Duh uyu mdada alifariki 10.11.2012 naikumbuka siku iyo subhanallah tumepishana theatre muhumbili kwenye uzazi,Allah aifanye kaburi lake miongoni mwa mabustani ya peponi,kufia kwenye uzazi ni kama umekufa kwenye jihad Allah amsameh uyu dada
Pumzika kwa amani da Mariam tulikupenda sana sana watanzania wenzako lakini kazi ya Mungu haina makosa nyimbo zako zote ni faraja kwangu,ndiyo basi tena,presha inawapanda,mti wa riziki upo kwa Mungu na raha ya mapenzi pamoja na paka mapepe.
Kiukweli inauma sana da Marium kweli nataman kila wakati nipige wimbo wako huu "uzushi haunitii doa" hakika unanifariji na kukumbuka majonzi.... Allah akusamehe popote ulipo na akuepushie na adhabu za kabri