Тёмный

UWANJA WA VITA MAISHANI MWAKO 

MAHUBIRI TV
Подписаться 217 тыс.
Просмотров 88 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 236   
@raheljose9524
@raheljose9524 Год назад
Asante sana Pastor Mbaga kwa somo zuri. Limenipa faraja kuu. Mungu wetu aendelee kukutunza.
@mn9484
@mn9484 4 года назад
Isaya 43:25 Mungu afutaye makosa yangu kwa ajili Yake. Hakumbuki dhambi yangu. Mungu hana list ya dhambi zangu.
@roselineombati670
@roselineombati670 2 года назад
Amen
@yohanaanthony3422
@yohanaanthony3422 4 года назад
Kwa kweli Pastor, wewe ni mtumishi wa pekee kabisa kuhubiri kwa kuwafanya watu wawe marafiki wa Mungu.
@TuyishimeLahayloy
@TuyishimeLahayloy 6 месяцев назад
Very intelligent man of God!!!listening from zambia❤❤❤❤❤
@magynzioka1122
@magynzioka1122 4 года назад
Nimebarikiwa sana 💘MUNGU azIdi kuwainua MTUMISHI WA MUNGU ili uzidi kutupa chakula cha uzima neno dio uzima wa milele
@elizabethnchalla9200
@elizabethnchalla9200 4 года назад
Baaba ninakushukuru kwa kuwa umenisikia. Kupitia somo hili umeiganga mioyo yetu. Barikiwa sana Pastor Mbaga. Amen
@LillianYatundu-yh2cn
@LillianYatundu-yh2cn Год назад
Sitababaika tena... Namwamin mungu maana ako na Kila itaji LA moyo wangu.... Nimebarikiwa na injili... May GOD bless you man of God
@hawamusumba431
@hawamusumba431 4 года назад
Since l started to follow the program of pastor mbaga my life has changed be blessed man of God
@ruthaminga7160
@ruthaminga7160 4 года назад
Amen hats Mimi I thank God for him
@joliea2956
@joliea2956 4 года назад
Hakika hili hubiri limenitoa chozi,maana nilikumbuka maovu yangu,Mungu akubariki sana pasta mmbaga,nimeokoka kupitia mahubiri yako
@ruthaminga7160
@ruthaminga7160 4 года назад
@@joliea2956 Amen
@bonventureminja9697
@bonventureminja9697 4 года назад
Jamani huyu mtumishi wa Mumgu aninibariki Sana kwaa Mahubiri yake naomba Sana kwenye namba yake ya simu anitumie
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 года назад
+255 755 932 283 Whatspp
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 4 года назад
Roho ya Mungu iko juu ya Mmbanga. Unafundisha mafundisho yanaingia vizuri Sana. Mungu akumbariki na akundumishe kwenye kazi yake🙏
@irenemsabaha1303
@irenemsabaha1303 2 года назад
Ameeen! Sisi ni warithi katika jina la Yesu
@KabulaElias-l5c
@KabulaElias-l5c 6 месяцев назад
GOD blessed Pastor Mmbaga and give long life together your my family
@sisterolivia9874
@sisterolivia9874 4 года назад
Listening from Kenya but In qatar Doha.... Nashukuru mungu kwa ufunuo huu kupitia mtumishi wako.... Sifa zikurudie wewe mueza wa yote.
@makyeintiro1023
@makyeintiro1023 7 месяцев назад
Tunamshukuru Mwenyenzi Mungu kwa ajili yako mtumishi, haya mafundisho yana nguvu sana na wengi hatukujua nguvu ya haya mafundisho ndo maana shetani amekua akitutesa, sasa tuna mstari wa kusimamia, jina la Bwana lihimidiwe milele na milele.
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 4 года назад
Kisa cha binti kimeniliza mch. mara nyingi wengi wetu tumezoea kuhukumu wengine badala ya kuokoa roho.Mungu atusamehe sana wakristo wa leo.
@raelsarange638
@raelsarange638 Год назад
Pastor be blessed umeniondolea mzigo I can't explain but God knows yaani I'm free in the mighty name Amen 🙏
@BahatiKazibake
@BahatiKazibake 8 месяцев назад
Shukrani sana,kwa kututiya moyo tena hasa sisi vijana; Mwenyezi Mungu Akuzidishie. From USA /texas.
