Тёмный
No video :(

UTASHANGAA VANILLA KILO 1 NI MILIONI 1/INALIMWA POPOTE/TANZANIA KUNUFAIKA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 56 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 287   
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 года назад
Kila biashara nzuri ukihadithiwa ... Haya jaribu kuifanya uone ... Kwanza hapa hauambiwi changamoto zake ila nenda Google ukakutane na changamoto za kulima vanilla
@abelbufumbe790
@abelbufumbe790 2 года назад
Zinalimwa Sana huku comoros 🇰🇲 zina hela Sana
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 года назад
Samahani Naomba namba yako kaka huko Comoro Kuna kitu nataka kuuliza , kwa nia njema tu
@salummsellem8152
@salummsellem8152 2 года назад
@@lilianluhasi5053 hata nami naomba namba yako Abel
@salummsellem8152
@salummsellem8152 2 года назад
hata nami naomba namba yako Abel
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 года назад
Namm pia kaka
@hassanmakame
@hassanmakame 2 года назад
Acha kuwadanganya wenzio...Comoro ni nchi maskini sana...lau unachosema kingekuwa ni kweli basi Comoro ingejaa wenye hela...
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 года назад
Sasa jichanganye ulime milion inageuka buku🤣🤣 hivi vinaitwa vilimo vya trending
@hamzasalim3188
@hamzasalim3188 2 года назад
😁😁😁
@happymbowe5030
@happymbowe5030 2 года назад
bro acha yan ni mtihani sana kaka nililima pilipili kichaa zaidi ya heka 10 kipindi nacha kulima makampuni mengi yalikuwa bega kwa bega na mimi nikaweka mtaji watu wote nikaachana na kilimo nilichokuwa nafanya baada ya kuanza kuvu mara soko limeshuka mara oho nilipoteza mtaji na nikaanza moja nilipoteza zaidi ya 10 M so nawachukia hawa watu
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 года назад
@@happymbowe5030 hawa watu nomaa
@J4UPro
@J4UPro 2 года назад
@@happymbowe5030 halafu hawa watu ni kama wakongoman wanavyoongea
@salomeluhanjo8446
@salomeluhanjo8446 2 года назад
@@J4UPro kilimo cha kwenye karatasi
@loganpoul
@loganpoul 2 года назад
Watanzania wataenda kukata vidole ama watalima?watanzania wanapenda Sana pesa rahisi rahisi Tu,
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ulijuwajee kama si mchawi 😂😂😂😂😂 haswaa hilo nalo nenooo
@chachawambura4030
@chachawambura4030 2 года назад
Mazao ya mtandaoni na ya kwenye makaratasi yanalipa sana, njoo kwenye uhalisia sasa😂😂
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 2 года назад
🤣🤣🤣
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@simonandrew1489
@simonandrew1489 2 года назад
Hahahahahah
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 года назад
@@rubenprince8990 😂😂😂😂
@martinymaryogo8753
@martinymaryogo8753 2 года назад
Yan ww unafaham km mm, yan akifanikiwa mmoja ndo analetwa mtandaoni,lkn waliopoteza mda na pesa zao hawakufanikiwa na hzo vanilla hawaletwi kuongea changamoto
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 2 года назад
NI MAGENGE YA WASOMI YANOYAWATAPELI WATANZANIA. TRUST ME....!!
@daudjohn3609
@daudjohn3609 2 года назад
True
@jumaselemani2720
@jumaselemani2720 2 года назад
Kweli kbsa
@triphoniavitus
@triphoniavitus 2 года назад
Kweli hao ni matapeli
@rahabumsalilwa8079
@rahabumsalilwa8079 2 года назад
kuna watu wanalia wametapeliwa
@hassanmakame
@hassanmakame 2 года назад
Watu wanapaswa kujua kuwa hakuna easy money duniani.... lau vanilla ingekuwa na pesa zinazosemwa matajiri wangewekeza kwenye vanilla... ukiona fursa inadaiwa kuwa na pesa sana wakati matajiri hawana mpango nayo basi jua kwamba ni fursa ya kawaida tu...
