Тёмный

UTAPENDA WOLPER ALIVYOTAMBULISHA FAMILIA YAKE USIKU WA HARUSI YAO 

Bona Tv
Подписаться 391 тыс.
Просмотров 121 тыс.
50% 1

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
UTAPENDA WOLPER ALIVYOTAMBULISHA FAMILIA YAKE USIKU WA HARUSI YAO
#Bonatv #Exclusive

Развлечения

Опубликовано:

 

18 ноя 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 94   
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Год назад
Hongera Dada kwa kuheshimu jamii kwa mavazi umejisitiri Mungu akubariki mnoo
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Год назад
Mama katabasamu hadi nimelia WAZAZI wake wapole hadi basi 💯💯
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Год назад
UMEPENDEZA GAUNI YAKO YA HESHIMA KWELI WW DIZAINI NAKUKUBALI WOLPER NA LICHI
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Год назад
hongera sana jack Mungu akutangulie kwenye ndoa yenu mmependeza mno
@ruqqyahimam6617
@ruqqyahimam6617 Год назад
Nimependa utambulisho wako Jack hadi raha ❤
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Год назад
Mashallah Wolper umejiheshimixha
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Kapendez sana jack pia watu wengi sana hadi raha
@ladymzana4511
@ladymzana4511 Год назад
Utajua tu Jackleen Wolper amezoea Camera na amezoea kuongea mbele za watu kutokana na kazi yake ya uigizaji bongo movie, hongera sana umechangamka na umetambulisha ndugu zako vizuri sana, ikawe ndoa ya kheir Amminna inshallah
@monamtoo2646
@monamtoo2646 Год назад
Nimependa vazi lako la stara Dada hongera sana
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 Год назад
Wolper you never disappoint ur dress was on point keep shinning mami
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Год назад
Wolper katika nguo zote hii ndio imekupendezaa
@dativalibent3581
@dativalibent3581 Год назад
Mnapenda nguo za kubana
@fathiyamohamed7919
@fathiyamohamed7919 Год назад
Sanaaa kuliko zte
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Год назад
😍🥰🥰🥰🥰🥰
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Год назад
Hongeren jmn mungu awe na nyie ktk maisha yenu ya ndoa
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Год назад
Ameen
@marygaspar6429
@marygaspar6429 Год назад
Niongee tu ukweli harusi ya Wolper imebamba! Cwezi ifananisha na mtu yeyote!
@jacquelinejackson8295
@jacquelinejackson8295 Год назад
Hongera saana kipenz wengne tupo tu hapa tunawivu natupo ma single
@marianelson9847
@marianelson9847 Год назад
Ahahah
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Год назад
Hongereni saaana saaaana
@sikudhanicharles3933
@sikudhanicharles3933 Год назад
Kwani weupe ulipata wapi😂😂😂😂
@setiseti5281
@setiseti5281 Год назад
Ongera sana opaa
@jacklinemwaleleka6052
@jacklinemwaleleka6052 Год назад
Nimekupenda umeonesha nidham kubwa
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Год назад
Katika nguo. Zote hii ndio. Nzur mno
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 Год назад
Hiyi harusi imenifurahisha ilikuwa about family sio about ma stars
@merrymafole5180
@merrymafole5180 Год назад
Hongera sna wolper na rich wolper km ni mama kija....
@charityemmanuel9763
@charityemmanuel9763 Год назад
Ni mama kichanga
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 Год назад
Kumbe_Una_ndugu_mnavyo_vaa_uchi_utasema_hamna_familia_sasa_umekuwa_mke_wa_Mtu_mrudie_sana_Mungu
@gracekenan4665
@gracekenan4665 Год назад
Siku hizi Jacqueline amechange sana ukilinganisha na wenzie
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Год назад
Mmependeza jmn
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 Год назад
Umepndza Jacklin wolper..na Mmeo
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Rich miwani ya nini sasa?
@magdalenamoffat4835
@magdalenamoffat4835 Год назад
Imependeza tumekubali
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Год назад
Bi harusi kavaa nguo ya heshima kapendeza lkn ongea yke ya KIHUNI
@ashaali7154
@ashaali7154 Год назад
Bwana harusi mitindo anaangalia juu tu na miwani yake utadhani haoni vile. Hongera kwa kukua.
@mariamkadio8402
@mariamkadio8402 Год назад
Nimecheka jee
@Teddy-fq5oc
@Teddy-fq5oc Год назад
Hahaaaaa
@missindependent1893
@missindependent1893 Год назад
Hahahaha
@mohammedhusssein8734
@mohammedhusssein8734 Год назад
Umependeza mno
@veronikasilayo1455
@veronikasilayo1455 Год назад
Pendaeza sana dada
@lavuulovenes1682
@lavuulovenes1682 Год назад
Mmh mama.wee uko.mreembo niaje ongera sana
@winnieamina9932
@winnieamina9932 Год назад
Bibi harusi wa zamani wana aibu mbele za watu ila bibi harusi wa siku hizi wanapewa microphone kabisa weeee
@tinajoe5487
@tinajoe5487 Год назад
Hata zamani harusi zilifanyiwa nyumbani au darasani siku hizi kumbi zimejaa JIFUNZE KUBADILIKA.
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 Год назад