@agneskhakali2069
@agneskhakali2069 3 года назад
Nabarikiwa sana Kwa mahubiri yako pastor David. Kwa kweli Uarabuni hatuna church so nimepiga Kambi kwa Mahubiri TV.Asanteni sana Mungu awajaze zaidi mno
@beatricemageka7972
@beatricemageka7972 4 года назад
Bwana na aondoe dhana zote za kushindwa,kutofanikiwa ,kutoinuliwa,kutoendelea kiuchumi,kutookolewa kutokana na dhambi ambao tumezitenda akajenge mazingira ya ushindi ndani yetu ktk jina la Yesu naomba,Amina
@irenemsabaha1303
@irenemsabaha1303 2 года назад
Nabarikiwa sana na Mahubiri yako Yaani kwa kweli yananitia moyo vibaya mnooo!Barikiwa sana Man of God!
@watwegopnina6480
@watwegopnina6480 4 года назад
Amen mchungaji wangu Bwana Mungu akubariki sana na familia yako, Mungu atubariki sote,
@erickmogere6558
@erickmogere6558 3 года назад
Pastor since i started following your preachings i have changed my mind set so far am thinking of great things
@philipombwambo1980
@philipombwambo1980 4 года назад
Mungu wa mbinguni nisamehe dhambi zangu zote na ufute jina langu katika kitabu Cha hukumu ukaliweke katika kitabu Cha uzima wa milele,,,
@gwizanick3994
@gwizanick3994 2 года назад
Amen
@elizabethnzagi6232
@elizabethnzagi6232 Год назад
Amen
@callennyanchama4014
@callennyanchama4014 Год назад
Amen and amen from USA California
@bridgetmbawala1029
@bridgetmbawala1029 3 года назад
Namshukuru Mungu kwa kunifunulia Neno hili. Asante Pastor David Mmbaga.
@JuliusKapange
@JuliusKapange 9 месяцев назад
😢 ki ukweli nasikilizaga mahubir ya wachungaji weng ila tangu nizaliwa cjawai muona mchungaji anayenigusa moyo wangu kama ww hakuna je ulishuswa tangu mbinguni ?? Maana ww co wakawaida amen
@nikizaviolette2723
@nikizaviolette2723 5 месяцев назад
Ubarikiwe
@elizabethtondo5178
@elizabethtondo5178 4 года назад
Pastor nimelia nilivyokuwa nikusikiliza kwenye hili somo,Mungu atusaidie sana Yesu aliwapenda wadhambi lakini leo sisi wanaadam tumekuwa wahukumu kwa kuwaona wenzetu wadhambi
@CatherineKwamboka-ip1gg
@CatherineKwamboka-ip1gg 10 месяцев назад
AMEN pastor Kwa mafunzo mema nimebadilikika Kwa jina la yesu kirsto ninaamini mm ni kiumbe kipya machoni pa yesu christo mwana wa mungu
@fobydz
@fobydz 3 года назад
God bless you pastor in a big way you just don't know how you have impacted me since you came to KITI camp meeting...This message was on point to boost our lives let God continue using you
@mercynyanchoka6283
@mercynyanchoka6283 3 года назад
Mungu umenisaidia, akili yangu imebona, ngome zimeshindwa ktk jina la yesu amen
@jedielkareithi4966
@jedielkareithi4966 Год назад
Nimemuona paster Baraka mtumishi mungu akubariki.umepotea sn paster wangu
@stellamariki6852
@stellamariki6852 4 года назад
Asantee Mungu kwa kuwa Wewe Kwangu ni MUNGU UNAEINGILIA KATI MAISHA YNGU,JINA LAKO LITUKUZWE DAIMA.
@ruthkibengu7504
@ruthkibengu7504 3 года назад
Hakika Mungu wetu nni mkuu sanahakumbuki makosa yetu
@BahatiElikana
@BahatiElikana 9 месяцев назад
Mungu aendelee kukutumiaa kutusaidiaa kuisogelea mbingu.thanks pastor God bless you
@laurentmsoya6733
@laurentmsoya6733 2 года назад
Nimebarikiwa sana. Mungu akubariki Pr. Mbaga. Akawe nasi sote. Ila fungu la Waraka wa Yohana hukulisoma.
@Vel42
@Vel42 4 года назад
AMEN Pastor kwa maneno ya kutia moyo na kuerevusha.
@joycejaphet9600
@joycejaphet9600 4 года назад
Mch Mbaga,namtukuza Mungu daima kwa huduma yako,Mungu akutunze.Namshukru Mungu kwa ajili ya kisa cha baba yangu mdogo,nilichokitamaani kukiona katika maisha yake anacho,namaanisha Imani katika kristo.Utukufu kwa Mungu wetu milele na milele.