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 2 года назад
Kumbe hata kwenye kilimo kuna matapeliii halafu serikali ipo kimy tu🤫🤫🤫🤫
@khizralghawy9489
@khizralghawy9489 2 года назад
Hahhaaa
@seifmassoud3269
@seifmassoud3269 2 года назад
Lkn ni kweli vanila iko na hela sana, na inauzwa sana middle East
@seifmassoud3269
@seifmassoud3269 2 года назад
Ila si hivo anavoinogesha yeye tu 😂🤣🤣
@oswiitvonline6514
@oswiitvonline6514 2 года назад
Huyu jamaa mi namwelewa sana sio tapeli kaanza mbali sana kuanzia kwenye kufundisha watu ujasilia Mali,kutengeneza sabuni n.k Mr. Mkondya sio tapeli labda ukipata muda unaweza kwenda kuwaona ofisini kwao.
@LeonardMasangula
@LeonardMasangula Месяц назад
Na huyu ndo taper wa dodoma mr. Nguruwe
@barick
@barick 2 года назад
Mi nilishapigwa kwenye mradi wa namaingo sina ham na hawa matapeli . Mradi wa namaingo unafanana na huu huu . Nawahurumia sana watanzania maana wanapigwa sana serikali ipo 😳 inaangalia tu 👀,sijui wanashirikiana ?
@marrymauki2147
@marrymauki2147 5 дней назад
Jamani Mzee Monday sio mkweli anatudanganya Sisi ameishatuliza huu NI mwaka WA pili SASA , haujapata kitu
@ericksilayo3203
@ericksilayo3203 2 года назад
Inakuwaje unamkodishia mtu shamba kwa mil.12 akivuna apate mil. 120 kwa nini wewe usilime ili upate hizo mil. 120 baadala la kuhangaika na mil. 12
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 2 года назад
Kweli kabisa🤝🏻, Hawa matapeli
@himidijenga535
@himidijenga535 2 года назад
Umeongea point Sana kwann yeye asilime apate 120 m
@lovenessmushendwa1230
@lovenessmushendwa1230 2 года назад
Mimi nahisi hawa lengo lao ni kujenga green house,sasa hizo vanilla ni kama kiingilio tu,I biashara yao haswa ni kujenga green house ila wamejitahidi kubuni mbinu hehe,mm nilivyomwona tu snura wa chura anarukaruka nikajua hamna kitu,ndio akili ikaaanza kudadavua rasmi
@raphaelhumbi5983
@raphaelhumbi5983 2 года назад
Matapeli
@christiannyamamba9089
@christiannyamamba9089 2 года назад
Swali zuri mno hili
@nassorshaaban7295
@nassorshaaban7295 Год назад
Hapo kuna wtu anatafutwa hiyo nayo ni Desi"haiwezekani Vanilla iwe na bei hiyo wkt watu tupo na Mashamba tunalima Pilipili km Ally Happy.!Huyu Ally Happy analima Pilipili inamaana hajuwi km Vanilla ipo bei hiyo.!? Hapo kuna watu watapigwa Kwa kujengewa hizo Green House
@jenipherkachecheba8097
@jenipherkachecheba8097 Год назад
njoo huku Kagera utupe hiyo 1m
@hamzahassan1944
@hamzahassan1944 2 года назад
Bora serikali iruhusu bangi na mrungi, italimwa zaid na italipa
@Hasnspop
@Hasnspop 11 месяцев назад
Hawa washenzi matapeli😂😂😂
@zanzibakongwa4255
@zanzibakongwa4255 2 года назад
hao jamaa ni matatizo kuna krip nying zinawalalamikia ulizen wat wa njombe wanachokifanya hao bwana wao hiyo milion kumi na mbili ukitoa unatengenezewa hilo net bas halaf unaachwa hewan heb waulizen watu wa NJOMBE au andika neno kilimo cha vanila utakutana na watu wanalaum hao jamaa wastafu wamepata shida san kwa hicho kilimo
@barick
@barick 2 года назад
Utapeli nje nje na media zinasapoti sana zinapromot sana hawa matapeli.
@ThomasMselle-rw5ej
@ThomasMselle-rw5ej Год назад
Nina eneo langu wilaya ya ubungo kata makuburi mtaa wa Makoka km 4 kutoka Riva side bar. Ukubwa wake ni mita 25×30=750sqm je lina tosha kuweka greenhouse ya vanilla? Ni gharama gani?
