Тёмный

UTATOKWA NA MACHOZI WAKATI WASIFU WA MAREHEMU GARDNER UKISOMWA LEADERS/ KUMBE AMEWASAIDIA WENGI 

Manara TV
Подписаться 292 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

UTATOKWA NA MACHOZI WAKATI WASIFU WA MAREHEMU GARDNER UKISOMWA LEADERS / KUMBE AMEWASAIDIA WENGI

Развлечения

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 5 месяцев назад
Duuu mtoto mmoja na Yule mwingine jamn uwiii jamn turuke tuanagike tufunge ndoa Hawa watoto WA nje ya ndoa Sio mtoto acha msubilie ndoa ndio nitotoe haya mayai
@LeeLian95
@LeeLian95 5 месяцев назад
We nae kwani Karen ni mtoto wa ndani ya Ndoa???Gadner hakupata mtoto kwenye ndoa hata Karen ni wa nie ya ndoa, huyo mtoto ilikua ni kiki tu hata Karen alisema hamtambui, eti mtoto wa nje ya ndoa sio mtoto looh mtoto ni mtoto
@naimajuma647
@naimajuma647 5 месяцев назад
Mwambie akuekewe usipo angalia unaweza ukaingia kwenye ndoa na usipate mtoto/watoto acha Mungu aitwe mungu
@MsAggie5
@MsAggie5 5 месяцев назад
@@LeeLian95marehemu na mama ake Karen walifunga ndoa japokuwa walimzaa Karen kabla ya ndoa. Nilishuhudia sendoff na harusi ilifungwa Tanga kwa wazazi wake Gardner lakini sikuhudhulia nilisikitika sana walipoachana.
@MashaMbwana
@MashaMbwana 5 месяцев назад
Kwa wakiristo mtoto ni mtoto hata awe nje ya ndoa anarithi mali za baba ila sisi waisilam mtoto nje ya ndoa huwezi kumrithi baba hata kipande cha nguo
@ThembelihleWilbert-du7hg
@ThembelihleWilbert-du7hg 5 месяцев назад
Nashangaa Gadner alisema ana mabinti wa 2 sa mmoja huyo yuko wp jmn sijamwona tokea msiba utokee wkt anasema ana mabinti wawil kutw na namwona madam Careen tu
@estermwakatundu3028
@estermwakatundu3028 5 месяцев назад
We nawe unaongea pumba mtoto NI mtoto na ndoa NI ndoa tuliza mshono jeydee ndiye mwenye ndoa na hakubahatika mtoto tulia
@LeeLian95
@LeeLian95 5 месяцев назад
@@estermwakatundu3028wewe ndo upunguze pumba, watoto wote ni sawa ingekua mtoto ni wa ndoa tu basi hata Karen asingetajwa mxeew
@LeeLian95
@LeeLian95 5 месяцев назад
Itakua ilikua ni kiki tu sidhani kama ni mwanae kweli maana hata Karen alisema hamtambui kabla hata Baba yake hajafa
@MsAggie5
@MsAggie5 5 месяцев назад
@@estermwakatundu3028Jaydee alifunga nae ndoa gani? Ya serikali? Nilishuhudia ndoa yake na mama careen ya kanisani, Lutheran church huko Tanga wakati careen akiwa mchanga, mmmmh. Tulifanya sendoff Kimara, Galax hall miaka hiyo
@naeema8155
@naeema8155 5 месяцев назад
​@@MsAggie5walifunga na jaydee ndoa ili waliachanaga
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm 5 месяцев назад
hawa watu maarufu sijui wanamatatizo gani katika kuwa na watoto,mbona wasifu unamapungufu mengi sana alizaliwa wapi sasa?taaluma zake alizipata wapi mwaka gani?
@MsAggie5
@MsAggie5 5 месяцев назад
Sio wengi wanapenda kutoa full details, hata mimi nimesema sitaki historia yoooote as if unadaiwa. Na tamaduni hii sijui umeipata wapi. Niko Ulaya nimehudhulia misiba mingi ya wazungu hawana haya mambo hata kufungua sanduku kuuaga mwili ni kitu gani hicho 😭😭😭😭
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 5 месяцев назад
Hta me piah nishaacha wosia siku nikifa waseme tu alizaliwa,akafunga ndoa akafa bas,mengne hayawahusu😂😂
@ThomasKatwila
@ThomasKatwila 5 месяцев назад
Alizaliwa mkoa gani Elimu aliugua tangu lini huuu wasifu una mapungufu sana
@LeocadiaPeter
@LeocadiaPeter 5 месяцев назад
😢𝙼𝚋𝚗 𝚜𝚑𝚘𝚛𝚝 𝚜𝚊𝚗𝚊.
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 5 месяцев назад
17 mwez wa 3 ni tareh mbayaa
@victaboy7273
@victaboy7273 5 месяцев назад
Kwenye interview na Dar24 marehemu alisema ana watoto 2 mbna nimesikia 1?
@LeeLian95
@LeeLian95 5 месяцев назад
Sio mtoto wake ile kiki tu
@victaboy7273
@victaboy7273 5 месяцев назад
@@LeeLian95 ok
Далее
1.ITUMIE DAMU YA YESU KAMA SILAHA YA VITA
1:15:18
Просмотров 126 тыс.
How many can you smash?🍫 IB : Florin
00:19
Просмотров 3 млн
Mkasi | SO9E16 With Gadna : Extended Version
42:50
Просмотров 61 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
NILIKUTANA NA MTOTO WANGU UKUBWANI "GADNER G HABASH"
17:20