@rechaelnjeri3299
@rechaelnjeri3299 8 месяцев назад
What a wonderful sermon may God bless you
@chrismtavangu8438
@chrismtavangu8438 Год назад
Ubarikiwe sana Mchungaji! Nimejifunza kitu. Kweli mahubiri yako yanabadili maisha ya Kiroho. Mungu atupe Roho wake tuyaishi hayo.
@Maria78134
@Maria78134 4 года назад
Amen Amen jina la Bwana libarikiwe maana fazhili zake ni za milele❤️asante Baba kwa kunitakasa na kunihurumiya
@mamarusi2769
@mamarusi2769 Год назад
Ubarikiwe sana mchungaji na Mungu azidi kukutunza na kukulinda pia
@lacandylove
@lacandylove 4 года назад
Thank you pr. For the word. I'm blessed 🙌 🙏
@janetkahada5206
@janetkahada5206 4 года назад
I received it in Jesus name amen amen amen thank you for good message. Be Blessed.
@yunisnyanguru3793
@yunisnyanguru3793 Год назад
Asante Mungu wangu Kwakunisamehe zambi zangu zote nitengeneze upendavyo na kunifungulia milango iliyofukwa maishani mwangu amina
@raghadmubarak553
@raghadmubarak553 4 года назад
Ameeen baba nimefundishika kitu katika njia hii ya kumfata Kristo Mungu akubariki sana
@winifridamushi1341
@winifridamushi1341 4 года назад
Ahsante sanaaa leo nimepokea kitu
@joycekasuva473
@joycekasuva473 Год назад
Mungu akubariki sana mtumishi kwa kweli nimefunguka nilikua napitia mawazo mabaya nikawa naji hukumu sana niliposikiliza tu nimefunguka na nimeelewa Mungu na Roho Mtakatifu aendelee kukupa maarifa zaidi watu waweze kufunguka
@stellamariki6852
@stellamariki6852 4 года назад
Yesu naomba NIKAVE WEWE, wanadamu WAKINIKAVA wanamasimango sna.
@doricambughi2833
@doricambughi2833 2 года назад
Am blessed to listen to the words of God. I believe that my sins are forgiven and I will go to heaven when Jesus Christ will come for the second time 🙏
@PatrickBaguma-hf1fi
@PatrickBaguma-hf1fi Год назад
A
@judithmakoye6592
@judithmakoye6592 4 года назад
Amina pastor, napokea kufunguliwa akili na kuona ushindi kwa jina la Yesu, amina
@raelsarange638
@raelsarange638 2 года назад
Pastor God bless your work, I'm healed nikiwa nawafuatilia from Iraq, I thank God always for being on my side, be blessed once more AMEN 🙏🙏
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 года назад
Amen
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 года назад
Story imeniliza saana kwa Kweli professor alitenda jema na Mungu ambariki
@BahatiKazibake
@BahatiKazibake Год назад
U always blessing us.God bless u 2
@sergengoymuderhwa9179
@sergengoymuderhwa9179 2 года назад
Mungu wangu Unirehemu, kupitiya somo hili kweli limenigu. lakini mchungaji naomba msaada wa Ombi kwa maisha yangu sababu kuhusu maneno haya siwewe unaye zungumuza ila kuna yule anazungumuza ndani yako . somo limenifariji lakini mara tena limenihukumu kwa matendo yangu maovi ni msikilizaji kutoka hapa Drc Congo
@DoricaNoni
@DoricaNoni 5 месяцев назад
Asante kwa mafundisho mazuri watu waokolewe MB zangu haziendi bure kwa Neno la Mungu
@sheilaombongi8086
@sheilaombongi8086 4 года назад
Amina MUNGU azidi kua nawewe siku zote hallelujah
@marykainyu4191
@marykainyu4191 Год назад
God bless you nimefaidika sana nilikua nasema sitaweza .lakini anaweza yote katika yeye anitiaye nguvu amuna.
@nbkyando5175
@nbkyando5175 Год назад
Mwenyezi Mungu akubariki sana Mchungaji, na ufurahie sama maisha yako ya hapa duniani kabla hatujafika mbinguni
@PatriciaSidi-s9j
@PatriciaSidi-s9j 8 месяцев назад
Pastor mungu akubariki sana azidi kukupa hekima na maarifa yake,pia uniombee bwanangu nikimupingia hashiki simu yangu,nataka umuombee abadilike pastor
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 4 года назад
Amen!tutaishia Ikulu ya Yesu.