@robertigohe7477
@robertigohe7477 17 дней назад
Wasafi media acheni kushirikiana na huyo tapeli kuwahadaa wananchi
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 2 года назад
Je bila green house hawezi kustawi? Na je mbegu zinapatikana wapi? Je hakuna changamoto kama maradhi ktk mmea?
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 2 года назад
Zina stawi na kulimwa bila green house.
@amanichaula1
@amanichaula1 2 года назад
Wewe sio mtanzania yeye mwenye njaa kali hii ndio ile ishu ya Dec kupanda hela mwisho wakuvuna kilio
@upendolema9809
@upendolema9809 2 года назад
Usinikumbushe🙆
@moudboss846
@moudboss846 2 года назад
Vanilla tupumzisheni Kidogooo
@marrymauki2147
@marrymauki2147 5 дней назад
Tumuogope kwa hili .
@mosaidi2633
@mosaidi2633 11 месяцев назад
Serikali iwashuhulikie hawa matapeli
@deusraphael2954
@deusraphael2954 2 года назад
Home win, both team to score and over 7.5 = 600mil
@emanuelhermantv9725
@emanuelhermantv9725 2 года назад
How can you help me please
@jmeddimoso1847
@jmeddimoso1847 Год назад
😀😀😀😀
@robertigohe7477
@robertigohe7477 17 дней назад
Mtu asithubutu kuingia uwekezaji na huyo mkondya Italia mwenyewe,ni tapeli na ana kesi mahakama ya kisutu ametapeli Zaidi ya watu 40
@MwambaChrispin-nv2lg
@MwambaChrispin-nv2lg 10 месяцев назад
Vanila ni mmea gani matunda yake yakoje n'a Yana umuhimu au faida gani?
@katemekatemefarmerscare1109
@katemekatemefarmerscare1109 2 года назад
Hakuna kitu hapo jamaa kawaliza wengi waulize njombe miaka 3 hakuna kitu
@saimonianatorysubila232
@saimonianatorysubila232 2 года назад
Naomba namba yako ya cm ili nikupigie update kuogea kwa malefu na mapa
@willsonmadinda6985
@willsonmadinda6985 2 года назад
Weka namba za cm tukutembelee tuje kujifunza
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 2 года назад
Hapa Vannila ninayo tani 5.Hakuna cha million moja wala ushuzi wake kudadeki niulizeni mimi.
@milelestudios1050
@milelestudios1050 2 года назад
Pole sana Tatizo ni nini
@emariusrush3285
@emariusrush3285 2 года назад
soko hamna
@mcback4384
@mcback4384 2 года назад
Vanilla Tani 5 ya mavi? Unavuta bangi wewe unafikiri Tani 5 ya vanilla ni magugu
@bashirsalimin4948
@bashirsalimin4948 2 года назад
Kwan kaz ya vanila hasa ni ipi? Mana umelima kwa hasira... Tupeane elimu mkuu
@lovenessmushendwa1230
@lovenessmushendwa1230 2 года назад
@@bashirsalimin4948 😁😁😁 nacheka ila naogopa
@BigBrain23
@BigBrain23 11 месяцев назад
Kilo ya Vanilla hapa marekani ni dollar kati ya 38 na 40. Hawa mataleli wanaowadanganya wakulima hizo bei wanazitoa wapi kama sio wizi tu na serikali ya ccm ipo tu inafukuzana na chadema badala ya kukamata hawa matapeli
@agforeigner_96
@agforeigner_96 Год назад
MBONA MNAMHOJI HUYU MKAKA TAPELI JAMANI, KAZI YAKE KUCHUKUA PESA ZA WA STAAFU. KAMTAPELI MAMA YAKU SHA LIPO TUUU ATASEMA NAKUJA NAKUJA MWAKA WATU SASA HAMNA KITU
@jonasjohn3176
@jonasjohn3176 Год назад
mungu atawachoma hederea kuiba
@marubuwambui6082
@marubuwambui6082 Год назад
Hii million iko in which currency. Tafadhali.
