Тёмный

KANUNI HIZI TANO ZITAKUSAIDIA WAKATI WA SHIDA KUBWA MAISHANI 

MAHUBIRI TV
Подписаться 214 тыс.
Просмотров 63 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 103   
@lilianlima8609
@lilianlima8609 2 года назад
Atukuzwe Mungu wetu mkuu kwaajili ya somo hili hakika 🙏🙏🙏
@mlishohadija6923
@mlishohadija6923 5 месяцев назад
Ubarikiwe na bwana PR mafundisho yauzima yananipa moyo hata nikiwa nimekosa amani nikisikia mafundisho haya huwa napata tumaini jipya maishani Mungu akubariki na akutende mema 🙏
@dadarehema
@dadarehema 2 года назад
Yaani kiufupi, wengi tumepona kwa mafundisho haya.Barikiwa Pastor Mbaga.
@hesronhabimana3613
@hesronhabimana3613 2 года назад
Hallelujah Bwana akubariki na abariki watu wake Asante Mungu kwa upendedo wako ambao unao tu penda. Amen.
@mancamushi
@mancamushi 18 дней назад
Ameen Mungu nisaidie katika hili Ameen🙏🏻🙏🏻
@janewangui845
@janewangui845 2 года назад
God bless you Pastor David , I needed this. It's for me.
@emmanuelkanon6701
@emmanuelkanon6701 2 года назад
Sasa mchungaji umetisha sana mungu akubariki sana!!!
@nyangoma775
@nyangoma775 Год назад
Nakupenda sana mtumishi hakika hii ndyo injiri,Wala! Haina vitisho
@catherinenoah8047
@catherinenoah8047 2 года назад
Asante mchungaji kwa kunitia moyo kwa hubiri hili..
@tabiamwamahonje9731
@tabiamwamahonje9731 2 года назад
Hakika upendo Wa Bwana ni Mkuu sana .Barikiwa kwa somo pastor
@aniciamahendeka9724
@aniciamahendeka9724 Год назад
Ninapenda sana kazi yako, tangu nmeanza kusikia mahubili yako yamenibadilisha sana ninamtukuza Mungu kwa namna anayokutumia kutusaidia, ubarikiwe pastor mbaga
@user-ir4eb5bz5l
@user-ir4eb5bz5l 2 года назад
Tumebarikiwa, pastor David Mungu akubariki na akuongeze nguvu.
@chancekambale3498
@chancekambale3498 2 года назад
hapo angesema Bwana atubatiki. siyo awabariki lol. somo nzuri.
@annshua6984
@annshua6984 Год назад
Paster mungu akubariki sana umenfunza mengi yamensaidia sana God bless you
@annshua6984
@annshua6984 Год назад
Pastor
@yohanamasasi5392
@yohanamasasi5392 2 года назад
Amina mtumishi wa Mungu (Bwana ameniokoa wokovu mkuu tena wa kishindo Hallelujah).
@angelakasian8172
@angelakasian8172 2 года назад
Asantesana pr kwakunitiamoyosana Katika masomoyako yananitianguvusanaaaa.
@JudithJackson-we6iu
@JudithJackson-we6iu Год назад
Mchungaji wangu mungu akubariki sana unipa faraja kubwa ambayo sikuwai kuambiwa namtu yeyote yule kuanzia leo najitamkia ushindi bwana ndie muchungani wangu sita pungukiwa nachochote nijapo pita magumu kiasigani mungu wangu ataniokowa❤❤
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 9 месяцев назад
Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sikukitoki6860
@sikukitoki6860 2 года назад
Nabarikiwa na mafundisho yako pastor.naomba nipate mawasiliano yako
@malangwandekeja6116
@malangwandekeja6116 2 года назад
palipo na magumu mungu anatoa majibu.huwanafatilia mahubili yako pr yananibariki sana
@neemamukama1259
@neemamukama1259 2 года назад
Mungu atusaidie. Barikiwa sana Mchungaji. Mungu azidi kukupatia afya njema.
@pendomatei846
@pendomatei846 2 года назад
Mungu wangu nakushuru baba mungu
@mossesjoseph2202
@mossesjoseph2202 2 года назад
Be blessed man of GOD.
