Тёмный
No video :(

UTAPENDA VAZI NA VIBE LA RAISI MAMA SAMIA KWENYE HII HARUSI. 

Mc Gara B
Подписаться 333 тыс.
Просмотров 707 тыс.
50% 1

Subscribe/ Share/ Like & Comment:
/ @mcgarab
For Booking:
Call: +255 714 637 457
Email: grugalabamu@gmail.com
Join me for conversation!
Instagram: / mcgarab
Facebook: / garabkubwa
Twitter: / mcgarab

Опубликовано:

 

15 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 341   
@ndennkya9554
@ndennkya9554 21 день назад
Kutoka moyoni mwangu kusema kwelime nampendaga sana tena sana Mama Samia jamanii Mama Love uuuu❤mchapa kazi jembe letuu
@ashraff_tz
@ashraff_tz Год назад
For really mi nampenda sana huyu mama Allah amjaze Afya. I never seen the president like this woman interms of relationship with people. All in all designer wake anajua
@user-zy4sx6xm4t
@user-zy4sx6xm4t 11 месяцев назад
Mashallah Masamia uko fit kabisa insh Allah kula la kheri love frm Kenya❤❤❤
@tonniocharo1076
@tonniocharo1076 4 месяца назад
Nakupenda Mama. Allah akujaze mapenzi na busara zaidi
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Год назад
Mungu azidi kumlinda mama yetu, jamani kapendezaaa😍na uzuri unachangia🥰 Kwa uzuri Mungu kamtunuku, na roho ya upendo kampatia.. Tunajivunia wanawake wa Tanzania, tunawezaaaa❤❤
@mohamedhussein-qb5sg
@mohamedhussein-qb5sg Год назад
Heko kwa kila mama .....Anaweza kweli kweli, Proud of her with much love from Kenya
@simonlyimo4360
@simonlyimo4360 11 месяцев назад
May God bless our Tanzanian Madam President Samia🙏. One of the best not only a leader but also a patriotic Queen us Tanzanians could ever witness.
@agneskapwani3484
@agneskapwani3484 Год назад
Najuaga kukupenda tu rais wangu♥️♥️♥️ishi mama hakuna mkamilif unapambana👌
@jamilaadan6840
@jamilaadan6840 3 месяца назад
Kabisaaaa mkamilifu Allah ❤❤hakika anapambana!😊
@user-hn8co6sr7i
@user-hn8co6sr7i 3 месяца назад
Complete comment
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Год назад
Rais wangu mbona umependeza sana.Safi sana ❤❤❤👍👍
@abubakaryduma5374
@abubakaryduma5374 Год назад
Mitano tena Kwa MAMA....
@aishaomar9621
@aishaomar9621 24 дня назад
Nampa hongera mama samia unajuwa kuongoza nchi yako mama pongezi zngu kwako n hkuombea dua ucku n mchna❤❤natamani nngelizaliwa tanzania 😢
@thebodyguard8164
@thebodyguard8164 Год назад
I love tanzania, love from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤
@Grattitude85
@Grattitude85 Год назад
Am proud of you mama, apart from kupendeza sana. Lov u
@saidmohd7240
@saidmohd7240 Год назад
Kwa sbb anajuwa kuvaa na nimzuri nature! Lazima apendeze tu!
@MaaneML
@MaaneML Год назад
I am proud of my president. Have my love and hugs ❤❤❤❤❤
@stonetown578
@stonetown578 Год назад
Masha'Allah TabarakaAllah pendeza madame President
@ziadaissa9607
@ziadaissa9607 Год назад
Jamani nàmpenda Mimi mama samiah mungu ampe maisha marefu
@user-ts3gz3qh4x
@user-ts3gz3qh4x 4 месяца назад
Yaani uko vizuri sana Mama Samia Mungu akupe maisha marefu huna baya na mtu adui zako Mungu awapige Ameeen
@HawaAhmed-by6ox
@HawaAhmed-by6ox Год назад
Proud of you mama Looking very pretty
@MwanawamtemiHawa
@MwanawamtemiHawa Год назад
Mashallah mashallah mama tunakupenda saana kipenzi chetu mama samia wetu mtetezi wetu
@sitazonou5296
@sitazonou5296 5 месяцев назад
My sister president ❣️Samia❣️ I love you ❣️ in i love Tanzania too Ramadan 💚Mubarak💚 inshallah
@meryfrank5272
@meryfrank5272 Год назад
Umependeza sana mama , nakupenda sana
@chikuliundi8908
@chikuliundi8908 Год назад
Mama Yuko poa sana jamani Mashallah Allah ambarik😊😊❤❤
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 Год назад
She is ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 a legend ❤❤❤❤❤
@salimliemba3458
@salimliemba3458 Год назад
Mash Allah mama yetu huyo❤Allah akulinde na jicho la hasad Ameen
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Год назад
Amin
@Guled3
@Guled3 6 месяцев назад
Amin from Hargeisa Somaliland
@londonladybirdjunioracadem4226
@londonladybirdjunioracadem4226 5 месяцев назад
Amin
@jamilaadan6840
@jamilaadan6840 3 месяца назад
Ameen from London ❤ 🇬🇧 😊
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 Год назад
Jamani wapambe wake mbona mama kaulambia vizuri sana yaani natamani kichwani awe hivi hata ofisini kafunga lemba lake yaani ni 🔥nimeipenda hiyo safi Rais wetu umepemdeza mnoooo.