@jacobmathias7945
@jacobmathias7945 2 года назад
Hivi asas na bakheresa mo dwji hawjaona hiyo fursa sisi level zetu ni kilimo cha matikiti
@Hasnspop
@Hasnspop 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@kennethbutichi6022
@kennethbutichi6022 2 года назад
How can I get in touch with you
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 2 года назад
MANENO YENU NI MATAMU MNOO..!! UKIJA KWENYE UWALISIA UTAKUTA NI GENGE LA WASOMI NA WANASIASA WAMEWEKA MICHONGO YAO KAMA KAMPUNI YA JATU , PAKA LEO IMEWAINGIZA WATANZANIA MKENGE IKIWEMO MM MMOJA WAPO, TUWENI MAKINI NA HIZI KAMPUNI..
@antonychristian1369
@antonychristian1369 2 года назад
Jatu. Wamefanya nn Tena brother, nlianza kuwaftilia ujue
@selestineramadhani7325
@selestineramadhani7325 2 года назад
Wametapeli watu
@michaelmmari7993
@michaelmmari7993 Год назад
Vp mkutano wakesho kunagarama za kiingilio?
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 2 года назад
Wasenge kweli hawa wenyewe si wangekua matajiri 🤣🤣🤣🤣😂😂😂 nyuso zao tu zinaonyesha zimechoka njaa tupu.
@asantielngowi1269
@asantielngowi1269 2 года назад
🤭🤭🤭🤭
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 года назад
Milion 1 basi wa comoro mabilionea😂😂
@fatimayoussoufali1930
@fatimayoussoufali1930 2 года назад
Aje huku kuchukuwa
@faridhassan6834
@faridhassan6834 2 года назад
Kkkhhh
@faridhassan6834
@faridhassan6834 2 года назад
Umenishinda wewe mtoto
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 года назад
@@faridhassan6834 😂😂😂
@ismailmuna1604
@ismailmuna1604 11 месяцев назад
Hebu Wacheni Uwongo Mimi Ndugiyangu Anayo Tani 7 Tupe 600000 Kwa Kilo Mwambie Hiyo Mteja Wako Aje Achukue Vanilla Inauzwa Morogoro Kilo Moja Ni Elfu 70000 Mpaka 60000
@irenecharles6111
@irenecharles6111 Год назад
Mimi nimelima na nnazo zipo kwenye quality bora naomba mnisaidie soko jamani
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Год назад
Upo sawa
@annamarialivangala3304
@annamarialivangala3304 2 года назад
Soko lake liko wapi na nalipataje?
@frankdanford8245
@frankdanford8245 2 года назад
Kuna mstaafu namuona anaenda kupigwa na kitu kizoto wallaaah🤣🤣🤣🤣🤣
@rafiquesamuel1205
@rafiquesamuel1205 2 года назад
🤣🤣🤣kabisa
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 25 дней назад
Huyu jamaa si dio yule aliyetapeli watu kwenye vanilla?. Na sasa yuko na mradi wa Nguruwe Dodoma? Sijui anataka kuliza tena watu? Jamani
@upendolema9809
@upendolema9809 Год назад
Mbn wapo radio nao wanaitangaza sana kumbe Haina uhakika duuh 😩😩😩
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 года назад
Kwa Tanzania inalimwa wapi ?
@moseskisingi7696
@moseskisingi7696 2 года назад
Wabongo tumerogwa siyo Bure. Hapa kwa maelezo kidogo tu unagundua ni wizi lakini bado wabongo wamo tu.
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 2 года назад
Bei yake ni laki 3 mpaka sh.laki mbili na nusu huyu anaharisha harisha tuu.