@asooraaasooraa4816
@asooraaasooraa4816 4 года назад
Tunabarikiwa sana Mungu akubariki sana pastor
@monicahwayua1827
@monicahwayua1827 Год назад
Pastor you bless me so much with your teachings. In future please add Mpesa for thank you support for those of us who use mobile money.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Год назад
Blessings to you
@jeremiahkamonga2892
@jeremiahkamonga2892 8 месяцев назад
Nimebarikiwa na mahubiri yako barikiwa ,naomba uniombee Pastor ninashida
@rhinakiza
@rhinakiza 4 года назад
Mimi hapa hapa Yesu nirehemu
@jobleteipankuri4684
@jobleteipankuri4684 3 года назад
May God bless you pastor,you have really changed my mindset
@mrembonaomi9077
@mrembonaomi9077 2 года назад
Amen
@barakajoseph1816
@barakajoseph1816 4 года назад
May God uplift this ministry in Jesus' name
@ruthaminga7160
@ruthaminga7160 4 года назад
Amen
@christinalrene1132
@christinalrene1132 4 года назад
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu🙏🙏 somo lako limenifungua na nmebarikiwa sana sku ya elo
@estherwambui1072
@estherwambui1072 3 года назад
Nakwambia huyu Pastor he talks about situations that im going through. I learn day by day.
@nicholasmomanyi959
@nicholasmomanyi959 4 года назад
thank you for your preaches have received blessing
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 2 года назад
Amin nabarikiwe san na mahubir yak Mchungaji najifunz meng san ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🥰
@GuillaumeLumande-j3d
@GuillaumeLumande-j3d Год назад
🙏umetuongezea imani kabisa mutumishi wa mungu
@omankadara6418
@omankadara6418 6 месяцев назад
Nabarikiwa sana pasita kusikiliza mahubiri yako Mungu akubariki sana
@evasisso4253
@evasisso4253 4 года назад
Asante Mungu kwa hili neno🙏
@margaretwanjiru9096
@margaretwanjiru9096 Год назад
What a worderful lesson......May God bless you 🙏🏻
@baby16mariki48
@baby16mariki48 Год назад
Mungu azidi kukubariki, kwamafundisho Yako mazuri. Kilasiku nazidi kukua kwamafundisho Yako.
@dilurai4204
@dilurai4204 4 года назад
Asante Mungu kwa kunisamehe dhambi zangu
@bharagwigililayangaza5066
@bharagwigililayangaza5066 3 года назад
Ubarikiwe sana mchungaji, japo mi nashindwa ni matatizo gani niyakemee na yapi nimwombe MUNGU . Matatizo ni mengi sana yanatutesa
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 4 года назад
Asante kwa kunifanya rafiki wa Mungu.
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 4 года назад
Namshukuru Mungu kwakunipa ufunuo huu kupitia mtumishi wake mchungaji mbaga
@sarahsamatwa3211
@sarahsamatwa3211 Год назад
Bwana Yesu asifiwe.nimekuelewa mtumishi.
@ndenitoriakimaro9631
@ndenitoriakimaro9631 4 года назад
Barikiwa mno Mtumishi
@samledbunt2774
@samledbunt2774 4 года назад
PR Dav mmbaga ubarikiwe sana kwa huduma za kiroho
@elizamfanga562
@elizamfanga562 4 года назад
Asante kwa neno lako limeniimarisha
@bhokepeter1086
@bhokepeter1086 4 года назад
Somo zuri sana limenibariki na kunitia moyo sana,ubarikiwe sana mchungaji
@ModesterShokolo-mr6km
@ModesterShokolo-mr6km Год назад
Asant Mungu Kwa masomo haya,pasta barikiwa
@bahatijohn4877
@bahatijohn4877 4 года назад
Amina mchgj wangu
@vicentndiholeye1067
@vicentndiholeye1067 2 года назад
pasita namushukulu mungu nazidi kufuguka akili mungu akubaliki sana
@mariamfrenk4373
@mariamfrenk4373 Год назад
Amina saana mtumishi wa MUNGU, uzidi kua na afya
@janenyagwencha7737
@janenyagwencha7737 3 года назад
Iam touched pr. Mungu akubariki
@Vel42
@Vel42 4 года назад
Niombee Pastor nilikaa kwa ndoa sumbuvu mpaka nkaacha kukula meza ya BWANA imani ikarudi nyuma,nikawa na shida kubwa sana but mwishowe nikazidi kumwomba MUNGU nkatoka kwa ile ndoa juu bwana alikuwa akinitesa sana na watoto na nilipotoka hivi BWANA YESU akanifungulia mlango nikaprocess nkakuja Bahrain ambapo natafutia watoto na ukweli nimeona mkono wa Bwana huku niliko.Saa yule mwanamme ameona napata pesa ndo ananipembeleza na roho imekataa kabisa Pastor.Roho imekufa naye kabisa.Nifanyaje?nishauri tafadhaki Pastor.