@MaryamAbdi-sq2jx
@MaryamAbdi-sq2jx Год назад
Very queen woman made from tanzania
@user-me6gv6tm8h
@user-me6gv6tm8h 4 месяца назад
Mashaallah mashaallah tabarakallahu may bless Allah our president protect you shari yote 🙏🏽🙏🏽Allahu ma thuma amini 🙏🏽🙏🏽
@NeemaVuai-pm7pt
@NeemaVuai-pm7pt Год назад
Mashaallah Ilove Tanzania Ilove Zanzibar
@sophiamasawe4309
@sophiamasawe4309 Год назад
Mama amependeza sana wenye wivu wamuone hivihiv ❤
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do Год назад
Pesa ya bandari hiyo mtaitapika
@benjaminmtebe5009
@benjaminmtebe5009 11 месяцев назад
Nimelipenda Sana vazi la Rais wetu leo Umependekeza Sana aliyekushonia abalikiwe Sana
@aboubakaryjuma8349
@aboubakaryjuma8349 Год назад
Tuna Rais Chuma Wallah,MashaaAllah
@HitraCarol-mi2cq
@HitraCarol-mi2cq Год назад
Nice
@djamilalinigerstrauss5501
@djamilalinigerstrauss5501 Год назад
Harussi people was Allways loving to me !!thank You !!!( around Soderee )
@zainabantony
@zainabantony Год назад
Perfect mama mitano tena %%
@mohamedabad7179
@mohamedabad7179 Год назад
Binafs mama nimemridhia fi duniya wal akher🥰🥰
@hawahamis4176
@hawahamis4176 Год назад
Kwan ww ni Allah 😂
@mohamedabad7179
@mohamedabad7179 Год назад
@@hawahamis4176 utaniuwa😄
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Год назад
ManshaAllah Mpendwa wawatu Rais Samiya umependeza sana tunakupenda sana Allah akuhifadh na kila hasad
@matiaskunnanga9567
@matiaskunnanga9567 Год назад
never
@millowamilonga
@millowamilonga Год назад
@@matiaskunnanga9567 acha wivu bwege wa kisukuma wewe.
@anisetumrosso6731
@anisetumrosso6731 Год назад
Mama mama mungu hakulinde mitano tena
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Год назад
Aamin yarab
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Год назад
​@@millowamilonga achana nae masafara wa mamba lazima wawemo kenge
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Год назад
Mashaallah jazakumllah kheir mama amiin
@halimangache4657
@halimangache4657 3 месяца назад
Mama Samia hoyeeee....much love from the 254...Allah bless you mama...❤❤❤❤❤❤
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 4 месяца назад
Mashallwah mungu akupe daraja hadi peponi umependeza mama
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Hongera Mama Mungu akulinde akupe UMRI ❤
@user-pj1lj5hw8p
@user-pj1lj5hw8p 6 месяцев назад
Mama ubarikiwe sana na mungu awe pamoja nawe siku zote za maishi yako
@jumajay8496
@jumajay8496 Год назад
The only president in africa who 90% of her citizens love's her for free even even opposition followers it has been camping too difficult for opposition leaders fainting to her political, Congratulations mama samia.
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 Год назад
Excuse me..Go Back and do it research properly
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 Год назад
Una uhakika na unachokiongea umefanya utafiti au umekurupuka tu
@husnamusa3178
@husnamusa3178 Год назад
@@ngamanyajoshua839 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fatinaselemani7243
@fatinaselemani7243 Год назад
Huo ni uwongo na upotoshaji mkubwa mno
@millowamilonga
@millowamilonga Год назад
@@emanuelleopod3949 wewe uliyefanya reseach za kisukuma unasemaje? Unapinga kwa hilo?