@musason1680
@musason1680 2 года назад
😂😂😂
@janechacky3810
@janechacky3810 2 года назад
Kama nina shamba langu mnaweza kuja kunijengea
@zainabzain3434
@zainabzain3434 2 года назад
Dah umeuliza nilichomeza my dear maana kukodi. Mtihani
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 11 месяцев назад
Acha kupotosha jamii"milion 12 ya mamaako"kuma nyoko
@michaelnkanda6652
@michaelnkanda6652 2 года назад
CEO was JATU umeona comment juu ya kampuni yako kuwa niutapeli
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 11 месяцев назад
Waziri wa wizara husika kasema hiyo bei haipo, ww soko lako ni KUZIMU au wapi
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 2 года назад
✝️ safi kwa roho safi 🙏✅
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 2 года назад
Ayo mtangazo sio vanila zipo za kutosha bwana acheni izo hata bila Greenhouse mbona zinaota kijijini kwetu zipo za kumwanga tu sio kweli soko hakuna
@faridhassan6834
@faridhassan6834 2 года назад
Hii ndio dili la mjini, mnikopeshe hio Green House kwa milioni 12 kisha nikiuza milioni mia sita siwapi kumi na mbili nawapa milioni mia mbili ya riba,usumbufu,kuniamini,vipi hapo
@khizralghawy9489
@khizralghawy9489 2 года назад
H eh ehhehehehehehheehhehehehhehe
@upendolema9809
@upendolema9809 2 года назад
😄😄😄
@victormchomvu1946
@victormchomvu1946 Год назад
Utakuja upigwe ujue
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Waoneeni huruma wastaafu jamani msile pesa zao
@Hasnspop
@Hasnspop 11 месяцев назад
😂😂😂😂
@richardshibora6748
@richardshibora6748 2 года назад
Mnapatikana wapi
@kamanda007
@kamanda007 2 года назад
Meno ya kuku ndio mpango wa sasa, kilo moja milioni mbili
@jenipherkachecheba8097
@jenipherkachecheba8097 Год назад
n vanila haiishi miaka 60,na chngamoto za vanila ni kubwa mno
@eenpaard3915
@eenpaard3915 2 года назад
Amemaliza mr kuku sasa Mr vanilla
@evachuw8092
@evachuw8092 2 года назад
🤣🤣🤣
@lovenessmushendwa1230
@lovenessmushendwa1230 2 года назад
🤭
@yolandaliyoya1839
@yolandaliyoya1839 2 года назад
Duu safi sana
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 2 года назад
Tunataka no. Yako
@isakafreddy7514
@isakafreddy7514 Год назад
🔥🔥🔥
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Mlonge, kware, sungura, jatropha, green house daah waoneeni huruma wastaafu jamani
@Reminadoezekiel-xq2cp
@Reminadoezekiel-xq2cp Год назад
Naomba kujua bei ya vanilla kwa sasa
@kenneth.m.siwale9699
@kenneth.m.siwale9699 2 года назад
Mkondya KONGORE SANA
@athumankambi483
@athumankambi483 2 года назад
Acha uwongo wwe una ndugu zako walime hzo vanilla...
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 года назад
Ila watanzania wengi hawatumii vanila labda ulaya na mahotelini
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 2 года назад
Kajaribu uone
@marymfugwa847
@marymfugwa847 2 года назад
Tupeeni namba
@jeftamlay8315
@jeftamlay8315 2 года назад
Naomba namba zenu natafuta sana mtaalamu anaejua kuhusu kilimo cha vanilla
@julianaswai7846
@julianaswai7846 2 года назад
Mbegu zake zinapattikan wap?? N jemnauz bei za vanila
@jonasjohn3176
@jonasjohn3176 Год назад
acha uongo kagera bona solo rimekosa
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 2 года назад
Mbona zipo nyingi tu uku hazina soko zipo nyingi hakuna soko joo uku kwetu zipo tu nyingi tu soko likowapi?
@sadakyando9524
@sadakyando9524 2 года назад
Swali langu moja tu soko likwapi?
@martinkisha6307
@martinkisha6307 2 года назад
Ninashamba zuri nipeni namba zenu tukutane
@elesiaemmanuel2910
@elesiaemmanuel2910 2 года назад
Mshitaki kulima nawapataje mnipe hiyo elimu nipo tanga
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Год назад
Wizi Wizi Wizi
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 2 года назад
Vanilla huku mambasa ni shillingi 3000/sokoni markiti wakuambia za madagascar.vijiti vitatu🤭🇰🇪.