@janicejohn62
@janicejohn62 Год назад
Achana nae
@Satomaxstudio
@Satomaxstudio 10 месяцев назад
Nimeguswa sana na changamoto yako kabla sijashauri naomba kuuliza ,unaendeleaje kwa sasa
@farajamwika8667
@farajamwika8667 9 месяцев назад
Msamehe
@kidaushadrack5239
@kidaushadrack5239 8 месяцев назад
Rudi kwenye maandiko ukazitafute zile njia ambazo Mwenyezi Mungu alizieleza kwa ajili ya kutalakiana,iwapo haupo kwenye fungu hilo basi ukitaka kumpendeza Bwana huna budi kusamehe na kuirudia ndoa yako. Shadrack karisa-mombasa kenya
@elizabethchiwamba8372
@elizabethchiwamba8372 4 года назад
LIHIMIDIWE JINA LA YESU KRISTO ,PASTOR UMEYAGUSA SANA MAISHA YANGU MUNGU AENDELEE KUKUINUA UTUKUFU HATA UTUKUFU, AMINA
@jessikaakinyi8445
@jessikaakinyi8445 4 года назад
Ameeeeen vita vyetu si za mwili
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 6 месяцев назад
Amen mungu akubarki mtumishi wa mungu kwa mafundisho
@bettymiligwa9909
@bettymiligwa9909 3 года назад
Mungu akubariki pastor
@perfectmabega9685
@perfectmabega9685 4 года назад
God bless this pastor
@tmamwanza227
@tmamwanza227 9 месяцев назад
mchungaji mungu akubariki maana umenisaidia sana kiroho
@victoriabuzare5659
@victoriabuzare5659 2 года назад
Pastor wewe ni tunu ya Taifa hili Bwana Yesu akutunze kwa ajili ya watu wake.
@witnessmalangalila91
@witnessmalangalila91 4 года назад
Barikiwa Mtumishi kwa ushuhuda
@witnessmalangalila91
@witnessmalangalila91 4 года назад
Amen
@honorineomary2612
@honorineomary2612 Год назад
Barikiwa mtumishi mimi ni mpentekoste Naishi Finland mafundisho yako yananijenga
@elizabethisaac1074
@elizabethisaac1074 3 года назад
Mungu akubariki mchungaji mbagga!!tunabarikiwa Sana na mafundisho yako!!
@weahfeint3406
@weahfeint3406 Год назад
nimebarikiwa, ubarikiwe zaidi🙏🏿
@HildaMarato
@HildaMarato 7 месяцев назад
Naendelea kubarikiwa na neno la Mungu.
@faithmakena2381
@faithmakena2381 4 года назад
Nashukuru kwa Neno kwa sababu mawazo mabaya na moyo kwenda mbio ilikuwa inanijia.But am healed but negative thoughts usually come to me.And I get angry often then later I regret.Your Word has touch me so much.I usually rebuke the devil by talking and tell God l love him.Thank you for your message.From Kenya.
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 3 года назад
Mchungaji mmbaga naanza kukuelewa kidogo kidogo ubarikiwe sana
@ruthkibengu7504
@ruthkibengu7504 3 года назад
Ee Mungu tusaidie
Далее
SOMO: USINGIZI WA KIROHO - BISHOP GWAJIMA
2:04:31
Просмотров 33 тыс.
#NGUVU YA KUJITAMBUA #1
30:51
Просмотров 11 тыс.
MACHO YAKIFUNGULIWA | PR. DAVID MMBAGA  (OFFICIAL VIDEO)
1:03:11
NCHI YA AJABU MWANAMUME MMOJA TU | PR. DAVID MMBAGA
1:04:47
NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA
51:52
🔴 LIVE: MAOMBI YA UREJESHO - PR. DAVID MMBAGA
2:13:51