@neemamsewa8165
@neemamsewa8165 2 года назад
Mungu akubariki sana pastor kwa mafundisho mazuri
@monicahmmassi9557
@monicahmmassi9557 2 года назад
Amina pastor. Barikiwa sana
@dorcaskerubo5926
@dorcaskerubo5926 2 года назад
Be blessed man of God
@elienew3788
@elienew3788 2 года назад
Asante nakushkuru Mungu kwa kusika unumbe huuu unao leta matumai ni katika maisha yangu Mungu akuongezee nguvu mtu wa Mungu
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 года назад
Asante bwana yesu akulinde kwajili ya kuinua imani yangu tena
@nishdes5518
@nishdes5518 2 года назад
Ni kweri napendwa! Hallelujah
@user-zf1ve9ml6m
@user-zf1ve9ml6m 7 месяцев назад
MUNGU akubariki pastor
@kiwissYT
@kiwissYT 2 года назад
Amen Pastor
@baraka5455
@baraka5455 5 месяцев назад
Barikiwa sana pastor
@jameskirwasang4353
@jameskirwasang4353 2 года назад
Thanks pastor nimebarikiwa sana mungu akubariki.
@conniemukami127
@conniemukami127 2 года назад
Amina pastor Mungu akubariki kwa somo lenye nguvu
@dorcaskerubo5926
@dorcaskerubo5926 2 года назад
Nimebarikiwa ameen
@neemajohnbahebe2566
@neemajohnbahebe2566 2 года назад
amen mtumishi🙏
@robartmwangomalecharnel7860
@robartmwangomalecharnel7860 2 года назад
Hongera sana mch kwa kazi zako nzuri
@simonkanampiu4665
@simonkanampiu4665 Год назад
God bless you pastor. I am really encouraged
@francinemukandutiye2841
@francinemukandutiye2841 2 года назад
Amen amen Mungu akubariki Pastor David kwa maneno mazuli unao tufundisha. From Canada 🇨🇦
@felisianailomo2339
@felisianailomo2339 Год назад
Kweli kabisa mambo megi tunakulupuka bilakujua ubalikiwe mchungaji kwamafundisho maxuri
@josianeniyonkuru5796
@josianeniyonkuru5796 2 года назад
Amen! Praise God
@silvesterryaga7365
@silvesterryaga7365 2 года назад
Mungu awabariki wote unaowahudumia, katika jina la Yesu.
@denismugisha2
@denismugisha2 2 года назад
Napendaga mahubiri ya namna hii,..sio yale ya utajirisho magari,ndoa,elimu,biashara afya yaliyojaa kwenye makanisa ya leo
@montteyfloki3953
@montteyfloki3953 2 года назад
Hata mimi
@AsteriaPastory
@AsteriaPastory 11 месяцев назад
Asifiwe YESU...Mtumishi...hii changamoto sijaliona ktk biblia...Mwanaume kusema uongo wa umri wake Hadi kufikia ndoa Hadi wazazi kumsaport..baada ya ndoa ndo inagundulika mwanamke ni mkubwa zaidi miaka 15...mwili wake ni mnene hata haujui ni mtoto...ni changamoto kubwa
@millieguya1119
@millieguya1119 2 года назад
Amen...nimebarikiwa mno
@rhinakiza
@rhinakiza 2 года назад
Asante pastor kwa mafundisho mazuri mnoooo 🙏🏼🙏🏼
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 2 месяца назад
Amen
@addammkweta93
@addammkweta93 2 года назад
Nabarikiwa sana na mafundisho haya pastor
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 года назад
Amina!!! Mungu ananipenda nilivo na takataka zangu
@elizafanzabron592
@elizafanzabron592 2 года назад
Amen, Mungu akubariki sana
@winylucas5181
@winylucas5181 2 года назад
Ameni
@emmasidi9446
@emmasidi9446 2 года назад
Amen 🙏ubarikiwe pastor
@rosemshana7885
@rosemshana7885 2 года назад
Amina
@veronicajimisha61
@veronicajimisha61 Год назад
Be blessed pastor
@susannassocoolfamilys3125
@susannassocoolfamilys3125 2 года назад
Amen 🙏
@user-ue7wo8th7d
@user-ue7wo8th7d Год назад
Amen 🇰🇪
@gladysnyangara553
@gladysnyangara553 2 года назад
Mahubiri ya kujenga sana barikiwa mtumishi wa Yehova
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 9 месяцев назад
Amiiina🙏
@navokisembo
@navokisembo 2 года назад
Ameeen
@jacklinebubelwa5127
@jacklinebubelwa5127 2 года назад
Ameeeen
@alfasafaraja8515
@alfasafaraja8515 2 года назад
Mungu akupe afya bora kila Siku
@bellimarwa5454
@bellimarwa5454 2 года назад
Hakika kama ulikuwa kwenye mawazo yangu ahsante kwa somo