@jovituskamugisha6530
@jovituskamugisha6530 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 ushawapiga wa Vanilla sasa umeamia kwenye nguruwe
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Bei halisi ya vanilla zipo google au amazon au alibaba waache kutapeli watu. Comoro na madagascar si wangekuwa mabilionea Ina hela kwa kilo lakini sio kwa bei hio ya milioni moja. Kagera wanalima sana, pili ina maeneo yake
@dianaalfredy3790
@dianaalfredy3790 2 года назад
Njoo Songea ulime ufuta,juzi nimetoka kupiga hela,kilo 3000
@markkarumba4749
@markkarumba4749 2 года назад
Habari,sorry naomba namba yko dada km hautojali cz nataka nikuulize kuhusu hiyo fursa
@saimonianatorysubila232
@saimonianatorysubila232 2 года назад
Nahitaji kulima lakini niko mwanza au mwanza alidhi yake haifi? Na ukiipanda Leo baada ya miezi mingapi unaanza kuvuna
@moudboss846
@moudboss846 2 года назад
Kwa mwaka Mzima ndio unavuna
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Waziri Bashe, tunaomba informations. Tunaweza kulima vanilla kwenye ardhi yetu ya Tz? Basi tuanzishe biashara hiyo tupate utajiri!
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 2 года назад
Mwanza inaweza kukubali ,hasa ukiwa na mbolea na maji.
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 2 года назад
Wauza matulubai😂😂😂Njombee watu wameumia sana sijui labda huko kwenu Arusha
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 года назад
😂😂😂🤣🤣
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 года назад
NA INACHUKUA MUDA GANI KABLA YA KUVUNA?
@brunotinda4810
@brunotinda4810 2 года назад
Mmmh!!!
@emanuelkisanga3429
@emanuelkisanga3429 2 года назад
Ni muda sasa Wateja ndio waongee....
@shufaaibrahim1463
@shufaaibrahim1463 Год назад
Habar nataka izo namb zenu miye mzigo nnawo
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Год назад
NADHARIA hiyo ndugu. I gia ndani uone joto ya jiwe
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Acha uongo haijafika bei hio
@amidujames2517
@amidujames2517 10 дней назад
Hawa ni matapeli wakubwa
@exuperychuwa179
@exuperychuwa179 2 года назад
He knows nothing about Vanilla... Such a big liar... mtapigwa sana ... ingieni kichwa kichwa
@severinefrances1763
@severinefrances1763 2 года назад
Acha wapigwe tuuu
@geofreymgeni2668
@geofreymgeni2668 2 года назад
Safi
@elinamericho1491
@elinamericho1491 Год назад
Mbegu napataje
@azizachoyo6958
@azizachoyo6958 2 года назад
LIMENI NYINYI YUWAONE
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 2 года назад
Hio sio green house, that a shed net, alafu, hujui ata kutoa description ya zao lenyewe, unaongelea hera tu, rotten scam
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 2 года назад
😳😳
@jaysmarthb8353
@jaysmarthb8353 2 года назад
Hyo bei haipo ni uongo
@hamedhabsi2752
@hamedhabsi2752 2 года назад
Kinacho nishangaza hapo ni kujitangazia kua wapo bichi fulani karibu na mahala fulani. Bila ya kusema kua ni Wilaya gani na Mkoa gani na Nchi gani.
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 2 года назад
Uninio ni dar es salaam jamani Ila naona nikama matapeli tu, utakabizi shamba mimea imekua🤔🤔🤔 eti green house kubwa mashariki😭
@kipitomkokoya6157
@kipitomkokoya6157 2 года назад
Mbegu zake tunazipataje nipo lindi ruangwa
@gibogb5637
@gibogb5637 2 года назад
kilimo cha mchongoo matapeli bwana tuulize wa njombe tunaelewa hasara zake na sii faidaa
@franktemu510
@franktemu510 Год назад
Nasikia ata huyu alikuwa tu huko njombe na ameliza watu haswa akatoroka kuna video watu wanamlalamikia sana huyu jamaa
@bestmarton7788
@bestmarton7788 2 года назад
This guy ni tapeli
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 года назад
Watu sasa waache kulima bange walime Vanilla
@marcomabanza6858
@marcomabanza6858 Год назад
Si wangelima wao wapate hayo mahela bwelele
Далее
Kilimo cha Vanilla Bagamoyo.
31:10
Просмотров 7 тыс.