Technology inaenda kasi sana
@jamil1547
@jamil1547 Год назад
Haitajiki MC hapo
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Год назад
🤣🤣🤣
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 Год назад
Bi harusi uwe mpole au umeonja kidogo
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Год назад
Yaaani huo utamburisho mbavu sna
@getrudeshedrack7341
@getrudeshedrack7341 Год назад
😂😂😂
@magrethmalobola5470
@magrethmalobola5470 Год назад
Ila Wolper 😀😀
@brilliantcarlish6621
@brilliantcarlish6621 Год назад
Umependeza dada angu nkpnd saan
@nunuuali5316
@nunuuali5316 Год назад
Bi harusi unaongea kama nini yaan hata Mc umemfunika
@winfridantandu2870
@winfridantandu2870 Год назад
Jack kapendeza hadi raha
@zena6203
@zena6203 Год назад
Piga kelele wamamapy usifananishwe nakiroboto chochote jaki nijaki nahakuna jaki mwengine wewewe who is nandy nandy harusi yake sura imenenepeana puwa kubwa mashavu hayo sura imepoza kama ftari yamagimbi tumbo huko tumakalio tumechongoka kama vile tumebandikwa uturuki alafu mnapimanisha nawolper angali mtoto kanyoka mrefu anambambamba nyooooo
@Mohamed-uz8id
@Mohamed-uz8id Год назад
khaaa shkamoo wewe
@zena6203
@zena6203 Год назад
@@Mohamed-uz8id 😄😄😄😄wanamchamba sana mama py jameni achanimteteye
@saraphinasalila9202
@saraphinasalila9202 Год назад
Kumbe upo peke ako jack ndio maan unaupend
@aminaibrahim6811
@aminaibrahim6811 Год назад
Mbona Rich bayaaa☹️☹️
@mwanaidiabdallah7311
@mwanaidiabdallah7311 Год назад
Hom sweet hom
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Год назад
Yaani ma bi harusi siku hizi wanaongea mno Jamani kama ndio MC.
@noreenenock5279
@noreenenock5279 Год назад
yan wanaongea sana
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 Год назад
Toka nimeanza kufatilia hii arusi sijaona ndugu wa Richi mitindo hata sijawasikia kuogea🫢
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Hapo sasa
@naomimayombi8749
@naomimayombi8749 Год назад
Mbna wapo
@hanirashuwesu4239
@hanirashuwesu4239 Год назад
Mbna wamezungumza we ulikuwa wap
@tinajoe5487
@tinajoe5487 Год назад
Unawajua?
@The7101987
@The7101987 Год назад
Sasa Jack hiyo rangi kaipata wapi?
@evainnocent9520
@evainnocent9520 Год назад
Nimemuona shangaz Hapo nimweupe sana
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 Год назад
Huyu Richi ndiyo kaolewa manake anbuluzwa tu yeye toka shuguli ianze hatujaoona familia yake wala kusikia wanajitambulisha mmm🫢haya yetu macho na masikio
@lakiabalozi5633
@lakiabalozi5633 Год назад
Alice cjakuona mamdogo
@hidayaally7059
@hidayaally7059 Год назад
Bibi harusi anaongea kama muhuni vile
@wardw3022
@wardw3022 Год назад
Worper kavaa jamani
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Год назад
Iii Sina cha KU comments kaweza vya kutosha nguo ZAKE nzuri
@ericafransis6663
@ericafransis6663 Год назад
Aaaah harus ya nand ilikua nzur Zaid hii kwanza imepoa hawa walichopendeza ni kuvaa tu kiheshima lkn lkn kwa upande wa sherehe imekua boad sana hlf bi Harus anaongea sana
@saumusaid7825
@saumusaid7825 Год назад
Kwan shida Iko wapi ulichangia ACHA roho ya kwa nn 😒
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Год назад
ANAONGEA NI lazima wivu TU MUNGU KAJALIA FAMILI NYINGI LAZIMA AONGEE MINGI NANDI HAKUONGEA ALIKUA MJA MZITO YY SIO MJA MZITO
@petronilamark5177
@petronilamark5177 Год назад
Mwache aongee ni siku yake haijirudii dear
@tinajoe5487
@tinajoe5487 Год назад
Kwani wapo kwenye mashindano
@linnamlay3643
@linnamlay3643 Год назад
Tuna uprof ktk kutathmini hii harusi imependeza sana kwanza ameifanya kiheshima hakuweka makashkash ya ustaa amependa iwe harusi ya watu mana yeye nae ni mtu wa watu.
@samailasalim3587
@samailasalim3587 Год назад
Sasa wazaz weus ule weupe kautoa wap
@zamdayusuph858
@zamdayusuph858 Год назад
Et? Ndo swali langu hilo, inekuajee
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Год назад
Jamni angalia nayy picha ya miaka yanyuma alafu utajua kafanya nn
@tinashebaibe1429
@tinashebaibe1429 Год назад
Mafuta Tanzania mastar wote ni weusi
@dianaprojest320
@dianaprojest320 Год назад
Inawezekana kwenye ukoo hiyo rangi ipo, sio lazma Wazaz wawe weupe Ndo mtoto awe mweupe, angekua mweusi Hata mwanae p asingetoka mweupe
@mariamselemani1366
@mariamselemani1366 Год назад
@@m.mmarckus6298 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Год назад
Jaki hongera but sauti inatetema mbona
Далее
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14
В GEOMETRY DASH СДЕЛАЛИ GTA
00:27
Просмотров 622 тыс.
Jua kali leo usiku jumapili 21-7-2024         4k
19:14
Просмотров 61 тыс.
HOUSE GIRL EP 52 || love story💞💕
24:13
Просмотров 13 тыс.
NANDI AMWAGA CHOZI LA MAHABA/BILLNAS AMVESHAPETE/
9:46
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38
🍁 Её дружище
0:20
Просмотров 1,3 млн
Good job hero. #shorts #fyp
0:20
Просмотров 11 млн