяца назад
Ndugu mtangazaji usishindane na nguvu ya traaaako hiyo usipate tabu sana 😂😂😂
@msodokidasilva6739
@msodokidasilva6739 3 месяца назад
Uu mzigo mbn jau mzee 😂😂😂
@issajumaali4009
@issajumaali4009 3 месяца назад
Dah 9.35 hakuna tofauti; huu mtihani sana
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 3 месяца назад
Kwan lazima amtaje Harmo, daah!
@Mwamba-hc1jy
@Mwamba-hc1jy 2 месяца назад
Ricardo kachinje ngombe bro!!hili dude lingekumaliza😂
Далее
HOUSE GIRL EP 52 || love story💞💕
24:13
Просмотров 15 тыс.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
03:26
Просмотров 34 млн
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 6 млн
ИСПАЧКАЛ
0:30
Просмотров 2,5 млн