@HamisRashid-xl4mn
@HamisRashid-xl4mn 4 месяца назад
Huna baya mama yetu mwenyezi mungu akupe umri mlefu nakupenda mama yangu kwajili ya Allah
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Год назад
Mashallah mama samiha nakupenda raisi mpole na hikma Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤
@JoharJoha-ww7tg
@JoharJoha-ww7tg 3 месяца назад
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-zc3oz6uk5z
@user-zc3oz6uk5z 8 месяцев назад
Hongera sana umependeza mama Samia
@alphonsinammasy4809
@alphonsinammasy4809 Год назад
We appreciate you are wonderful work❤❤❤
@magomakabanja480
@magomakabanja480 3 месяца назад
Mama wa Watyu Wengi Mwenye Kuleta Amani Wapotezaji Wamepotea Kwa Ushupavu Wake
@user-os3ed2nl2k
@user-os3ed2nl2k 3 месяца назад
Mama..Allah akupe umri mrefu ishaallah.
@ethelgivamakota7143
@ethelgivamakota7143 Год назад
Mama amependeza sanaaaaaa
@user-qm3pi7vx9u
@user-qm3pi7vx9u 6 месяцев назад
Yeye anafulai wegine wanalia,wabongo wanafki kweli niy si ndo mnatukana kila cku leo eti nampenda mama mungu akulinde eeeeh tz yangu allo,unafki kweli
@RithaRitha-cj3ph
@RithaRitha-cj3ph 6 месяцев назад
nisaidie kuongea
@MteuleMzumba
@MteuleMzumba 3 месяца назад
Mimicjawai kumpenda kamwe
@ziadaissa9607
@ziadaissa9607 7 месяцев назад
Jaman Rais wetu mzur Sana nampenda mno mola amzidishie
@user-eh8lk9lk8z
@user-eh8lk9lk8z 5 месяцев назад
Mungu akujalie kila la kheri dunia na akhera nakupenda raisi wetu
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 11 дней назад
Shule za msingi ziko safi!!!!!!!!!!!! Wajukuu zake wasomea shule gani? Imba uchukue chako hana uchapa kazi wowote.
@PhoebeOkullu
@PhoebeOkullu Год назад
Can't help but be inspired by her 🇰🇪
@Irene-sk4ig
@Irene-sk4ig Год назад
Mashallah amependeza sana mama yetu,
@capteniziro9843
@capteniziro9843 Год назад
Mama ako wewe
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Год назад
​@@capteniziro9843 Alokuwa anampenda ni Mama yake na Rais wake....alochukiwa ende akanywe maji ya bahari...😅😅😅
@wilonderby
@wilonderby Год назад
Ko harusi nzima Amna aliyeshika simu dadekiii 🙌🏾🔥
@sabramhina7547
@sabramhina7547 Год назад
😂
@honoratusmodest285
@honoratusmodest285 2 месяца назад
Mama nakukubali sana
@user-oc8rh9br4k
@user-oc8rh9br4k 11 месяцев назад
Risi wetu anamashauz hatair 😂 ❤tnzn amani itawale
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 7 месяцев назад
Chezea mzanzibari ataacha wapi masahuzi 😂😂😂
@yusufurhobi9678
@yusufurhobi9678 Год назад
Aisee mama kapendeza Sana.
@bibielroybibielroy8710
@bibielroybibielroy8710 Год назад
Maashallah uko vizuri mama
@joeae6297
@joeae6297 7 месяцев назад
Haya sisi WaCongomani tunampenda sana Mama waAfrica mama Samia Suluhu
@aliamour4970
@aliamour4970 8 месяцев назад
Masomaso maadui waskuone mama yetu ❤❤❤
@DicksonElisha-ic1lv
@DicksonElisha-ic1lv 11 месяцев назад
Mama anapenda bata
@yusufujaluo979
@yusufujaluo979 Год назад
Mashaallahu Allah akuhifadhi
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Год назад
na mimi sijuhi nimuite rahisi ktk harusi yangu.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Nchi inaenda na imepoa, Mungu azid kumbarik na ampe afya njema na umri mrefu, ila wakina mama wana mavazi ya kila aina sasa sijui ndio dera au kijora ila Kimemtoa hatari
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l Год назад
😂😂😂😂
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 Год назад
Asante mama
@ashaali7506
@ashaali7506 Год назад
Alhamdulillah mama samia mimi mwanao zahir simu yangu imeibiwa haha😅 i love you our queen ccm oyee!