@juharazanzi997
@juharazanzi997 2 года назад
Amina Mchungaji ubarikiwe
@dotokayuni53
@dotokayuni53 2 года назад
Ameen Mungu akubariki
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 Год назад
Mchungaji we mbinguni umefika mafundisho yako yanaeleweka sana kwenye kichwa cha kila mtu
@emmashariff6622
@emmashariff6622 2 года назад
Amina ubarikiwe sana
@jaredmayaka2993
@jaredmayaka2993 2 года назад
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 be blessed Soo much pastor
@bukuruphilibert8658
@bukuruphilibert8658 2 года назад
Be blessed man
@neisaprince
@neisaprince 3 месяца назад
🙏🙏
@benadetharuna3667
@benadetharuna3667 Год назад
Naxhkur mchungji na xhida kubwa lakin naic aman baada ya kuckia ili como ili naamin xaa mung atatenda
@elizabethstephen4049
@elizabethstephen4049 2 года назад
Ameen
@estermatofali5198
@estermatofali5198 Год назад
Naombeni namba za pastor David please
@petermalima2312
@petermalima2312 2 года назад
Yesu na Yesu pekee
@maryphilimon3277
@maryphilimon3277 2 года назад
Wapendwa bwana Yesu asifiwe ninaomba mwenye namba ya huyu pastor anisaidie
@upendomaduhu1310
@upendomaduhu1310 2 года назад
Kuna wakati unakua na Imani kabisa na unaona mkono wa Mungu lkn unakarbia kuyaona matumain yanakuja gafra linatokea jambo ambalo linakuvunja vunja moyo unamuona kabisa Mungu amekaa pembeni kabisa je nifanye nn ikinipata na ukiangalia yesu mwenyewe alizdiwa msalabani had akalia je mimi ni nan?
@benedictojakobo4425
@benedictojakobo4425 2 года назад
🙏👍
@bonimasero649
@bonimasero649 2 года назад
Mbaga nikisikiliza mafundisho yako yananipa faraja
@loraumuhire4755
@loraumuhire4755 2 года назад
Mutu wa Mungu mbona wanatwambia ukirota ndota za zina pamoja na kupika ndani yandoto nizambe? Sasa mutu anaota na anajua?
@amnamax8676
@amnamax8676 2 года назад
Nisamehe Baba na unipe nguvu mpya
@paulchisoro4327
@paulchisoro4327 2 года назад
Some of the listeners are sleeping
@user-ns1jw3rl3g
@user-ns1jw3rl3g Год назад
Usiku hata mchana mahubibri yako inatubadirisha
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 2 года назад
Hallelujah 🤲🤲
@alfredinafrederick3417
@alfredinafrederick3417 2 года назад
Ò
@ellenmbota1241
@ellenmbota1241 2 года назад
amen amen
@alfasafaraja8515
@alfasafaraja8515 2 года назад
Nahomba namba ya pasta na vitu napenda kuhuliza
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 года назад
+255 755 932 283
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 2 месяца назад
Amen
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 2 года назад
Amina
@lucynyigana2801
@lucynyigana2801 2 года назад
Barikiwa Sana pastor
@aniphachiutila8636
@aniphachiutila8636 2 года назад
Amen🙏
@evelynmutunga
@evelynmutunga 10 месяцев назад
Amen
@lovemasika871
@lovemasika871 2 года назад
Amen
@dilurai4204
@dilurai4204 2 года назад
Amen
@joyirigo8322
@joyirigo8322 Год назад
Amina
@user-ir4eb5bz5l
@user-ir4eb5bz5l 2 года назад
Amen
@christinesavai884
@christinesavai884 2 года назад
Amen
@user-ue7wo8th7d
@user-ue7wo8th7d Год назад
Amen 🇰🇪👏👏👏
@edakiputa1108
@edakiputa1108 2 года назад
Amina
@annamwaipopo9485
@annamwaipopo9485 2 года назад
Amen
@rwesimbibicharles8994
@rwesimbibicharles8994 2 года назад
Amen
@maureenkemei9254
@maureenkemei9254 2 года назад
Amen
Далее
#NGUVU YA KUJITAMBUA #1
30:51
Просмотров 11 тыс.
TUMIA MAMLAKA HII ILI KUFUNGULIWA-- PR. DAVID MMBAGA
1:16:37
BADILI FIKRA!! MAJIBU YA SHIDA ZAKO HAYA HAPA!!!!
39:28
WATU WALIOFANIKIWA WALIZINGATIA MAMBO MATANO
43:41
Просмотров 91 тыс.
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
USIPUUZE NDOTO HIZI MWAKA 2022. Na Mch. David Mbaga
1:40:01
JE UNAMJUA YESU? | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:16:32