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 Год назад
Asante Kwa madaraja mama
@mammym4185
@mammym4185 Год назад
MashaAllah MashaAllah lovely
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 Год назад
Mama Kanoga 🤩😘🇹🇿
@user-cd5ch7mi1e
@user-cd5ch7mi1e 6 месяцев назад
Mh... kweli Zanzibar ni raha tupu pwani hiyo
@hamadimussa2119
@hamadimussa2119 Год назад
Mama yetu ni mzuri Maa shaa Allaah
@fatumaahmed4718
@fatumaahmed4718 8 месяцев назад
Kujisitiri kwa watu wa kike ni mararidadi wakati wate
@user-st2ig6ds3f
@user-st2ig6ds3f 3 месяца назад
Mashaallah
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 7 месяцев назад
Kweli
@davidtemba9641
@davidtemba9641 22 дня назад
Naipenda Tanzania kwa amani yetu.🙏🙏
@aishamaulid2864
@aishamaulid2864 Год назад
Maashaallah. Umependeza
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 Год назад
Gara b umekula bingo jiandae kuwa mkuu wa mkoa
@maryjosep2586
@maryjosep2586 Год назад
Maashaallah mama Allah akulinde nakupenda bure
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 11 месяцев назад
Mashaa Allh ❤
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 5 месяцев назад
Mashallaaah nimependa
@halimatmohd3673
@halimatmohd3673 Год назад
MASHAAALLAH❤❤❤❤
@mwajabuabdallah3544
@mwajabuabdallah3544 Год назад
Maashallah
@faridashabani5940
@faridashabani5940 8 месяцев назад
Mama la mama❤️❤️❤️
@evarosdiana6454
@evarosdiana6454 Год назад
kenya wanaona hii maneno, mama poa, c kama hapa 🇰🇪 wa2 wakor
@Sesilia1988-tn7ox
@Sesilia1988-tn7ox Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ramadhanikalungwana8377
@ramadhanikalungwana8377 Год назад
Rahaa za Muungano!!! Bariki Tz!!!!
@askofuisayagerald
@askofuisayagerald Месяц назад
ri bibi angu Samia mama nakupenda mama angu jamani mama angu
@samshabaan686
@samshabaan686 Год назад
Umetokeza,vema,mam,nakupenda pia.
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 11 месяцев назад
Muziki mzuri sanaaaa!!!! Lakini mbona hamchezi.... Raha sana Muusic my hobby!!!!
@user-qx4dz5kx3g
@user-qx4dz5kx3g Год назад
Mama kama mama.nakubali umependeza.
@janeushaky7043
@janeushaky7043 Год назад
Mitano tena kwa mama
@mpelajohn2681
@mpelajohn2681 Год назад
Huyu Rais nampenda sana anayembeza nitakufa naye sitajali jela.
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Год назад
Kwakweli anajitahidi
@Hawa-rt3jl
@Hawa-rt3jl 3 месяца назад
Machozi yamenitoka huyu mama binafsi nampenda❤
@RithaRitha-cj3ph
@RithaRitha-cj3ph 3 месяца назад
mmmh
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js Год назад
Waooo mama kapendeza mwenyewe
@HusseinMohamed-jq7hu
@HusseinMohamed-jq7hu 8 месяцев назад
Jihifadhi sana mama dunia tunapita kuna kaburi mbele yetu
@user-ox1ce7iu8i
@user-ox1ce7iu8i 8 месяцев назад
Acha ujunga wee harus kwen hua hapmpigiw nyimbo ama unahc rais ni malaika anaishi mbingun
@SaidihusseinAthumani-dy9kw
@SaidihusseinAthumani-dy9kw Год назад
mama yetu tuna kupenda sana
@SmilingGoshawk-mz2gp
@SmilingGoshawk-mz2gp 6 месяцев назад
Penda sana mama akeee❤❤
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 7 месяцев назад
Hafdhullah..!
@HamisMberwa
@HamisMberwa Год назад
Mama yetu mama samia
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 Год назад
Hapo kwenye suala la cm kumbe raid alipoingia zikakatazwa ila Watu kwenye nyumba za ibada zinaita tu
Далее
Мелл хочешь сына от Дилары
00:50
Insane Coffee trick EXPOSED 😱☕️ #shorts
00:20
Мелл хочешь сына от Дилары
00:50